Posts

Showing posts from November, 2021

Safari ya Harmonize Kutoka WCB Lazima Uwe na Moyo Mgumu Kama Chuma

Image
Kesho tarehe 5/11 ni siku rasmi ambayo msanii @harmonize_tz anaachia albamu yake ya pili, HIGH SCHOOL, si kitu rahisi kama msanii aliyeachana na Label yenye fan base kubwa na kuamua kujitegemea na kufanya yote haya ndani ya muda mfupi,ikiwemo kuanzisha Label, kufanya albamu mbili na kusimamia wasanii wengine. Ishu ya Harmonize kujulikana kama Sio msanii tena wa WCB, iliwekwa hadharani kwa mara ya kwanza na Meneja Sallam SK August 21,2019 kwenye kipindi cha BLOCK 89, Wasafi FM. Nikimnukuu, Sallam alisema...👇 “Harmonize kwa sasa hivi ndani ya moyo wake hauko WCB, Harmonize kimakaratasi bado yuko WCB. Kwanini nasema hivyo, Harmonize ameshatuma barua ya maombi ya kuterminate mkataba wake na yuko willing kupitia vipengele vyote vya sheria kuweza kuterminate mkataba wake. Ni kitu ambacho tumependezewa nacho na yeye ameridhia ,ameomba kikao na uongozi,tunafurahi amefwata sheria na tunaachana salama”- Sallam SK. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3DfhjUm via IFTTT

Dr Gwajima "Viongozi Wasio Chanja Waachie Ngazi"

Image
Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima ametoa wito kwa Viongozi ambao hawajapata Chanjo ya Corona hadi sasa kuachia ngazi, akisema hawatetei msimamo wa Serikali kwa kuwa hata Rais amepata chanjo kama mfano kwa wengine. Amesema Viongozi wasiochanja hawawezi kuwa na hamasa ya kusimamia kampeni ya uchanjaji dhidi ya Virusi vya Corona. Hadi sasa Tanzania inapambana na wimbi la tatu la Corona huku kukiwa kuna tishio la ujio wa wimbi hatari zaidi wimbi la nne baada ya kigundurika kwa kirusi kipya cha Corona kilichopewa jina Omicron. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/32PNKfF via IFTTT

Ubalozi wa China nchini Uganda wafunguka kuhusu ripoti za Uwanja wa Ndege wa Entebbe

Image
Ubalozi wa China nchini Uganda umejibu kuhusu ripoti kwamba Uganda inajiingiza kwenye hatari kwa kuutoa Uwanja wa Ndege wake wa Kimataifa wa Entebbe na kuupa China, kutokana na mkopo wa dola milioni 200 za Kimarekani (sawa na Ush713 billion). Kiasi hicho kilipatikana kupitia makubaliano yaliyosainiwa Machi 31, 2015 kati ya serikali ya Uganda na benki ya Usafirishaji na Uagizaji ya China (Exim). Hivyo msemaji wa ubalozi wa China nchini Uganda, Bw. Fang Yi, amesema ushirikiano kati ya China na Uganda siku zote unafuata misingi na kanuni za uwazi, usawa, na kunufaishana pande zote mbili. Na katika makubaliano hakuna masharti yoyote ya kawaida au ya kisiasa yaliyoambatanishwa. Kwa upande wake serikali ya Uganda pia imekanusha ripoti hizo, ambapo kwa mujibu wa Waziri wa habari Dkt Chris Baryomunsi, ambaye ni msemaji wa serikali, hizo ni habari za uwongo na kusisitiza kuwa serikali haiwezi kutoa mali ya taifa kama uwanja wa ndege. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3FXkCBk via IFTT

Mijihela ya Bure Dili la Kuuza Sura kwa Tsh Mil 460, Uko Tayari?

Image
Kampuni ya kutengeneza roboti ya nchini Urusi inatafuta sura ya binadamu atakayekubali kulipwa ili kuitumia kwenye bidhaa yake mpya ‘Promobot‘. Kampuni hiyo ya Ulaya, imesema katika taarifa yake kwa vyombo vya habari kwamba iko tayari kulipa $200,000 ambazo ni sawa na zaidi ya shilingi milioni 460 za Kitanzania kwa mtu atakaye kuwa tayari kuipa kampuni hiyo haki ya kuutumia muonekano wa sura yake milele kwenye roboti hilo. Kampuni hiyo imeweka wazi mpango wao, ambao ni kutumia roboti hiyo mpya yenye sura ya binadamu kama msaidizi katika maeneo yenye shughuli nyingi kama vile hoteli na maduka makubwa. Kulingana na taarifa waliyoitoa kwa vyombo vya habari, kampuni hiyo imepata mteja ambaye anatazamia kumuweka roboti huyo kama msaidizi katika viwanja vya ndege, maduka makubwa na maduka ya rejareja ifikapo mwaka 2023. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3rtQPfB via IFTTT

MMASAI anayeigiliza nyimbo TIKTOK atrend INDIA, ala mashavu, anaishi CHALINZE, ana followers Mil 1.6

Image
  MMASAI anayeigiliza nyimbo TIKTOK atrend INDIA, ala mashavu, anaishi CHALINZE, ana followers Mil 1.6 VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3d4oynl via IFTTT

MATAJIRI walivyokutana, VUNJA BEI na JUX waongea Lugha moja, tazama wakipeana mikono kwa mbwembwe

Image
MATAJIRI walivyokutana, VUNJA BEI na JUX waongea Lugha moja, tazama wakipeana mikono kwa mbwembwe VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3rmo3NR via IFTTT

