Posts

Showing posts from December, 2022

Vibaka nchini Ghana wamliza rapa Meek Mill

Image
  Mwanamuziki huyo mwenye umri wa miaka 35 kwa sasa yuko nchini Ghana ambako alihudhuria kwaajili ya kutumbuiza katika Tamasha la Muziki la Afro Nation 2022. Meek Mill alionekana kujiburudisha katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi, baada ya kuenea kwa video clips mitandaoni akionekana rapa huyo nyota kutoka nchini Marekani akiendesha piki piki na vijana kadhaa wa mitaani. Hata hivyo, saa chache kabla ya onyesho lake katika tamasha la Afro Nation, alibaini na kuweka wazi kuwa vibaka wlimchomolea simu yake ya mkononi bila kujua huku akieleza kuwa anahisi ni katika kipindi ambacho walikuwa wakikatiza mitaa mbali mbali ya nchini ya Ghana. Katika chapisho kwenye kwenye ukurasa wake wa mtandao wa Instagram (Insta story) Meek Mill alitoa wito kwa yeyote aliyechukua simu yake airejeshe haraka. “Ni kama waliingiza mikono mfukoni mwangu nakupora simu, tafadhali nirejeshee ikiwa utaipata” ameandika Meek mill. Licha ya uchungu wa kupoteza simu yake, Inaelezwa kuwa Meek Mill hakusita ku

Breaking: Papa Benedict XVI amefariki dunia

Image
HIVI PUNDE: Papa Benedict XVI (1927-2022) amefariki dunia akiwa na umri wa miaka (95). Former Pope Benedict XVI has died at his Vatican residence, aged 95, almost a decade after he stood down because of ailing health. He led the Catholic Church for less than eight years until, in 2013, he became the first Pope to resign since Gregory XII in 1415. Benedict spent his final years at the Mater Ecclesiae monastery within the walls of the Vatican. His successor Pope Francis said he had visited him there frequently. The Vatican said in a statement: "With sorrow I inform you that the Pope Emeritus, Benedict XVI, passed away today at 9:34 in the Mater Ecclesiae Monastery in the Vatican. "Further information will be provided as soon as possible." The Vatican said the body of the Pope Emeritus will be placed in St Peter's Basilica from 2 January for "the greeting of the faithful". Plans for Pope Benedict's funeral will be announced in the next few hour

Zuchu "Hakuna Msanii Alie Fanikiwa Huku Anabifu na Boss Alie Msaidia Kumtoa"

Image
Zuchu ameweza kusema kuwa hakuna msanii alie fanikiwa huku anabifu na alie mfanya afanikiwe, Wote tunajua alie mtoa kimziki Harmonize ni Diamond na harmonize alisha enda Bongo star search kuonyesha kipaji chache ila mastar J akamwambia kuwa hawezi mziki bora arudi Mtwara akauze korosho hayo ndio yalikuwa maneno ya Mastar J. Ila toka Harmonize alipo kutana na Diamond aliweza kufanikiwa kwa kiasi kikubwa sana, cha ajabu kwenye interview ya Zuchu kwenye the Switch ameweza kusema kuwa. “ Duniani hakuna msanii alie fanikiwa huku na bifu na boss wake au mtu alie muonyesha njia ya mafanikio, Zuchu akatoa mfano wa wasanii ambao wanafanya vizuri huku wakiwa nje ya watu walio wafanya wafanikiwe ambao ni Liliwayn alivyo msaidia Nick minaj kimusic pia amemsaidia Tyga na Drake ila hujawahi sikia hao wote wana Bifu na Boss wao Liliwayni. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/OgZ7txu via IFTTT

DIAMOND Afunguka ISHU ya 'MTOTO WAKE' na MOBETTO Najua Tangu Zamani

Image
  DIAMOND Afunguka ISHU ya 'MTOTO WAKE' na MOBETTO Najua Tangu Zamani VIDEO:  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/owEQp8n via IFTTT

Pamekucha Video Vixen wa Amelowa Amjibu Harmonize... "Anajifanya Sijaona D..K yake

