Posts

Showing posts from November, 2023

Mchezaji John Bocco Kumaliza Mkataba Wake Simba, Kupewa Shavu Hili na Simba

Image
John Bocco Kumaliza Mkataba Mshambuliaji wa klabu ya Simba, John Bocco anamaliza mkataba wake na Wekundu wa Msimbazi mwishoni mwa msimu huu na atakuwa Mchezaji huru (Free agent) ambapo hakuna mazungumzo ya kuongeza mkataba mpya. Kapteni John Bocco inatajwa hayupo kabisa kwenye mipango ya klabu ya Simba baada ya mkataba wake kumalizika, na mpaka hivi sasa tayari klabu imempa taarifa kuwa itaachana nae hivi karibuni. Simba inamtazama John Bocco kuwa miongoni mwa washauri wa timu hiyo baada ya mkataba wake wa utumishi kwa Wekundu wa Msimbazi kumalizika, Simba inasubiri ripoti ya Bocco mwishoni mwa mwezi ujao kama atakubali wadhifa huo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GY5UQPv via IFTTT

Meseji ya Mapenzi Kutoka Wrong Number Imenivurugia Ndoa Yangu

Image
Jamani, mwenzenu nimevurugwa mpaka nimevurugika, Jana nilirudi kutoka job nimechoka sana. Na ninapolala huwa sipendi kukaa na simu kitandani kwa kujua ina madhara kiafya. Ila niliweka mlio wa vibration kwa sababu sipendi makelele ya simu ninapokuwa nimelala. Ilipofika mida ya saa nne na nusu au tano kasoro, simu ikavibrate. Mke wangu akanishtua kuwa simu yangu inaita. Basi kwa sababu ya uchovu sikutaka kuamka, nikamwambia aniletee. Aliponiletea akawa amefungua na kuona kuna sms imeingia. Akaisoma. Sikuona tabu maana siku zote huwa anachukuaga tuu simu yangu na anaweza kukaa nayo kadiri aonavyo yeye, na akipenda anapitia whattsapp au sms inbox au kucheza games kwa uhuru bila tatizo lolote. Sasa jana Message iliyoingia ni ya kimapenzi kutoka kwa new number sms yenyewe inasema, " Nimelala mpenzi wangu, naamini na wewe pia umelala, uniote umenikumbatia, si unaona baridi hii? I wish ungekuwa hapa jamani leo nina hamu ile mbaya... " Ghafla mke wangu anabadilika sura na maong

Al Ahly yakeshea video za Yanga, waingia ubaridi

Image
AL Ahly watatua kwenye ardhi ya Tanzania leo kuikabili Yanga Jumamosi jioni. Lakini kiungo wao,Allou Dieng amekiri kwamba wako kwenye presha kubwa kuelekea mchezo huo. Amekiri kwamba wamepata fursa ya kuipekua Yanga haswa kwenye mechi ya mwisho dhidi ya CR Belouizdad lakini wamegundua ina mabadiliko makubwa kiuchezaji, lakini kinachowaumiza ni kukosa matokeo kila wanapokanyaga Kwa Mkapa. Dieng ambaye ni panga pangua, alisema bado wanajitafuta kwa jinsi gani watapata matokeo ya ushindi kwenye ardhi ya Tanzania kwasasa kwani tangu ametua Ahly hajashinda Kwa Mkapa na mara ya mwisho walisare katika mechi ambayo waliamini watashinda. “Tulipokuja Tanzania mara ya mwisho kucheza na Simba tuliona kwamba ni mchezo ambayo tulistahili kushinda kwa jinsi tulivyoianza mechi lakini baadaye tukafanya makosa ya kuruhusu mabao mawili ya haraka,” alisema Dieng. “Tunakuja tukijua kwamba tunakwenda kucheza uwanja mgumu kwasasa kwetu tunataka kuhakikisha kwamba tunabadilisha haya matokeo ingawa

