Posts

Showing posts from June, 2023

Dereva UDOM Ashikiliwa Kwa Kuhusishwa na Tukio la Mtalaka Wake Kumwagiwa Tindikali

Image
Dereva wa Cuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Lusajo Makiwelu anashikiliwa na Polisi baada ya Mtalaka wake, Witness Nguvalwa (32) na mtoto wake (Miezi 8) kumwagiwa tindikali wakiwa wanasubiri daladala eneo la Maghorofani Mwanamke huyo ambaye amejeruhiwa maeneo ya usoni, mabegani na shingoni, anasema alitoka #Iringa akimletea Mtalaka wake wito wa Mahakama uliolenga kugawana mali walizochuma pamoja baada ya ndoa yao kuvunjwa Kisheria, mwaka 2020 Ameeleza alipokuwa Kituoni akisubiri usafiri, alipita Mwanaume mmoja ambaye hakumfahamu akiwa ameshika kichupa mkononi kilichokuwa na kimiminika na mara baada ya kumsalimia aliwamwagia kimiminika hicho usoni na kutoweka from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZursgC6 via IFTTT

Anita Brown Mwanamke Mwenye Ujauzito wa Davido Adai Davido Alimtoa Kafara Mtoto wake

Image
Kutoka twitter ya Anita Brown, baby mama number 5 wa Davido, ametoa maelezo marefu kuhusu Davido na Chioma, anasema 'Davido sio Mtu Mwema, asingemuoa Chioma kama Mtoto wao Ifeanyi asingefariki, Davido alimtoa mhanga ifeanyi, ndivyo wanaigeria wengi wanavyofanya, mashabiki wa Davido ni watu wabaya kwa kuwa bado wanamsapoti na kumuita mfano wa kuigwa, sitakuwa kuwa karibu na hio familia" from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/FvbSsLk via IFTTT

Nafasi za Ajira CRDB Bank Zilizotangazwa Leo

Image
Nafasi za Ajira CRDB Bank Zilizotangazwa Leo  CRDB Bank Tanzania CRDB Bank Plc is an African bank and a leading Financial Services Provider in Tanzania with current presence in Tanzania and Burundi, East Africa. The Bank was established in 1996 and was listed on the Dar Es Salaam Stock exchange (DSE) in June 2009. Over the years, The Bank has grown to become the most innovative and preferred financial services partner in the region. Supported by a robust portfolio and uniquely tailored products, CRDB Bank remains the most responsive bank in the region. The Bank offers a comprehensive range of Corporate, Retail, Business, Treasury, Premier, and wholesale microfinance services through a network of 260 branches, 551 ATMs, 18 Depository ATMs, 12 Mobile branches and 1184 Point of Sales (POS) terminals. Similarly, the bank has scores of Microfinance partners and institutions through which pertinent services are rendered to all customers. We currently have 450 Microfinance partner ins

Mchezaji Okwa Achutamana na Kuwaomba Msamaa Simba Kwa Kuwachafua Redioni

Image
"salamu za pekee kutoka nyumbani kwangu kwenu, kwenye mahojiano yangu ya hivi karibuni niliona imani nyingi potofu, nilisikia watu wakitoa maoni kwa kuzingatia pembe moja tu bila kuingia kwa undani kwenye mahojiano hayo, wengine hawakusikia mahojiano hayo kwa ukamilifu lakini pia walikuwa wakitoa maoni yao kulingana na mapenzi yao kwa Simba sc, na walichokisikia kutoka vyanzo tofauti wakiamini nataka kuchafua taswira ya klabu, kutokana ni kawaida kuegemea timu unayoshabikia, nasikia watu wakiniita majina kadhaa ni kawaida hiyo ni soka, lakini kwangu mimi sikuwahi kuchafua jina la mtu, sikuwahi kuongelea timu vibaya, mapenzi kutoka kwa mashabiki, sapoti niliyopata, na uangalizi nilioupata kutoka kwa watanzania wote ulikuwa wa ajabu, hata hivyo kwenye hotuba mtu anaweza kukosea lakini kimakusudi sivyo alivyo. au anaweza kutaka kusema.kwa maneno mengine naomba radhi sana iwapo kauli yangu inamuumiza mtu ambaye sikuwahi kukusudia, niende kwenye hotuba naitakia Simba sc kila la kher

Mke Ashindwa Kulinda Unyumba Kwa Hedhi Isiyokoma

Image
Naitwa Aines kabla ya kuolewa niliishi kwa furaha sana na baada ya kuolewa siku za mwanzo wa ndoa yangu sikuzijuwa karaha nilizo hadithiwa na mashosti zangu kuhsu ndoa mpaka yaliponikuta, kwa kweli mwenye Niliolewa nikiwa binti mdogo sana wa miaka ishirini na mmoja tena sikuwahi kuwa na mahusiano yoyote yale kabla ya mimi kuolewa kiufupi ni kwamba mume wangu ameniowa mimi nikiwa bado bikira simjuwi mwanaume yoyote tena kwa sheria za kwetu huko songea kwa wamwera nilifundwa na kukalisha kuyajuwa mambo ya ndoa. Ndani ya ndoa sikuwahi kubahatika kupata mtoto kabla ya sisi kutambulishwa kwa daktari BAKONGWA , yaani mwanzoni ilikuwa ni rahisi na furaha tulifanya kila kitu ndani ya ndoa na mume wangu ariridhika kwa ufundi niliofundwa kwetu kila mtindo alioutaka na kila mahali alipotaka nilimpa. Kama wengi wanavojuwa kwa sisi wanawake huwa tunaingia hedhi kutowa uchafu na taka za mwiili –hapa ndipo hali yangu ilianza kubadilika na kuwa mbaya zaidi ndoa ikawa chungu kwangu nikaichukia

Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil)

Image
Haya ni mafuta Mapya kutoka Katika Maktaba kuu inayoshughulika kutengeneza Vifaa mbalimbali vya Nguvu za Asili na Za Kimiujiza vyenye uwezo mkubwa wa kumsaidia Binadamu kufikia malengo yake yawe Hasi ama Chanya Wanaitwa Lord's Divine wanapatikana Katika Maktaba Kuu ya Nguvu za Asili Kazi ya mafuta haya ni Nyingi ila Nitaanisha baadhi kwa Uchache.. 👉kuwa na uwezo wa kuvuta Pesa kwa wingi na hivyo kuweza kukupatia Utajiri kwa haraka 👉Kukufanya uwe na mvuto na heshima kubwa katika Kazi, Kwa Wachungaji, Wanasiasa, Wasanii, Wachimbaji MADINI, au Mtu yoyote Maarufu Kwa wanayoyafahamu wanajua faida zake. Haya ni mafuta yanayotumiwa sana katika kuvuta pesa za majini ama kuita Jini wa Utajiri. Ni mafuta yenye kazi nyingi za umuhimu na kimaendeleo, shida ni kwamba hayapatikani kiurahisi sana kwa ajili ya umuhimu wake na mafanikio yake.. MATUMIZI YAKE KWA WALE WANAOTAKA PESA ZA MAJINI : Andaa Chumba ( Kisiwe na Vitu Vingi)Tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike katikati

Mapya Yaibuka...Mwenye Ujauzito wa Davido ni Mcheza Video za Ngono

Image
Taarifa Mpya Ni Kwamba Blogs Mbalimbali Za Nchini Marekani na Nigeria zinaripoti kuwa Anita Brown, aka 'Nina the Elite' ni mcheza filamu za Ngono maarufu mitandaoni, hii ni baada ya video zake kuonekana kwenye mtandao wa 'Shesfreaky' kwa jina la Ninatheelite, kuna video humo akiwa mtupu, video na picha hizi zimeanza kusambaa twitter nchini Nigeria. Anita Brown alianza ku-trend Afrika baada ya kutangaza kuwa anaujauzito wa msanii wa Nigeria Davido na walikuwa kwenye mahusiano ya On and Off toka 2017, Anita pia amesema alikuwa hajui Kama Davido ana mke ambaye kwa sasa nae ni mjamzito from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/TYGaCh1 via IFTTT

Zifahamu Faida 6 za Juisi ya Tangawizi Halafu Nenda Kajaribu Uone Ajabu Yake..!!!

Image
Tangawizi ni kati ya viungo mahili vinavyochochea ladha nzuri katika vyakula vya aina mbalimbali na hivyo kuwavutia walaji kula chakula husika. Tangawizi pia inapowekwa kwenye vyakula vigumu kama nyama huifanya ilainike na hivyo kuweza kuiva kwa haraka zaidi. Leo nataka kukueleza msomaji wangu kuhusu hizi faida nyingine za kutumia juisi ya tangawizi kama ifuatavyo:- 1. Hutumika kama kituliza maumivu. 2. Husaidia kuboresha mmeng'enyo wa chakula tumboni 3. Huthibiti shinikizo la damu 4. Huboresha afya ya kinywa 5. Hukinga matatizo ya ngozi hasa chunusi 6. Husaidia kukuza nywele (kulinda afya ya nywele) from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/hM6T90y via IFTTT

Ronaldo Anaswa Akiwa Amepaka Rangi ya Kucha Vidoleni Sababu Zatajwa

Image
Jumatatu ya tarehe 26 mwezi Juni mwaka huu, Cristiano Ronaldo aliweka baadhi ya picha kwenye ukurasa wake wa Instagram akiwa mapumzikoni huku vidole vya miguu vya mwanasoka huyo vikiwa vimepakwa rangi nyeusi na kupelekea kuzua mjadala mkubwa. Post hiyo ya Instagram iliyokuwa na maneno yaliyosomeka, “Vacation Mood” ilizua maswali kutoka kwa baadhi ya mashabiki wakimuuliza kwanini mwanasoka huyo alipaka rangi kucha zake. Inavyoonekana, kupaka rangi kucha za miguu kwa wanasoka la kulipwa huchangiwa na sababu za kiafya, kama kusaidia kuzuia maambukizi na magonjwa mengine mabaya yanayohusiana na miguu. Wanamichezo wengi mashuhuri hufanya hivyo ili kulinda kucha zao dhidi ya kuvu (Fungus) na bakteria kutokana na kuvaa viatu na kutokwa jasho kwa muda mrefu. Hata Mike Tyson aliwai kufanya hivyo, likiripoti jarida la Bild kutoka nchini Ujerumani. Ronaldo hutambulika kwa kufanya kila jambo lenye matokeo chanya ili kumsaidia kuongeza urefu na ufanisi katika maisha yake ya kisoka. Mshi

Harmonize Afanya Collabo na Staa Huyu Mkubwa Marekani...

