Posts

Showing posts from February, 2022

Hatimaye Kundi la Watanzania 20 Ambalo Limekuwa Barabarani kwa zaidi ya saa 40 Lavuka Mpaka wa Ukraine

Image
Hatimaye Kundi la Watanzania 20 ambalo limekuwa barabarani kwa zaidi ya saa 40 likikimbia vita nchini Ukraine limefanikiwa kuvuka mpaka wa Ukraine na kuingia nchini Poland dakika chache zilizopita. Mmoja wa Watanzania hao aitwae Nenyoratah Teveli ameiambia @AyoTV_ kwamba kwa leo tu kwenye safari ya kuutafuta mpaka ilibidi watembee kilometa 26 kwa mguu hadi kufika mpakani hapo baada ya barabara kuzibwa na foleni kubwa ya magari ya wanaokimbia vita hiyo. Wengi wa Watanzania nchini Ukraine ni Wanafunzi katika vyuo mbalimbali wakisomea kozi mbalimbali ikiwemo udaktari na hadi sasa bado kuna Watanzania wengine wako kwenye miji mbalimbali ya Ukraine katika harakati za kukimbilia mpakani ili kuiacha Nchi hiyo, endelea kukaa karibu na @millardayo kwa updates zote. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1MbqyVk via IFTTT

China yatoa ripoti juu ya ukiukaji wa haki za binadamu wa Marekani

Image
Ofisi ya habari ya Baraza la serikali ya China jana ilitoa ripoti juu ya ukiukaji wa haki za binadamu wa Marekani katika mwaka 2021. Ripoti hiyo imesema hali ya haki za binadamu yenye sifa mbaya nchini Marekani imekuwa mbaya zaidi katika mwaka jana. Mchezo wake wa kisiasa umesababisha ongezeko la kasi la idadi ya watu wanaokufa kwa virusi vya Corona, na idadi ya vifo vinavyotokana na ufyatuaji risasi pia imeweka rekodi mpya nchini humo. Demokrasia feki inavuruga haki za kisiasa za watu, na utekelezaji wa sheria kimabavu umeyafanya maisha ya wahamiaji na wakimbizi yawe magumu zaidi nchini Marekani. Ripoti hiyo pia imesisitiza hali mbaya zaidi ya ubaguzi wa Marekani dhidi ya watu wa makabila madogo, hasa wale wenye asili ya Asia. Ripoti hiyo inaongeza kuwa utendaji wa Marekani wa upande mmoja umesababisha msukosuko mpya wa kibinadamu kote duniani. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/8vQ17bo via IFTTT

Wanajeshi Waliokamatwa Ukraine Wadau Walilazimishwa Kuingia Vitani na Viongozi waoSi

Image
Baadhi ya Wananchi wa Ukraine wameanza kuzisambaza video za Wanajeshi wa Urusi walioshikwa ndani ya ardhi ya Ukraine zinayoonesha Vijana wadogo waliojiunga na Jeshi la Russia wakiongea na kusema walilazimika kuingia vitani kwa kufuata amri ya Viongozi wao lakini sio kwa mapenzi yao. Video hii ambayo imeoneshwa na UATV mmoja wa Wanajeshi hao wamesema waliamshwa usiku na kuwambiwa kuhusu kuvuka mpaka na kuivamia Ukraine na kwamba wakati wanasogezwa mpakani waliambiwa wanakwenda kulinda amani. "Msafara wetu ulishambuliwa, miguu yangu imevunjika na nimepata msaada mzuri hapa, hamna haja ya Wanajeshi wengine kuja Ukraine..." amesema mmoja wa Wanajeshi hao. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Yu4dR8X via IFTTT

Rigobert Song ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa Cameroon

Image
Rigobert Song ameteuliwa kuwa Kocha Mkuu mpya wa timu ya taifa Cameroon ‘Indomitable Lions’ na atasaidiwa na kocha wa zamani wa Kenya Sebastien Migne.   from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/QoV5rHx via IFTTT

Ruto njiapanda sasa baada ya kupuuza vyama

Image
Naibu Rais William Ruto aliharibu nafasi ya kushirikiana na vyama vidogo vya kisiasa na kujiweka katika hali hatari kisiasa, alipokuwa akivumisha chama cha United Democratic Alliance (UDA) kwa wapigakura. Hatua hii imeanza kumsumbua huku viongozi wa vyama hivyo hasa vilivyo na mizizi eneo la Mlima Kenya wakimlaumu kwa ubaguzi. Dkt Ruto alitawanya vyama vidogo ambavyo mwanzoni vilikuwa vikimuunga mkono alipojitenga na chama cha Jubilee. Alipoungana na chama cha Amani National Congress (ANC) cha aliyekuwa makamu wa rais Musalia Mudavadi na Ford Kenya cha Seneta wa Bungoma Moses Wetang’ula, alichukuliwa kama aliyepoteza nafasi nyingine ya kufungulia milango vyama vidogo.   Aliyekuwa Gavana wa Kiambu William Kabogo, aliongoza chama chake cha Tujibebe Wakenya, kushirikiana kwa muda mfupi na muungano wa Kenya Kwanza, lakini anaonekana kujitoa huku akikosa kuhudhuria mikutano ya kisiasa ya Dkt Ruto, Mudavadi na Wetang’ula. Mara kadhaa, Dkt Ruto amekuwa akipuuza na kudharau vyam