Ally Kamwe: Hatutaki vikao vya usiku kama wenzetu

Image
Ally Kamwe: Hatutaki vikao vya usiku kama wenzetu Wakati Yanga wakijiandaa kukabiliana na Mabingwa watetezi wa Ligi ya Mabingwa Afrika Klabu ya Al Ahly siku ya Jumamosi Desemba 2 katika Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam. Ofisa habari wa Klabu hiyo Ally Kamwe amesema ni vyema Mashabiki wakajitokeza kuipa timu hakasa kwa wingi ili kuhakikisha wanamalizana na Ahly hapa hapa nyumbani. Akizungumza kamwe anasema; Ukiona mtu anajadili mpira usiku wa manane ujue yamemfika hapa, sasa sisi Yanga SC hatuhitaji kufika huko, sisi Yanga ndio tuna mashabiki bora Afrika na tunaenda kuionyesha Afrika kuwa walikosea kuwapa wale Simba sisi tunaenda kuijaza Benjamin Mkapa, maana vitu vyote wamejifunza kwetu sisi Yanga sasa wanakuwaje bora zaidi yetu." from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/BC4lf3n via IFTTT

Mambo 13 Usiyoyajua Kuhusu Adolf Hilter Ikiwemo la Kuwa na Korodani Moja

Image
Nani ambaye hamjui Dikteta Adolf Hitler? Adolf Hitler ni mtawala maarufu zaidi katika karne ya ishirini, kiongozi wa chama cha Kinazi aliyeitawala ujeruman kati ya mwaka 1934 mpaka 1945. Kama ulikuwa hujui, hitler ndiye mwanzilishi mkuu wa vita ya pili ya dunia. Yafuatayo ni mambo  usiyoyajua kuhusu Adolf Hitler. Alipendelea zaidi kuangalia Filamu za mauaji, wafuasi wake walipenda kurekodi video pale walipokuwa wanawauwa wafungwa na kumpelekea Hitler! Adolf Hitler Ndiye aliyeanzisha sheria ya kutovuta sigara hadharani. Alikuwa mvuta sigara enzi za ujana wake na alikuja kuacha baadae akidai ni utumiaji mbaya wa fedha. Licha ya kufurahia Kuua sana binadamu, adolf alipinga sana ukatili wa wanyama, na alikuwa hali nyama ya aina yeyote ile. Hitler aliokolewa kufa maji na mfanyakazi wa kanisa alipokuwa na umri wa miaka minne (4), na kwa kipindi hicho, hitler ilipenda saana awe mfanyakazi wa kanisa akiwa mkubwa. Mpenzi wa kwanza wa Hitler alikuwa myahudi na aliona aibu kumueleza

Simulizi ya maisha Mtanzania aliyeuawa Israel

Image
Wanafunzi waliokuwa wakisoma Chuo Kikuu cha Sokoine (Sua) pamoja na marehemu Clemence Mtenga (22), ambaye aliuawa nchini Israel, wameelezea namna walivyoishi naye huku wakidai wataukosa upendo na namna alivyojali wengine. Wametoa simulizi hiyo leo Novemba 28, 2023 nyumbani kwa marehemu Kirwa, wilayani hapa, wakati walipofika kushiriki maziko ya Clemence ambayo yanafanyika leo. Akizungumza Mwananchi Digital, Anthony Kanyanza mmoja wa wanafunzi hao, amesema kuwa kifo hicho kimewasikitisha na kuwashtua kwa kuwa kilitokea ghafla na kimewapa wakati mgumu kukubali ukweli huo. "Mimi ni miongoni mwa wanafunzi tuliobahatika kusoma na kukaa na Clemence, kwa kweli taarifa za kifo chake tulizipokea kwa masikitiko makubwa maana zilikuwa za ghafla na za kushtua na muda si mrefu tulikuwa tumewasiliana naye. “Hatukuweza kuzipokea kwa wepesi na ilikuwa ni ngumu kukubali na kwa kiwango kikubwa mpaka sasa bado kuna ugumu wa kupokea na kuzikubali taarifa za kifo chake, ila ni mipango ya Mu

