Posts

Showing posts with the label SIMULIZI

JE UNAJUA UPENDO WA MAPENZI UNAHITAJI VITU VYA AINA GANI?SOMA HAPA

Image
Asante sana kwa kuendelea kutembelea kutufwatilia siku ya  leo tunataka kuzungumza na wewe mambo muhimu yatakoyokufanya uweze kudumu katika mahusiano.,Ili uweze kudumu katika masuala ya mahusiano ya kimapenzi ni lazima ujue ya kwamba ipo haja ya kujua mambo haya yatakayokusaidia wewe kudumu katika mahusiao hayo. 1. Imani Upendo unahitaji imani ni kuwa na uhakika wa mambo yatarajiwayo ni bayana ya mambo yasio onekana unatakiwa kuwa na imani na mwenzi wako imani katika mausiano ni muhimu sana kuaminiana toa wasiwasi kwa mwenzi wako mwamini kuwa amekuchagua wewe hakuna mwingine ukopeke yako. 2. Ujasiri Upendo unahitaji uwe jasiri katika hali zote uajasiri katika kunena ujasiri kutenda, ujasiri katika kuuzungumzia upendo kwa mwenzi wako upendo unamhitaji mtu jasiri sio kitu rahisi kama wengine wanavyozungumzia. 3. Mawasiliano Upendo unahitaji mawasiliano maana mawasiliano hutengeneza mahusiano bila mawasiliano huku na mahusiano ili ujenge msingi mzuri mzuri wa mahusiano y...

Hamu ya Kufanya Mapenzi na Walionizidi Umri Majibaba

Image
Naombeni msaada wenu wakuu kuhusu hii hali inayonisumbua. Wavulana wa umri Wangu sina hamu nao kabisa na Siwataki kabisa, Napendelea Wale kuanzia Miaka 30 naona ndo wananifikisha, Vijana Wanajisifu sana ila hakuna kitu Kwenye Tukifika Uwanjani ..Ama mie ndo Natatizo ? Naombeni Ushauri. By Flora

Aliwahi Kunifumania, Nami Nimemfumania Leo..Vipi Wadau Nimpige Chini?

Image
Nikiwa niko kwenye Karantini la Maskani, ghafla jamaa yangu anakuja mbio mbio. " Brother wanawake ni mbwa kabisa, nimetoka kumfumania shemeji yako na Bwn.Lambalamba Kachupi saiv! Japo sijakuta wamelala, lkn walikuwa wanapeana chakula cha ndege (sijui ndo lile busu la kifaransa) pale kwa Shemeji yako". Akaendelea "Imeniuma Sana kaka. Mi nampiga chini, Siataki ushauri, nakushirikisha tu maamzi yangu". Akaondoka. IKO HIVI. Huyu rafiki yangu, ni ukweli wa kweli kwamba hajatulia kabisa, kuna wakati kama binadamu huwa namhurumia huyu shemeji yangu, kwa maana alisha mfumania mara kibao sema anasamehe. Ikumbukwe kuwa ni wachumba ambao wamesha tambulishana kwa wazazi na marafiki. Jamaa hajawahi kuwa na wasiwasi na mchumba wake, anampenda Sana mengine ni tamaa tu za ujana. Leo ni mara ya kwanza anamfuma na kutoa maamzi ya kuachana. Binafsi namuona huyu dada Kama mtu mmoja muelewa na muungwana Sana. Sihitaji rafiki yangu aachane nae. Nahitaji kuona wakioana. Shemeji ...

Tanasha Dona "Nilipoanza Mapenzi na MONDI Nilisahau Kila kitu Mpaka Mzunguko wangu wa Hedhi"

Image
Bado tuko kwenye vichwa vya habari vya mzazi mwenza na Diamond Platnumz aitwae Tanasha ambae kupitia jarida True Love amezungumza mengi kuhusu yeye na Diamond - "Nilikuwa makini kutoingia kwenye mahusiano na Diamond, kwasababu nilitaka kumjua vizuri, lakini haikuwa hivyo," alisema Tanasha. Katika mahojiano hayo, Tanasha hakusita kusema kuwa hakupanga kuwa na mtoto kwasababu hakuwa tayari kuitwa mama. Nilishangaa kuambiwa nina mimba, ilitokea kwa sababu sikuwa nikifuatilia mzunguko wangu wa hedhi," alisema. Tanasha alifunguka mengi huku akifichua kwamba kuna kipindi alitaka kutoa mimba hiyo lakini hakuona sababu ya kutekeleza zoezi hilo. Nini maoni yako. .

NIMEKUTA BIKINI YA MKE WANGU CHUMBANI KWA MDOGOWANGU IDDI

Image
Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume. Nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe wenzangu nione mnishauri nini. Ni hivi, ninaishi na mke wangu mwaka wa nne sasa, tuna mtoto mmoja, nina mdogo wangu anaishi hapa tangia January niliponunua bajaj ili awe anaendesha ili kusaidia wazazi wetu nyumbani kijijini. Sasa Jumapili iliyopita wife aliwahi sana asubuhi kwenda kanisani pamoja na mtoto, mimi nilibaki nimejilaza mpaka kama SAA moja na nusu hivi, nilivyokumbuka kuwa nilikuwa na ahadi fulani, katika kufanya maandalizi sikiweza kuiona pass, so nikaenda straight chumbani kwa dogo katika kuitafuta ndo nilipokutana na chupi ya mke wangu ambayo mimi mwenyewe nilimununulia so imechoka choka kiasi chake. Nilishikwa na butwaa kwani namwamini sana wife, dogo mwenyewe heshima kwa sana, ilichukua simu na kupiga picha kadha na kuzificha kwenye private vault, ile chupi nikaiacha palepale. Wife hajasema chochote mpaka sasa, nawaza namna y...

