Posts

Showing posts from October, 2021

Samia aagiza bandari ya Dar isafirishe Korosho

Image
  Kutokana na kupanda kwa gharama za usafirishaji wa majini (meli), Rais Samia Suluhu Hassan ameagiza kuwa, bandari ya Dar es Salaam pia itumike kusafirishia korosho kwenda nje ya nchi.    Agizo hilo limekuja baada ya awali Korosho yote ilisafirishwa kupitia bandari ya Mtwara pekee. Naibu Waziri wa Kilimo Hussein Bashe ameeleza. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pTnnyQ via IFTTT

Kocha wa Yanga, Nabi Mohammed Atema cheche

Image
  Baada ya ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Azam FC jana Jumapili Uwanja wa Mkapa, Kocha Mkuu wa Yanga SC, Mohamed Nabi, amesema kikosi chake bado hakijafikia lengo la asilimia 45 hadi 50 hadi sasa kile wanachotarajia kimefikiwa. Kauli hiyo inakuja baada ya mabao ya Yanga kufungwa na Fiston Mayele kipindi cha kwanza na Jesus Moloko kipindi cha pili na kuihakikishia Yanga nafasi ya kwanza kwa pointi 15 baada ya kucheza michezo mitano bila kuruhusu bao lolote. Nabii alisema baada ya miezi mitatu timu itakuwa imefikia matarajio yake kwa asilimia 100 baada ya yeye mwenyewe kusema hivyo mwanzoni mwa msimu. "Bado ni miezi miwili na tuko katika asilimia 45 hadi 50 ya matarajio yetu niliyosema mwanzoni mwa msimu. “Matokeo ya leo (Jumapili) dhidi ya Azam yametokana na maandalizi mazuri ya kusoma ubora na udhaifu wa mpinzani ndipo tukajua njia za kumfunga na kuondoka na pointi tatu, Yanga ni timu kubwa na matokeo tunayopata sasa ni ya kawaida kwani. saizi yetu" Kocha Nabi pia alim

Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo November 01

Image
Habari Zilizopo Katika Magazeti Ya Leo November 01 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2ZH2HQ6 via IFTTT

Waziri Mkuu: Serikali Itaendelea Kuuboresha mji wa Dodoma

Image
WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kuuboresha Mji wa Dodoma kwa kujenga miundombinu ya barabara, maji pamoja na nyumba za watumishi. Amesema hivi karibuni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa shilingi bilioni 20 ambazo ni mkopo nafuu kwa Shirika la Nyumba la Taifa ili ziwe mtaji wa kujenga nyumba 1,000 katika maeneo ya Chamwino na Iyumbu jijini Dodoma ambao hadi kukamilika kwake mradi huo utagharimu Shilingi Bilioni 71 huku awamu ya kwanza ikitumia Bilioni 21.4 kukamilisha nyumba 404. Waziri Mkuu amesema kuwa Serikali itaendelea kuwekeza kwenye miradi mikubwa ya ujenzi wa majengo ya Ofisi na Makazi kwa Watumishi wa Umma ili kupunguza gharama kubwa ya kodi ya pango pamoja na kuimarisha utendaji na uwajibikaji wa watumishi hao katika kuwahudumia Watanzania. Waziri Mkuu ameyasema hayo leo (Jumapili, Oktoba 31, 2021) baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa nyumba 1000 za makazi

Kutekwa Kwa Manufaa ya Kifedha

Image
Alhamisi moja kunako mwaka wa 2002, Nilipokuwa nafanya kazi ya kuungaunga katika kampuni moja ambapo ilinilazimu kuamka mapema sana ili kuhakikisha kwamba nawahi stendi ambapo wafanyikazi walichakuliwa watakaopata kibarua siku ile. Siku yenyewe ilikucha kwa mbwembwe na mahanjam kweli kweli kiasi cha kuonekana yenye nyota njema.Katika harakati zangu za kupitapita mtaani Kigoma pale,nilshtukia nimekabwa shingoni na watu ambao sikuwajua kabisaa manake kulikuwa mida ya saa kumi alfajiri. Walinitishia kwa bunduki katika zile harakati za kupambana nao,ambapo ilinibidi nitulie nisije nikapoteza uhai kwa kutetea chochote nilichokuwa nacho. Kwa utulivu ule walinifunga mikono pamoja na macho ili nisiweze kuwatambua kabisa. Walinitia kwenye gari lao ndogo walilokuwa nalo na kuniongoza ambapo sikupajua.Ilikuwa ni safari ndefu ya takribani masaa saba bila kuona wala kujua niliko.Baada ya safari hiyo gari lilisimama na nikatolewa na kuelekezwa kwenye mgodi mmoja uliojaa giza totoro. Sin