Burnaboy Apata Ajali Mbaya Katika Gari lake Jipya la Ferrari, Awashtumu Watu Waliokuja Kumrekodi

Image
Kutoka insta story ya mwanamuziki @burnaboygram amethibitisha kupata ajali usiku wa kuamkia leo akiwa na Gari yake aina ya Ferrari na kuweka wazi kupata majeraha na maumivu kidogo kwenye sehemu ya mguu wake. Mbali na hilo pia BurnaBoy ameeleza kusikitishwa na watu ambao walianza kumrekodi kupitia simu zao baada ya kumpatia msaada baada ya kupata ajali hio. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/7aqcHED via IFTTT

Ukraine yajingamba Kufanikiwa Mashambulizi dhidi Urusi.

Image
Jeshi la Ukraine limedai kufanikiwa mashambulizi na kikosi chake cha ndege zisizo na rubani kilichoundwa na Uturuki dhidi ya vikosi vya Urusi. Siku ya jumapili vikosi vya Wanajeshi vya Ukraine vilitoa picha zinazoonyesha uharibifu wa silaha na ndege isiyo na rubani na kusema kuwa ilitekelezwa dhidi ya mfumo wa makombora wa kutoka ardhini hadi angani wa BUK. Valerii Zaluzhnyi Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Wanajeshi alisema shambulio hilo la ndege isiyo na rubani lilifanyika karibu na mji wa Malyn, kilomita 100 kaskazini magharibi mwa Kyiv. #CNN from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/xh1YGMZ via IFTTT

Simba Yachapwa, Yashuka Hadi Nafasi ya Pili

Image
KLABU ya Simba imekubali kipigo cha 2-0 dhidi ya RS Berkane katika mchezo wa kombe la Shirikisho Afrika uliochezwa nchini Morocco. Mabao ya kipindi cha kwanza yaliyofungwa na Adama Ba na Charki El Bahri yameifanya Berkane watoke na pointi tatu muhimu. Ushindi huo unaifanya Berkane washike nafasi ya kwanza katika kundi D wakiwa na pointi sita huku upande wa Simba wao wakishika nafasi ya pili wakiwa na utofauti wa magoli na USGN wanaoshika nafasi ya tatu huku wote wakiwa na pointi nne. Katika kipindi cha kwanza dakika 32 Berkane walifunga bao na Adama Ba ndiye aliyekuwa wa kwanza kufungua ukurasa wa mabao akitumia vizuri mpira wa adhabu (Faulo) dakika 32 akipiga na kwenda wavuni moja kwa moja. Mshambuliaji huyo alitaka kufunga bao la pili dakika 39 baada ya kuwatoka mabeki wa Simba na kuoiga shuti kali lakini beki wa Simba, Kennedy Juma aliwek kichwa na mpira ulimgonga na kuwa kona. Simba washambuliaji wake walionekana kutokuwa na mipango ya kupenya safu ya ulinzi hali iliy

Urusi Inatumia Trilioni 46 kwa Siku Kuikabili Ukraine

Image
Wachambuzi wa masuala ya vita, wameeleza kwamba Serikali ya Urusi, inatumia takribani paundi bilioni 15 ambazo ni takribani trilioni 46 za Kitanzania kwa siku katika vita dhidi ya Ukraine. Licha ya kiwango hicho kikubwa mno cha fedha zinazotumika, wachambuzi mbalimbali wanaeleza kwamba bado Urusi haijafanikiwa katika uvamizi wake na endapo Ukraine itaendelea kuleta upinzani mkali kwa siku kumi zijazo, uchumi wa Urusi utaporomoka vibaya. Afisa wa Shirika la Ujasusi la Uingereza, M16, Richard Moore ameonya kwamba huenda Urusi ikashindwa vibaya kwenye vita hivyo kutokana na sababu mbalimbali zikiwemo kujiamini kupita kiasi, kuidharau Ukraine, bajeti kubwa inayotumia kwa simu na ujasiri wa Ukraine wanaouonesha kwenye vita hiyo. Katika tamko lake alilolitoa, Moore amesema haamini kama Rais Vladimir Putin atashinda katika vita hiyo kutokana na umoja na mshikamano unaooneshwa na wanajeshi wa Ukraine pamoja na raia wake huku wananchi wengi wa Urusi wakionesha kuchukizwa na hatua ya rai