Image
Staa wa muziki wa Bongo Fleva Harmonize amekamilisha kolabo na Staa Mkubwa Marekani Rapa Shmurda wa huko nchini Marekani Harmonize amethibitisha hilo kupitia Instastory yake kwa kuandika "Kondeboy x Bobby Shmurda, nimependa huu wimbo" Na kwa upande wa Shmurda ame repost ujumbe huo wa Harmonize kwenye Instastory yake na kuongezea maneno haya "Imenibidi nirudi kwenye asili yangu" Neni moja kwa konde boy from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3PAdizu via IFTTT

Serikali Yashtakiwa Kwa Kusaini Makubaliano ya Bandari na Dubai

Image
Bandari Waliofungua kesi hiyo ni Mawakili Emmanuel K. Changula, Alphonce Lusako, Raphael J. Ngonde na Frank J. Nyalusi wanaituhumu Serikali kupitisha mkataba huo kwa maelezo kuwa hauzingatii maslahi ya Nchi Waziri wa Ujenzi na Katibu Mkuu wanashtakiwa kwa kusaini Makubaliano na kuyapeleka Bungeni bila kushirikisha Umma kutoa maoni ikiwa ni kinyume na Kifungu cha 11(1)(2) cha Sheria ya Rasilimali za Taifa No. 5 ya mwaka 2017 Aidha, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Katibu wa Bunge wanashtakiwa kwa Kuliongoza Vibaya Bunge, Kupiga Kura ya Ndio ya Jumla badala ya Mbunge Mmoja Mmoja ambapo Washtakiwa wote wanatakiwa kufika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya Julai 3, 2023 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/rHVz1Lu via IFTTT

Nabi na Kaizer Chiefs ngoma Ngumu Apewa Masaa 48

Image
Aliyekuwa kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi amesema ndani ya saa 48 mustakabali wake na Kaizer Chiefs utakuwa umejulikana. Akihojiwa na The South African alisema: “Kwa sasa ni ngumu kukupa taarifa, lakini tambua kuwa tunaendelea kuzungumza na viongozi from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/jVUgRDy via IFTTT

Zari Hassan Amchana Lady Naa Promota Aliyempeleka UK 'Unaniweka kwenye Lodge Wanazolala Waendesha Malori!'

Image
Zari Hassan Zari amchana Lady Naa, promota aliyempeleka UK 'Unaniweka kwenye lodge wanazolala waendesha malori!' Tazama VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1A645kG via IFTTT

Zari Afunguka Baada ya Promota kuvujisha Passport yake na ya Mumewe Kuonesha Anamzidi Miaka 14

Image
  Zari afunguka baada ya promota kuvujisha passport yake na ya mumewe kuonesha anamzidi Miaka 14 Tazama VIDEO Hapa:  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vkcChw2 via IFTTT

Mafuta ya Kuvuta Pesa za Majini au Jini wa Utajiri (Money Drawing Oil)

Image
Haya ni mafuta Mapya kutoka Katika Maktaba kuu inayoshughulika kutengeneza Vifaa mbalimbali vya Nguvu za Asili na Za Kimiujiza vyenye uwezo mkubwa wa kumsaidia Binadamu kufikia malengo yake yawe Hasi ama Chanya Wanaitwa Lord's Divine wanapatikana Katika Maktaba Kuu ya Nguvu za Asili Kazi ya mafuta haya ni Nyingi ila Nitaanisha baadhi kwa Uchache.. 👉kuwa na uwezo wa kuvuta Pesa kwa wingi na hivyo kuweza kukupatia Utajiri kwa haraka 👉Kukufanya uwe na mvuto na heshima kubwa katika Kazi, Kwa Wachungaji, Wanasiasa, Wasanii, Wachimbaji MADINI, au Mtu yoyote Maarufu Kwa wanayoyafahamu wanajua faida zake. Haya ni mafuta yanayotumiwa sana katika kuvuta pesa za majini ama kuita Jini wa Utajiri. Ni mafuta yenye kazi nyingi za umuhimu na kimaendeleo, shida ni kwamba hayapatikani kiurahisi sana kwa ajili ya umuhimu wake na mafanikio yake.. MATUMIZI YAKE KWA WALE WANAOTAKA PESA ZA MAJINI : Andaa Chumba ( Kisiwe na Vitu Vingi)Tafuta kitambaa cheupe mita moja kitandike katikati