Mradi wa Nyumba 1000 Dodoma ni Shilingi Bilioni 71

Image
“Mradi huu mkubwa unaohusisha ujenzi wa nyumba za makazi 1000 katika Jiji la Dodoma utagharimu Shilingi bilioni 71 hadi kukamilika. “Awamu ya kwanza yenye nyumba 404 itagharimu shilingi bilioni 21.4 na kazi kubwa ya ujenzi itakuwa imekalika ifikapo Desemba 2021. “Wakurugenzi wa Halmashauri hususan halmashauri mpya tumieni Shirika la Nyumba la Taifa pamoja na Watumishi Housing ili waweze kuharakisha ujenzi wa nyumba bora za watumishi wa Halmashauri kwa gharama nafuu. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizindua ujenzi wa nyumba 1000 jijini Dodoma chini ya Shirika la Nyumba la Taifa (NHC), leo from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3GBPybA via IFTTT

Lukuvi Atoa Mpya "Hatutaruhusu Mtu Anunue Nyumba Nyingi Aalafu Apangishe"

Image
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Lukuvi amesema wizara hiyo haitaruhusu mtu mmoja anunue nyumba nyingi kisha yeye kuzipangisha kwa wengine. Waziri Lukuvi amezungumza hayo katika uwekaji wa jiwe la msingi katika mradi wa nyumba 1000 kwenye nyumba za makazi zilizopo eneo la Chamwino na Iyumbi jijini Dodoma. “Hatutakubali mtu aje anunue nyumba 300 halafu yeye ndio ageuke shirika la nyumba kwa kupangisha watu, hilo haliwezekani,” amesema Lukuvi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3muHOQA via IFTTT

Team Kiba na Team Mondi Zarudi kwa Kasi Shilole

Image
Ni wazi kuwa watu kama walisha anza kusahau kuhusu #TeamKiba na #Team Mondi, baada ya rajabu mMakonde a.k.a. @harmonize_tz KondeBoy' kuingia hapo kati na kuweka team yake #KondeGang. Sasa baada ya kuibuka kwa Sakata la King Kiba na Dada yetu Mpishi Shilole' sakata ambalo limechukua trending ,kwasababu humo ndani pia alitajwa Simba @diamondplatnumz, tena kwa kushindanishwa na @officialalikiba ,jambo ambalo bila ubishi limerudisha ule ushindani ambao ulikua ukitajwa kipindi fulan yaani kati ya #TeamKiba vs #TeamMondi. Lakini hili limekuja kwa utofaut kidogo, kwani saahii limekuwa kwa upande wa wasanii wenyewe ambao wameamua kuweka wazi interest zao kwa kuchagua upande, kati ya Mondi au Kiba', kwa Mfano; msanii kama nuh mziwanda ni waz amekaa upande wa Kiba huku wengine kama #amberlulu, gigy wao wakienda sawa na Diamond. Hii ni wazi kuwa sakata la Alikiba n Shishi limerudisha uTeam, yaani #Team Kiba vs Team Mond from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2ZwSgxX via IFTTT

Iran yasema Israel na Marekani huenda zilihusika na shambulio dhidi ya vituo vya gesi

Image
Mkuu wa ulinzi wa raia nchini Iran Gholamreza Jalali amezishtumu Israel na Marekani kwa kuwa washukiwa wakuu wa shambulio la mtandao lililokatiza mauzo ya petroli kote nchini humo lakini akasema uchunguzi wa kiufundi bado unaendelezwa.  Katika mahojiano na shirika la habari la serikali nchini humo, Jalali alisema kuwa kitaalamu bado hawawezi kubainisha hilo lakini kiuchambuzi, anaamini kuwa shambulio hilo lilifanywa na utawala wa kizayuni, Wamarekani na mawakala wao.Jalali amesema kuwa kulingana na uchunguzi uliokamilika, Iran ina hakika kwamba Marekani na Israel zilihusika na mashambulizi ya mtandao kwenye reli ya Iran mnamo mwezi Julai na bandari ya Shahid Rajaee mnamo Mei 2020.  Miaka michache iliyopita, Iran ilisema kwamba iko katika hali ya tahadhari kuhusiana na mashambulizi ya mtandaoni huku ikiwalaumu mahasimu wake ya Marekani na Israel from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3BvH9Tj via IFTTT

Kwanini Baadhi ya Wanaume Wana Maumbile Mafupi na Upungufu wa Nguvu, Dr Dittu Ndio Suluhisho

