Posts

Showing posts from August, 2022

Mchezaji Tuisila Kisinda Achukua Maamuzi Magumu Kurejea Tanzania

Image
Mchezaji Tuisila Kisinda (22) amefanya maamuzi ya kuondoka RS Berkane kwa ajili ya kucheza. Anatarajiwa nchini Tanzania 🇹🇿 kusaini klabu kubwa wiki hii. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nLif1He via IFTTT

Nabi Apewa Mchongo CAF, Sasa Yanga Washindwe Wenyewe Dhidi ya Al Hilal ya Sudan

Image
KUELEKEA katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, Kocha Msaidizi wa AS Vita ya Rwanda, Raul Shungu, amempa ushauri Kocha Mkuu wa Yanga, kuwa anatakiwa kuongeza nguvu kwenye maandalizi kama anataka kufanya vizuri kimataifa, maana Ligi ya Mabingwa Afrika si lelemama.   Yanga imekuwa ikishindwa kufanya vizuri katika michuano ya kimataifa kwa miaka ya hivi karibuni, na msimu uliopita ilikanyaga mguu tu ikatolewa katika hatua ya mwanzo kabisa.   Msimu huu Yanga wamepania kufanya kweli katika michuano hiyo, wakitaka kufika hadi hatua ya nusu fainali. Kikosi cha timu ya Yanga. Kuna dalili zote za Yanga kukutana na Al Hilal ya Sudan inayofundishwa na Frolent Ibenge, kama ikikivuka kigingi cha Zalan FC ya Sudan Kusini.   Shungu ametoa kauli hiyo kutokana na Yanga kuanzia hatua ya awali ambapo itacheza dhidi ya Zalan wakati Ali Hilal ikitarajia kucheza na St. George ya Ethiopia kabla ya washindi wa mechi hizo kukutana.   Akizungumza na Championi Jumatatu, Shungu alise

Mtikisiko NHIF Wazua Hofu Nchini

Image
Dar es Salaam. Wakati mikakati ya kuboresha huduma za afya ikiendelea kuwekwa, Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amebainisha dalili za kufa kwa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kutokana na kulemewa na madeni ya matibabu ya wanachama wake. Akifungua mkutano wa siku tano wa kikanda wa kuwajengea uwezo kuhusu ugonjwa wa kipindupindu jijini hapa jana, Waziri Ummy alitaja magonjwa yasiyoambukiza ndiyo sababu kuu ya gharama kubwa. “Kuongeza uelewa ni jambo la msingi, kwa mfano bima yetu ya afya (NHIF) inakaribia kufa kwa kuwa umeelemewa na ongezeko la madai yanayohusu NCD (magonjwa yasiyoambukiza),” alionya Ummy. Magonjwa yasiyoambukiza yanajumuisha moyo, saratani, mfumo wa upumuaji na kisukari yanayochangia asilimia 71 ya vifo vinavyotokea duniani ambapo ni sawa na watu milioni 41 kila mwaka. Akisisitiza kuhusu uelewa wa dalili za magonjwa na jinsi ya kujikinga nayo, Waziri Ummy alisema “fanyeni kuwa jukumu la msingi ili kuzuia kuenea kwa maambukizi, najua tutafanikiwa kupambana

Undani Sakata la Pogba Kumroga Mpabbe, Ndugu wa Damu Adai Pogba Alimtuma Kwa Waganga Wamroge

Image
  Undani sakata la Pogba kumroga Mpabbe,ndugu wa damu adai Pogba alimtuma kwa waganga wamroge VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/FtapkJM via IFTTT

Mke wa Mrema Afunguka, Awataka Watanzania Kuondoa Hofu

Image
Moshi. Doreen Kimbi, mjane wa aliyekuwa mwenyekiti wa chama cha TLP, Augustine Mrema amewataka Watanzania kuondoa hofu juu ya hatma ya maisha yake, akisema mmewe alimhimiza kujiamini na kutokuwa na hofu. Pia, amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan, viongozi mbalimbali na Watanzania wote kwa ushiriki wao wa karibu baada ya kutokea kwa kifo cha mume wake. Mrema alifariki dunia Jumapili Agosti 21, 2022 katika Hospitalali ya Taifa Muhimbili (MNH), alipokuwa akipatiwa matibabu na ulizikwa Alhamisi ya Agosti 25, 2022 katika kijiji cha Kiraracha mkoani Kilimanjaro. Akizungumza na waandishi wa habari Jumanne ya Agosti 30, 2022 mjini Moshi, Doreen amesema mume wake alimhakikishia kuwa yupo katika mikono salama hivyo Watanzania wasiwe na hofu juu ya hatma yake. "Siku zote baba alinihakikishia nisiwe na hofu yoyote kwa maana ninaingia katika mikono salama, sikuwa na hofu yoyote na sikusita kuupokea mkono wake kwenda naye madhabahuni. Hata baada ya ndoa, alinisisitiza nijiamini na