Yevgeny Prigozhin aeleza sababu za kufanya uasi

Image
Mkuu huyo wa kundi la mamluki la Wagner Yevgeny Prigozhin, amevunja ukimya ikiwa ni siku mbili baada ya kuongoza uasi ulioshindwa akisema kwamba hakukusudia kuipindua serikali ya Moscow. Katika tamko lake la kwanza alilolitoa kwa umma tangu alipoonekana usiku wa Jumamosi akiviondoa vikosi vyake katika mji waliokuwa wameushikilia, Prigozhin ameongeza kuwa wapiganaji wake walisimamisha kampeni yao ili kuepusha umwagikaji damu. "Tulienda kama ishara ya kupinga na sio kupindua serikali ya nchi", alisema mkuu huyo wa Wagner katika sauti ya dakika 11 iliyotolewa Jumatatu jioni kupitia mtandao wa Telegram. Prigozhin anadai azma yao ilikuwa ni kushinikiza masuala waliyoyaibua kipindi cha nyuma, hususan matatizo makubwa ya usalama wa nchi.Rais Putin wa Urusi aonekana kwa mara ya kwanza tangu uasi wa Wagner Ndani ya sauti hiyo, Prigozhin anasikika akisema alitaka kuzuia uharibifu wa wapiganaji mamluki wa Wagner na kulazimisha makamanda waliohujumu kampeni ya kijeshi ya Urusi nch

Mkurugenzi wa kampuni akutwa amekufa nyumba ya wageni Mbeya

Image
Mbeya. Mkurugenzi wa Kampuni ya Giant  Tanzania Printers Ltd ya jijini Dar es Salaam, Deogratius Magubo amekutwa amekufa kwenye nyumba ya kulala wageni ya Dicco Inn iliyopo eneo la Iyunga Jijini Mbeya. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Benjamin Kuzaga amewaeleza waandishi wa habari leo Jumatatu, Juni 26, 2023 kuwa mwili wa marehemu ulitambulika Juni 21 saa 5.40 asubuhi baada ya mhudumu wa nyumba hiyo ya wageni kutaka kufanya usafi. “Marehemu inaelezwa alifika Juni 19 na kupanga chumba namba 208 katika nyumba hiyo ya wageni akitokea jijini Dar  es Salaam  na Juni 21 polisi walipokea taarifa ya kifo chake huku akiwa amelala ndani ya chumba alichokuwa amepanga ,”amesema. Amesema awali zilisambaa taarifa  kwenye  mitandao ya kijamii kuhusu kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni ya Giant Tanzania Printers Ltd akiwa amelala katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Dicco Inn iliyopo maeneo ya Iyunga mkoani Mbeya kwa madai siyo cha kawaida. Aidha amesema baada ya kupata taarifa 

Mfanyakazi wa uwanja wa ndege afariki baada ya 'kufyonzwa' ndani ya injini ya ndege ya Delta

Image
Mfanyakazi wa uwanja wa ndege amefariki baada ya kuingia kwenye injini ya ndege ya abiria huko Texas. Mfanyikazi huyo "alifyonzwa" ndani ya injini ya ndege ya Delta iliyokuwa ikielekea katika eneo lake la kuegeshwa huku injini moja ikiwashwa, maafisa walisema. Waajiri wa mfanyakazi huyo wanasema uchunguzi wa awali unaonyesha tukio hilo halihusiani na taratibu za usalama, lakini bado haijafahamika jinsi lilivyotokea. Uchunguzi pia unafanywa na wakala wa serikali. Bodi ya Kitaifa ya Usalama wa Usafiri ilisema imekuwa ikiwasiliana na Delta Air Lines na ilikuwa "katika mchakato wa kukusanya habari wakati huo." Ndege hiyo aina ya Airbus A319, iliwasili San Antonio Ijumaa usiku kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Los Angeles. Maafisa bado hawajamtaja mfanyikazi huyo wa Unifi Aviation, ambaye Delta Air Lines inaweka kandarasi kwa shughuli za wafanyakazi wa ardhini. "Tangu uchunguzi wetu wa awali, tukio hili halikuhusiana na michakato ya uendesha

Nilinusurika Kujiua Kwa Kutapeliwa Mamilioni ya Pesa

Image
Bishara zangu haswa ni za uuzaji wa madini nilizoianza mara tu bada ya kuhitimu masomo yangu ya chuo kikuuu pale Dodoma , nilijifunza ukemia kwa muda wa miaka mitatu nilipomaliza nikatafuta vibarua huku na kule na kwa bahati njema kubwa sana shangazi yangu aliyekuwa akifanya kazi kwenye machimbo huko chunya alinitengenezea nafasi ikawa rahsii zaidi wkangu kujiunga na shughuli hizo za uchakataji wa madini na usafishaji wa madini huko chunya , ikawa ndio awamu ya kwanza mimi kutoka nje ya mkoa wetu wa Dodoma .Maisha ni kujifunza na kwakweli yale niliypjifunza kule mbeya chunya ni makubwa , kwa sababu nilikuwa nikizijuwa shia za nyumbani kwetu sikuwa mtu wa kurukaruka viwanjani wala kufuja pesa ambayo niliiitafuta kwa shida na kushinda kwenye mavumbi ya mikemikali , niliitunza pesa na kuiheshimu kwa kuwa sikuona jipya lolote la kunipagawisha nifuje kidogo nilichokuwa nikikitengeneza, miezi tisa ilifanya kazi ya ukemia kule chunya na kwakweli mshahara ulikuwa mzuri na wa kutia moyo, kwa