Dereva aliesababisha ajali iliyoua Polisi ahukumiwa miaka minne jela

Image
Aliyekuwa Dereva wa basi la Sharon lililosababisha ajali na kupelekea vifo vya Askari Polisi wanne mkoani Njombe na majeruhi saba William Emmanuel (28) amehukumiwa kifungo cha miaka minne jela na kufungiwa leseni yake kwa muda wa miaka miwili. Hakimu mfawidhi wa Mahakama ya hakimu mkazi Njombe Liad Shamshama akiwa na Wakili wa Serikali Andrew Mandwa amesema tukio hilo la ajali lilitokea mwaka jana mwezi Februari maeneo ya mlima wa polisi barabara kuu ya Njombe Songea saa 12 alfajiri. Amesema siku ya tukio dereva huyo alikuwa akiendesha basi aina ya Youtong alipofika maeneo ya mlima wa polisi alilipita gari jingine sehemu ambayo haikutakiwa kufanya hivyo na kuligonga gari la polisi aina ya Land cruiser na kusababisha vifo vya askari hao. Askari waliofariki kutokana na ajali hiyo ni Marianus Hamis Saidi, Heri Athumani Soka, Michael Ernest Mwandu na Dickson Kagoda Maijo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3lp0bp8 via IFTTT

Rich Mitindo ataja mahari ya Jacquline Wolper

Image
  Mzazi mwenza na mpenzi wa staa wa filamu Jacqueline Wolper Rich Mitindo, ametoa 'Exlcusive' kupitia EATV & EA Radio Digital, kwa kutaja mahari ya Wolper ambayo thamani yake ni ng'ombe 10. Rich Mitindo anasema taratibu za kwenda kwa wazazi tayari zimeshafanyika na kinachosubiriwa ni ndoa tu. Wapenzi hao wali-make headline mwezi August 2021, baada ya Rich Mitindo kumvisha pete ya uchumba Wolper, na mpaka sasa kwenye mahusiano yao wamebahatika kupata mtoto mmoja. Zaidi mtazame hapa chini kwenye video akizungumzia hilo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3EduNBd via IFTTT

Serikali kutunga sheria ya kuboresha usafiri wa umma nchini

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tamisemi, Ummy Mwalimu Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema itatunga sheria mahususi ya kuboresha usafiri wa umma kwenye miji yote nchini.  Hayo yamesemwa leo Jumanne Novemba 30, 2021 na Waziri wa Nchi katika Ofisi ya Tawala za Mikoa na Serikali (Tamisemi), Ummy Mwalimu wakati akielezea mafanikio ya miaka 60 ya Uhuru wa Tanzania Bara. Amesema kumekuwepo kwa ongezeko kubwa la watumiaji wa huduma bora ya usafiri wa umma kwa Mkoa wa Dar es Salaam na hata miji mingine ya Tanzania. Amesema mfano mahitaji ya usafiri wa umma na miundombinu bora ya watembea kwa miguu ni asilimia 84 (Dar es Salaam), asilimia 80 (Dodoma), asilimia 90 (Mwanza), asilimia 70 (Arusha), asilimia 87 (Tanga), na asilimia 70 kwa Mkoa wa Mbeya.   “Mwelekeo baada ya miaka 60 ya uhuru ni kutunga sheria mahususi ya kuboresha usafiri wa umma kwenye miji yote ya Tanzania kupitia miundombinu na huduma zilizoratibiwa,”amesema. Kuhusu Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Jiji la Dar es Sa

Amchoma Mtoto Sehemu za Siri na Moto wa Sigara

Image
Jeshi la Polisi mkoani hapa,linamshikilia Apolikarp Mushi kwa tuhuma za kumuunguza sehemu za siri kwa moto wa sigara, mjukuu wake wa kiume pamoja na kumtegua nyonga kwa kutumia kitu kizito. Mushi anayeishi kijiji cha Uru Kyaseni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro, anadaiwa kumfanyia vitendo hivyo mtoto huyo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi sita anayeishi naye baada ya kutelekezwa na mama yake mzazi. Anadaiwa kumfanyia ukatili huo kwa muda mrefu sasa ikiwemo vipigo vilivyopelekea mifupa ya nyonga kutenguka na kuchomwa na sigara sehemu za uume wake na kumsababishiavidonda. Jana, Mwananchi lilishuhudia sehemu za mwili wa mtoto huyo ikiwamo miguuni, mapajani, makalioni na usoni zikiwa na majeraha huku akionekana kuwa na maumivu makali. Katika mwili wa mtoto huyo kuna majeraha mengine ya mouda mrefu. Akizungumzia tukio hilo Kamanda wa Polisi mkoani hapa,Simon Maigwa alithibitisha kutokea kwa unyama huo. Maigwa alisema wanamshikiliza babu wa mtoto huyo na wameshaandaa jala

SIO ZENGWE: Somo tulilopata sakata la Morrison, Yanga

Image
Si mara ya kwanza nasema hivi; ni kawaida yetu kutojifunza kwa tukio moja. Likipita limepita haliachi somo lolote kwetu. Lakini walioendelea huchambua kila tukio na kulifanyia kazi ndio maana leo wana mifumo mizuri ya kufanyia kazi kwa kuwa walipata somo kutokana na tukio fulani. Usalama wa viwanjani unaoonekana leo England ulitokana na kufanyia kazi ripoti ya Taylor iliyohusu kiini cha janga la Hilsborough wakati mashabiki 95 wa Liverpool walipofariki Aprili mwak 1989. Mchezaji kuwa huru kwenda popote bure anapomaliza mkataba wake ulitokana na juhudi za Jean-Marc Bosman, aliyepigania haki hiyo Mahakama ya Ulaya kuanzia mwaka 1990 akipambana na Chama cha Soka cha Ubelgiji baada ya klabu yake ya RFC Liege kumzuia kuhamia Dunkerque ya Ufaransa iliyoshindwa kufikia dau lililowekwa. Hukumu iliyotoka mwaka 1995 na ndiyo iliyobadilisha maisha ya wanasoka Ulaya. Hukumu iliwaruhusu wachezaji kuanza mazungumzo na klabu mpya anayotaka kwenda katika kipindi cha miezi sita ya mwisho wa mk