Mke wa Mrema Kuzungumza na Waandishi Sakata la Mali za Urithi

Image
Mke wa Mrema kuzungumza na waandishi sakata la maliWakati bado kukiwa na usiri mzito kuhusu Wosia alioacha marehemu Dkt Augustine Lyatonga Mrema, mke wa Marehemu Bi Doreen Mrema amepanga kukutana na waandishi wa habari . Mkutano wa Doreen na Wanahabari unakuja kukiwa na madai ya mmoja wa watoto wa marehemu pamoja na shemeji yake kutoa tairi za gari aina ya Toyota Harrier lililokuwa nyumbani kwake Salasala Dar es Salaam. Taarifa kutoka ndani ya familia hiyo zimeeleza kuwa kwa sasa gari hilo limeondolewa kwa gari la kubeba vitu vizito na kupelekwa kusiko julikana . Doreen pamoja na watoto wa marehemu hawakuw atayari kuzungumzia hayo yanayoendelea licha ya kwamba funguo ya gari hizo zikitajwa kuwa kwa Doreen. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ubcMQwX via IFTTT

Rais Samia ataja sababu ya Jeshi la Polisi kuwa legelege

Image
 By Florah Temba Moshi. Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema upungufu wa mafunzo ndani ya Jeshi la Polisi ndio unaolifanya jeshi hilo kulegalega.  Rais Samia ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 30, 2022 wakati wa ufunguzi wa kikao kazi cha maofisa wakuu waandamizi wa polisi makao makuu, makamanda wa polisi wa mikoa na vikosi kinachofanyika katika ukumbi wa Shule ya Polisi Tanzania (TPS) mkoani Kilimanjaro. "Tathmini yetu ni kwamba upungufu wa mafunzo ndio unalolifanya Jeshi la Polisi maeneo mengine liwe limelegalega au kuwepo na mmomonyoko wa maadili ndani ya jeshi," amesema Rais Samia. "Inaweza ikiwa factor (sababu) ni ajira, nepotism nani kamwajiri nani, mlete tuu hivyo hivyo lakini huko nyuma niliwahi kuuliza huko chuoni ni wangapi wanashidwa nikaambiwa aah watu huko wanakwenda tu lakini nashukuru hawa waliohitimu juzi wapo walioshindwa, "Nataka niwaambie hawa watu wasiposhindwa twendeni tu.... ni wale ambao wanaenda kulitia Jeshi la Polisi aibu,

Ukipiga Punyeto Yafuatayo Yatakuwa Mshahara Wako

Image
UKIPIGA PUNYETO YAFUATAYO YATAKUWA MSHAHARA WAKO 👉Uume kusinyaa kila ukijaribu kubadilisha style au mtindo. 👉Uume kusimama kwa ulegevu baada ya kumaliza bao la kwanza. 👉Kupata bao lenye maumivu hasa kuanzia bao la pili na kuendelea. 👉Kukosa hisia kabisa baada tu ya kufika kileleni safari ya kwanza 👉Kuchoka sana baada ya kufanya mapenzi. 👉Uume kutosimama ukiwepo na mwenza wako lakini akiondoka unaona unapata hamu na uume unasimama vizuri. 👉Kufika kileleni haraka sana na baada ya kufika unashindwa kurudia tena. 👉Kushindwa kumuandaa mpenzi wako, kuhofia utafika kileleni kabla ya mchezo. 👉Kutoa mbegu hafifu hadi kusababisha kushindwa kumpa mkeo ujazuzito. KAMA UMEKUMBANA au UNAKUMBANA NA CHANGAMOTO KAMA HIZO USISITE, WASILIANA NA TABIBU HUYU KWA SIMU NAMBA 0745314945 WHATSSAP NAMBA +255745314945 ANAPATIKANA DAR ES SALAAM from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/WPaqRMI via IFTTT

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Image
  Bonyeza Links Zifuatazo Kusoma zaidi na Kuapply: Job Opportunity at Ifakara Health Institute – Administrative Officer Job Opportunity at Ifakara Health Institute – Nursing Officer Job Opportunity at Old Mutua – Branch Manager Job Opportunity at Movimento Travel and Tours – Sales Job Opportunities at School of St Jude – Teachers Job Opportunity at Ongeza Tanzania Limited – Wholesales Sales Manager Job Opportunity at CVPeople Tanzania – Credit Control Supervisor 2 Job Opportunities at Speedway Petrol Station Arusha – Accountant & Cashier from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/LHeUXC3 via IFTTT

Bondia Mandonga Mtu Kati Apata Dili Kigoma Baada ya Kumgeuza Mtu Kibla

Image
Bondia maarufu nchini Karim Mandonga aliyekwenda Kigoma kwa ajili ya pambano amelazimika kuahirisha safari yake ya ndege kurejea Dar es salaam leo baada ya uongozi wa Mkoa wa Kigoma kumpa dili nono la kutangaza vivutio mbalimbali vinavyopatikana Kigoma. Mandonga amepata mwaliko wa kukutana na Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Thobias Andengenye, Mkuu wa Wilaya ya Kigoma Esther Mahawe na Katibu Tawa wa Mkoa huo ambapo Viongozi hao wamempongeza Bondia huyo kwa juhudi anazozionesha katika michezo yake. Mandonga amesema anamshukuru sana Mungu kwa fursa aliyompatia ya kufahamika baada ya kupigwa na Bondia Shabani Kaoneka ambapo amesema Kaoneka ni kama amemfungulia njia ya kupata mafanikio katika maisha yake. "Kaoneka amenipa maisha yenye msingi, kusema ukweli nilionao moyoni na sijapinga kwamba pambano lile sikupigwa na Kaonekana eti kwasababu sijui kupigana ila alinizidi ujanja akabahatisha kunipiga sehemu nyeti nikapoteza mchezo kiuhalali lakini nataka kurudiana nae ili nimuoneshe kuwa Mim