Hadi Waziri Mkuu wa India Anamjua Kili Paul na Dada yake Neema...Amewataja Kwa Hili

Image
Hadi Waziri Mkuu wa India anamjua Kili Paul na dada yake Neema! 🙌🙌 Reposted from @hindustantimes In his #MannKiBaat address, Prime Minister Narendra Modi mentioned Tanzanian siblings Kili and Neema Paul known for their lip-syncing videos on #Instagram The PM said, "Just like the sibling duo of Kili & Neema, I urge everyone, especially kids from different states to make lip-syncing videos of popular songs (from a state different than theirs). We'll redefine 'Ek Bharat Shreshtha Bharat' & popularise Indian languages." Earlier this month, Kili Paul was honoured by the High Commission of India in #Tanzania. #Indian envoy #BinayaPradhan shared a few pictures with Kili Paul who visited the High Commission’s office in Tanzania from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/XnaLxvA via IFTTT

AJALI: Ndege ya Tanzania Yaanguka

Image
Watu 14 wakiwemo Marubani wawili wa Tanzania hawajulikani walipo baada ya Ndege yao kuanguka baharini katika Kisiwa cha Moheli, Comoro. Mmiliki wa Ndege hiyo Captain Mazrui Mohammed wa Fly Zanzibar ameiambia Ayo Tv walikodi ndege hiyo ndogo wiki moja iliyopita huko Comoros. "Ni kweli ajali imetokea, ndege ilipoteza mawasiliano kama saa sita na nusu mchana katika kisiwa cha Moheli, hali ya hewa ilibadilika" "Tuliangalia track system baada ya kuangalia tukaona imeishia sehemu kabla ya kutua na kisha tukapata habari baadaye kama saa 11 hivi kuna baadhi ya vitu vimeonekana lakini hakuna Mtu aliyepatikana hivyo hatuwezi kusema watu wamekufa kwa sababu hatujapata mwili wowote, walikuwa 14 ambapo Marubani wawili wote ni Raia wa Tanzania, hao Watu 12 siwezi kujua uraia waơ Captain Mohamed Mazrui. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Pzq3eIt via IFTTT

Mtu Wangu Una Mvi Kichwani au Kwenye Ndevu? Basi Ondoa Mvi Milele Kwa Kutumia Hii

Image
ONDOA MVI MILELE Mvi hutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kuchoka kwa homoni n.k @natural_beauty_prod tumekuletea suruhisho la kudumu. Dawa hii uondoa mvi na kuzuia zisirudi tena @230,000/= PIA TUNA DAWA 👇🏻👇🏻 1.GING SENG PILLS @220,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza hamu na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.BIG PENIS @220,000/= >Hii uongeza uume kwa inch 5-7 3.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza uume kwa inchi 6-7 4.MAX MAN, VIMAX, GOOD MAN @250,000/= >Huongeza uume, nguvu na kuimalisha misuli kwa walioathiliwa na kujichua 5. 5.HANDSOME UP @250,000/= >Mashine hii uongeza uume kwa size unayotaka pamoja na kuimalisha misuli 6.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. 7.Kuongeza shepu (hips,makalio na mapaja) Kwa:- (a) BOTCHO MULT PLUS (kunywa/kupaka) @270,000/= (b) vidonge (U/MACCA ORIGINAL) @300,000/= 8.Kushepu miguu (CHUPA YA BIA) @170,000 9.Kuwa mweupe bila sugu kwa:- (a) mafuta @180,

Waliokuwa Wanasanii Lakini Wakangara na Kwenye Siasa

Image
SUGU. Joseph Mbilinyi "Sugu" ni Mwana Hip Hop maarufu Bongo. Alianza muziki kama sehemu ya kujitetea na hali yake duni kimaisha. Sanaa haikumwangusha, ikampa umaarufu kutokana na nyimbo kali alizotoa. Mtaji wa watu alioupata kwenye sanaa akautumia kunyakua Jimbo la Mbeya Mjini katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2010. PROFESSOR J. Ukirudi nyuma miaka ya 90 na 2000 utakutana na nyimbo za msanii Joseph Haule ‘'Prof.Jay" zilizokuwa moto wa kuotea mbali. Sauti ya Prof. Jay iliposikika watu walipagawa. Album kama "Machozi Jasho na Damu" vijana hawakuambiwa kitu zaidi ya kuipenda. Umaarufu wa sanaa alioupata Prof. Jay ndiyo uliokuwa mtaji wake hadi kuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi. MARTHA MLATA. Nyota yake ilianza kung’ara katika sanaa, zamani akiimba zaidi nyimbo za dini, baadaye alitumia umaarufu alioupata kwenye sanaa kuingia kwenye siasa, ambapo hakukwama kuupata Ubunge wa Viti Maalum CCM kutoka Mkoa wa Singida na baadaye kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapindu

Roman Abramovic ajiuzulu Chelsea FC

Image
Mmiliki wa Klabu Bingwa Duniani Chelsea FC, Roman Abramovich ametangaza kujiuzulu ndani ya klabu hiyo ya jijini London. Kujiuzulu kwake kunamaanisha amejitoa kwenye uongozi wa bodi ya klabu, hivyo hatokuwa mtu wa mwisho kutoa tamko na maamuzi kama ilivyokuwa hapo kabla. Badala yake majukumu hayo ameyaacha kwenye uongozi wa bodi ambao unaongozwa na mwanamama, Marina Granovskaia pamoja na Rais wa Chelsea, Bruce Buck. Kujiuzulu kwa Abramovich hakuna maana kwamba ameiuza klabu au amejitoa kabisa hatohusika tena, badala yake anabaki kuwa mmiliki wa klabu lakini  hatokuwa na sauti ya mwisho kwenye kufanya maamuzi.   Kwa lugha rahisi anaendelea kuwa mmiliki lakini majukumu yanaamuliwa na kundi la viongozi wa bodi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/U0kGZn4 via IFTTT

Kaka Wa Mjane Wa Bilionea Msuya Afunguka

Image
KAKA wa mke wa mfanyabiashara ya madini bilionea Erasto Msuya, Mbazi Mrita ameieleza mahakama alivyomtafuta dada yake, Miriam Mrita bila mafanikio hadi alipomkuta mikononi mwa polisi siku 10 baadaye. Mrita ni mfanyakazi katika hoteli ya SG Northern Adventures inayomilikiwa na dada yake, Miriam. Jana alitoa madai hayo alipokuwa akitoa ushahidi katika kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi ya mauaji inayomkabili dada yake katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam. Mbele ya Jaji Edwin Kakolaki, Mrita alidai sakata hilo lilianza Agosti 5, 2016 saa tano usiku alipopokea simu kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa hoteli ya SG Northern wakimweleza kuwa mtoto wa dada yake alikuwa hajachukuliwa hadi wakati huo, jambo ambalo si kawaida kwa kuwa dada yake humchukua mtoto saa 11 jioni.   Alidai mtoa taarifa huyo alimweleza kuwa walijaribu kumpigia lakini simu haikupokelewa, jambo ambalo hata yeye alilithibitisha na ilimpa hofu na kuamua kutoa taarifa kwa ndugu wengine. Mrita alidai juhudi

Mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI,KUJICHUA,NGILI,KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO,UNENE ULIOPITILIZA,ULAJI MBOVU N.K

Image
Mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI,KUJICHUA,NGILI,KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO,UNENE ULIOPITILIZA,ULAJI MBOVU  N.K       *DALILI NI KAMA :- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kileleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya tendo 6.Uume kusimama kwa ulegevu      *TIBA ZILIZOTHIBITISHWA:- 1.BLACK GORILLA PILLS @240,000/= Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.TITAN GEL @240,000/= Huongeza uume kwa 6_7 inch ndani ya wiki mbili 3.HANDSOME UP ORIGINAL:- kifaa chenye uwezo wa 100% kuongeza dhakari kwa size uipendayo na kuimarisha misuli iliyolegea @270,000/= 4.SHARK POWER ni gely ya kupaka inayoongeza uume kwa wastani wa inch 5.5 hadi 6 @200,000/= 5.VigRX CREAM:- ni gely iliyoboreshwa mahususi kwa ajili ya kuongeza maumbile kwa wastani wa inch 6.5 hadi 8 na kuimarisha misuli ya uume iliyolegea @220,000/= 6.Vido

UWOYA apewa zawadi ya gari aina ya RANGE ROVER, aweka video hii, ashindwa kumtaja aliyempa

Image
UWOYA apewa zawadi ya gari aina ya RANGE ROVER, aweka video hii, ashindwa kumtaja aliyempa VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/eXynid6 via IFTTT

Urusi yapiga marufuku ndege zote zenye uhusiano na Uingereza kupitia anga yake.