Yanga: Simba Hawatupi Presha, Tunawapiga Tena

Image
ZIKIWA zimesalia siku 13 tu kabla ya mchezo wa dabi ya Kariakoo ya mzunguko wa kwanza msimu huu, uongozi wa Yanga umeibuka na kuweka wazi kuwa hauna presha yoyote ya mchezo huo dhidi ya Simba, unaotarajiwa kupigwa Desemba 11, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa. Yanga wanatarajiwa kuingia katika mchezo huo wakiwa na kumbukumbu ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 katika mchezo wa dabi ya Kariakoo wa Ngao ya Jamii uliopigwa Septemba 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Benjamin MkapVinara hao wa msimamo wa Ligi Kuu Bara mpaka sasa wakiwa na pointi zao 16 walizokusanya kwenye michezo sita, leo Jumanne wanatarajiwa kuvaana na Mbeya Kwanza katika mchezo wa mzunguko wa saba wa Ligi Kuu Bara. Akizungumza na Championi Jumatatu, Ofisa habari wa Yanga, Hassan Bumbuli alisema: “Kwetu jambo kubwa ni kuhakikisha tunaibuka na ushindi katika mchezo wetu wa Jumanne dhidi ya Mbeya Kwanza, hasa baada ya kupata matokeo ya sare kwenye mchezo dhidi ya Namungo. “Kuhusiana na mchezo unaofuata dhidi ya Simba,

Askari Wageuza Wizi wa Simu Mradi Binafsi

Image
Moshi. Baadhi ya askari polisi katika idara ya upelelezi nchini wanadaiwa kuanzisha utaratibu wa kuwatoza fedha watu wanaoibiwa simu na vifaa vingine vya kielektroniki kama kompyuta na tablet, wakiwaeleza kuwa fedha hizo ni gharama za ufuatiliaji. Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa wengi wa walioibiwa vifaa hivyo, hasa mikoa ya Kilimanjaro na Dar es Salaam na kuripoti polisi wakitaka vifuatiliwe kujua vilipo au vinatumika katika namba na mazingira gani, walitakiwa kutoa kati ya Sh50,000 na Sh150, 000 kulingana na thamani yake. Utaratibu uliozoeleka ni kuwa ndani ya vituo vya polisi na ofisi za upelelezi wa mikoa vipo vitengo vya upelelezi wa makosa ya kimtandao, ambao baadhi yao ndio wana mawasiliano na kampuni za simu. Utaratibu huo unadaiwa kuwapo katika mikoa mingi nchini ambapo baadhi ya wapelelezi wamehalalisha malipo hayo, kama “gharama” za kufuatilia simu hizo. Uchunguzi huo unabainisha kuwa matarajio ya watu wengi kuwa usajili wa simu ungewezesha upatikanaji wak

Pablo: Kila Mtu Atacheza Kwenye Kikosi Changu

Image
KOCHA mkuu wa Simba, Pablo Franco ameweka wazi kuwa anataka kuona kila mchezaji wa timu hiyo anapambana kuhakikisha anafanya bidii mazoezini na kila anapopewa nafasi kwa kuwa amepanga kumpa kila mchezaji nafasi ya kucheza.   Pablo jana Jumapili aliiongoza Simba kwenye Uwanja wa Mkapa Dar es Salaam, kwa ajili ya mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Red Arrows ya Zambia.   Tangu atangazwe na Simba kuwa kocha mkuu mpya wa timu hiyo, Pablo amefanikiwa kuiongoza Simba katika michezo miwili ya kimashindano rasmi dhidi ya Ruvu Shooting ambao Simba walishinda mabao 3-1 na mchezo wa jana Jumapili. Akizungumza na Championi Jumatatu, kocha Pablo alisema: “Tuna kikosi kipana na wachezaji wenye ubora wa kutosha, imani yangu ni kwamba kila mchezaji aliye ndani ya klabu hii hayupo hapa kimakosa bali anapaswa kuisaidia klabu hii.   “Hivyo nimekaa na wachezaji wote na kuwaambia kuwa nataka kuona wanajituma mazoezini na kila wanapopata nafasi ya kucheza kwa kuw

Wazee wa kichaga wamtaka Mbunge kufuta kauli

Image
BAADHI ya wazee wa kabila la Wachagga wamelaani kauli ya Mbunge wa jimbo la Vunjo Dkt Charles Kimei aliyoitoa hivi karibuni Bungeni ya kuwa Wachaga ni watu wanaopenda Magendo huku wakimtaka kuomba radhi na kuifuta kwenye kumbukukumbu za Bunge. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea) Mbali na hatua hiyo Wazee hao wakiongozwa na Mwenyekiti wao Raymnd Mushi wamekiomba chama kilichompa dhamana ya kuogombea ubunge katika jimbo la Vunjo kumchukulia hatua za kinidhamu kwani aliyoyasema Bungeni si yale waliyomtuma. Katika tamko lao Wazee hao wamesema kauli hizo zimewashtua na kwamba walijipa muda ili kueona kwamba endapo atatoka hadharani mapema kutengua kauli hizo lakini kwa ukimya uliopo ni kuwa alimaanisha kauli hizo. CUE IN . RAYMOND 1.- RAYMOND MUSHI – MWENYEKITI WA WAZEE   Mwenyekiti huyo akatoa raia kwa chama kilichompa dhamana mbunge Dkt Kimei ya kuchukua hatua za kinidhamu kwa kauli yake hiyo . CUE IN . RAYMOND 2.- RAYMOND MUSHI – MWENYEKITI WA WAZEE Suala la matumzi y

Viwanja vikubwa vinauzwa Mapinga na Kerege Bagamoyo

Image
Viwanja vipo umbali wa km 2 tu kutoka (Baobab ec) / barabara kuu ya Dar to Bagamoyo.  Vipo Viwanja ukubwa sqm 1000, sqm 2000 na sqm 4000 Bei ya sqm moja ni TZS 15,000 Biashara hii haina dalali Wala udalali. Mpigie mhusika 0758603077 au whatsap 0757100236 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2ZFgfeQ via IFTTT