Polisi Wakiri Kumuua Mwanakijiji Dodoma

Image
By Ramadhan Hassan Dodoma. Mkazi wa kijiji cha Chioli, kata ya Songolo wilayani Chemba, Mkoa wa Dodoma, Nada Songo (45), ameuawa na Jeshi la Polisi kwa kosa la kuwashambulia askari na wananchi kwa mishale yenye sumu. Akizungumza na waandishi wa habari leo Agosti 29, 2022, Kamanda wa Polisi mkoa wa Dodoma, Martin Otieno amesema jana Jumapili mtuhumiwa huyo alifanya matukio hayo katika kijiji hicho. Amesema mtuhumiwa huyo amefariki mara baada ya kupigwa risasi na askari maeneo ya kifuani na mguu wa kulia wakati akiwashambulia askari hao kwa mishale inayodhaniwa kuwa na sumu. Amesema marehemu alikuwa anakaidi kukamatwa kuhusiana na kosa ambalo alikuwa anatuhumiwa nalo la kutishia kuwaua wananchi kwa silaha za jadi. Amesema chanzo cha tukio hilo ni Agosti 27, 2022, mtuhumiwa alishambulia wanakijiji kwa kuwatishia kwa mishale yenye sumu. “Askari polisi walipokwenda kwa ajili ya ukamataji, mtuhumiwa alitoroka na kukataa amri halali ya kukamatwa kuhusiana na makosa yake. Amesema Ag

Kumekucha..Mahakama ya Juu Yakataa Maombi Mawili ya William Ruto Katika Kesi ya Kupinga Ushindi Wake

Image
Ombi la Rais Mteule William Ruto la kutaka ushahidi wa makamishna sita wa IEBC kutupiliwa mbali limekataliwa Katika ushahidi aliowasilisha mahakamani, Ruto aliteta kuwa uchaguzi wa Agosti 9, uliendeshwa na IEBC na wala sio makamishna binafsi Ombi lake pia la kutaka Chama cha Mawakili Nchini (LSK) kuzuiliwa kushiriki katika kesi hiyo pia limekataliwa Mahakama ya Upeo imekataa maombi matatu kuelekea kikao cha leo Jumanne, Agosti 30, kuweka kanuni za kuiendesha kesi ya kupinga matokeo ya urais ya uchaguzi wa Agosti 9. Ombi la Rais Mteule William Ruto la kutaka ushahidi wa makamishna sita wa IEBC kutupiliwa mbali limekataliwa Ombi la Rais Mteule William Ruto la kutaka ushahidi wa makamishna sita wa IEBC kutupiliwa mbali limekataliwa. William Ruto. Maombi hayo ni pamoja na ya Rais Mteule William Ruto ambaye alikuwa anataka Chama cha Mawakili Nchini (LSK) kuzuiliwa kushiriki katika kesi hiyo. Ruto alihoji kuwa LSK haitakanin kushirikishwa katika kesi hiyo kwa sababu Martha Karua,

Skendo ya Paul Pogba Kutaka Kutapeliwa na Kaka yake wa Damu, Aripoti Polisi

Image
Paul Pogba ameripoti Polisi juu ya kutaka kutapeliwa na Rafiki zake wa karibu na Kaka yake wa damu, Mathias Pogba ambapo uchunguzi wa suala hilo unaendelea hivi sasa. Stori yao ni ndefu sana ila inasemekana Mathias na Rafiki wa utotoni wa Paul wanamlalamikia kuwa hawasaidii kwa chochote kitu ambacho Pogba anakipinga na amesema wazi kuwa mara zote amewasaidia. Inasemekana kuwa wakati wapo jijini Paris walimchukua Pogba na kwenda nae sehemu wakimlazimisha awape kiasi cha Pauni million 13 mbele ya watu wawili wenye silaha, kwakuwa wamekuwa wakimlinda mara zote bila yeye kujua, kitu ambacho kilimshangaza Pogba. Mathias ambaye ni Kaka yake aliwahi pia kurekodi video na kusema atawaambia dunia juu ya Pogba ambaye watu wanamwona kama Staa, huku wakisema aliwatuma waende kwa Mganga ili amroge Kylian Mbappe. Mengi yamejiri kuhusu sakata hilo na inasemekana haya yanakuja baada ya Pogba kumtimua nyumbani kwake mmoja kati ya Rafiki zake ambaye aliiba kiasi cha Pauni 200,000 kwenye kadi z

WAKAZI afunguka malipo ambayo S2KIZZY alistahili kupewa kwenye MAMA TETEMA ya MALUMA na RAY VANNY

Image
WAKAZI afunguka malipo ambayo S2KIZZY alistahili kupewa kwenye MAMA TETEMA ya MALUMA na RAY VANNY VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/pT4e7zD via IFTTT