Image
  Urusi imepiga marufuku ndege zote zenye uhusiano na Uingereza kupitia anga yake. Haya yanajiri baada ya Uingereza kusitisha meli ya shirika la ndege la Urusi Aeroflot kugusa chini Uingereza, ili kukabiliana na uvamizi wa Ukraine. "Marufuku ya matumizi ya anga ya Urusi umewekwa dhidi ya safari za ndege zinazomilikiwa, zilizokodishwa au kuendeshwa na shirika linalohusishwa au kusajiliwa naUingereza," mamlaka ya anga ya Urusi ilisema. Ilielezea uamuzi huo kama jibu la "maamuzi yasiyo rafiki ya mamlaka ya anga ya Uingereza" from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sO7enkF via IFTTT

Majeshi ya Urusi Yautwaa Mjii Mkuu wa Ukraine.....Rais Watakakiwa Kujihami

Image
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelensky ametia saini agizo la kuwataka wananchi wake wajiandae kwa ajili ya ulinzi. Agizo hilo litatekelezwa kwa muda wa miezi mitatu.  Kwa mujibu wa taarifa raia pamoja na jeshi la akiba wanaandikishwa kwa ajili ya kuilinda nchi yao kutokana na uvamizi wa Urusi.  Wanaume wenye umri wa kuanzia miaka 18 hadi 60 sasa hawaruhusiwi kuondoka nchini. Wakati huo huo majeshi ya Urusi tayari yameshaingia nchini Ukraine na yako mbele ya mji mkuu wa nchi hiyo Kiev.  Afisa mmoja wa ujasusi wa nchi ya magharibi ameliambia shirila la habari la AFP kuwa Urusi sasa inaidhibiti anga ya Ukraine.  Nchi hiyo sasa haina tena jeshi la anga la kuilinda.Kwa mujibu wa taarifa ya afisa huyo wa ujasusi, Urusi itaingiza idadi kubwa ya askari karibu na mji mkuu katika muda wa saa zijazo.  Mpaka sasa watu wapatao 137 wameshauawa kutokana na mashambulio ya ndege na ya majeshi ya ardhini yaliyofanywa kwenye sehemu kadhaa za Ukraine.  Taarifa zaidi zinasema majeshi ya Urusi yam

Haabari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo February 26

Image
  Haabari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo February 26 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/g0lMzyT via IFTTT

Ray Vanny Amlipua Juma Lokole Baada ya Kumkejeli Fahyma kwa Kumuita Muuza Nguo na Kumsifia Paula

Image
Ray Vanny amlipua Juma Lokole baada ya kumkejeli Fahyma kwa kumuita muuza nguo na kumsifia Paula VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/yoKaRxT via IFTTT

Hatma ya Usalama wa Watanzania Ukraine Kujulikana Leo Feb 25

Image
  Ubalozi wa Tanzania, Stockholm umetoa ushauri kwa Watanzania waishio Ukraine kuwa kama wanadhani kukaa kwao Ukraine siyo muhimu kwa sasa, waondoke nchini humo kutokana na kuwepo kwa hali tete ya kiusalama na kusasabisha mashaka juu ya usalama wao. Pia umewataka wazazi wenye watoto wanaosoma nchini humo kufanya taratibu binafsi za kuwarudisha watoto wao nyumbani kwa kutumia ndege binafsi zinazofanya safari kutokea Ukraine. Dar24 Media imezungumza na Mkurugenzi wa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje, Emmanuel Buhohela, amesema kuwa Wizara imemuagiza Balozi wa Sweeden kufuatilia usalama wa watanzania wote wanaoishi Ukraine. Hata hivyo Buhohela amesema kuwa taarifa kamili kuhusu usalama na namna ya kuwanusuru watanzania wa Ukraine itatolewa kesho Februari 25. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/42a0DzQ via IFTTT

Wavujisha Siri za Miamala ya Wateja Kukiona

Image
  Waziri wa Katiba na Sheria, George Simbachawene ameitaka ofisi ya Taifa ya Mashtaka kuanza kuwachunguza na kuzichukulia hatua baadhi ya kampuni ya simu za mkononi pamoja na watumishi wake wanaovujisha taarifa za miamala ya wateja wao kwa wahalifu wa mitandaoni. Akizungumza Februari 23, katika mafunzo ya makosa ya mitandao kwa mawakili wa Serikali, Waziri Simbachane amesema anashangazwa kwa kuona baadhi ya wahalifu wakijua taarifa za mteja aliyefanya muamala wa simu. Waziri Simbachawene amesema kuwa kuna uwezekano wa baadhi ya watumishi wa kampuni za simu sio waaminifu kwa kutoa siri za wateja kwa wahalifu na kusababisha wizi katika akaunti zao za fedha za baadhi ya mitandao. “Kwani inawezekanaje kwa mhalifu akajua kwamba mtu fulani amefanya muamala wa kuhamisha fedha kama sio makampuni ya simu yanatoa siri lakini je mhalifuu anajuaje kama fedha imeingia kwa mtu na kwanini haya makampuni msiyakamate na kundi linaloathirika na wizi huo ni akimama,” amesema Waziri Simbachawene.