Mbadala wa Beki Kisiki Joash Onyango Simba Kizungu Mkuti Wasita Kumpa Thank You

Image
BEKI kisiki kutoka Kenya, Joash Onyango ameiweka Simba pabaya baada ya kukomalia kutaka kuondoka baada ya kuandika barua kwa uongozi, huku mabosi hao wakimchomolea kutokana na kutokuwa na hakika ya kumpata hadi sasa mbadala kikosini. Onyango aliyesajiliwa na Simba, Agosti mwaka 2020 kwa mkataba wa miaka miwili kisha kuongeza mwingine msimu uliopita unaomalizika katikati ya msimu ujao, ameomba kuondoka kwa madai ya kutokuwa na furaha na maisha ndani ya klabu hiyo tangu msimu uliopita. Hata hivyo, hadi sasa mabosi wa klabu hiyo wanaendelea kujadiliana, huku wengi wao wakimzuia asiondoke kwanza hadi wapata mbadala na kama itashindikana basi atamalizia mkataba alionao kabla ya kumruhusu kwenye dirisha dogo litakalofunguliwa katikati ya Desemba mwaka huu. Habari kutoka ndani ya Simba na kuthibitishwa na mmoja wa mabosi wa klabu hiyo aliyeomba kuhifadhiwa jina kwa kusema, mabosi wanahaha kupata mbadala wake atakayekuwa mhimili mzuri kwenye safu ya ulinzi ila bado hajapatikana hadi sasa

Rammy Galis Atamani Baba yake Angekuwa hai

Image
Mwigizaji wa Bongo Movie Rammy Galis kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake juu ya Kumkumbuka Marehemu Baba yake. Rammy Kwa sasa ni Rubani na Mwigizaji Mkubwa wa filamu hivyo anatamani Baba Yake angekuwa hai ili ashuhudie Mafanikio haya. "I truly miss my father . He taught me how to walk , and other numerous life lessons . I wish he was here to see the person i became today . #Captain❤️ #RipDad❤️"---Rammy Galis. Mbali na Rammy Galis Kuonesha Mapenzi ya Dhati kwa Marehemu baba yake, pia anampenda sana Mama yake. Wiki Tano Zilizopita katika siku ya Mama Duniani, Rammy Gals ali-post picha akiwa na Mama yake kisha akaeleza kwamba Bila Mama asingekuwa anaishi sasa Maana katika Kipindi cha Shida na Njaa Mama Yake alihakikisha anamlisha Mwanae ingawa yeye alibaki na njaa. "Without Mom, I wouldn’t exist today, Even after war & hunger Mom ❤️ feeded me first and remained hungry . I don’t know how much I can do to atleast pay 50% of the things she di

Titan: Harakati Za Kutafuta Sababu Zilizochangia Nyambizi Kupasuka Zaanza

Image
Nahodha wa zamani wa manowari ya Royal Navy Ryan Ramsay ametaja baadhi ya sababu ambazo huenda zilipelekea nyambizi ya OceanGate ya Titan kupasuka kwenye mteremko wake kuelekea kulipotokea ajali ya Titanic. Ramsay aliliambia shirika la habari la PA kwamba moja ya mambo mawili yanaweza kuwa yametokea – mwili wa nyambizi wenye nati 17 zilizotumika kuwafunga abiria ilishindwa kufanya kazi, jambo ambalo lilisababisha chombo hicho kupasuka “kwa sababu kuna shinikizo kubwa, hata tu kufika nusu ya chini ya bahari”. Uwezekano mwingine ni kwamba huenda kulikuwa na kasoro ya awali katika mwili wa nyambizi yenyewe, na kusababisha matokeo kama hayo, aliongeza. “Kitu chanya pekee ni kwamba ajali ilitokea mara moja na hata hawakujua kilichotokea,” alisema. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/wfRb6JX via IFTTT

Yanga Yawafanyia Kitu Mbaya Waarabu Kuuboresha Mkataba Wa Mayele

Image
IMEFAHAMIKA kuwa Yanga juzi ilianza mazungumzo na mshambuliaji wake Mkongomani, Fiston Mayele huku ikipanga kuuboresha mkataba wake mpya watakaompa ili abakie kukipiga hapo. Mayele ni kati ya wachezaji ambao waliopata ofa nono na baadhi ya klabu za nje ya nchi zikiwemo Afrika Kusini na kutoka Uarabuni katika nchi za Saudi Arabia na Iran. Mshambuliaji huyo tayari yupo nchini tangu juzi Jumanne saa sita mchana akitokea DR Congo alipokwenda katika m ajukumu ya timu ya taifa iliyocheza mchezo wa kufuzu Afcon dhidi ya Gabon ambayo aliifungia timu yake bao. Mmoja wa Mabosi wa Yanga mwenye ushawishi mkubwa wa usajili, ameliambia Championi Ijumaa kuwa tayari wamempa ofa mshambuliaji huyo ya kuongeza mkataba mwingine wa miaka mitatu ambao unafikia zaidi Sh 500Mil ili abakie hapo. Bosi huyo alisema kuwa pia uongozi huo umemuwekea ofa ya mshahara inayofikia Dola 12,000 (Sh 28.6Mil) ambao ni zaidi ya ule wa mkataba huo wa mwaka mmoja alionao sasa hivi. Aliongeza kuwa akipewa ofa hiyo,