Rasmi Mpiga Picha Lukamba Atangaza Kuacha Kufanya Kazi na Diamond Platnumz

Image
Baada ya kutoonekana kufanya kazi na mwanamuziki @diamondplatnumz hatimae leo hii aliyekua videographer na mpiga picha rasmi wa Diamond @lukambaofficial ameweka wazi kuwa hafanyi tena kazi na boss huyo wa WcB. Lukamba ambaye kwa sasa amegeukia muziki amefunguka hayo akiongea na waandishi wa habari na ameeleza kuwa ameacha kufanya kazi na @diamondplatnumz rasmi na amefungua kampuni yake mpya huku akiongeza kuwa kufanya kazi tena na msanii wa tanzania itakua ndoto labda awe mkubwa kumzidi diamond ,huku akiwataja wasanii kama @davido @wizkidayo kama watahitaji kufanya nae kazi basi hato kataa. - from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Wvw2nSD via IFTTT

WAKAZI afunguka kuhusu yanayoendelea kati ya DIAMOND/WCB na RAY VANNY 'Mnamfanyiaje figisu, mwacheni

Image
  WAKAZI afunguka kuhusu yanayoendelea kati ya DIAMOND/WCB na RAY VANNY 'Mnamfanyiaje figisu, mwacheni VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/laXIOPg via IFTTT

Kutana na Miujiza ya Mtaalam Bahati Kutoka Morogoro, Mtaalam wa Tiba Asilia na Maombezi ya Dua Yesterday

Image
  KUTANA NA MIUJIZA YA MTAALAM BAHATI KUTOKA MOROGORO MTAALAM WA TIBA ASILI TANZANIA NA DUNIANI KOT(Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu) ASANTE KWA KUENDELEA KUMPIGIA SIMU MTAALAM BAHATI KWA WALE WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA SHUKRANI: MTAALAM BAHATI ni mtaalamu wa tiba mbalimbali za asili, 🔥anatumia kitabu cha quran dawa za asili dawa za kiarabu, na majini, 🔥Anakuvutia mpenzi alie kuacha au alie mbali, anazo dawa za mapenzi 🔥nguvu za kiume, chango kwa kina mama, ngiri maji na n.k, 🔥anakuvutia mali zilizo potea au kudhulumiwa, pia anatoa pete za bahati, zilizoambatanishwa na jini mali, Wenye matatizo ya uzazi, jini mahaba, mapepo ya kichawi, vifungo vya kimaisha, ndoto mbaya za usiku, uelewa mdogo wa ufahamu shuleni kwa watoto wot 🔥pia auwezo mkubwa wa kumaliza kazi zilizoachwa na wataalamu wengine ndani ya masaa 48 tu, Pia anatibu kwa njia ya simu popote ulipo WASILIANA NAE KWA SIMU NO: +255 719 626 586 WhatsApp no: +255 719 626 586 from UDAKU SPECIAL h

Mtaalam wa Tiba Bibi Abdul Anatoa Shukrani Zake Kwa Wateja Ambao Wamempa Mrejesho wa Huduma Zake Zikiwemo Nchi za Kenya, Marekani, Oman na Kwinginepo

Image
BIBI ABDUL ANATOA SHUKRANI ZAKE KWA WATAJE AMBAO WAMEMPA MREJESHO WA UDUMA ZAKE ZIKIWEMO NCHI ZA 🇰🇪KENYA,🇺🇸MAREKANI,🇳🇬OMANI,🇿🇼 ZAMBIA🇨🇦CANADA🇦🇪DUBAI)KOTE DUNIANI🌐 BIBI ABDUL ni mtaalamu wakubaini matatizo yako unapowasiliana nae tu ndio mwisho wa dhiki au matatizo yako.na kukusomea dua popote ulipo duniani. _Je, Umeachwa na mke, mme, hawala, mchumba au unahisi unasalitiwa? _Je, unahitaji kupata mme mwenye uwezo mkubwa kifedha? _Je, kuna mtu unampenda lakini unashindwa kumwambia au ulienae hatimizi ahadi yoyote anayokupatia? _Je, wewe unahitaji kupata mpenzi mzungu, mwarabu, mhindi mwenye pesa? _Je, haupati kazi, biashara zako haziendi vizuri unavyotaka, Au umedhulumiwa mali mke, mirathi, kazi, mtoto, kiwanja, gari, nyumba, shamba, nk. -Je, umekuwa ni mtu wa kufeli katika masomo yako? _Je, Umefanya intavyu nyingi bila mafanikio? _Je, umekuwa ukiliwa katika bahati nasibu? je unahitaji kupata mtoto WASILIANA NA BIBI ABDUL atakusaidia ushinde bahati nasibu zote. ________

Haaland kinda wa miaka 22 aliyevunja rekodi za Rooney na Eto’o

Image
Moja kati ya washambuliaji mahiri kwa sasa katika Ligi Kuu ya England ni staa wa kimataifa wa Norway Earling Haaland (22) Kutokana na uhodari wake wa kupachika nyavu toka wakati huo akiwa Borussia Dortmund, Haaland ameanzia alipoishia kwa maana toka ajiunga na Man City ameonesha ubora ule ule aliokuwa nao Dortmund. Recommended: Download Your National ID (NIDA) Here | Pata Namba ya Kitambulisho Chako Cha Taifa Hapa Kwenye mchezo wa Ligi Kuu England wa Man City dhidi ya Crystal Palace uliyochezwa katika uwanja wa Etihad leo na kumalizika kwa Man City kupata ushindi wa 4-2 wakitokea nyuma, baada ya dakika 45 za kwanza kwenda mapumziko wakiwa nyuma 2-0, Haaland alikuwa mkombozi wa game hiyo kwani baada ya Bernardo Silva kufunga goli la utangulizi dakika ya 53, Haaland alipiga hat-trick kwa kufunga magoli matatu dakika ya 62, 70 na 81. Recommended: Job Application Letters, Job Tips, How to Write a Good CV, Interview Questions and It’s Best Answers plus Examples. Click Here