Image
Kutoka kwenye insta story ya sophia ambae amewahi kuwa Video vixen kwenye nyimbo ya #Amelowa ambayo ameimba Harmonize. Sophia ameweza kujibu ujumbe wa Harmonize alio ambiwa kuwa “ Sophia hana uwezo na kuhimili uume wa Harmonize “ na Sophia hajakaa kimya ameweza kumujibu kuwa. “ MDOGO WANGU SAYANA ZY FANYA URUDI TZ UNICHUKUE MAMBO NI MENGI MTU ANAJIFANYA SIJAONA DICK YAKE “ Hayo ndio maneno ya Sophia anataka msaada jamani atoke Tanzania 🇹🇿 mana harmonize amezidi kumsema. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XYEB3e8 via IFTTT

DIAMOND afunguka mazito kuhusu mtoto wa HAMISA "'DYLAN", kumshauri MARIOO asijiunge WASAFI

Image
  DIAMOND afunguka mazito kuhusu mtoto wa HAMISA "'DYLAN", kumshauri MARIOO asijiunge WASAFI VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/eMh7B4E via IFTTT

Ismail Rage aingilia kati sakata la Fei Toto

Image
Mwenyekiti wa zamani wa Simba SC Ismail Aden Rage amewataka viongozi wa klabu za Young Africans na Azam FC kutua busara kumaliza sakata la Kiungo Feisal Salum Abdallah ‘Fei Toto’. Siku chache zilizopita kumekuwa na mvutano mkubwa kutokanana Azam FC kuhusishwa kumrubuni mchezaji huyo wa Young Africans kuvunja mkataba ili ajiunge na Timu hiyo. Rage amesema haoni sababu kwa viongozi wa pande hizo kulimbana ukizingatia kanuni zote zipo wazi hivyo ni vyema kila upande ukakubali kukutana kwa pamoja na kumaliza jambo hilo. “Itapendeza kama viongozi wa timu hizi mbili wakatanguliza busara mbele na sio malumbano na chuki ambazo hazina afya kwenye mpira wetu, ingawa matukio kama haya yanaonesha mpira wa Tanzania sasa unakuwa, kitu cha msingi viongozi wangekutana na kuzungumza” “Ukiangalia kisheria upo upande una makosa lakini kabla hatujafika huko ni vyema hekima na busara ikatumika ili tuendelee kukuza mpira wetu na kutawaliwa na jazba na chuki mwenyewe kwa wenyewe.” amesema Rage F

Sakata la Fei Toto "“Feisal Ametoroka Kambini Hatui Alipo"

Image
Sakata la mchezaji wa Yanga SC, Feisal Salum (Feitoto) lazidi kuchukua sura mpya tangu tetesi za kuhusishwa kuondoka Young Africans Sports na kujiunga na Azam FC. “Feisal ametoroka kambini, Fei ametoroka na tumewaambia viongozi waripoti TFF mchezaji wetu ametoroka hatujui aliko, viongozi wa Yanga hawajui Fei aliko, wanachama wa Yanga hatujui Fei aliko, huko aliko anajua yeye mwenyewe na waliomficha.”- Shabani Omary Mratibu wa Matawi ya Yanga Mkoa wa Dar es Salaam. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/M6t4bwv via IFTTT

Ligi imechanganya, Mechi kali za funga mwaka 2022 zenye Odds kubwa na Machaguo Kibao Meridianbet

Image
Ligi nyingi zimerejea na mzuka wa kutosha mtu wangu, ni EPL, La Liga na Ligue 1 huku zikisindikizwa na michezo mingi ya kirafiki yenye kuvutia na kusindikiza furaha yako, Meridianbet wameliona hilo na kutoa odds kubwa na bombaa, bila kusahau machaguo mengi ya kufungia mwaka 2022 na kufungua mwaka 2023. Unafungaje mwaka 2022 na Meridianbet? Ni rahisi sana wala usisumbuke kuumiza kichwa chako, ukiichagua Meridianbet ni umechagua ushindi tu, kwanini nakwambia hivyo ni kwa sababu kila mechi kuna ODDS kubwa sana na machaguo ni mengi na rahisi Zaidi yenye uhakika wa kukupa ushindi kwenye mkeka wako. Leo Ijumaa pale EPL kitapigwa mechi mbili ni Liverpool vs Leicester ambapo kila timu inazitaka alama tatu, nani kung’ara leo, Nunez, Salah, Trent ama Jamie Vardy, Kelechi Iheanacho au ni Denis Prayet? Bashiri Meridianbet ufunge mwaka kibabe . Pia West Ham watawakaribisha wazee wa nyuki Brentford 2.06 kwa West Ham ashinde huku 3.57 kwa Brentford ashinde. Real Valladolid hawatakuwa na ka