CCM yampongeza Samia kumtumbua Gekul "Akithibitika, ashughulikiwe"

Image
  Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT), Mary Chatanda amesema Umoja huo umepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za tuhuma zinazomkabili Mbunge wa Babati Mjini Pauline Gekul kuhusu kumfanyia ukatili Kijana Hashim Ally Babati Mjini Mkoani Manyara ambapo wamesema ikithibitika ametenda kosa hilo achukuliwe hatua kali. “UWT tunazunguka nchi nzima kupinga na kukemea ukatili wa kijinsia na kuporomoka kwa maadili, hivyo tunapinga vikali kitendo hiki na endapo tuhuma hizi za Gekul zitathibitika hatua stahiki zichukuliwe na adhabu kali itolewe dhidi yake, UWT haitovumilia Kiongozi yoyote Mwanamke atakayethibitika anafanya vitendo vya ukatili wa kijinsia. “UWT tunampongeza Rais Samia kwa kutengua uteuzi wa Gekul kama Naibu Waziri wa Katiba na Sheria na tunaviomba Vyombo vya Dola kukamilisha uchunguzi kwa haraka ili kuleta imani kwa Wananchi.” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2OcG7Mm via IFTTT

Kocha Gamondi na Mtihani Mgumu Mbele yake, Yeye na Wachezaji Waapa Kufa au Kupona Kwa Mkapa

Image
  KOCHA Mkuu wa Yanga, Miguel Gamondi amewataka wachezaji wake kufa au kupona kupata pointi tatu kuelekea mchezo wao wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al Ahly ya Misri ili kujiweka kwenye nafasi ya kusonga mbele . Amesema walipoteza mechi ya kwanza kutokana na makosa yao na mechi yao ijayo ni muhimu kupambana ili kupata matokeo chanya kwa sababu wakipoteza nyumbani dhidi ya Al Ahly watakuwa na kazi kubwa. Yanga imerejea nchini baada ya kupoteza mechi ya kwanza dhidi ya CR Belouizdad ya Algeria na wako kambini kujiandaa na mchezo wa pili wa michuano hiyo dhidi ya wageni wao Al Ahly uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es Salaam saa 1:00 usiku. Kocha huyo ambaye amekuwa akifatilia mechi za wapinzani wao kila wanapocheza leo usiku atawafatilia Al Ahly ambayo inashuka dimba katika mchezo wa ligi ya Misri dhidi ya Smouha. Gamondi alisema amekuwa akiwafatilia mechi za wapinzani wao wanapocheza ila kuona wapi anatakiwa kufanyia kazi na kuboresha kikosi chake kabla

Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 28 November 2023

Image
  Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 28 November 2023 ALSO READ:   Matokeo Yanga Vs CR Belouizdad Leo 24 November 2023, CAF from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nYpc52J via IFTTT

Vijidude Vilivyonisaidia Kushinda Kesi Kubwa Mahakamani..

Image
Jina langu ni Waithera kutoka katika kaunti ya Nairobi, tulimiliki shamba katika mtaa wa kifahari wa Runda ambapo shamba hilo lilikuwa takriban ekari 10. Mimi pamoja na mume wangu tulikuwa na hatimiliki ya shamba lile na hata tulikuwa tumejenga nyumba za kupangisha katika shamba hilo.  Muda ulivyosonga, mume wangu alipata ajali mbaya ya barabarani na kufariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Aghakan mjini Nairobi. Baada ya wiki moja hivi, alijitokeza jama moja tajiri aliyedai kwamba alikuwa mmiliki wa shamba letu, sio hayo tu, bali pia alipeleka kesi kortini kutaka kulichukua shamba letu.  Alianza hata kunipa vitisho kwamba ananipa siku chache ili niweze kumpa hatimiliki ya shamba lile, sikuwa tayari kufanya hivyo kwani nilifahamu kwamba shamba lile lilikuwa langu na marehemu mume wangu.  Baada tu ya kumzika mume wangu hali ilianza kuwa mbaya kwani alikuwa akiwalipa vijana mtaani ili waweze kunitishia niligeze kamba na yeye kutwaa shamba lile.  Mara kesi alianza