Kimya kirefu cha Rais Uhuru Kenyatta chazua hofu kwa Ruto

Image
KIMYA kirefu cha Rais Uhuru Kenyatta kimewatia wasiwasi wandani wa Rais mteule William Ruto, huku wakimsukuma kiongozi wa taifa atambue ushindi wa kinara wao. Tangu Agosti 15, 2022 mwenyekiti wa Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) Wafula Chebukati alipomtangaza Dkt Ruto kuwa mshindi katika kinyang’anyiro cha urais, Rais Kenyatta hajatoa taarifa yoyote kuhusu ushindi huo. Ilitarajiwa kuwa, kama Rais anayeondoka, angemtumia Dkt Ruto ujumbe wa pongezi walivyofanya watangulizi wake, Hayati Daniel Moi na Mwai Kibaki. Lakini hata baada ya mgombea urais wa Azimio la Umoja-One Kenya Raila Odinga, kukataa kutambua ushindi wa Dkt Ruto na kuwasilisha kesi katika Mahakama ya Juu, viongozi wa Kenya Kwanza wameendelea kushinikiza Rais Kenyatta atamtumbue kama mshindi halali. Naibu Rais Mteule Rigathi Gachagua, Seneta wa Bungoma Moses Wetang’ula, Kiongozi wa ANC Musalia Mudavadi na Mbunge mteule wa Kiharu Ndindi Nyoro ni miongoni mwa wale ambao wamemtaka Rais Kenyatta kumpongeza Dkt Ru

Kimeumana: Chebukati Afichua Alionywa Dhidi ya Kutangaza Ruto Mshindi

Image
Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati amesema alikuwa ameonywa dhidi ya kumtangaza William Ruto mshindi wa urais. Wafula Chebukati alisema alikuwa ameonywa dhidi ya kumtangaza William Ruto kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais. Chanzo: UGC Kwa mujibu wa Chebukati, kikosi kutoka kamati ya kushauri rais kuhusu usalama (NSAC) ilifika Bomas na kutoa msimamo huo. Wakiongozwa inspekta jenerali wa polisi Hillary Mutyambai, Wakili mkuu Kennedy Ogeto, naibu mkuu wa jeshi Omondi Ogola na katibu mratibu katika afisi ya rais Kennedy Kihara, maafisa hao walisema itakuwa kosa kubwa Ruto kushinda uchaguzi. Hilo lilikuwa likifanyika saa nane mchana Agosti 15 huku Kihara akiambia Chebukati kuwa nchi itachomeka iwapo Ruto atatangazwa mshindi. "Kihara aliendelea kutuonya kuwa iwapo tutatangaza matokeo jinsi yalivyokuwa ambapo Ruto alikuwa mshindi na vurugu kuzuka, basi damu ya Wakenya ambao watauawa itakuwa mikononi mwetu," Chebukati anasema kweny

Cesar Manzoki anahusishwa kwenda China, Simba Ndio Basi Tena

Image
Cesar Manzoki anahusishwa kwenda China kunako klabu ya Dalian kwa ada ya Tsh 970m kwa mkataba wa miaka minne kwa mujibu wa @kawowosports from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/5XOhoI3 via IFTTT

Tukio la Rayvanny Kumzawadia Gari Producer s2kizzy Hakijamzuia Producer Huyo Kushusha Ngoma za Rayvanny Youtube...Kunani?

Image
Kitendo cha s2kizzy kushusha nyimbo za Mama Tetema kwenye mtandao wa YouTube, Rayvanny ft Diamond Platnumz na ile ya Maluma Ft Rayvanny, kimewaudhi wengi na S2kizzy akionekana ni mtu ambaye ana kinyongo na Rayvanny, na kinacho waumiza akili watu, ni kwanini anayafanya yote haya baada ya Rayvanny kuondoka WCB. May 10, 2019 Rayvanny alimzawadia gari producer s2kizzy aina ya Mark X kama zawadi yake ya birthday ambapo producer huyo usherehekea siku yake ya kuzaliwa kila ifikapo May 9 kila mwaka. Akiwa kwenye kipindi cha Block 89 cha Wasafi Fm, S2kizzy alifanyiwa suprise na Rayvanny akiwa na ufunguo wa gari. Kikubwa Rayvvany alidai amefanya hivyo kama sehemu ya kushukuru mchango wa producer huyo kwa kumtengenezea ngoma nyingi ambazo zimekuwa ni pendwa ,ikiwemo Mama Tetema ambayo ilikuwa na miezi mitatu tu, toka itoke February 7,2019. Kingine kilicho msukuma zaidi Rayvanny kufanya hivyo, ni baada ya kuona S2kizzy anasumbuka kuhusu usafiri, muda mwingine kupanda bajaji anapowahi sessions

Rayvanny "Wanaoomba NIFELI nataka salamu ziwafikie, nazidi kung'ara ukiniombea mikosi"

Image
  RAYVANNY: Wanaoomba NIFELI nataka salamu ziwafikie, nazidi kung'ara ukiniombea mikosi VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/MFKQOm4 via IFTTT

Vijue Vyanzo, D alili na Tiba ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kuongeza Maumbile ya Kiume...