Baba Akamatwa Tuhuma za Kuwapachika Mimba Mabinti zake Wawili Mkewe Anajua Kila Kitu

Image
Polisi wa eneo Bunge la Kandara, Kaunti ya Murang'a nchini Kenya wanamshikilia mume pamoja na mkewe wenye watoto wanne wa kike baada ya mtoto wao kufichua kuwa baba yao amekuwa akiwabaka. Mume huyo anasemekana kufanya vitendo hivyo vya kuogofya huku mkewe akifahamu kikamilifu matendo yake nyumbani kwao Gichengo-Muruka. Kulingana na ripoti, mkewe alinaswa baada ya mmoja wa binti zake wanne kukiri kuwa alipachikwa mimba na babaake huku mama yake akijua. Wakazi walisema kwamba msichana wa miaka 14 ambaye alikuwa amemaliza darasa lake la nane alikuwa amepachikwa mimba pamoja na dadaake. Walisema baba huyo alijaribu mara kwa mara kulala na binti zake wote wanne katika matukio tofauti na wengine wawili waliokolewa tu na majirani baada ya kupiga mayowe. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/TJGjqMQ via IFTTT

Fei Toto Katika Uzi Mwekundu, Aonekana Mchana Kweupe Akiichezea Timu Hii

Image
Kiungo wa Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans Feisal Salum Abdallah (Fei toto) leo Alhamis (Desemba 29) ameichezea Klabu yake ya zamani JKU dhidi ya ya Mlandege, Uwanja wa Mao Zedong kisiwani Unguja ‘Zanzibar’. Mchezo huo wa Kirafiki umeshuhudua JKU aliyoitumikia Fei Toto kwa mara ya kwanza baada ya kuacha gumzo kwa Mashabiki wa Soka nchini Tanzania, ikiibuka na ushindi Mabao 4-2. Kiungo huyo alitumia dakika 45 za kipindi cha pili, ambapo aliikuta JKU ikiwa nyuma kwa Mabao 2-0, lakini uwepo wake ulisaidia kupatikana kwa ushindi huo mkubwa, huku akifunga bao moja. Baada ya mchezo huo Mwandishi wa Habari Abubakar Kisandu alizungumza na ‘Fei Toto’, lakini alishindwa kupata ukweli wa kile alichokikusudia kutokana na muhusiska kuweka masharti ya kuulizwa swali lolote linalohusu sakata lake na Young Africans. “Naomba nisiongee chochote, naomba sana, ikifika siku ya kuongea nitaongea “. Alisema Fei. Si mara ya kwanza Fei kuonekana kucheza JKU kwani ndio Klabu iliyomkuza

TANZIA: Nguli wa Kandanda Dunia Pele Afariki Dunia

Image
Nguli wa kandanda nchini Brazil Pele, anayetambulika na wengi kuwa mchezaji bora kabisa wa muda wote na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. Fußballegende Pele (Brasilien) Nguli wa kandanda nchini Brazil Pele, anayetambulika na wengi kuwa mchezaji bora kabisa wa muda wote na mshindi mara tatu wa Kombe la Dunia, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 82. "Hivi tulivyo ni kwa sababu yako. Tutakupenda daima. Pumzika kwa amani," amesema binti yake Kely Nascimento kwenye Instagram. Alitajwa na Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki kuwa mwanamichezo wa karne katika mwaka wa 1999, Pele ndiye mchezaji kandanda pekee katika historia kushinda makombe matatu ya dunia -- 1958, 1962 na 1970. Akijulikana kwa jina la utani "O Rei" (Mfalme), alifunga zaidi ya mabao 1,000 kabla ya kutundika daluga mwaka wa 1977. Alikuwa na matatizo ya figo na saratani ya utumbo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/mFBkRHp via IFTTT

Azam Wafunguka "Hatuna Mpango Wowote na Fei Toto"