Mwanamke aliyepanga kusafiri Saudia kwa ajili ya Umrah akamatwa akiwa na Cocaine Abuja

Image
Shirika la kupambana na madawa ya kulevya nchini Nigeria (NDLEA) limesema kuwa limemkamata mwanamke aliyekuwa njiani kuelekea nchini Saudia kwa ajili ya Umrah akiwa na mifuko 80 ya cocaine katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa Abuja. Mshukiwa, huyo Adisa Afusat Olayinka, mzaliwa wa jimbo la Kwara, ambaye amekuwa akiishi eneo la Ibafo katika eneo la ​​Ogun, alikamatwa alipokuwa ndani ya Qatar Airways flight, imesema taarifa ya NDLEA, Jumatatu. Mwanamke huyo amesema kuwa alianza kujihusisha na usafirishaji wa mihadarati baada ya kukutana na mwanamke mwingine katika Umrah katika mwaka 2019. Hatahivyo, kulingana na taarifa, mwanamke huyo alisema alikuwa anataka kuchangisha Naira milioni 7 ili kuweza kutibiwa ili apate mtoto baada ya kuolewa kwa miaka 28 bila mtoto. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pfnaE3 via IFTTT

Serikali itatenda haki kupata washindi wa Tuzo za Filamu 2021

Image
WAZIRI wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa amesema Serikali itatenda haki katika mchakato wa kuwapata washindi wa tuzo za filamu kwa mwaka 2021. Waziri Bashungwa ametoa kauli hiyo katika mkutano wake na waandishi wa habari jijini Mbeya wakati akielezea maandalizi ya kilele cha Tamasha la Tuzo za Filamu Tanzania 2021. “Kwa kuzingatia ukweli kwamba hizi ni Tuzo za kwanza za Serikali, hivyo Serikali haitakuwa sehemu ya kumnyima mtu haki ya ushindi kama kweli anastahili kushinda pasipo kutazama jina au umaarufu wa mtu, hata Wasanii wachanga wana haki ya kushinda Tuzo hizi”. Alisema Mhe. Bashungwa. Waziri Bashungwa alieleza kuwa Serikali inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan imeanzisha Tuzo hizo kwa mara ya kwanza kwa lengo la kutambua mchango wa Wanatasnia ya Filamu nchini ambapo kilele kitafanyika Desemaba18, 2021jijini Mbeya katika ukumbi wa Tughimbe. Akielezea sababu ya kilele cha Tuzo hizo kufanyika jijini Mbeya amesama ni kutambua uwepo wa Wanatas

Sababu ujenzi shule ya Museveni Chato yatajwa

Image
Rais wa Uganda, Yoweli Museveni (kushoto) akikabidhi mfano wa funguo yenye rangi ya bendera ya Uganda kwa Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan (kulia) ikiwa ni ishara ya makabidhiano ya shule ya msingi Museveni iliyojengwa wilayani Chato kwa ufadhiri wa serikali ya Uganda. Ujenzi wa shule hiyo umegharimu Sh3.9 bilioni. Picha na Mgongo Kaitira Chato. Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amesema wazo la ujenzi wa Shule ya Msingi Museven lilianza Julai 13, 2019 wakati wa ziara ya Rais wa Uganda, Yoweri Museveni aliyoifanya katika Wilaya ya Chato baada ya kualikwa na aliyekuwa Rais wa Tanzania, hayati Dk John Magufuli. Akizungumza wakati wa hafla ya makabidhiano na ufunguzi wa shule hiyo, Profesa Ndalichako amsema wakati wa ziara hiyo, Rais Museven aliomba eneo ili aweze kujenga shule ya msingi wilayani humo kama zawadi kwa Watanzania. “Kutokana na heshima kubwa na nia njema ya Rais Museven, Serikali ilitenga eneo lenye ukubwa wa ekari 11.7 kwa ajili y

Makosa Makubwa Wanayoyafanya Wanawake linapokuja Swala la Kupenda..!

Image
Je wewe ni mtu wa kupenda ghafla, yaani mwanaume anapokutamkia kwamba anakupenda huwa unamuamini kwa kiasi gani, unakuwa ni mwepesi wa kumuamini na kujitoa kwa ajili yake au unakuwa na kujivuta vuta ili kujiridhisha kabla ya kuingia katika uhusiano? Hebu fikiri kabla ya kuamua, jipe muda kwani hakuna jambo lililo jema kama subira linapokuja swala la kupenda. Subira itakuepusha kupoteza muda wako katika mahusiano ambayo hayana mashiko wakati dhamira yako ilikuwa ni kumpata mwenzi mwenye sifa muafaka, pale utakapoingia mahali ambapo sipo. Kwa kawaida kutoka katika uhusiano huo kuna gharama kubwa na kunaweza kukusababishia matatizo mengi yakiwemo ya kiafya. Hapa chini nitajaribu kueleza makosa kadhaa ambayo wanayafanya wanawake linapokuja swal la kupenda: 1.Kumbadili mtu awe vile utakavyo: Usije ukajidanganya kwamba unaweza kumbadilisha mtu mzima na akili zake. Kama umepata mwanaume ambaye kwa mtazamo wako unamuona ana sifa muafaka lakini anatabia ambazo huzipendi kwa mfano ulevi

Je Unawahi Kufika Kilele na Kushindwa kurudia Tendo? Soma Hii

Image
Baada ya kuchambua mambo yanayosababisha upungungufu wa nguvu, kukosa ham ya tendo na maumbile madogo ya uume, leo tutachambua baadhi ya dalili na tiba. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @220,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.BIG PENIS, VIMAX, GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. Tiba hizi zote zimefanyiwa majaribio na zimethibitishwa. Matokeo ni uhakika na