Image
KWANINI BAADHI YA WANAUME WANA MAUMBILE MAFUPI NA UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME DR DITTU NDIO SULULISHO LAKO tatiza, hili limekuwa likiwaasili watu wengi,sana kisaikolojia hasa baadhi yao kujiona wako tofauti na wanaume wengine, kwa kawaida, mwanaume anatakiwa awe na uume, usiopungua nchi 6-7au-8 ,vinginevyo mtu huyo anamatatizo zipo , sababu nyingi zinazosababisha, tatizo hilo baadhi ni (i) upungufu wa vichocheo vya HORMONES ZA CETROGEN ambazo mwanaume, anapobarehe vichocheo hivi, HORMONES hizo, husaidia ukuaji wa uume MAJINJAS NO 2 ni dawa inayozalisha HORMONES ZA CETROGEN,na kufanya, uume kukuwa na kuongzeka sazi utakayo na kuzibua mlija iliysinyaa, MAJINJAS POWER ni dawa bora, ya kurudisha nguvu, za, kiume inatibu ,kabisa na kutoa tatizo hilo, na kukupa , hamu ya , kurudia tendo, la ndoa zaidi, ya mala nne 4 ,bila kuchoka atakama unaumli ,wa mika 80,! pia ana ,dawa za ,kutibu, presha ya kupanda ,na kushuka, kisukari kuondoa, mafuta , mwilini ,na maumivu ya, mgogo kiuno, pia zipo

Majanga; Koffi Olomide ahukumiwa miaka nane jela kwa ubakaji

Image
NYOTA wa muziki wa rhumba na soukous ambao ni maarufu zaidi Barani Afrika, Koffi Olomidé amekumbwa na majanga mengine huko nchini Ufaransa baada ya kuhukumiwa kwenda jela miaka nane kutokana na makosa ya ubakaji na unyanyasi kingono aliowatendea wanenguaji wake wanne. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea) Hukumu ya kesi hiyo iliyopewa jina la ‘Le Grand Mopao’ imetolewa mapema wiki hii tarehe 25 Oktoba, 2021 na Mahakama ya Rufaa ya Versailles jijini Paris nchini humo. Koffi ambaye sasa makazi yake yapo huko nchini Ufaransa alikuwa anashtakiwa kwa kuwadhulumu kingono na kuwabaka wanenguaji wanne wa kike waliokuwa wakicheza dansi wakati walipofanya naye kazi kwenye matamasha nchini Ufaransa kati ya mwaka 2002 na 2006. Hukumu hiyo ya kwanza kutokana na mashtaka, hayo, inasubiri mkazo wa hukumu ya pili ambayo itatolewa baadae mwezi Disemba mwaka huu kabla ya kuanza kutumikia adhabu hiyo.   Koffi mwenye umri wa miaka 65, ambaye jina lake halisi la Antoine Agbepa Mumba licha ya

Snura Arusha Jiwe Gizani..Wadai Wahisi Linamlenga Shilole

Image
MSANII wa Bongo Fleva, Snura Mushi maarufu kama Snura ametupa jiwe gizani..... Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Snura ameandika kifuatacho; "Kuna Bibi anaitwa BIBI NGWENA a.k.a KIMYA KIMYA huyu bibi akishalewa na kuvuta miunga akachanganya na mibangi yake basi atakaekua mbele yake kaisha, atachambwa na kudhalilishwa hata kama hana kosa hii ilikua tabia yake kuwadhalilisha wenzie bila sababu kwa kujiona yeye ndio yeye waliobaki wote mangedele Ila watu wanakaaga kimya wanamuona HAMNAZO. Sasa siku moja wakati anakuja MZEE SHIBE akasema ngoja leo nimtekenye yeye kidogo tuone atafanyaje weeeeeeeee alivyo tekenywa tu badala ya kucheka kaanza kulia majirani wakajaa wambea wakaanza kumuuliza kafanyaje kila mtu sasa akaanza kumuhoji. Ila watu wengi walimpuuza kwasababu wanamjua mtu wa sifa alafu Hana dogo kama bomoa bomoa vibanda, basi Yule Bibi NGWENA akawa anajieleza kua yeye ni mzawa anajulikana ana watu wengi wanaomjua kuliko MZEE SHIBE kwanini amtekenye mbele za watu,,, kasa