Image
Afisa Mtendaji Mkuu wa Azam FC Abdulkareem Amin ‘Popat’ amesema klabu yao haina mpango wowote wa kumsajili Kiungo wa Yanga Feisal ‘Fei Toto’. Popat amekanusha taarifa za kuwaniwa kwa Kiungo huyo alipohojiwa na Kituo cha Radio cha Wasafi FM mapema leo Alhamisi. Amesema hata wao wanaona na kusikia Klabu yao inatajwa kwenye sakata la Mchezaji huyo, lakini hawana mpango wowote wa kumsajili. “Sisi wenyewe tunasoma tu mitandaoni kuhusu Feisal Salum. Hakuna siku tuliyowahi kukaa na kusema tunamtaka Feisal. Yule ni mchezaji mzuri na tegemeo katika timu yake ya Yanga na timu ya taifa.” - Popat. “Hakuna timu ambayo haiwezi kumtamani Feisal, lakini sisi kama Azam FC hatuna taarifa ya namna hii maana hakuna sehemu tuliyosema wala kuandika kuwa tunamtaka Feisal.“ - Popat. Fei Toto amekua gumzo kwa sasa katika vyombo vya Habari pamoja na mitandaoni, kufuatia taarifa aliyoiweka katika Ukurasa wake wa Instagram mwishoni mwa juma lililopita, akiwaaga Mashabiki, Wanachama na Wachezaji wenzake

Lowasa Alazwa Afrika Kusini....Waziri Mkuu Amjulia Hali

Image
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mama Regina Lowassa mke wa Waziri Mkuu Mstaafu (wa tatu kushoto) na Fredrick Lowassa (kulia) alipoenda kumjulia hali Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Ngoyai Lowassa anayepata matibabu jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini, Desemba 28, 2022. Wa pili kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na kushoto ni Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Abel Makubi (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu). ** Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemwakilisha Rais Dkt.Samia Hassan Sululu kumjulia hali Waziri Mkuu Mtsaafu Edward Ngoyai Lowassa anayeendelea na matibabu Afrika Kusini. Akizungumza na wana familia kwa niaba ya Rais Samia, Waziri Mkuu amewasilisha salamu za pole kutoka kwa rais na kusema kuwa rais anafuatilia hali ya Lowasa kwa ukaribu na anamuombea afya njema. Majaliwa ametoa salamu hizo leo Jumatano Desemba 28,2022 jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini ambako alikwenda kumjulia hali Lowasa. Kwa upande wake mke wa Waziri Mkuu Mstaafu,mama Regina Lowasa a

Hivi Ndivyo Diamond Alivyokataliwa na THT Kwa Kigezo Kuwa Hana Kipaji

Image
  THT huwa wana utaratibu wa kusajili vijana baada ya Muda fulani. Diamond alisikia kwamba THT wanasajili wasanii kwa ajili ya Darasa Jipya, Hivyo jamaa akatokea. Kusajiliwa THT lazima ufanye AUDITION na watambue kwamba angalau unajua kuimba. Basi Diamond enzi hizo akiuza mitumba akaenda THT, gafla akakutana na Majaji Pale sura kauzu, ile kuimba tu, Jaji mmoja akamwambia "ķijana hujui kuimba, yaani kutoboa kwako kutahitaji utumie nguvu mno" Kauli ya Jaji huyo ndio imemfanya Diamond kuwa mpambanaji mpaka sasa na ameweza kuwazidi kumuziki mpaka wale wenye vipaji vyao. Wataalamu wanasema Juhudi na Mazoezi yanazidi Kipaji. Hivyo usitulie tu kisa una kipaji, Fanya Mazoezi, ongeza Juhudi katika kila unachofanya. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dUGMBm2 via IFTTT

Mjukuu wa Bob Marley, Joseph ‘Jo’ Mersa Marley Afariki Dunia

Image
Kwa mujibu wa TMZ ambao ni miongoni mwa vyombo vya kwanza kutoa taarifa ya kifo hicho, Joseph, maarufu Jo Mersa, alifariki Jumanne Desemba 27, 2022 kutokana na matatizo yanayohusiana na pumu, ingawa maelezo ya kina kuhusu kifo chake bado hayajawekwa wazi. Joseph, ambaye ni mtoto Stephen Marley, muda mchache uliopita alijiunga na chuo cha Miami Dade na kusoma uhandisi wa sauti (audio engineering) baada ya kukaa miaka yake kadhaa huko Jamaika. Mwaka 2014 aliachia Ep yake iliyoitwa “Comfortable”, ambayo ilikuwa na nyimbo kama vile “Rock and Swing” na “Bogus.” Pia alitoa wimbo uliovuma sana, “Burn It Down,” mwaka wa 2016 na mwaka jana alifanikiwa kualiachia Ep yake ya 2, “Eternal,”. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CQUTWMc via IFTTT

Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Desemba 29, 2022

Image
Habari Kuu kwenye magazeti ya leo Desemba 29, 2022 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/JKuclQN via IFTTT

Shafih Dauda "Feisal kutaka kuondoka Yanga kwenda Azam ni kuuwa mpira wake"

Image
Kwa Feisal kutaka kuondoka Yanga kwenda Azam ni kuuwa mpira wake lakini ni sahihi kimaslahi, nadhani Menejimenti yake ingekuwa ina mlengo mzuri wangepaswa kufikiria nje ya nchi sioni sababu abaki tena Tanzania kama sio Yanga. Nilikuwa Qatar nilipata nafasi ya kuwapa link na Viongozi wake kuna klabu kubwa inahitaji huduma yake, kwangu sio lazima awe kwenye Menejimenti yangu bali ilipopatikana fursa nikaona niwape link. Ni Mchezaji mzuri ana profile kubwa kama anaondoka Yanga sio kubaki hapa ndani, Azam sio sahihi kwake, nitajie Mchezaji gani aliyefanikiwa baada ya kuhamia Azam. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sz7EexM via IFTTT

Jokate Aposti Picha na Mwanae na Kufunguka Haya "Niiteni Mama Totoo"

Image
Muheshimiwa Jokate Amemuonesha Mtoto wake kwa mara ya kwanza kwa kupost picha na Kuandika yafuatayo: Jokatemwegelo:  Her name is Totoo. Call me Mama Totoo 🥰 Glory to God 🙌🏽 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/7f3xo0C via IFTTT

Sallam SK Aonekana na Diamond Platnumz Baada ya Kipindi Kirefu Kuchuniana

Image
Baada ya kipindi cha takribani miezi 7 kupita, #sallamsk na #Diamondplatnumz kutoonekena pamoja kama ilivyokuwa imezoeleka, wawili hao wameoneka pamoja tena asubuhi ya leo Dec 28, wakiwa Ramada Resort sehemu ambayo litafanyikia Tamasha la CHEERS lililoandaliwa na wanamuziki Diamond pamoja na #Zuchu usiku wa Dec 31. Kutoonekana pamoja kwa wawili hao, kulitengeneza uvumi wa Sallam Sk kutokuwa kwenye maelewano mazuri na Diamond kwa sasa, huku Meneja huyo akihusishwa kutimkia Konde Gang kabla ya kukanusha taarifa hizo wiki iliyopita akiwa kwenye interview ndani ya kituo cha radio cha Mjini Fm. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bQWH7fG via IFTTT

Sakata la Fei Toto lawafikisha pabaya Shaffih Dauda na Azam kisa kauli hii iliyozua utata

Image
 Sakata la Fei Toto lawafikisha pabaya Shaffih Dauda na Azam kisa kauli hii iliyozua utata VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/oxcvkCJ via IFTTT

Nay wa Mitego Atoa Nyongo "Hivi Msanii Unaanzaje Kulalamika Kukosekana Kwenye List ya Wasanii Bora ya Babu Tale na Sallam SK?

Image
Huu Hapa Ujumbe Wa Msanii @naytrueboytz Baada Ya Mameneja Wa Label Ya #WcbWasafi @sallam_sk na @babutale Kutoa List Zao Za Wasanii Ambao Wamefanya Vizuri Kwa Mwaka 2022 #NAY Kwenye Insta Story Yake Ameandika............."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babutale. Mtu Mwenyewe Ana Wasanii Wake Kawaweka Juu Kwenye Iyo Chart Na Dunia Inajua Hawajafanya Vizuri, Unaanzaje Kulalamika Au Ku Mind? Jifunzeni Kupuuza Ujinga Ndugu Wasanii. wananchi Wanajua Mtaani Nani Kafanya Vizuri Huu Mwaka'' from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/0QSDdkq via IFTTT

Harmonize Awachana Babu Tale na Sallam SK Kumuweka Nafasi ya 7 na ya 10 Wasanii Bora Bongo

Image
Kutoka kwa Mwanamuziki @harmonize_tz ameonekana kutoridhishwa na nafasi aliyowekwa na ma manager wa WcB Wasafi @sallam_sk na @babutale katika orodha yao ya wanamuziki 10 bora wa Bongofleva waliofanya vizuri kwa mwaka huu 2022. Kupitia insta story yake @harmonize_tz ameonekana kushukuru na kutupia ujumbe wenye fumbo ndani yake kwa kudai kuwa nafasi wanayoikwepesha mitaani wamekwisha ishtukia. Katika orodha hizo @sallam_sk ametaja @harmonize_tz katika nafsi ya 10 huku @babutale yeye akimtaja katika nafasi ya 7' huju mwanamuziki @officialalikiba akiachwa kwenye orodha hiyo ya Top 10 artists 2022. Je unakubalia na nafasi aliyowekwa Konde Boy @harmonize_tz...? from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CAVrEve via IFTTT