Azam FC Watoa Taarifa Rasmi Kuhusu Bernad Morrison

Image
Uongozi wa Azam FC umekanusha taarifa za kuwa mbioni kumsajili Kiungo Mshambuliaji kutoka nchini Ghana Bernard Morrison ambaye kwa sasa yupo huru baada ya kuachwa na Mabingwa wa Soka Tanzania Bara Young Africans. Morrison alitajwa kuwa katika mipango ya Azam FC, saa chache baada ya kupewa Thank You na Uongozi wa Young Africans juma hili, lakini fasta Uongozi wa Azam FC umekanusha kuwa hauna mpango na kiungo huyo, ambaye pia aliwahi kuitumikia Simba SC. Afisa Mtendaji Mkuu wa klabu hiyo yenye maskani yake makuu Chamazi jijini Dar es salaam, Abdulkarim Amin ‘Popat’ amesema Morrison hayumo kwenye orodha ya wachezaji wanaotakiwa na klabu hiyo kwa ajili ya msimu ujao wa Ligi Kuu na Michuano ya Kimataifa. Popat amesema baada ya kumsajili kiungo mshambuliaji Feisal Salum ‘Fei Toto’, wanatarajia kusajili wachezaji wa kigeni wawili au watatu kwenye nafasi ambazo zimeelekezwa na Benchi la Ufundi. “Katika wachezaji wanaokuja Morrison hayumo.” amesema kwa kifupi Afisa Mtendaji Mkuu huyo

Hali ya wasiwasi yatanda Moscow Putin hajulikani aliko

Image
Hali ya wasiwasi yatanda katika mji wa mkuu wa Urusi, Moscow.  Hayo yanajiri wakati kuna uvumi unaosambaa Moscow kuhusu kutoroka kwa Vladimir Putin katika mji huo. "Rais anafanya kazi Kremlin," anasema msemaji wake Dmitry Peskov, aliyenukuliwa na shirika la habari la serikali la Ria Novosti, ambalo lilimuuliza kuhusu uvumi unaosambaa kwenye mitandao ya kijamii unaodai kwamba rais Putin aliondoka Moscow kwa sababu ya uasi wa kundi la Wagner. Wakazi wa jimbo la Lipetsk watakiwa kusalia nyumbani "Ili kuhakikisha utaratibu na usalama wa raia wa jimbo la Lipetsk, Halmashauri ya kikanda inatoa wito kwa wakazi wasiondoke manyumbani kwao isipokuwa kama kuna ulazima, na kukataa kusafiri kwa magari ya kibinafsi" , imebaini akaunti ya Telegram ya mamlaka ya jimbo hilo,  linalopatikana kilomita 420 kusini mwa Moscow. Wito huu unaambatana na matangazo kwenye Twitter ya video zinazoonyesha safu ya magari, baadhi yao yakiwa yamebeba mizinga, yakipita kwenye barabara ya

PICHA:Huu Hapa Uwanja wa Yanga Unaotarajiwa Kujengwa Pale Jangwani

Image
Mwonekano wa Uwanja wa Yanga SC unaotarajiwa kujengwa katika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani, Dar es Salaam. Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000 hadi 18,000. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/HFtjKn7 via IFTTT

YANGA:Fei Toto Aliuzwa Azam Kwa Milioni 200

Image
Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema msimu wa 2022/2023 imeingiza TZS milioni 200 katika mauzo ya wachezaji. Msimu huu Yanga imemuuza mchezaji Feisal Salum kwenda Azam FC. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4wMhnpq via IFTTT

Geoff Lea: Fiston Mayele Atakuwa Mjinga Kubaki Yanga

Image
  Kuna kila dalili kuwa Fiston Mayele anaweza kuachana na Yanga kipindi hiki cha dirisha la usajili kutokana na kiwango bora alichoonesha msimu uliopita. Mashabiki wengi wa Yanga wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani wachezaji hawapo katika vilabu kwa mapenzi bali ni sehemu ya ajira kama zilivyo kazi nyingine. Mchambuzi wa Miche zo kutoka kituo cha E-fm na Tv E Geoff Lea anasema; ‘’Congo kungekuwa na maisha mazuri Fiston Mayele angebaki Congo asingekuja Tanzania, kwa sababu anatafuta maisha kwaajili ya familia yake na yeye binafsi ikija Ofa kutoka Saudia ambako wanalipa vizuri kuliko Yanga, ofa kutoka Afrika Kusini inalipa vizuri kuliko Yanga, Amerika ya Kaskazini, Angola ama Ulaya atakuwa mjinga kubaki Yanga" "Hata ingekuwa wewe kuna timu inakulipa mil. 50 na nyingine mil.20 na sifa nyingi utakwenda kwenye mil.50 wakati mwingine maisha ya mchezaji yanaweza kumalizwa kwa rafu tu.’’ Unamuona Mayele akibaki Yanga msimu ujao? from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DW