Ndugai Awakosoa Mawaziri, Ataka Bunge Kutolaumiwa Kwa Kila Jambo

Image
Dodoma. Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai amesema kuna changamoto ya baadhi ya mawaziri na mwanasheria mkuu wa Serikali (AG) hali inayosababisha baadhi ya sheria kurejeshwa tena bungeni kurekebishwa muda mfupi baada ya kupitishwa. Ndugai alitoa kauli hiyo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 wakati akifunga mafunzo ya siku mbili ya mawaziri na naibu mawaziri yaliyoandaliwa na taasisi ya uongozi. "Wakati mwingine unaona hii aah..., lakini waziri anang’ang’ana kwa kawaida wabunge watasema sawa ipite ukienda huko hata miaka miwili haishi unarudi na amendment (marekebisho),” amesema akisisitiza kuwa ndio maana kila mkutano wa Bunge kuna muswada wa marekebisho ya sheria. Amesema kama marekebishi yangekuwa yanakuja mara moja moja ni sawa kwa sababu yangekuwa ni marekebisho yaliyopitwa na muda lakini si kama ilivyo sasa. Amesema kwa sababu ya muda hawezi kutaja baadhi ya sheria zilizoliaibisha Bunge na kwamba inapotokea hivyo hawatajwi mawaziri wala Serikali bali inakuwa mzigo

Dar es Salaam Yaongoza Kimikoa Matokeo Darasa la Saba 2021

Image
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya kuhitimu elimu ya msingi 2021 na kubainisha kuwa ufaulu umeongezeka kwa asilimia 8.89 Akitangaza matokeo hayo jana Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde ametaja katika mpangilio wa mikoa Dar es Salaam imeongoza kitaifa kwa asilimia 96.54 ikifuatiwa na Iringa iliyopata asilimia 91.01, Mbeya asilimia 88.14, Arusha asilimia 88.00, Njombe asilimia 86.90, Kilimanjaro asilimia 86.74, Katavi asilimia 86.65, Lindi asilimia 86.32, Simiyu asilimia 85.52 na Pwani asilimia 84.91. Mpangilio wa halmashauri unaonyesha Ilala CC inaongoza kwa ufaulu wa asilimia 98.52 ikifuatiwa na Arusha CC asilimia 98.50, Kinondoni MC asilimia 98.35, Moshi MC asilimia 97.53, Mwanza CC asilimia 97.40, Iringa MC asilimia 97.28, Ilemela MC asilimia 96.70, Mafinga TC asilimia 96.61, Kigamboni MC asilimia 96.29 na Ilala asilimia 96.28. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3EyIx9s via IFTTT

Fahamu Historia ya Meli ya "TITANIC’ ikiwa ni miaka 109 Baada ya Ajali

Image
Usiku wa Aprili 14 kuamkia 15, mwaka 1912, meli kubwa ya Titanic ilizama majini. Ilikuwa ikitoka Southampton, England kwenda New York, Marekani. Lakini kabla ya kufika safari yake iligonga barafu gumu na kuzama katika bahari ya Atlantiki. Zaidi ya watu 1,500 walizama, ingawa watu karibu 700 walinusurika katika ajali. Na kilichowanusuru ni mawasiliano ya redio. titanic Nini kilitokea na kusababisha watu kuzama na kupoteza maisha? Saa 5.40 usiku wa Aprili 14, 1912, ikiwa inakatiza katika bahari ya Atlantiki, meli hiyo iligonga mwamba wa barafu. Meli hiyo ilikatika katikati na maji yalianza kuingia ndani. Thomas Andrews, aliyebuni michoro ya meli ya Titanic, wakati ikizama na yeye alikuwa kwenye meli hiyo. Akatathimini athari za meli hiyo zilizosababishwa na barafu na kumwambia nahodha kwamba meli hiyo itazama. Marconi, mfumo wa mawasiliano ya redio kwenye meli hiyo ukaanza kutuma ujumbe wa kuomba msaada kuanzia 6.15 usiku kwa kutumia mashine ya ‘telegraph’ isiyotumia

Masanja Mkandamizaji Ongoza List ya Wasanii Wenye Vipaji Vingi Tofauti

Image
Tanzania kuna Wasanii wanavipaji vingi, ila Mimi naona Masanja Mkandamizaji ndio msanii mwenye vipaji vingi katika upande wa sanaa na kajitahidi kuvitumia kadri ya uwezo wake japo hajafanya kama inavyotakiwa kufanywa. Masanja kafanya haya:- o Kaimba Nyimbo za bongo fleva o Kaimba nyimbo za injili o Kaigiza Comedy o Kaigiza muvi ambazo ni serious o Kafanya standing up comedy o Ni presenter mzuri o Anaimba Rap (Kuchana) o Ni dancer mzuri o Ni mwinjilistii/muhubiri/Pastor MTAG MSHIKAJI WAKO AMBAYE UNAHISI ANAVIPAJI VINGI SANA. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pSvzzf via IFTTT