Huwezi Amini Haya Ndio Mawazo ya Wanaume wa Dar

Image
Vijana wengi hasa wakiume ndani ya da'slam hujiita watoto wa mjini na wengi ukikutana nao popote pale wao hua ni Kama wameshamaliza Kila kitu kwenye haya maisha na ndani ya vichwa vyao ubongo wao umebeba vitu hivi. * Kwa mparange * Chips mayai. * Diamond * Alikiba. * Simba/yanga * CCM * Kidali/paja la kuku wa kisaaa. * WCB * Konde gang Tiririsha Mambo mengine ambayo yamejaa kwenye Ubongo wa Vijana wa Daslam. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/32KHMN7 via IFTTT

Wadaiwa sugu NHC kuanza kufurumushwa kesho

Image
Wadaiwa sugu NHC kuanza kufurumushwa kesho SHIRIKA la Nyumba la Taifa (NHC) linatarajia kuanza kuwaondoa wapangaji wa nyumba zake ambao ni wadaiwa sugu kuanzia kesho.  Hayo yalibainishwa mwishoni mwa wiki na Naibu Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline Mabula wakati akizungumza na wapangaji wa shirika hilo jijini Mwanza. Kwa mujibu wa Dk Mabula, Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) linadai wapangaji wake takribani Sh bilioni 26 jambo alilolieleza linachangia kuzorotesha kasi ya utendaji kazi wa shughuli za kila siku za shirika ikiwemo ukarabati wa nyumba hizo.  "Tutakachofanya sasa, yeyote aliyelimbikiza deni na tumeshampa notisi lakini bado halipi kodi basi zoezi la kumuondoa litafanyika bila hata kumtaarifu upya," alisema Dk Mabula.    Aliongeza kuwa, oparesheni ya kuwaondoa wadaiwa sugu wa nyumba za NHC itaenda sambamba na kuwaondoa wapangaji wote wasio waaminifu waliopangisha nyumba za shirika kwa gharama nafuu huku nao wakipangis

Mwimbaji Vanessa Mdee Aishukia Benki Aliyoingia Nayo Mkataba wa Kufanya nao Kazi Lakini Hawajamaliza Kumlipa Mpaka Leo

Image
Mwimbaji Vanessa Mdee ameibua malalamiko akidai kutomaliziwa malipo yake na benki ambayo aliingia nayo makubaliano ya kufanya kazi kama balozi. Aidha amewataka wasanii pamoja na watu maarufu Tanzania kutoruhusu makampuni kuwatumia tu kwa faida yao binafsi. - "Artists na watu maarufu Tanzania please don’t let these corporate companies take advantage of you. Mpaka leo lile benki halijamaliza kunilipa. Japo kiukweli ni benki bora but wameona wajikaushe. Yote kheri." - @vanessamdee ✍️ from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3d4w01O via IFTTT

Diamond Platnumz "Hata Nisipo Imba Tena Mimi Pesa Naingiza"

Image
Staa wa muziki barani Afrika kutoka Tanzania, Diamond Platnumz amesema anaendelea kuwekeza katika biashara mbalimbali ili ikitokea hata asipofanya muziki, bado maisha yake yaendelee kama kawaida. Diamond amefunguka hayo katika mahojiano na BBC alipoulizwa ni athari zipi zilizokumba muziki wakati wa mlipoko wa UVIKO-19 na alikabiliana nazo vipi. “Nimekuwa katika mazingira ambayo naiogopa sana kesho, nilikuwa nasema kesho na keshokutwa ikatokea siwezi kuimba nitawezaje ku-maintain mapato yangu, so nimewekeza kwenye vitu mbalimbali ambapo hata leo nisipoimba muziki nitaishi maisha haya na ninaweza kuendeleza kupata pesa. “Kwa ujumla katika tasnia imetufunza vijana wengi lazima tuwekeze, huu muziki au kiwango cha pesa tunachokipata katika muziki, tumia hii kama njia chanya ya kuwekeza katika shughuli mbalimbali ili kesho na keshokutwa hata tusipoweza kufanya show tuweza kutengenza riziki kwa nama nyingine,” anasema Diamond. Diamond ameendelea kusema; “Mimi nimekuwa katika mazingi

Kocha Nabi Athibitisha Bangala, Yakouba na Muloko Kuikosa MBEYA United, Aucho Mguu Ndani Mguu Nje

Image
Licha ya kuwa kikosini kuendelea na mazoezi ya pamoja na timu kiungo wa Yanga, Khalid Aucho huenda akawa miongoni mwa nyota watakaokosa mchezo wa leo dhidi ya Mbeya Kwanza katika Ligi Kuu ya NBC. Akizungumza jana Novemba 29, Kocha Mkuu wa timu hiyo, Nasreddine Nabi, amesema Aucho bado haijaeleweka rasmi kama atakuwa kikosini kwa wachezaji watakaocheza mechi hiyo kutokana na kutopona vizuri majeraha lakini hali ya uwanja pia. Amesema kuwa wachezaji wengine ambao watakosekana leo uwanjani ni Yanick Bangala mwenye kadi za njano na Yacouba Sogne aliyeumia goti na Jesus Moloko aliyeumia sehemu ya ubavu wakati wa mazoezi. “Yanga ni kubwa kwahiyo kukosekana kwa mchezaji mmoja kunawapa wengine nafasi kuonesha uwezo wao, kimsingi tumejipanga kushinda mechi hiyo na tunajua ushindani utakuwepo” amesema Nabi. Kocha huyo ameongeza kuwa mipango yao msimu huu ilikuwa ni kushinda mechi zote, lakini mchezo uliopita dhidi ya Namungo walishindwa kufikia malengo kwa kuambulia sare huku akidai k

Taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon D’Or

Image
Mshambuliaji wa PSG na timu ya Taifa ya Argentina Lionel Messi ameshinda tuzo ya Ballon D’Or, akiwashinda Robert Lewandoski,Jorginho,Karim Benzema,N'Golo Kanté,Cristiano Ronaldo,Mo Salah, Kevin de Bruyne, Kylian Mbappé. - Una maoni gani? Dondosha comment yako hapa.   from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3EbMWzt via IFTTT