Kijana ajiua akihofia kudaiwa Sh 45,000

Image
KIJANA anayefahamika kwa jina la Bukindu Bukindu (22), mkazi wa kijiji cha Ihega, Kata ya Bukoli wilayani Geita amefariki kwa kunywa sumu ya panya, akihofia kudaiwa Sh 45,000 aliyoagizwa kununua soda. Akizungumuzia tukio hilo, mama wa marehemu, Shija Anthony, amesema mwanaye alijiua siku ya sikukuu ya Krismasi, Desemba 25, 2022, ambapo alipatiwa fedha hizo na muuza duka kufuata vinywaji duka la jumla. Amesema baada ya kufika duka la jumla alilipia na kukabidhiwa vinywaji na alipotaka kuondoka alizuiwa na kuamriwa kurejesha vinywaji na alipoeleza ameshalipia wahusika hawakumuelewa. “Basi akaja kwa yule bosi wake aliyekuwa amemtuma, akaja kumueleza, ikabidi waende na yule bosi, walipofika kule wakaambiwa huyu mtoto hela ya vinywaji hajalipia. “Yule bosi naye akamwambia, wewe dogo mimi nataka hela yangu, ukija dukani uje na hela, baadaye sasa wakati mimi napika akaniomba funguo, akatoka na kikombe cha maji, akaingia kwake akafunga,” amesema na kuongeza kuwa mwanawe alihitimu d

Vichwa vya Vilivyovunja Pambano la Pialali, Mfaume

Image
Pambano la usiku wa mabingwa kati ya mabondia Idd Pialali na Mfaume Mfaume limeshindwa kumalizika kwa kupatikana mshindi kutokana madai mabondia hao kupigana vichwa kwa mujibu wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBRC. Pambano hilo ambalo lilikuwa la raundi kumi katika uzani wa Super Walter ambalo limechezwa kwa raundi moja kabla ya vunjika kutoka na mabondia hao kugongana vichwa vilivyopelekea Pialali kupasuka usoni. Katika pambano hilo ambalo limepigwa juzi Jumatatu kwenye Ukumbi wa AICC Arusha, Lake Nyasa halikuweza kuendelea kutokana na tukio hilo huku promota akipewa nafasi ya kulirudia tena pambano hilo kwa kuwa halikuweza kupatikana mshindi. Katibu mkuu wa Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini, TPBRC, Yahaya Poli akiwa na rais wa kamisheni hiyo, Chaulembo Palasa alitangaza kuwa pambano hilo halina mshindi baada ya kujiridhisha wazi kuwa mabondia hao wote waligonga vichwa na kuamua kuvunja pambano hilo. Lakini kwa upande wa Pialali alisema kuwa tukio lilotokea kat

Magazeti ya Leo Jumanne Tarehe 27 December 2022

Image
  Magazeti ya Leo Jumanne Tarehe 27 December 2022 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/KeypbOH via IFTTT

Taarifa za Awali Zinadai Feisal Salum na Yanga Wamekubaliana Kuboresha Mkataba Wake

Image
Taarifa za awali zinadai Feisal Salum amerejea kikosini Yanga na watakaa chini kuboresha mkataba wake, kila kitu kipo sawa kati yao. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/tOWQXnf via IFTTT

Gari ya IT Yaua Watu Watano Kwa Mpigo Mikumi Morogoro

Image
Watu Watano wamefariki dunia papo papo eneo la Mikumi Wilayani Kilosa Mkoani Morogoro katika ajali iliyohusisha gari ndogo IT yenye namba za usajili IT 6954 DNN iliyokuwa ikitokea Jijini Dar-es-salaam kuelekea mpakani Tunduma baada ya kugongana uso kwa uso na gari kubwa la mafuta aina ya Benzi lenye namba za usajili RL 2686 iliyokuwa ikitokea Mkoani Iringa kuelekea Mkoani Morogoro. Kwa mujibu wa kamanda wa jeshi la Polisi mkoani Morogoro, Fortunatus Musilim amesema ajali hiyo iliyotokea majira ya usiku wa kuamkia leo eneo la Iyovu wilayani Kilosa Mkoani Morogoro barabara kuu ya Morogoro-Iringa huku sababu ikitajwa kuwa ni uzembe wa dereva wa gari ndogo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9FuULeB via IFTTT