Aunty Ezekiel na Ruby Wafunguka Kuhusu Tetesi za Kusah Kuchepuka na ‘Mrembo’ Huyu

Image
  Aunty Ezekiel na Ruby wafunguka kuhusu tetesi za Kusah kuchepuka na ‘mrembo’ huyu VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/IjEL8DG via IFTTT

Sababu Zilizojificha Urusi Kuivamia na Kuishambulia Ukraine, Je Kuna Ujio wa Vita Kuu ya Dunia?

Image
Sababu zilizojificha Urusi kuivamia na kuishambulia Ukraine, Je kuna ujio wa vita kuu ya Dunia? VIDEO from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/NvV4SpX via IFTTT

Wadau Waunga Mkono Kauli ya Profesa Mkumbo Kuhusu Kuufumua Mfumo wa Elimu

Image
Dodoma/Dar. Wakati Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda akieleza mkakati wa Serikali kuboresha elimu, wadau wa elimu wamesisitiza haja ya Serikali kuufumua mfumo wa elimu na kuusuka upya. Kauli ya wadau hao imekuja baada ya Mbunge wa Ubungo, Profesa Kitila Mkumbo ya kutaka mfumo wa elimu ufumulie kwa kuundwa kwa tume itakayochunguza na kuja na mapendekezo. Akizungumza jana wakati wa hafla ya ugawaji wa kompyuta awamu ya tatu kwa vyuo vya ualimu chini ya Mradi wa Kuendeleza Elimu ya Ualimu nchini (TESP) ulioanza kutekelezwa mwaka 2017/2018, Profesa Mkenda alisema suala la ubora wa elimu halihusu mitaala pekee bali kuna masuala mengine yanayochangia ikiwemo walimu na wakufunzi. Katika hafla hiyo Serikali iligawa kompyuta 300 zilizogawiwa kwa vyuo 13 ambapo vyuo vinne vilipata kompyuta 30. Vyuo tisa kompyuta 20 huku vyuo vyote 35 vikipatiwa kompyuta mpakato moja kwa ajili ya kusaidia idara zilizopo vyuoni. “Unaweza ukawa na mitaala mizuri lakini walim

Sakata la Shaffih Dauda Kutokuwepo Katika List ya Mawakala wa Michezo Mwenyewe Afunguka "Sijawahi Kuwa Wakala"

Image
Nimeiona barua kutoka TFF kuhusu Mawakala wanaotambulika na chombo hicho kinachoendesha mpira wetu nchini, maswali yamekuwa mengi kwa Wadau kuwa kwanini sipo kwenye orodha hiyo Niseme tu kuwa sio kosa la TFF na Mimi sijawahi kuwa wakala na sijawahi kuwa na leseni bali Kampuni yangu ya SHADAKA ilikuwa na Wakala wake anayewakilisha taasisi, Ibrahim Mohamed, ambaye baada ya miaka miwili hakurenew tena leseni yake Hivyo ni sahihi wao kutoitambua @shadakasports hilo halina tatizo, ni fair kwa pande zote mbili, kwanini Ibrahim wa SHADAKA hakurenew leseni? Pengine labda ndio swali ambalo wengi mnajiuliza, pengine mnajiuliza nafanyaje shughuli za kimpira? Well, tulifanya research yetu nzuri tu kuhusu soka letu nchini na vipaji vyetu kwenye soko la Kimataifa, nikaona kwa nilipofikia napaswa kufanya INTERNATIONALIZATION OF TALENTS, yani nichukue vipaji hivi kuvipeleka duniani kwenye maisha makubwa zaidi kimpira Dauda hafikirii kufanya biashara ya ndani ya wachezaji, hafikirii kuhamisha

MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi Ataka Ukwepaji Kodi uwe Kigezo Kuengua Wagombea

Image
MKUU wa Mkoa wa Mara, Ally Hapi, ameipongeza Mamlaka ya Mapato (TRA) kwa kuwafuata wafanyabiashara kwenye maeneo yao ya kazi ili kuwaelimisha masuala mbalimbali yanayohusu kodi, akisisitiza kutawajengea ari ya kulipa kodi kwa hiari. Vilevile, ameshauri ukwepaji wa kulipa kodi uwe miongoni mwa vigezo vya kuwaengua wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi nchini. Hapi alitoa kauli hiyo juzi wakati timu ya maofisa wa TRA ilipomtembelea ofisini kwake Musoma mjini kumpatia taarifa ya kampeni ya elimu kwa mlipakodi mlango kwa mlango ambayo ilimalizika juzi mkoani humo. Alisema kuna baadhi ya nchi wamefikia hatua anayegombea nafasi ya uongozi, historia yake ya ulipaji kodi inafuatiliwa na ikibainika aliwahi kukwepa kulipa kodi, anapoteza sifa ya kugombea, ikiwamo uchaguzi mkuu. “Naamini kama nchi siku moja tufike mahali ambapo ili ugombee uongozi, historia nzuri ya ulipaji kodi iwe moja ya sifa, iwe fahari kuwa mimi ni mmoja wa walipakodi na ni sehemu ya maendeleo ya taifa,” alisem