Image
Baadhi ya mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukar 2.XXL GEL @240,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.BIG PENIS, MAX MAN au GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. 6.SHARK POWER @220,000/= >Huongeza uume kwa 4in

William Ruto Ataka Kesi Iliyowasilishwa Mahakama ya Juu Kupinga Ushindi Wake Ifutiliwe Mbali

Image
William Ruto amewasilisha majibu yake kwenye kesi iliyowasilishwa na Raila Odinga wa Azimio katika Mahakama ya Juu, kupinga ushindi wake kwenye uchaguzi wa Agosti 9 Kwenye majibu hayo ya kurasa 256, Ruto anaitaka Mahakama hiyo kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Raila kwa sababu anataka handshake ili akabidhiwe mgao wa serikali Ruto ameongeza kusema kwamba Raila ana rekodi za kupinga kila matokeo ya uchaguzi mkuu, kiasi cha kulazimisha maelewano yatakayomwezesha kupata sehemu ya serikali Rais mteule William Ruto amewasilisha majibu yake kwenye kesi iliyowasilishwa na Raila Odinga wa Azimio katika Mahakama ya Juu, kupinga ushindi wake kwenye uchaguzi wa Agosti 9. William Ruto Ataka Kesi Iliyowasilishwa Mahakama ya Juu Kupinga Ushindi Wake Ifutiliwe Mbali Naibu Rais William Ruto. Picha: UGC. Kwenye majibu hayo ya kurasa 256, Ruto anaitaka Mahakama hiyo kutupilia mbali kesi iliyowasilishwa na Raila kwa sababu anataka handshake ili akabidhiwe mgao wa serikali. Ruto ameongez

Azimio Yapunguza Ushahidi Wake Hadi Kurasa 40 Baada ya Kuwasilishwa kwa Lori Lililojaa

Image
Kikosi cha wanasheria wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya kimewasilisha kesi yao ya kupinga ushindi wa Rais Mteule William Ruto, kwa ufupi Siku ya Jumatatu, viongozi wa Azimio waliwasili katiak Mahakama ya Upeo wakiwa na rundo la ushahidi lilojaa kwenye lori, ila imewalazimu kupunguza ushahidi huo hadi kurasa 40 Fred Orego ambaye ni mmoja wa wakili katika kesi hiyo alisema kupunguzwa kwa stakabadhi za kesi hiyo hadi kurasa 40, inaendana na sheria za mahamakama hiyo Kikosi cha wanasheria wa muungano wa Azimio la Umoja-One Kenya kimewasilisha kesi yao ya kupinga ushindi wa Rais Mteule William Ruto, kwa ufupi. Azimio Yapunguza Ushahidi Wake Hadi Kurasa 40 Baada ya Kusilishwa kwa Lori Lililojaa Vigogo wa Azimio walipowasilisha rundo la ushahidi katika Mahakama ya Juu. Picha: UGC. Siku ya Jumatatu, viongozi wa Azimio waliwasili katiak Mahakama ya Upeo wakiwa na rundo la ushahidi lilojaa kwenye lori, ila imewalazimu kupunguza ushahidi huo hadi kurasa 40. Siku ya Ijumaa, Agos

TBS yateketeza vipodozi vya Milioni 100

Image
SHIRIKA la Viwango (TBS) Kanda ya kati limeteketeza Vipodozi na bidhaa za Vyakula zilizoisha Muda tani 31.2 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 100 katika Dampo la Chidaya jijini Dodoma. BIDHAA mbalimbali za vyakula na vipodozi vyenye thamani takribani ya shilingi za Kitanzania milioni 7 zimeteketezwa katika dampo la Manispaa ya Mpanda baada ya kukutwa hazikidhi viwango kwa mujibu sheria ya Viwango Na 2 Sura 130. imeteketeza vipodozi na bidhaa za vyakula zilizoisha muda  tani 31.2 zenye thamani ya Hayo yameelezwa leo Agosti 26,2022 jijini Dodoma na Mkaguzi wa  Shirika la Viwango Tanzania (TBS) Kanda ya Kati Domisiano Rutahala wakati akizungumza na Waandishi wa Habari katika dampo la Chidaya ambako ndiko bidhaa hizo  na vipodozi  vimeteketezwa. Bidhaa na vipodozi zilizoteketezwa ni kutoka katika Mikoa ya Dodoma,Singida na Tabora na ni  kuanzia Novemba 2021 hadi Agosti 2022. Mtaalamu huyo amesema bidhaa zilizoteketezwa ni zile zilioisha muda pamoja na vipodozi vyenye

Mtaalam wa Tiba Bibi Abdul Anatoa Shukrani Zake Kwa Wateja Ambao Wamempa Mrejesho wa Huduma Zake Zikiwemo Nchi za Kenya, Marekani, Oman na Kwinginepo