Makapu: Fei Toto Nenda Ulaya Kaka

Image
KITASA wa zamani wa Yanga ambaye sasa anakipiga ndani ya Polisi Tanzania, Said Juma Makapu, amesema anaamini kwa kiwango alichonacho kiungo wa Yanga, Feisal Salum ‘Fei Toto’, ni muda wake sasa kwenda kucheza soka la kulipwa nje ya nchi.   Fei Toto amekuwa katika kiwango bora msimu huu. Mpaka sasa amefanikiwa kuhusika kwenye mabao matatu ya Yanga, akifunga mabao mawili na kuasisti bao moja katika michezo mitatu ya Ligi Kuu Bara pekee.   Makapu juzi Jumatano alikuwa sehemu ya kikosi cha Polisi Tanzania ambacho kilikubali kipigo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba katika mchezo uliopigwa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. Said Juma Makapu Makapu alisema: “Kwangu Feisal ni miongoni mwa viungo bora sana hapa nchini, na kwa kiwango ambacho amekuwa akikionyesha kwa sasa, bila shaka anastahili kupata nafasi ya kucheza soka la kimataifa nje ya nchi.   “Jambo la msingi kwake ni kuhakikisha anafanya sana mazoezi, kumsikiliza mwalimu wake na kuomba Mungu, naamini atatimiza mal

Kocha wa Yanga "Baada ya Mwezi Mmoja Yanga Itaimarika Asilimia 100"

Image
Baada Ya Mchezo Wa ligi kuu Jana Kati Ya Yanga sc dhidi ya Azam Fc, Kocha wa Klabu ya Yanga, Nasreddine Nabi amesema bado mwezi mmoja ili kile alichoahidi kitimie. “Naipongeza Yanga sc na (GSM) kwa kufanya usajili mzuri, pia naipongeza timu ya wataalamu wa viungo Wamenisaidia kuiweka timu fiti sana na leo(Jana) watu wamejionea wenyewe” “Yanga imeimarika kwa asilimia 45% hadi 50% hapo unapoiona, ila baada ya mwezi mmoja itakuwa 100%,” -:Nasreddine Nabi kocha wa Yanga. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/31hUu5f via IFTTT

Kusah "Itoshe Kusema Nimemuoa Aunt"

Image
JUU ya kusambaa kwa picha wakidaiwa kufunga ndoa, msanii wa Bongo Fleva, Salmin Issa almaarufu Kusah anasema; “Itoshe kusema nimemuoa Aunt!” Akizungumza na Gazeti la IJUMAA katika pati ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwigizaji wa Bongo Movies, Aunt Ezekiel iliyofanyika nyumbani kwao, Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia jana, Alhamisi Oktoba 28, 2021, Kusah anasema kuwa, watu waelewe hivyo kwamba mwanamama huyo ni mkewe rasmi. Kusah ambaye ameachia wimbo wake mpya jana wa I Wish anasema kuwa, akipewa nafasi ya kumzungumzia Aunt ambaye ni mzazi mwenzake, hawezi kumaliza kwani kwa muda mfupi tu wamepitia vitu vingi wakiwa pamoja. “Aunt amenipa vitu ambavyo siwezi kuvirejesha hivyo itoshe kusema nimemuoa Aunt na ninampenda sana,” anasema Kusah.Kuhusu kupishana kwao umri, Aunt anayesemekana ni mkubwa kwa jamaa huyo, ameibua mjadala mwingine baada ya kudai yeye ana umri wa miaka 28 huku Kusah akiwa na umri wa miaka 29. Aunt ambaye kwa sasa amebadili dini akitumia jina la Rahma,

Daktari Feki Akamatwa Tandahimba

Image
Daktari mmoja aliyejulikana kwa jina la Karim Bakari kutoka kijiji cha Maheha wilaya ya Tandahimba mkoani Mtwara anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo  kwa kosa la kutoa  huduma za upasuaji na matibabu kwa wagonjwa nyumbani  kwake kinyume na taratibu. Daktari huyo ambaye alifukuzwa kazi mwaka jana katika hospitali ya wilaya ya Newala kwa tuhuma za kusababisha kifo cha mgongwa aliyefanyiwa upasuaji amesema aliamua kufanya hivyo kutokana na msongo wa mawazo aliokuwa nao na kuomba serikali imsamehe. Amesema anajua kwamba amefanya kosa kubwa la kisheria la kutoa huduma nyumbani kwake na kuhatarisha maisha ya wananchi anaowapatia huduma jambo ambalo ni hatari  Mkuu wa wilaya ya Tandahimba Kanali Patrick Sawala amesema kukamatwa kwa daktari huyo ni kutokana na uchunguzi uliofanywa kwa muda mrefu baada ya kupata taarifa kutoka kwa wananchi. Kanali  Sawala ameliagiza sheji la Polisi wilayani humo kufuata hatua za kisheria na kufuatilia kwa kina wapi ambako alikuwa a