Ripoti Maalum: Bei ya gesi Haikamatiki

Image
"NIMEONA nitumie mkaa kwa sasa mpaka bei ya gesi itakaposhuka, maisha ni magumu. Gesi ya kilo 15 ninayoinunua kwa Sh. 25,000, ninatumia kwa mwezi na wiki moja wakati gunia la mkaa la 27,000 ninalitumia kwa miezi miwili," Tina Shemweta, mkazi wa Ubungo mkoani Dar es Salaam anawasilisha kilio chake. WAZIRI WA NISHATI, JANUARY MAKAMBA: PICHA MTANDAO Tina (32), mama wa mtoto mmoja, analalamika kuwa kwa sasa amelazimika kuachana na matumizi ya gesi ya kupikia (LPG) kutokana na kupanda kwa bei ya bidhaa hiyo kutoka Sh. 20,000 miezi minne iliyopita hadi Sh. 25,000 kwa mtungi mdogo wa ORYX. Anasema amelazimika kurejea kwenye matumizi ya mkaa kwa kuwa familia yake haiwezi kumudu bei mpya za gesi. Jamila Mwinchea, mkazi wa Gongo la Mboto jijini Dar es Salaam, ana kilio kama cha mtangulizi wake Tina, akilalamika kuwa sasa ananunua gesi ya kupikia kwa Sh. 58,000 kutoka Sh. 45,000 miezi minne iliyopita kwa mtungi wa Kg 30 wa kampuni ya ORYX. "Gesi imepanda sana dada yangu

Alikamwe "Mambo 10 nilioyaona Mtibwa vs Yanga"

Image
1: STILL UNBEATEN.. YANGA ISIYOFUNGIKA✊ Tamu redioni. Tamu gazetini. Tamu mitandaoni. Tamu kiwanjani🙌 Ile ndio YANGA TAMU iliyoimbwa na Marioo.. 2: Haikuwa Perfomance ya kushitua sana Lakini umekuwa ushindi mkubwa, wa kibabe, kufungia mzunguko wa kwanza wa Ligi katika Uwanja wa Kibabe.. Kabla ya Yanga kuwasili, Mtibwa ilikuwa haijawahi kufungwa bao katika mechi 3 walizocheza Manungu! 3: Hongera kwa Profesa Nabi👏 Katika mahojiano ya mwanzo wa mchezo, Cedrick Kaze alionyesha ni jinsi gani benchi la ufundi la Yanga lilifanya kazi nzuri kujiandaa na mchezo huu! Tactically, Hoja ya size ya uwanja wa Manungu iliendana vyema na 'selection' ya wachezaji. Kivipi? 4: Unahitaji Ball Players zaidi kiwanjani kwa ajili ya kuutunza mpira na kuwa na maamuzi ya haraka pindi wanapoiba mpira.. Sure Boy, Feisal, Aucho na Ntibazonzika waliwapa Yanga umiliki mzuri wa mchezo Yanga katika eneo la katikati ya kiwanja 5: SAIDO NTIBAZONKIZAA.. 🙌 MAN ON FORM🔥 Sema yote kuhusu mbinu za NABI

Rapper Maarufu Nchini Afrika Kusini Almaarufu ‘Riky Rick’ Amekufa Baada ya Kujinyonga

Image
Rapper maarufu nchini Afrika Kusini, Rikhado Muziwendlovu Makhado almaarufu ‘Riky Rick’ amekufa baada ya kujinyonga jijini Johannesburg. Muda mfupi kabla ya kuchukua uamuzi wa kujinyonga, kupitia ukurasa wake katika akaunti ya mtandao wa kijamii wa Twitter, Riky aliandika: “I’ll return a stronger man. This land is still my home,” akimaanisha ‘Nitarejea nikiwa na nguvu zaidi. Nchi hii bado ni nyumbani kwangu! Familia ya msanii huyo, imethibitisha kutokea kwa tukio hilo, leo, Jumatano Februari 23 na kueleza kwamba amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 34 na kueleza kwamba ameacha pengo kubwa kwa familia kwani ilikuwa ikimpenda na kumtegemea. Bado haijafahamika ni nini kilichomfanya msanii huyo akachukua uamuzi huo ambapo familia imeomba iachwe iomboleze kwa amani katika wakati huu mgumu na kwamba ratiba za mazishi zitatolewa baadaye. Mwanamuziki huyo, alipata umaarufu mwaka 2014 baada ya kutoa ngoma yake ya Nafukwa na baadaye akatoa albamu iitwayo Family Values iliyotunukiw