Image
BIBI ABDUL ANATOA SHUKRANI ZAKE KWA WATAJE AMBAO WAMEMPA MREJESHO WA UDUMA ZAKE ZIKIWEMO NCHI ZA 🇰🇪KENYA,🇺🇸MAREKANI,🇳🇬OMANI,🇿🇼 ZAMBIA🇨🇦CANADA🇦🇪DUBAI)KOTE DUNIANI🌐 _________________________ BIBI ABDUL ni mtaalamu wakubaini matatizo yako unapowasiliana nae tu ndio mwisho wa dhiki au matatizo yako.na kukusomea dua popote ulipo duniani. _Je, Umeachwa na mke, mme, hawala, mchumba au unahisi unasalitiwa? _Je, unahitaji kupata mme mwenye uwezo mkubwa kifedha? _Je, kuna mtu unampenda lakini unashindwa kumwambia au ulienae hatimizi ahadi yoyote anayokupatia? _Je, wewe unahitaji kupata mpenzi mzungu, mwarabu, mhindi mwenye pesa? _Je, haupati kazi, biashara zako haziendi vizuri unavyotaka, Au umedhulumiwa mali mke, mirathi, kazi, mtoto, kiwanja, gari, nyumba, shamba, nk. -Je, umekuwa ni mtu wa kufeli katika masomo yako? _Je, Umefanya intavyu nyingi bila mafanikio? _Je, umekuwa ukiliwa katika bahati nasibu? je unahitaji kupata mtoto WASILIANA NA BIBI ABDUL atakusaidia ushinde ba

Huyu Hapa Muuza Madawa ya Kulevya Aliyependwa na Wananchi Mpaka Kupewa Jina la Yesu na Mlinzi wa Amani

Image
TAJIRI WA UNGA AKAWA MWEMA MPAKA AKAITWA YESU Christopher Coke a.k.a Dudus, ni tajiri wa dawa za kulevya, akiongoza genge la Shower Posse. Genge hilo na mtandao mzima wa unga, Dudus au President alirithi kutoka kwa baba yake, Lester Coke a.k.a Jim Brown au Ba-Bye aliyeuawa gerezani mwaka 1992. Shower Posse makao makuu yake yapo Tivoli Gardens, Kingston, Jamaica. Dudu alikuwa mtu mwema. Alisaidia fedha familia maskini, alilipia ada wanafunzi ambao wazazi wao hawakuwa na uwezo, zaidi alitengeneza ajira nyingi kwa vijana. Hayo yalisababisha apendwe sana. Dudus aliitwa Rais wa Tivoli Gardens, alilindwa na kila mwananchi. Serikali ya Jamaica pia ilimlinda, maana alikuwa mfadhili wa viongozi. Marekani ilitaka Dudus akamatwe lakini Serikali ya Jamaica haikutekeleza. Dudus alipokamatwa na Marekani mwaka 2010, kwananchi wa Jamaica, hususan wakazi wa Tivoli Gardens, waliingia mitaani na kuandamana, wakitaka Dudus aachiwe huru. Wananchi walikuwa na mabango yaliyoandikwa kuwa Dudu

Makarani sensa wabuni mbinu kuwakwepa wanaowapiga picha

Image
Dar es Salaam. Katika kuwakwepa watu wanaowapiga picha na kuzirusha mitandaoni wakiwa wanakula, makarani wabuni mbinu kuwakwepwa watu hao.  Agosti 23, 2022 wakati Sensa ya Watu na Makazi ilipoanza kulisambaa picha ikiwaonyesha makarani waki wanakunywa chai ilihali kuna wananchi wapo nyumbani wakiwasubiri kwa hamu wapite kuwahesabu. Kitendo hicho kilitafsiriwa na baadhi ya watu ni kupoteza muda wa kazi waliyopewa waifanye huku wakijua kuna watu wanawasubiri wapite ili waende kwenye shughuli zao za utafutaji. Akizungumza na Mwananchi Digital, leo Alhamisi Agosti 25, 2022 karani wa  Kata ya Kitunda, Jimbo la Ukonga, jijini Dar es Salaam, Yerusalemu Ntapwa amesema wanapoenda kula kwa sasa huwa wanavua vikoti hivyo na kuviweka kwenye mabegi. Amesema wamelazimika kufanya hivyo kwa kuwa baadhi ya wananchi hawaelewi kwamba nao wana mahitaji kama ilivyo watu wengine ya kuhitaji kula muda ukifika. "Ukiachilia kula yaani hata wakitukuta tumesimama sehemu tunapeana maelekezo ya

Mchezaji Akpan Apindua Meza Simba..Sasa Kubakia Kikosini

Image
MABOSI wa Simba walipanga kabla ya dirisha la usajili kufungwa Agosti 31, kushusha kiungo mmoja mkabaji ili kuchukua nafasi ya Victor Akpan ambaye Kocha Zoran Maki alimkataa tangu timu ikiwa kambini nchini Misri, lakini Mnigeria huyo amepindua meza kiaina, kwani sasa atasalia kikosini. Ipo hivi. Kocha Zoran alipanga kumtoa kwa mkopo Akpan na wachezaji wengine kadhaa akiwamo Nassor Kapama, kisha akataka aletewe kiungo mkabaji mpya na fasta mabosi wa Simba walimtuma mmoja wa vigogo wa klabu hiyo kwenda kumalizana na viungo wawili wote kutoka Nigeria. Viungo waliokuwa kwenye rada za Simba ni Afeez Nosiri kutoka Kwara United na Morice Chukwu wa Rivers United, lakini kigogo aliyekwenda kuwafuata alikutana na kigingi cha mikataba waliyonayo, hivyo dili la wachezaji hao kufa rasmi na kutoa nafuu kwa Akpan na wenzake. Taarifa hiyo ya dili la kina Chukwu kuzikwa rasmi, imemfanya Kocha Zoran naye kutoa msimamo wa kutotaka mchezaji hata mmoja kati ya waliopo kikosini kwa sasa kutoka na