KIMYA KIMYA

KIMYA KIMYA                                                                    KIMYA KIMYA YALIYOMO NDANI YA KIMYA KIMYA:  VIDOKEZO sawa bana wewe si moto wa mjini m wala sina shaka maana nikiomba pesa unanipa ingawa nakuona tu upo upo” Aaaaaaahh pole pole…ilikuwa mwimbo wa taifa kipindi hicho so mtu mzima nikampa motto dozi kamili ka ile ya dawa mseto ya maralia kila kona ya chumba nusu tuvunje laptop maana ilikuwa kila staili 3-5-2 ndo staili yangu kubwa kwa wale wataalamu wa wanajua huwa inakuwaje mtu ukimpiga kwa kutumia mfumo huu wa maangamizi. “Utakaa sawa dear” Usingizi wa ghafla.nikamuacha amelala nikatoka zangu nje.. Kama kawa alifanya Kama aliyoagizwa na bosi mkuu na kweli baada ya dakik...

simulizi za kweli IBANIE KWA NDANI

Image
IBANIE KWA NDANI (uki share simulizi hii whatsapp ,facebook,twitter au instagram nakutumia simuliz yote kwenye  inbox yako..share mara nyingi iwezekanvyo...share nikutumie) SEHEMU YA KWANZA. Ilikuwa siku ya furaha sana siku nilipomaliza kumpa … Nilimpa na akasema asante kwa sauti kubwa mpaka nikamfunga mdomo.. Kuogopa watu wengine wasisikie saut yake na kujua alikuwa ndani na mimi Ilikuwa ngumu sana kumpa ngumu mno kumpa …nilijipanga muda mrefu sana Ilingarimu mwaka moja na nusu kupanga jinsi ya kumpa n anime kwa staili Ipi na kuwa muda gani na nimpee wapi ..ilikuwa changamoto kubwa sana,. Kubwa kubwa katika maisha yangu sikuwahi kuwaza kama nitampa Kwa  kweli  toka siku ya kwanza nilipoonana nae nilihisi tulazima Haya mambo yatafikia huku nilijua tu lazima ataomba nimpe Nilijua na nilitegemea sana ingawa nilijipa moyo hakuna kumpa Mtu hapa ni kubana mpaka mwisho hata aombaje hapewe Bo...

MAMA MKWE..(simulizi ya kusisimua na kusikitisha

Image
MAMA MKWE..(simulizi ya kusisimua na kusikitisha) MAMA MKWE Raha ya ndoa amani na upendo,ndoa ni zaidi ya mume na mke,… Kweli kikulacho kiko nguo mwako.. Ndoa imekuwa rahisi…gafla imekuwa ngumu..gafla hakuna ndoa tena.. Mama mkwe kaharibu picha ..katabasamu msibani… FWATILIA SIMULIZI HII NI ZAIDI YA SIMULIZI…. www.simulizizakweli.blogspot.com Jamani nyumba yenyewe kubwa nimeachwa peke yangu sijui nifanyeje…?huyu mkwe na mwanangu bwana wana mambo kweli yaani jumba lote hili wanakaa watu watatu tu…du watoto wa sikuhizi wana rahaa…ngoja nitembee tembee vyumbani niangalie kuna nii humu ndani cha kuweza kuliwaza.. Basi mama mkwe akaanza kuperuzi chumba baada ya chumba akiangali vitu vilivyo ndani na kushangaa hiki na kile..alianza na chumba cha watoto na stor,na mwisho alifika vyumba vya wafanyakazi wa ndani huku alikuta maajabu baada ya kufungua aliwaona wafanyakazi wawili wa mwanae ...

SIMULIZI YA KWELI PENZI LA MKE WA BOSS SEHEMU YA TATU

Image
SIMULIZI YA KWELI PENZI LA MKE WA BOSS SEHEMU YA TATU SIMULIZI YA KWELI PENZI LA MKE WA BOSS SEHEMU YA TATU by  Kuluti Mc   3 years ago MSIMLIAJI: Kuluti MC Tulipoishia upande wa pili ukisema mama happy leo ni ijumaa watoto wanawahi kurudi hivi wanakusubiri hapa shuleni basi yule mama akasema haa mwalimu nakuja na akakata simu kisha akasema hebu tukawafwate watoto shuleni akavaa nguo nami nikapandisha suruali yangu na kuifunga vizuri na kufunga vifungo vya shati langu naye baada ya kujiridhisha kua yuko sawa akawasha gari na kuondoka tukiwa njiani akawa ananiuliza vipi kuhusu ombi lake nitalitimiza au? nilibaki kimya nisijue chakujibu basi yule mama akanambia nikikubali kuna mambo mengi sana kwaajili yangu nafsi yangu haikua tayari lakini tamaa zilianza kuniingia ukizingatia yule mama alikua kajaaliwa rangi ya ngozi na pia alikua na sura nzuri ukiplusi na pesa ndo kabsa. Nikiwa sijui chakujibu nikawaona happy na wenzake kwa mbele wakifurahia kuiona gari ya mamayao ik...