TANESCO kuvuna bil. 5/- GGML kila mwezi

Image
  KUKAMILIKA kwa mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya uchimbaji madini ya dhahabu ya Geita Gold Mining Limited (GGML) kunatarajiwa kutaliwezesha Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kupata shilingi bilioni tano kwa mwezi zitakazotokana na mauzo ya umeme. Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Maharage Chande, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mradi wa kupeleka umeme kwenye Kampuni ya Geita Gold Mining (GGML) ambao utaiwezesha TANESCO kupata shilingi bilioni tano kwa mwezi. Katikati ni Makamu wa Rais wa GGML, Simon Shayo. Hayo yamebainika juzi Februari 21, 2022 wakati wa shughuli ya utiaji saini mkataba wa mauziano ya nishati ya umeme kati ya TANESCO na GGML. Akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika mjini Geita, Mkurugenzi Mtendaji TANESCO, Maharage Chande, alisema kuanza kwa biashara hiyo kutaiwezesha TANESCO kuongeza mapato yatakayosaidia kuboresha huduma mbalimbali kwa wateja wao. “Maana ya pili tutapunguza uzalishaji wa hewa chafu ya dizeli, lakini pia kuongeza ufanis

Beach plots for sale: Mbweni Kiembeni

Image
Viwanja vinauzwa bei nafuu sana hapa mtaa wa Kiembeni, Mbweni Mwisho. Kama hukuweza kupata kiwanja Beach za Masaki, Msasani, Kawe, Mbezi, Kunduchi na Ununio. Sasa wahi hii fursa ya viwanja vya tsh milion 7 kwa kiwanja Cha   sqm 400 (mita 20/20) na tsh milion 9 kwa kiwanja Cha sqm 500 (mita 2/25). Ukitaka kikubwa zaidi unaunganisha viwanja. Viwanja viko umbali wa mita 100 tu kutoka baharini na km 4 kutoka main road ya Dar to Bagamoyo. Huduma zote za umeme na maji zipo. Call 0758603077 au whatsap 0757100236 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/x9o7uFn via IFTTT

ACT ‘yanunua’ kesi makada wa CHADEMA waliofungwa

Image
CHAMA cha ACT-Wazalendo mkoani Lindi, kinajipanga kukata rufani kupinga adhabu ya kifungo waliyopewa wanachama wanne wa CHADEMA Kata ya Majengo, Halmashauri ya Mtama, kwa makosa mbalimbali likiwamo la kuharibu mali wakati wa Uchaguzi Mkuu mwaka 2020. Tamko la kusudio hilo lilisomwa na Mwenyekiti wa ACT wa Mkoa huo, Rashidi Mchinjita, alipokuwa anatoa taarifa fupi ya hali ya kisiasa mkoani Lindi katika mkutano wa kumtambulisha kwa viongozi na wanachama wa ACT Mwenyekiti wa Taifa, Duni Juma Haji. Wafuasi hao waliofungwa miaka nane kila mmoja ni Diwani aliyeshindwa uchaguzi mwaka 2020, Rajabu Hassani Mfaume, kampeni meneja wake, Dadi Hassani Shayo, Hamisi Abdallah Malege na Moshi Hamisi Mbelenye. Mchinjita akiwasilisha taarifa kwenye mkutano huo uliojumuisha viongozi na wanachama kutoka wilaya nne kati ya tano za Mkoa wa Lindi, alisema kufuatia hukumu waliyopewa wafuasi wa Chadema, wanajiandaa kukata rufani. “Tutakwenda gerezani ili kuzungumza nao ili kushauriana na kufahamu ma

TCRA yatoa sababu bando kwisha haraka

Image
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuongezeka kwa mitandao ya simu na kasi ya simu janja nchini ni miongoni mwa mambo yanayochangia ‘bando’ kwisha haraka.  Mkurugenzi wa Masuala ya Sekta wa TCRA, Dk. Emmanuel Manasseh, aliyasema hayo jana mkoani Dar es Salaam, wakati wa mkutano wake na Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF). Alitaja mambo mengine yanayosababisha kumaliza 'bando' kwa haraka kuwa ni kuongezeka kwa kasi ya mtandao kwenye simu janja mfano kutoka 3G hadi 4G. Mambo mengine, kwa mujibu wa Mkurugenzi huyo ni ubora wa video na picha unavyoongezeka unasababisha matumizi nayo kuongezeka. "Tuna “application” mbalimbali kwenye whatssap zinafanyiwa ‘update’ mara kwa mara nazo zinatumia data. Watumiaji wengi wa simu kuna vitu vinaendelea kwenye simu yake lakini mtumiaji hajui. Uwapo wa ‘application’ nyingi, zingine hazitumii hivyo zinamaliza ‘bando’,” alisema.   Alisema mamlaka hiyo imekuwa ikifanya majaribio mbalimbali ili kuhakikisha watoa huduma