FAIDA TANO ZA KUMBUSU MWENZI WAKO
1. Husaidia kuiboresha afya yako Unampombusu mkeo au mmeo kwa moyo wote na hisia zote (hapa tunaongelea deep kiss ‘kula den*a’) unapata faida kubwa kiafya ambao kitaalam tendo hilo huweza kusaidia kukupunguzia maumivu ya kichwa kwa kupumzisha taratibu misuli. Pia kitaalam tendo la busu hukusaidia kuing’arisha ngozi yako kama inavyofanyika kwa mtu anaependa mazoezi. Hivyo basi unapotaka kulala, ni vyema ukambusu kwa hisia mkeo/mmeo upate faida hizi badala ya kumpotezea na kumrukia wakati wa tendo la ndoa. 2. Housemaid katika ufanyaji kazi wa virutibisho mwilinia Inaelezwa kuwa busu husaidia sana mwili kufanya mrejesho ambao unadhibiti ufanyaji kazi wa virutubisho mbalimbali mwilini hivyo inaweza kusaidia katika kuboresha afya yako zaidi. 3. Busu huongeza furaha na kupunguza msongo wa mawazo. Kwa mujibu wa tafiti mbalimbali zilizofanywa inaelezwa kuwa tendo la busu huongeza kitu kinachojulikana kama ‘endorphins’, na endorphins husababisha mtu afurahi. Kama hivyo ndivyo, kwa nini ...