Edo Kumwembe 'Yanga Walijisahau Wakajiona wao ni Mamelodi Sundown's au Al Ahly'

Image
“Majuzi nilikuwa nawasifu Yanga namna ambavyo wanakuwa bora wakati hawana mpira. Katika mechi hii hawakuwa na ubora wowote ule wakati hawana mpira. Walijisahau na kujiona wao ni Al Ahly. Walijisahau na kujiona wao ni Mamelodi Sundowns. Wakajisahau na kujiona wao ni Man City. Nyodo za kujaribu kucheza vizuri na kusaka wakiwa ugenini zikawaponza Yanga.” - Edo Kumwembe from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/WpjQr78 via IFTTT

Haji Manara "Barbara Alivyoteuliwa tu Kuwa CEO wa Simba Nilimpigia Mo Dewji Nataka Kuacha Kazi"

Image
Simba walikuwa wananilipa mshahara usiokuwa na mkataba maalumu ,Yanga wamemiwekea mzigo mezani ,mapenzi ya mashabiki wa Yanga ni makubwa kuliko yale ya Simba sasa kwanini hiyo timu mimi nisiipende “ “Barbara wakati anateuliwa kuwa mjumbe wa bodi ,wakati huo CEO wetu alikuwa Senzo na Senzo alikosa raha kwa sababu ya kuingiliwa majukumu yake ,baadae Senzo akaenda Yanga Barbara akawa CEO na mimi nilishaona huyu hatuwezi kufanya kazi pamoja “ “Alivyoteuliwa tu nikampigia simu Dewji kumueleza kwamba nataka kuacha kazi ,siwezi kufanya kazi na Barbara tutagombana ,wakatuitishia vikao zaidi ya saba, kuna siku uongozi ukasema umeshindwa na wote wanatuhitaji kakaeni wenyewe “ “Nilikaa kikao na Barbara toka saa 10 jioni mpaka saa 7 usiku ,shida kubwa Barbara aliingia pale na kutaka kuonyesha power yangu ni ndogo” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/RpkO9tj via IFTTT

Maskini Gigy Money Ataka Kujiua KISA Video yake ya Ngono Kusambaa Mtandaoni, Aweka Kitanzi

Image
  Msanii wa maigizo, muziki na mwanamitandao Gift Stanford Joshua maarufu kama #GigyMoney ameibua hofu na mijadala mtandaoni baada ya kuweka mtandaoni ujumbe wenye ishara za kutaka kujioa uhai. Gigy ameweka picha ya kitanzi kwenye ukurasa wake Instagra na maelezo kuwa anafanya kila analoweza kwa nia ya kusaidia mwanae wa kike lakini anajihisi kuwa kwa sasa anaelemewa na anatamani kupumzika. "God Am tired.... I want to rest... when God... am so weak God you say I have to depend. On you.. uko wapi ... this is too Much for Me God ..Mung najaribu kwa ajli ya uyu binti tu lakini nimechoka nataka kupumzika" amenadika Gigy kisa akaondoa post hiyo ndani ya muda mfupi. Hata hivyo ujumbe huu unakuja masaa kadhaa tangu kusambaa kwa njia ya mtandao kwa video anayotajwa kuonekana akishiriki mapenzi na mwanaume faragha. Aidha, kupitia mitandao baadhi ya wadau na wapenzi wa kazi zake wamelaani kitendo cha kurekodi na kusambazwa kwa picha hizo za faragha ambazo baadhi yao wanada

Watu Wa 5 Waliokufa Na Kuzaliwa Mara Ya Pili......