Hii Inakuhusu Wewe Siku ya Leo.."Kimbia Mbio zako Binafsi na Watakie Wengine Kila la Kheri"

Image
Leo asubuhi Nilikuwa nafanya mazoezi ya kukimbia, ilikuwa ni asubuhi ya saa kumi na mbili, na ni barabara ambayo sijawahi kufanya joging. Wakati nikiendelea kukimbia kwa mbele kama nusu Kilometa hivi nikamuona mtu mwingine nae akikimbia. Bila shaka alikua akikimbia taratibu kuliko mimi. Hapo hapo nikajiambia nikimbie mpaka nimfikie na kumpita. Nilikimbia kwa kasi ilimradi tu nimfikie na kumpita. Baada ya dakika chache nikawa nimebakiwa na kama mita 100 hivi nimfikie, mara akachepuka kushoto mwa barabara. Nikajiambia kuwa nia yangu nataka nimpite hivyo alivochepuka na mimi nikamuungia na kuendelea kumfuata. Nikiwa nimekaribia kumfikia nikazidisha speed kama Usain Bolt amefikia utepe wa mwisho wa mashindano ya olimpic. Moyoni mwangu nikafarijika sana kumpita, na nilifurahi mno, nisijue kuwa mwenzangu hata hakuwa na wazo kuwa tulikuwa tukishindana. Hili lilikuwa wazo langu binafsi. Baada ya kumpita na kwenda umbali mrefu kidogo mara nikahisi kama nimepotea na sijui ni wapi ninaele

Wolper Aibuka Bila Rich Mitindo

Image
MWANAMAMA mkali wa Bongo Movies, Jacqueline Wolper au Mama P ameibua gumzo baada ya kuibuka kwenye pati kwa mara ya kwanza bila baby daddy wake, Rich Mitindo.   Wolper aliibuka mwenyewe kwenye pati ya kumbukumbu ya kuzaliwa ya mwigizaji mwenzake, Aunt Ezekiel iliyofanyika nyumbani kwa staa huyo, Tegeta jijini Dar, usiku wa kuamkia jana, Alhamisi. Kitendo hicho kinatafsiriwa kwamba ni ishara mbaya kwamba, huwenda bundi ametua kwenye paradisho ya wawili hao. “Mh yule siyo Wolper? Mbona leo jeshi la mtu mmoja? Au tayari bundi ametua penzi lao? Kiukweli tumezoea kuwaona pamoja hivyo hatuamini tunachokiona,” alisikika mmoja wahudhuriaji kwenye pati hiyo. Hata hivyo, katika utetezi wake, Wolper alilieleza Gazeti la IJUMAA kuwa, Rich Mitindo alimtumia usafiri wa kumpeleka kwenye shughuli hiyo akimuomba kuwa, atachelewa hivyo atangulie na atamfuata baadaye. Wolper na Rich Mitindo ni wachumba ambao mwaka huu wamejaaliwa mtoto mmoja aitwaye Pascali au P. from UDAKU SPECIAL h

Harmonize Amfanyia Ukorofi Kiba

Image
HUU ni ukorofi kama ule wa Mama Tariki! Hivyo ndivyo wasemavyo baadhi ya mashabiki kufuatia kitendo cha msanii mwingine wa kimataifa wa Bongo Fleva, Rajab Abdul au Harmonize kutanganza ujio wa albam yake aliyoipa jina la High School atakayoiachia Novemba 5, mwaka huu.   Harmonize au Harmo alitoa tangazo hilo juzi, Jumatano, Oktoba 27, mwaka huu; siku chache baada ya msanii mwenzake, Ali Saleh Kiba au King Kiba kuachia albam yake ya Only One King.   Albam ya Hamonize au Konde Boy Mjeshi ina nyimbo kali zipatazo 20 ambapo tatu kati ya hizo amewashirikisha wakali kutoka nje ya Bongo; Why aliyomshirikisha Sarkodie, Mood aliyomshirikisha Naira Marley na Sandakalawe aliyomshirikisha Busiswa.   Nyimbo nyingine tatu amewashirikisha mastaa kutoka Bongo, Mdomo aliomshirikisha Ibraah, What Do You Miss aliomshirikisha Anjella na Kamaliza aliomshirikisha mkali wa muziki wa Singeli, Sholo Mwamba. Katika albam hiyo ya High School, nyimbo 14 ameimba peke yake na sita amewashirkisha