Cedrick Kaze Yanga Ndio Basi Tena Kuwa Kocha wa Geita Gold Mine

Image
Kocha kutoka nchini Burundi Cedrick Kaze anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Fredy Felix Minziro aliiyetupiwa virago Geita Gold FC, baada ya mkataba wake kufikia kikomo mwishoni mwa msimu 2022/23. Kaze anatajwa kuwa katika mipango ya Geita Gold FC, kufautia mkataba wake na Young Africans kumalizia na sasa yupo huru kujiunga na klabu yoyote ya ndani na nje ya Tanzania. Mmoja wa viongozi wa Geita Gold FC, amesema kuna asilimia kubwa ya Kaze kupewa jukumu la kuwa Kocha Mkuu ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa sababu ya mafanikio waliyoyapata Young Africans kwa msimu uliomalizika wa 2022/23. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sj1Ee5w via IFTTT

Ripoti ya Afya ya Manula Bado Kizungu Mkuti Kuilazimisha Simba Kusajili Kipa Mpya

Image
Uongozi wa Simba SC umehamishia nguvu katika Usajili wa Mlinda Lango mpya wa kigeni atakayechukua nafasi ya Mlinda Lango mzawa Aishi Salum Manula ambaye atakuwa nje ya Dimba kwa zaidi ya miezi mitatu. Manula anatarajiwa kuwa nje ya kikosi cha Simba SC, baada ya kufanyiwa upasuaji Afrika Kusini na huenda asionekane hadi mwezi Desemba mwaka huu, kwa mujibu wa taarifa ya madaktari wa klabu hiyo. Hali hiyo ndio imewaongezea chachu Mabosi wa Simba SC kugeukia eneo la Mlinda Lango atakayekuwa namba moja akisaidiwa na Ally Salim kwani Benno Kakolanya tayari ameshapewa Thank You na huenda akaibukia Singida Fountain Gate. Kocha Roberto Oliveira ‘Robertinho’, amewataka mabosi wa Simba SC kufanya haraka usajili wa Mlinda Lango mpya kutokana na ripoti ya Manula sambamba na mabeki wawili wa kati, huku majina yanayotajwa ni Fabien Mutombora na Alfred Macumu Mudekereza wanaoidakia Vipers ya Uganda timu aliyowahi kufanya kazi. Mbali na Walinda Lango hao, inaelezwa kuwa mabosi wa Simba SC wa

Kocha Minziro Ageuka Lulu Katika Makocha Wazawa Timu Zamgombania Kama Mpira wa Kona

Image
Kocha Fred Felix ‘Minziro’ amegeuka lulu sokoni akitakiwa na timu zaidi ya tatu za Ligi Kuu, baada ya kumalizana na Uongozi wa Geita Gold FC kwa kukamilisha mkataba wake na kushindwa kufika makubaliano. Timu hizo zilizoingia vitani kutaka saini ya Minziro, ni Namungo FC yenye mpango wa kuachana na Denis Kitambi, Mbeya City inayopanga kumwagana na Abdallah Mubiru na timu iliyopanda daraja msimu huu ya Tabora zamani ikiitwa Kitayosce iliyo mbioni kuachana na Henry Mkanwa. Hadi sasa Tabora United kabla ya kubadilishwa jina ndiyo inaongoza mbio za kumpata Minziro kutokana na kutumia ushawishi wa baadhi ya viongozi wa timu hiyo ambao ni marafiki wa kocha huyo. Mbeya City ni kama imetega tu kwani kabla ya msimu kumalizika ilikuwa na asilimia kubwa ya kumnasa Minziro na mazungumzo yalikuwa yameanza lakini baada ya kushindwa kusalia kwenye ligi na kulazimika kucheza mechi za Mtoane ‘Play Offs’ na Mashujaa ya Kigoma ambapo mchezo wa kwanza ilipoteza kwa kufungwa 3-1, na kulifanya dili

Kifaa cha Kwanza Cha Yanga Utaambulisho Wake Waandaliwa Maalum Usipime

Image
IMEBAINIKA kuwa, kuna chuma kipya Yanga kipo mjini tayari na huenda kikatambulishwa kupitia mkutano mkuu wa klabu hiyo unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumamosi katika Ukumbi wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar Es Salaam. Katika mkutano mkuu wa mwisho kufanyika mwaka jana ambao ulikuwa na ajenda pia ya uchaguzi mkuu ambapo alipatakana mshindi ambaye ni rais wa sasa wa Yanga Injinia Hersi Said, mashabiki wa Yanga walipewa sapraizi. Hersi baada ya kutangazwa kuwa Rais wa Yanga, alimtambulisha aliyekuwa kiungo wa Newcastle United ya England, Gael Bigirimana na kuibua shangwe zito japo usajili huo haukulipa ndani ya Yanga. Tayari chanzo chetu makini kutoka Yanga, kimelipa Spoti Xtra taarifa za uhakika juu ya uongozi wa Yanga huenda ukawapa sapraizi nyingine ya usajili wa mchezaji huku pia kukiwa na taarifa za Yanga kumshusha mmoja ya wachezaji ambaye tayari kila kitu wamemaliza na kumtambulisha siku hiyo ya uchaguzi mkuu. “Yanga kwenye mkutano huu mkuu huenda wakamshusha mchezaj

Erasto Nyoni na Jonas Mkude Kuagwa Siku ya Simba Day?