Image
Je Unajua Watu Wakifa huwa wanaenda wapi..na je stori ya kuwa ukifa huwa unazaliwa tena sehemu nyingine umeshawahi isikia? hawa hapa Watu Wa 5 Waliokufa Na Kuzaliwa Mara Ya Pili.! from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/agn7fdW via IFTTT

Baada ya Kichapo Yanga Waona Isiwe Tabu, Kiingilio Mechi ya Al Ahly Kwa Mkapa Chapunguzwa

Image
Hivi hapa Viingilio vya mchezo wetu wa pili #CAFCL dhidi ya Al Ahly SC utakaochezwa tarehe 02.12.2023 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. 🔔𝐏𝐔𝐍𝐆𝐔𝐙𝐎 𝐊𝐔𝐁𝐖𝐀 la 𝟓𝟎% kwa Mwanachama 𝐇𝐀𝐈 linapatikana Makao Makuu ya Klabu, Jangwani. Wahi sasa kukata tiketi yako mapema🔰 #TimuYaWananchi #DaimaMbeleNyumaMwiko from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dm345IA via IFTTT

Yanga Yafungwa 3 Bila na CR Belouizda Klabu Bingwa Afrika

Image
  Wananchi Yanga SC ni kama wamekaribishwa kwenye michuano ya Klabu Bingwa Afrika kwa kuchezea kichapo cha goli 3-0 kutoka kwa CR Belouizdad. Yanga wameingia hatua ya Makundi Klabu Bingwa Afrika msimu huu baada ya kupita miaka mingi kadhaa bila kucheza michuano hiyo mikubwa zaidi kwa levo ya klabu. SOMA PIA:  Yanga wakiwa ugenini nchini Algeria, walikubali kuchezea kichapo hicho ukiwa ni mchezo wao wa kwanza wa hatua ya Makundi. Magoli ya Belouizdad yamewekwa kimiani na Benguit dakika ya 10 ya mchezo na Abdul dakika ya 45. Chuma ya tatu ilimaliziwa na Jalou dakika ya 90 ya mchezo. Magoli hayo mawili yalitosha kuwaangamiza Yanga na hadi filimbi ya mwisho inapulizwa, Belouizdad 3-0 Yanga. Kwenye kundi lao, CR wanaongoza wakiwa na alama 3 huku ukisubiriwa mchezo kati ya Al Ahly na Medeama utakaopigwa kesho ili kutoa picha ya kundi lao baada ya mechi zao za kwanza. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sxhKCJN via IFTTT

Klabu ya Simba SC imemtangaza rasmi Kocha wao Mpya

Image
Klabu ya Simba SC imetangaza rasmi Adelhak Benchikha (60) kuwa ndio Kocha wa mpya baada ya kuachana na Robertinho. Kocha Adelhak ambaye ni Raia wa Algeria ndio Kocha aliyeipa Ubingwa USM Alger wa Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga SC. Kocha Adelhak ni Kocha Mkubwa sana Afrika hususani Kaskazini na amewahi kufundisha hadi timu ya Taifa ya Algeria. Hii hapa ni sehemu ya list ya vilabu vikubwa alivyowahi kufundisha CR Belouzdad, MC Alger, USM Alger, ES Setif ya Algeria, Club Africain ya Tunisia, Raja Casablanca, Difaa El Jadida na RS Berkane vya Morocco. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/2yMQRc7 via IFTTT

Hichi Hapa Kikosi Cha Yanga Vs CR Belouizdad Today 24 November 2023, CAF

Image
Hichi Hapa Kikosi Cha Yanga Vs CR Belouizdad   Hichi Hapa Kikosi Cha Yanga Vs CR Belouizdad Today 24 November 2023, CAF Katika chapisho hili, tutawasilisha kikosi cha Young African Sport Club kitakachomenyana na CR Belouizdad Sports club mnamo Novemba 24. Kikosi cha Young african dhidi ya kikosi cha CR Belouizdad kitakuwa na wachezaji 11 ambao wataanza na wengine 7 ambao watatumika kama mbadala wa mabadiliko kama inahitajika. Kikosi cha Yanga Ligi Ya Mabingwa leo Ijumaa 24 Novemba 2023 CAF Champions League. Young Africans Sports Club ni klabu ya soka yenye maskani yake Jangwani, Dar es Salaam, Tanzania. Klabu hiyo iliyoanzishwa mwaka 1935, inacheza michezo yake ya nyumbani kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Inayopewa jina la utani “Timu ya Wananchi” (Klabu ya Watu) au “Yanga” (Young Boys), Young Africans ni mojawapo ya klabu kubwa mbili nchini Tanzania, pamoja na mahasimu wao Simba. Klabu hiyo imeshinda mataji 27 ya ligi na vikombe vinne vya nyumbani, na imeshiriki katika