Viongozi, Wasanii Wamuunga Mkono Rais Samia 'Royal Tour',wavutiwa na historia nzima ya mji wa Bagamoyo

Image
Viongozi mbalimbali nchini wakiongozwa na Katibu Mkuu-Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Hassan Abbasi na Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Zainab Abdallah, wameongoza wadau mbalimbali kutembelea vivutio vya utalii katika eneo la Bagamoyo na Mkoa wa Pwani. Ziara hiyo pia ilihudhuriwa na Katibu Mkuu wa UVCCM, Kennan Kihongosi.  Ziara hiyo iliyolenga pia kuunga mkono juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kutangaza utalii na uwekezaji nchini, iliitwa jina la Bagamoyo Royal Tour na iliwavutia wasanii wa fani mbalimbali kama vile muziki, filamu, sanaa za ufundi, urembo na waandishi wa habari. Wakiwa Bagamoyo mjini wadau hao walitembelea eneo la Kaole ambapo wasanii na viongozi hao walipata baraka ya maji ya kisima cha Kaole na kuzuru mti unaoaminika kuongeza uhai. Nje kidogo ya Bagamoyo kundi hilo likafanya “Royal Tour” kwenye Hifadhi ya Taifa ya Saadan iliyoko pembezoni mwa Bahari ya Hindi ambako walifanya utalii wa baharini kwa kutumia boti. “Sekta za Utamaduni na Sanaa zina mchan

Hizi ndio aina kumi za dawa ambazo hazipatani na pombe kabisa

Image
kumekua na kesi mbalimbali za vifo sababu ya watu kumeza dawa kisha kujisahau na kunywa pombe.hii ni changamoto kubwa sana kwenye sekta ya afya..kawaida dawa yeyote anayopewa binadamu kutibu kitu fulani ni sumu na ikichanganywa na baadhi ya kemikali kama pombe huweza kudhuru na kuua kabisa hivyo leo naenda kuzungumzia dawa kadhaa amabazo ukiona umezimeza usiguse pombe kabisa. dawa za kutibu bacteria[antibiotics];  hizi ni dawa ambazo hutumika mara kwa mara kwenye jamii kutibu magonjwa mbalimbali kama vidonda, kikohozi, kifua kikuu, madonda ya tumbo na kadhalika.matumizi ya dawa hizi na pombe huweza kuua. mfano fragile. isoniazid,grisiofulvin. lakini pia  na baadhi ya dawa za malaria kama quinine na dawa za ya mseto ya malaria ni hatari zikitumika na pombe. dawa za kuzuia damu kuganda[ant cougulant];  kuna dawa amabazo hupewa kwa wajawazito mara nyingi kulainisha damu ili isigande....sasa matumizi ya pombe hufanya dawa hizi kushindwa kufanya kazi na kusabisha damu kuganda hiv

Wanafunzi 10 Bora Kitaifa Matokeo Darasa la Saba 2021

Image
  Baraza la Mitihani Tanzania (Necta), limemtaja mwanafunzi aliyehitimu shule ya msingi St Anne Marie iliyopo mkoani Dar es Salaam, Eluleki Evaristo Haule kuwa ndiye aliyeibuka kinara katika matokeo ya mtihani ya Darasa la Saba 2021. Akitangaza matokeo hayo leo Jumamosi Oktoba 30, 2021 Katibu Mtendaji wa Necta,  Dk Charles Msonde amesema watahiniwa bora kitaifa ni wale ambao wamepata alama nyingi zaidi kuliko wenzao kwenye masomo sita waliyotahiniwa. ==>>Kuangalia matokeo yote ya darasa la saba <<BOFYA HAPA>> Alimtaja aliyeshika nafasi ya pili kuwa ni Happy Joseph Deus kutoka shule ya msingi Twibhoki ya Mkoa wa Mara na nafasi ya tatu ikienda kwa John Chacha Charles kutoka Twibhoki. Aliyeshika nafasi ya nne ni Joshua Mahende Jacob kutoka shule ya msingi Twibhoki iliyopo Mara pia, Eva Sebastian Chengula kutoka shule ya msingi Fountain of Joy ya Dar es Salaam ameshika nafasi ya tano, Joctan Samwel Matara kutoka Twibhoki ameshika nafasi ya sita. Barnaba Jumanne Ma