Huu Hapa Ndio Uchawi Anaoutumia Diamond Platnumz ili Kupata Mafanikio

Image
Watanzania wengi hawaamini mafanikio yanaweza kuja bila Uchawi, mara nyingi mtu akizungumzia mafanikio ya Diamond Kimuziki, Uchumi, kijamii, nakadharika, basi utasikiaa "aah yule ni Freemason, anatumia sana uchawi yule'' Ila ukweli ni kwamba mafanikio ya Diamond hayatokani na nguvu yoyote ya giza bali ni Jitihada zake mwenyewe. Kama Diamond kafanikiwa kupitia Uchawi, wasanii wangapi Tunapishana nao kwa waganga ila maisha yao hayabadiliki Daima na milele. Uchawi wa Diamond ambao umefanya mpaka sasa amefanikiwa na anaendelea kufanikiwa zaidi ni: -Kufanya kazi kwa Bidii. -Nidhamu. -Ujanja mwingi wenye Faida. -Bingwa wa kutafuta Connection. -Bingwa wa kutengeza attention na nchi nzima ikamzungumia yeye. -Anajua Mashabiki zake wanataka nini, na kwa muda gani.   -Hariziki na alichonacho. -Haogopi kuiga jambo Zuri na yeye kuongezea ubunifu wake. -Anaamini katika Team Work. -Anajua Biashara ya muziki. -Anajua kulitumia vyema jina lake (Brand) -A

Shamsa Ford Afunguka "Mwanaume Akinitongoza Kinachofuata ni Kumuomba Hela Mambo ya Baby Umeamkaje Sitaki"

Image
Mwanamama kunako Bongo Movies, Shamsa Ford ametoa kali ya mwaka baada ya kudai kwamba inapotokea akatongozwa saa mbili asubuhi, basi kinachofuata saa tatu kasoro ni kuomba. Shamsa anasema anafanya hivyo ili kumuona kama mwanaume huyo yupo siriaz au ni mtu wa aina gani. Anasema kila mwanamke anataka mwanaume wa kumhakikishia maisha ili inapotokea akawa na tatizo f’lani, basi awe na uhakika wa kumsaidia na mambo ya umeamkaje, umevaaje au umekula kwa upande wake hayana nafasi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3G1gJLA via IFTTT

Kwa Sasa Wasanii Wakubwa Afrika ni Burnaboy na Wizikid, Mondi na Davido Pata Potea

Image
Hivi sasa wasanii wakubwa Africa ni @burnaboygram pamoja na @wizkidayo hakuna cha Davido wala Diamond Platnumz. Shughuli ya Burnaboy hivi sasa sio kitoto, ametoka kuua vibaya sana show yake ya Sweeden na Paris, bonge moja La show, bonge moja la support kutoka kwa mashabiki, Nyomi kubwa LA mashabiki, Show kali, Stage ya level za Dunia, live Band yenye hadhi ya Dunia, Energy ya kutosha, sio dakika mbili tu pumzi imekata unaanza kupumulia microphone. Tukirudi upande wa Wizkid, sina mengi nadhani wewe mwenyewe unaelewa sasa hivi dunia imesimama kwaajiri ya Wizkid, essence imekuwa Turning Point ya Mafanikio makubwa ya wizkid, Jamaa hashikiki, wasanii wakubwa wanamkubali, daaaah, noma sana. Diamond aendelee tu Kupeana mkono. Harmonize aendelee tu Kufuga tumbo, wasipobadilika, Kufika hizi level za Burnboy itakuwa ni ndoto kwao na kwa mashabiki zao. Kwa jinsi ambavyo Wiz na Burna wanaiwakilisha vyema Africa natamani hata Tuwape Hamisa mobetto Wamuoe kabisa. from UDAKU SPECIAL ht

Akaunti ya Benki ya Mwanafunzi wa Chuo Yakutwa na Bilioni 2.3, Serikali Yashtuka

Image
Mahakama ya kupinga rushwa nchini Kenya imetoa amri ya benki kuzuia akaunti ya mwanafunzi Felesta Njoroge, ambaye ana umri wa miaka 21, hiyo ni baada ya kukutwa na salio la Sh bilioni 2.3. Mamlaka ya Asset Recovery Agency (ARA) imezuia akaunti hiyo baada ya kugundua kuna wingi wa fedha katika akaunti hiyo wakati mhusika ni mwanafunzi. Njoroge alipoulizwa juu ya fedha hizo ameeleza kuwa alitumiwa na mpenzi wake wa Ubelgiji, Marc De Mesel na kuambiwa kuwa anaweza kutumia kadiri anavyotaka. Mamlaka imeagiza kuwa fedha hizo zizuiwe kwa muda wa siku 90 ili uchunguzi ufanyike. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3EjNkMB via IFTTT

Viwanja vimeshuka bei: Bunju na Mapinga (Baobab sec)

Image
Kwa Mapinga vipo viwanja vya size tofauti, kuanzia sqm 400 bei yake tshs 7 milion, sqm 600 kwa tshs 10 milion, sqm 800 kwa tshs 13 milion, sqm 1600 kwa tshs 25 milion, sqm 2000 kwa tshs 30 milion, eka nzima kwa tshs 60 milion. Kwa Bunju vipo viwanja 2. Cha kwanza kina ukubwa wa sqm 700 bei yake ni tshs 25 milion, na cha pili kina ukubwa wa sqm 1000 bei yake ni tshs 45 milion. Biashara hii haina dalali/udalali. Mpigie mhusika kwa 0758603077, whatsap 0757100236 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3xABOcV via IFTTT