Wazazi Wataka Mwalimu Huyu Aachishwe kazi Sababu Umbo Lake (Zigo) Linawachanganya Wanafunzi

Image
  Wazazi wataka mwalimu huyu aachishwe kazi sababu umbo lake (zigo) linawachanganya wanafunzi Tazama VIDEO Hii: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vT5aXPx via IFTTT

Wanandoa Waliopoteza Watoto Watatu Kwenye Ajali Wapata Mapacha Watatu Kwa Mpigo

Image
Mwanamama Lori pamoja na mumewe Chris Coble walipata pigo zito kwa kuwapoteza watoto wao wote watatu kwenye ajali ya gari, walikuwa wasichana wawili na mvulana mmoja. Miezi sita baada ya ajali, Lori alianza kujisikia mjamzito. Baadaye alijifungua mapacha watatu (Triplets), wawili wa Kike na mmoja wa Kiume. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/PAwNRnG via IFTTT

Watawa wa RC waliotekwa nyara waachiliwa huru

Image
Polisi nchini Nigeria imesema, kundi la watu wenye silaha waliokuwa wamewateka watawa wanne Agosti 21, 2022 wa Kanisa la Katoliki jimboni Imo lililopo eneo la kusini mashariki, wamewaachilia huru watumishi hao wa Mungu bila masharti. Msemaji wa Polisi wa jimbo la Imo, Michael Abattam amesema Watawa hao wanne, waliotekwa nyara karibu na mji wa Okigwe katika Jimbo la Imo, waliachiliwa siku ya Jumanne Agosti 23, 2022 na hawajakutwa na madhara na haikufahamika mara moja ikiwa walilipa ili kuweza kuachiliwa. Sister. Johannes Nwodo (kulia), Sister. Christabel Echemazu (kushoto), Sister. Liberata Mbamalu (katikati), na Sr. Benita Agu hayupo pichani, ambao kwa pamoja walitekwa nyara wakielekea katika Misa Takatifu Jumapili ya Agosti 21, 2022. Matukio ya utekaji nyara, ni jambo la kawaida katika nchi hiyo yenye watu wengi zaidi barani Afrika, ambayo imekumbwa na mzozo mkubwa wa kiuchumi na kuandamwa na uhalifu ulioenea maeneo mengi hasa katika ukanda wa Mashariki. Ingawa mateka wengi

Polisi Wasimamishwa kwa Kumpiga Raia

Image
   Polisi watatu katika jimbo la Arkansas nchini Marekani, wamesimamishwa kazi kutokana na video iliyozaagaa mitandaoni ikiwaonesha wakimpiga mshukiwa mmoja huku wamemlaza chini  Mmoja wa maofisa ameonekana akimpiga mtu huyo kichwani mara nyingi huku akimpigiza kichwa kwenye sakafu Ofisa mwingine wa polisi ameonekana amepiga magoti  huku anampiga mshukiwa huyo   Mtu huyo baada ya kupigwa alionekana akijikinga kichwa chake kwa mikono yake huku akijibiringisha barabarani kujilinda Video hiyo imetazamwa na mamilioni ya watu kwenye mitandao ya kijamii na kuzua minongóno   Mtu huyo aliyekamatwa alikua na tuhuma za kusababisha vitisho kwenye duka moja, ambapo  polisi walipigiwa simu kuja kumkamata alijihami kwa kumsukuma askari mmoja aliyeanguka chini from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sxjlOt8 via IFTTT

Simba Wapata Mwaliko Maalumu Kutoka Al Hilal

Image
  Kikosi chetu kimepokea mwaliko maalumu kutoka kwa Klabu ya Al Hilal ya Sudan kushiriki michuano maalum ambayo itaanza kufanyika wiki ijayo. wakiwa  nchini Sudan watacheza  mechi mbili dhidi ya Asante Kotoko ya Ghana, Agosti 28 na wenyeji Al Hilal Agosti 31, mwaka huu. Mechi hizi za kimataifa tutazitumia kama sehemu ya maandalizi wakati ligi ikiwa imesimama kupisha mechi za kufuzu Fainali za Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN). Wachezaji tisa walioitwa kwenye kikosi cha Timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayojiandaa na mchezo dhidi ya Uganda hawatakuwa sehemu ya safari. Timu inatarajia kuondoka nchini Alhamisi alfajiri kuelekea nchini Sudan tayari kuwahi mechi ya kwanza itakayopigwa Agosti 28, dhidi ya Asante Kotoko. Mtendaji Mkuu wa Klabu, Barbara Gonzalez ameishukuru Al Hilal kwa mwaliko huo ambao unaendeleza ushirikiano na mshikamano ambapo wenyeji wamegharamia kila kitu. “Kipekee niwashukuru Al Hilal kwa mwaliko huu, licha ya kuongeza ushirikiano baina yetu l