Image
LEGEND JONAS MKUDE NA ERASTO NYONI WATAAGWA RASMI SIKU YA SIMBA DAY, JANA KILICHOFANYIKA NI KUTOA TAARIFA YA KUACHANA NAO Ingewezekana kuagwa mechi ya mwisho lakini sio kila Mchezaji hutokea hivyo kwakuwa wengine lazima wakae mezani kukubaliana kisha kupeana mkono wa kwaheri. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/KbcP2VH via IFTTT

Mabaki ya Waliofariki Kwenye Nyambizi Haiwezi Kupatikana

Image
Sehemu ya mabaki ya Submarine hiyo ya Titan imegunduliwa ndani ya eneo la utafutaji na roboti ya ROV karibu na mabaki ya meli ya Titanic, Walinzi wa Pwani wa Marekani wametangaza hivi punde. Wataalam kwasasa wanatathmini habari hiyo. Taarifa kutoka kwa walinzi wa pwani inasema kwamba roboti aina ya ROV imepata mabaki katika sakafu ya bahari karibu na mabaki ya meli ya Titanic . Admirali John Mauger anayeongoza utafutaji huo pamoja na na kamanda Jamie Frederick wamezungumza katika kikao ma wanahabari. Maafisa wanasema vipande vitano vikubwa vilipatikana pamoja na mabaki karibu na meli ya Titanic. Miongoni mwao , ni pamoja na pua ya nyambizi hiyo.(muonekano wa mbele) Admiral Mauger anasema hawezi kuthibitisha kama Walinzi wa Pwani wa Marekani wataweza kuipata miili ya abiria watano waliokuwemo ndani ya nyambizi ndogo ya Titan. Ingawa bado wanaendelea kuyatafuta mabaki yote na kuona kama wataipata miili hiyo au laaah from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nABhJOV via IFTTT

Breaking: Waliokuwa Kwenye Chombo Kilichopotea Baharini Wakienda Kuangalia Mabaki ya Titanic Wote Wamefariki Dunia

Image
Taarifa ya muda huu inaeleza kuwa watu wote watano (5) waliokuwa kwenye meli ya chini ya maji (Monawari) iliyotoweka walipokuwa wakijaribu kutalii kwenye mabaki ya Meli ya Titanic wamekufa. Taarifa kutoka kampuni ya OceanGate Inc. Inayomiliki kifaa hicho (Monawari) imesema kuwa “Sasa tunaamini kwamba Mkurugenzi Mtendaji wetu Stockton Rush, Shahzada Dawood na mwanawe Suleman Dawood, Hamish Harding, na Paul-Henri Nargeolet, wamepotea. Wanaume hawa walikuwa wagunduzi wa kweli ambao walishiriki ari tofauti ya matukio, na shauku kubwa ya kuchunguza na kufanya utalii wa bahari za dunia. Mioyo yetu iko pamoja na nafsi hizi tano na kila mwanafamilia katika kipindi hiki cha msiba. Tunasikitika kwa kuwapoteza wapendwa wetu. Tangazo hili la vifo vya watu hao watano linakuja saa chache baada baadhi ya sehemu za chombo hiko (Monawari) kuonekana karibu na mabaki ya Titanic siku ya Alhamisi, na wataalam haraka walifanya kazi ya kutathmini walichokipata ... huku rafiki wa watu 2 kati ya waliopo

Dr Yegela Bingwa wa Magonjwa Sugu Nimerudi Tena Baada ya Kufanya Uchuguzi Porini Kwa Miezi 14

Image
DR YEGELA _________________________ Dar es salaam/Morogoro/kahama +255 658 651 613 BINGWA WA MAGONJWA SUGU NIMERUDI TENA BAADA YA KUFANYA UCHUNGUZI PORINI KWA MIEZI 14 Na kubaini dawa za kutibu magonjwa makuu ya binadamu A) KISUKARI Ugonjwa unaosumbua watu bila kupata tiba yake dawa ipo Ambayo ni NSELYA MIX MITI 8 Ni ya kutibu ugonjwa wa kisukari tu Dozi siku (10) Ni ya miti shamba ya kunywa na kupona kabisa Kwa umri wote kuanzia siku 1)_100) B/_TEZI DUME Kukojoa mkojo unaouma Kupata choo ngumu Kusikia maumivu chini ya kitovu Na kuumwa kichwa cha kisogo na kati MALE MIX _ MITI (4)_ Ni dawa ya kunywa na kupona kabisa bila kufanyiwa operation Dozi siku (12) C/NGUVU ZA KIUME Kupata maumivu makali katika kifua uti wa mgongo na kiuno Na kupoteza hamu ya tendo KORONGO MIXER POWER Ni suruhisho kwa wakina baba wanao tumia sekunde moja hadi tano sasa inakuwezesh kutumia dakika 30_60 na kukomaza uume kutoregea Dozi yake siku (4) inaanza kufanya kazi baada y

BREAKING: Fiston Mayele Abaki Yanga Asign Mkataba wa Miaka Miwili Kulipwa Mamilioni Haya

Image
Ameandika Rais wa Yanga Eng. Hersi "Fiston kalala Mayele 🇨🇩 has extended a two-year contract to continue serving the Yanga SC 🇹🇿,while being paid 28.5 M Tz Shillings per month,  highest paid player in Yanga SC and Tanzania at large ⭕ 🇹🇿" from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/I4ZF2WS via IFTTT