Kesi ya Makonda: Serikali, Mahakama mtegoni

Image
HATUA ya kufunguliwa kesi mahakamani, kwa aliyekuwa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam nchini Tanzania, Paul Makonda na mtu binafsi, kumeelezwa kumeiweka mtegoni serikali na Mahakama. Anaripoti Mwandishi Wetu…(endelea). Mmoja wa mawakili mashuhuri nchini, Profesa Abdallah Safari amesema, uamuzi wa kumfungulia kesi Makonda, ni kipimo tosha kwa serikali iliyopo madarakani, kwamba “inachokisema ndicho inachokitenda.” Alisema, “…serikali imewekwa mtegoni kwenye jambo hili. Kwamba, baada ya kuwapo tuhuma kadhaa dhidi ya Makonda, itaruhusu mtu huyo kushitakiwa? Hili ni moja ya jaribu kubwa kwa serikali na Mahakama.” Kwa nini ni jaribu kwa serikali na Mahakama. Undani wa habari hii na rejea alizozifanya wakati wa utawala wa awamu ya kwanza ya Hayati Mwalimu Julius Nyerere, Soma Gazeti la Raia Mwema, toleo la leo Jumatatu, tarehe 29 Novemba 2021. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pdCpgK via IFTTT

Mange Kimambi "Huyu Briana DEMU wa Harmonize Hajatulia,

Image
Ameandika Mangekimambi_  "Huyu Briana nshamsoma, hajatulia. Huyu anakuja kutuvuruga kama Zari alivyotuvurugaga kipindi wanaanza project na Dai. Nawaambieni mimi, nshamuona huyu ni dizaini ya Bi Tukinao 100% tena kushinda Bi TukinaoYani huyu anakuja kutukosesha amani kwenye nchi yetu wenyewe. Yani inabidi tujue jinsi tutadili nae ili asije kutuumiza vichwa.  Alafu ako na mshepu wa kiswahili. Her body is Fire meeein." Mange from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3lfThSU via IFTTT

Umber Lulu "Mimi Pesa tu Mapenzi Hayajawahi Nitendea Haki"

Image
Mwanamuziki na HitMaker wa ngoma ya Nimeachika @iamamberlulu amefunguka kuwa kutikana na aliyopitia kwenye mahusiano kwa sasa haamini katika hilo bali anaamini katika pesa. Kulingana na mahojiano yake na kipindi cha AlaZaRoho ya clouds FM Amber ameweka wazi kwamba kwa sasa hakuna jambo ambalo unaweza kumdanganya, kulingana na maumivu aliyopitia kwenye mahusiano hivyo kwa ngazi aliyofika anahitaji zaidi pesa kuliko mapenzi na kueleza kwa sasa yupo single/hayupo kwenye mahusiano. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3EfGbwo via IFTTT

Will Smith Atamani Kujiua

Image
Mshindi wa Tuzo za Grammy na muigizaji wa Kimarekani, Will Smith amezua mjadala mitandaoni baada ya kutamka kuwa kuna wakati alitamani kujiua. Hayo aliyasema kupitia tangazo la kipindi chake kipya kitakachorushwa YouTube Novemba 8, kinachoitwa ‘Will Smith: The Shape of My Life’, Smith katika tangazo hilo fupi anaonekana akiwa amekaa na familiya yake na kuwaambia juu ya namna alivyotamani kujiua. Sababu za kutaka kujiua bado hajaziweka wazi, Smith atakuja na kipindi chake kutokana na  kunenepa ghafla tangu Marekani waweke zuio la kutoka majumbani  (Lockdown)  kufuatia mripuko wa virusi vya Corona, hali iliyopeleka Smith kuwa mnene kuliko kawaida.   Smith kupitia kipindi hicho ataonesha jinsi alivyopunguza 9 kg kwa muda wa wiki 20 huku akieleza upande mwingine wa maisha yake. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3o2xDDK via IFTTT

Diva "Simpendi Harmonize na Anajua Hilo Kuwa Sipendi Nikisia Nyimbo zake Nazima Redio"

Image
Kupitia show ya kubwa ya burudani inayorushwa na kituo cha Wasafi Tv 'BigSundayLive' siku ya jumapili. Mtangazaji wa Kipindi cha Malavidavi(WasafiFm) 'Divathebawse' alalikwa katika show hiyo, ambapo katika kipengele cha Picture Challenga Alitoa povu kwa mwanamuziki @harmonize_tz na kusema hafatilii nyimbo zake hata akisikia nyimbo yake inapigwa atazima kama ni Tv/Redio iliyopo karibu yake Katika kiengele cha Photo Challenge Diva aliwekwewa picha 2' ya Harmonize na Alikiba na kutakiwa picha moja na sababu ya kuchagua picha hiyo, ndipo aliopochagua picha ya Alikiba na kisha kutoa maelezo ambayo yaligeuka kuwa povu kwa Harmonize, kwa kudai kua hakutaka kumchagua Kiba wala Harmonize ila kwa sababu anamchukia sana Harmonize basi atamchagua Alikiba tu. Mwishoni Diva alimalizia kwa kusema 🗣“Simpendi Harmonize na Anajua hilo kuwa simpendi” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3cWUpqf via IFTTT

Kina Mbowe wakwaa kisiki tena

Image
MAHAKAMA Kuu, Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, jijini Dar es Salaam, imekataa kupokea barua ya utetezi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya ugaidi, inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Barua hiyo ni ile ya mshtakiwa wa tatu, Mohammed Abdillah Ling’wenya, kwenda kwa Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa Kipolisi Ilala (RPC), Dar es Salaam, ili kumuomba baadhi ya nyaraka alizitumie kwenye kesi yake ndogo. Nyaraka hizo alitaka kuzitumia kuthibitisha na au kutothibitisha, kama askari polisi, Ricardo Msemwa alikuwepo katika chumba cha mashtaka cha Kituo Kikuu cha Polisi Dar ea Salaam, tarehe 7 Agosti 2020. Uamuzi huo wa kukataa, umetolewa leo Jumatatu, tarehe 29 Novemba 2021 na mahakama hiyo mbele ya Jaji Joachim Tiganga anayesikiliza kesi hiyo.   Akitoa uamuzi huo mdogo ya pingamizi la jamhuri dhidi ya barua hiyo, Jaji Tiganga amesema, mahakama imekataa kupokea barua hiyo kwa kuwa shahid