Mtoto Ajinyonga Akibembea Kwenye Mwembe

Image
MTOTO wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa bahati mbaya kwenye mti wa mwembe wakati akibembea. Tukio hilo lilijiri katika Kijiji cha Ndurumo, barabara ya nne katika Halmashauri ya Nsimbo mkoani Katavi. Inadaiwa kuwa mtoto huyo alikuwa nyumbani kwao na ni kawaida yake kucheza kwenye mti huo akifunga kamba juu ya mti na kuanza kubembea. Wakati tukio hilo likitokea, wazazi wake walikuwa shambani na hakuna mtu yeyote aliyekuwa karibu na nyumba yao ili kumwokoa zaidi ya pale wapita njia walipoona mwili wake ukiwa juu ya mti akiwa tayari keshakufa. Wakizungumzia kifo cha mtoto wao, wazazi walisema taarifa hizo wamezipata wakiwa shambani kwa kuwa nyumbani alibaki mtoto huyo aliyepoteza maisha pamoja na dada yake. “Mimi sikuwapo nyumbani, mtoto alikwenda kujining’iniza kwenye kamba hapo juu ya mwembe, alikuwa anabembea, nimesikia alikuwa amejifunga kamba shingoni,” alisema baba wa mtoto huyo, Emmanuel Kagoma. “H

Kilogramu 46 za bangi zakamatwa

Image
Jeshi la Polisi mkoa wa Ruvuma limekamata bangi magunia matatu yenye uzito wa kilogramu 46 na miche ya bangi iliyolimwa kwa kuchanganywa kwenye bustani ya mbogamboga pamoja na na nyara za serikali yakiwemo meno ya Tembo saba sawa na Tembo wanne. Akielezea matukio hayo Kamanda wa Polisi mkoa wa Ruvuma  ACP Marco Chillya, amesema jeshi la polisi lilifanya misako mikali katika maeneo mbalimbali ya mkoa wa Ruvuma na kufanikiwa kukuta bangi magunia matatu yenye uzito wa kilogramu 46 pamoja na miche ya bangi ambayo ililimwa kwa kuchanganywa kwenye bustani ya mbogamboga. Katika misako hiyo kamanda Chillya amesema jeshi la polisi lilifanikiwa pia kukamata nyara za serikali yakiwemo meno ya Tembo saba sawa na Tembo wanne ambao wameuawa. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/zk4N0QV via IFTTT

Mashabiki wa Diamond Wahoji Kuhusu Afya Yake Baada ya Kulazwa Hospitalini

Image
Diamond Platnumz alipakia picha tofauti na video akionekana kuwa na maumivu akiwa amelazwa hospitalini Msanii huyo mashuhuri wa nyimbo za Bongo alisema kwamba siku kuu yake ya Krismasi imevurugika baada ya kuugua Mashabiki wa staa mashuhuri wa Tanzania Diamond Platnumz wameonyesha kuwa na wasiwasi kuhusu hali ya kiafya ya mwimbaji huyo wa Bongo. Mwanamuziki huyo wa Bongo alipakia video siku kuu ya Krismasi akiwa kwenye kitanda cha hospitali. Diamond alionekana akiwa na maumivu huku akiwa kwenye mashine mamabyo hupima kiwango cha mpingo wa moyo. Picha nyingine ilimuonyesha mhudumu wa afya akimshughulikia nyota huyo wa Bongo, huku akiwa amefunga macho kama kwamba alihidsi maumivu. Kwenye video aliyopakia katika mtandao wake wa Instagram, Diamond alionekana kuwa na 'drip' mkononi mwake. Msanii huyo wa kibao cha Amaboko alikiri kwamba hajakuwa na siku nzuri na kuandika: "Bad Christmas this year.” Mashabiki wake walimtakia uponyaji wa haraka, ila wengine

Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu Tarehe 26 December 2022

Image
  Magazetini leo Jumatatu December 26 2022 Haya Hapa Magazeti ya Leo Jumatatu Tarehe 26 December 2022 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/LPTxEXZ via IFTTT