393 Wwafutiwa Matokeo ya Mtihani, NECTA yaagiza Wahusika Wachukuliwe Hatua

Prince Dube Kuikosa Yanga, Apewa Programu Maalum

Image
Dube katika mchezo wao wa leo Jumamosi dhidi ya Yanga, kufuatia kutotengemea kwa afya yake na sasa anaendelea na programu maalum.   Dube hajaonekana uwanjani tangu alipougua tumbo ghafla, na kulazimika kutolewa uwanjani katika mchezo wa robo fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Rhino Rangers ya Tabora, uliopigwa Mei 26, mwaka huu.   Kutokana na changamoto hiyo, Dube alifanyiwa upasuaji mdogo wa ambao ulitarajiwa kumuweka nje kwa kipindi cha miezi miwili. Mzimbabwe huyo msimu uliopita alihusika kwenye upatikanaji wa mabao 19, akiweka kambani mabao 14 na kuasisti mabao matano.Akizungumza na Championi Jumamosi, Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano wa Azam, Zakaria Thabith ‘Zaka Zakazi’ alisema: “Tunatarajia kumkosa nyota wetu Prince Dube katika mchezo wetu wa kesho (leo), Jumamosi dhidi ya Yanga kutokana na mapumziko ambayo amepewa kama sehemu ya matibabui yake.   “Sambamba na mapumziko hayo Dube amepewa programu maalum ya mazoezi kuhakikisha anarejea akiwa fit

Rubani Aliyepotea na Ndege, DC Mtatiro Afunguka

Image
NDEGE ya Shirika la Uhifadhi Pams Foundation Aina ya Bathawk 5HWXO iliyokuwa ikisaidia kutafuta Faru Weusi katika Pori la Akiba la Selous Wilayani Tunduru Mkoani Ruvuma imepotea kwa siku 11 ikiwa na Rubani wake Bw. Samweli Gibuyi.   Tunaendelea kumtafuta rubani mtanzania Bw. Samweli Balina Gibuyi pamoja na ndege ndogo aina ya “BatHawk” yenye namba za usajili 5H-WXO inayomilikiwa na Shirika lisilo la Kiserikali (NGO) la Uhifadhi lijulikanalo kwa jina la “Protected Areas Management Solution Foundation maarufu kwa jina la “PAMS Foundation”.   Rubani Samweli Balina Gibuyi aliruka hapa TUNDURU na ndege hiyo siku ya Jumatatu tarehe 18/10/2021 majira ya saa tisa na dakika tisa (03:09pm) alasiri kuelekea Pori la Akiba Selous – Kanda ya Kingupira.   Ndege hiyo iliombwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kupitia Shirika la Uhifadhi la Frankfurt Zoological Society (FZS) ili kusaidia katika zoezi linaloendelea la utafutaji wa Faru Weusi katika Pori la Akiba Se

BREAKING: Matokeo Darasa la Saba 2021 Yatangazwa, Tazama Hapa

Image
BARAZA la Mitihani la Taifa (Necta) leo  Jumamosi tarehe 30  October  2021, limetangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba mwaka 2021. ==>>Kuangalia matokeo yote ya darasa la saba <<BOFYA HAPA>> Matokeo Darasa La Saba 2021 | NECTA PLSE Results 2021 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3pNiw2d via IFTTT

Wajue Masupasta 10 Waliofariki Kwa Ugonjwa wa UKIMWI

Image
Kwa Mujibu wa WHO inasadikika karibia watu milioni 35 wanaishi na VVU na kati ya hao 1.5m ni watoto walio chini ya umri wa miaka 15.Inasadikikia pia 24.7mils yao wapo kusini mwa jangwa la sahara.Mpaka sasa karibia watu 19milioni wameshafariki tangia ugonjwa huo ulipoanza kuua mwaka ya 1981. Ifuatayo ni Baadhi ya Masupasta wakubwa waliofariki kwa AIDS Related Complications. 1. Rock Hudson(November 17, 1925 – October 2, 1985) Alikuwa ni Msanii wa filamu kutoka marekani,alitamba sana na movie zake kama pillow talk,giant na magnficient obsession .Mbali na kuwa mcheza filamu pia alikuwa na vipindi vya Television miaka ya 70s na 80s iliyojulikana kama MacMillan and wife.Mpaka anafariki ametengeneza filamu karibia 70.Hudson alifariki 1985. Hudson.jpg 2. Erick Wright(September 7, 1963 – March 26, 1995) Alikuwa anajulikana Zaidi kama Eazy-E,mwanzilishi wa Ruthless record,ndiye aliyemtoa msanii na producer billionea Dr.Dre miaka ya 80s.Eazy –E alikuwa mmoja wa mwanamuziki waliounda k