Virusi vya corona: Wanandoa wa Uholanzi waliotoroka karantini wakamtwa

Image
Polisi wa mpakani nchini Uholanzi wanasema wamewakamata wanandoa ambao walikuwa wametoroka hoteli ya karantini karibu na uwanja wa ndege wa Schipol huko Amsterdam. Maafisa walisema mmoja wao amekuwa akijitenga baada ya kukutwa na virusi vya corona baada ya kusafiri kutoka kutoka Afrika Kusini. Wenzi hao walifanikiwa kupanda ndege kuelekea Uhispania lakini walikamatwa kabla tu ya kupaa. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3licmns via IFTTT

MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania yazungumzia neema ya mvua

Image
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), imesema kuwa mvua zilizoanza kunyesha nchini ni endelevu, huku wananchi wakitakiwa kufuatilia taarifa za utabiri unaotolewa. Hali hiyo inakuja baada ya TMA kutoa utabiri Oktoba mwaka huu, kueleza kuwa jua la utosi limeingia nchini, hali iliyosababisha kuongezeka kwa joto, huku mikoa ya Dar es es Salaam, Kilimanjaro na Ruvuma ikirekodi kiwango cha juu cha joto na kuongezeka kwa ukame uliosababisha mifugo na wanyama kufa. Katika utabiri huo TMA ilisema kuwa kutakuwa na kipindi cha ukame huku mvua zikitarajiwa kuanza kunyesha wiki ya tatu na ya nne ya mwezi huu. Kwa sasa mvua zinanyesha mikoa ya Dar es Salaam, Pwani, Kilimanjaro, Mwanza na Rukwa. Akizungumza na Nipashe jana, Meneja wa Kituo Kikuu cha Utabiri cha TMA, Samuel Mbuya, alisema mvua zilizoanza kunyesha zilizotabiriwa kwenye utabiri wa TMA wa Oktoba mwaka huu.   "Hizi ni mvua zile ambazo tulizitabiri, na zimeanza sasa kunyesha, kikubwa tunawaomba wananchi na wadau wote

Yuko Wapi wa Kuvaa Viatu vya Ruge? Wako Wapi Wanamuziki Waliokuwa Wanasema Wananyonywa na Ruge?

Image
  Huwezi kuona thamani ya kitu mpaka siku ukikose! Wako wapi wasanii wale waliopiga kelele kuwa wanashindwa kung'ara kwakuwa marehemu Ruge alikuwa anawanyonya? Wengi nawaona wakiwa na hali mbaya kuliko hata kipindi cha kunyonywa na marehemu. Leo sitajadili uwezo na vipawa vya Ruge kwenye tasnia nzima ya mziki wa kisasa lakini kuna siku historia itampa heshima anayostahili...Ninachotaka kusema hapa ni kwamba kama hujui basi katika kundi ambalo halina shukrani wala fadhila basi ni hili kundi la wasanii wa kibongo, wote wa mziki na maigizo kwa mukatadha wa mada hii Hulka sugu ya hawa watu ni ile dhana ya kupenda kitonga kwenye kila kitu.. Utamtoa jalalani uswekeni akiwa ni kapuku asiye na mbele wala nyuma utatumia gharama kubwa kumbrand na kumng'arisha... Akishang'aa na kuonekana mtu kati ya watu, thamani yako inakomea hapo Atasahau kila kitu Atasahau namna ulivyomfadhili Sehemu ya kulala Mavazi na mapambo Chakula na vinywa Usafiri Gharama za studio Matumizi ya ki

Jamaa Amuomba Msamaha AMBER Rose Kwa Kumsaliti na Wanawake 12

Image
  Huenda ikawa Kanye West amewavutia watu wengi kuiga kitendo alichofanya kwa kukiri makosa yake hadharani na kuomba radhi Kim Kardshian warudiane, baada ya Alexander Edward aliyekuwa mpenzi wa Amber Rose nae kuomba msamaha Amber na kutaka warudiane tena. Amber aliachana na Alex miezi michache iliyopita baada ya kugundua Alex alimsaliti kwa kutembea na wanawake 12. Alex amekiri kufanya usaliti huo na yuko tayari kufanya lolote ili kuhakikisha anarudiana tena na Amber. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pc4SDF via IFTTT

Kinachosubiriwa Kesi ya Kina Mbowe leo

Image
Dar es Salaam. Leo Jumatatu Novemba 29, 2021 Mahakama Kuu Divisheni ya Makosa ya Rushwa na Uhujumu Uchumi, inaendelea na usikilizaji wa kesi ya Uhujumu uchumi inayomkabili Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake watatu, wanaotuhumiwa kwa makosa ya ugaidi. Kesi hiyo iko katika hatua ya usikilizwaji wa kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi, inayohusu uhalali wa maelezo yanayodaiwa kuwa yalitolewa na mshtakiwa wa tatu, Mohamed Abdillahi Ling'wenya. Mshtakiwa huyo wa tatu ambaye ni shahidi wa kwanza wa utetezi katika kesi hiyo ndogo leo anatarajiwa kumalizia ushahidi wake aliouanza tangu Ijumaa iliyopita, baada ya upande wa mashtaka kufunga ushahidi wake. Hata hivyo kabla ya shahidi huyo (mshtakiwa) kumalizia utetezi wake, kwanza mahakama hiyo inatarajiwa kutoa uamuzi pingamizi la upande wa mashtaka kuhusu barua ambayo mshtakiwa huyo anaiomba mahakama hiyo iipokee kama kielelezo cha ushahidi wa upande wa utetezi. Barua hiyo Ling'wenya amemwandikia Kamanda wa Polis

Ongeza Maumbile ya Kiume, Nguvu na Hamu ya Tendo la Ndoa

Image
Baada ya kuchambua mambo yanayosababisha upungungufu wa nguvu, kukosa ham ya tendo na maumbile madogo ya uume, leo tutachambua baadhi ya dalili na tiba. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @220,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.BIG PENIS, VIMAX, GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. Tiba hizi zote zimefanyiwa majaribio na zimethibitishwa. Matokeo ni uhakika na ga