Matokeo Yanga Vs CR Belouizdad Leo 24 November 2023, CAF

Image
Matokeo Yanga Vs CR Belouizdad Leo Matokeo Yanga Vs CR Belouizdad Leo 24 November 2023, CAF  Matokeo Yanga sc vs CR Belouizdad leo CAF Kimataifa, Takwimu za Mechi na Muhimu. Yanga SC na CR Belouizdad wanatarajiwa kumenyana katika mechi inayosubiriwa kwa hamu katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika (CAF Champions League) Novemba 24, 2023. Timu hizo mbili zina upinzani wa muda mrefu, na mashabiki wanasubiri kwa hamu mpambano kati ya wababe hao wawili wa Afrika. soka. Yanga SC, ambayo pia inajulikana kwa jina la Young Africans, ni klabu ya soka ya Tanzania iliyoanzishwa mwaka 1935. Imeshinda Ligi Kuu ya Tanzania mara 27 na ni moja ya klabu zenye mafanikio makubwa zaidi ya soka nchini Tanzania. Al Ahly, kwa upande mwingine, ni klabu ya soka ya Misri iliyoanzishwa mwaka wa 1907. Ndiyo klabu yenye mafanikio makubwa zaidi katika historia ya soka ya Afrika, ikiwa imeshinda rekodi ya Ligi ya Mabingwa ya CAF mara 10. Mchezo ujao kati ya Yanga SC dhidi ya CR Belouizdad unataraji

Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 24 November 2023

Image
  Haya Hapa Magazeti ya Leo Tarehe 24 November 2023, Soma Vichwa vya Habari kutoka katika Magazeti Makubwa ya Tanzania from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UHl8iXO via IFTTT

Kocha Stars Ajitetea Sababu za Kuwapiga Benchi Samatta, Msuva

Image
  Kocha Mkuu wa Taifa Stars Adel Amrouche amesema Jana amefanya mabadiliko ya Kikosi kwa kuwaweka nje wachezaji Kama Mbwana Samatta, Simon Msuva, Aishi Manula na wengine ilikuwa ni kuwapa nafasi vijana wengine kuonesha walichokuwa nacho kabla ya kwenda kwenye mashindano ya AFCON nchini Ivory Coast, mwezi Januari. Amrouche alisema: “Sio kila siku Mbwana Samatta au Simon Msuva, mechi dhidi ya Niger tulitumia nguvu nyingi sana kwa hivyo kwenye mchezo dhidi ya Morocco nifanye mabadiliko katika Kikosi changu ndio maana nimewaweka nje kwanza Samatta na Msuva. “Lakini pia sio kwa bahati mbaya nimewaweka nje kwa ajili ya kuwaangalia wachezaji wengine na uwezo wao kwa ajili ya AFCON mwezi Januari, kama siku zote wanacheza wao nitawajuaje wachezaji wengine kwenye mechi wanakuaje na hii itanisaidia kujua kikosi changu cha AFCON. “Maana hatuna muda wa michezo mingi ya Kirafiki kwa hivyo Kuna muda najaribu wachezaji wengine kwenye mechi ya mashindano.”- amesema Kocha Mkuu wa Taifa Stars, A

Mrembo Wema Sepetu Aipigia Saluti Jezi ya Yanga

Image
Muigizaji Wema Sepetu amevutiwa na 'jezi' za klabu ya Yanga zilizozinduliwa mchana wa leo ambazo zitavaliwa katika michuano ya ligi ya mabingwa Africa (CAFCL). Wema kupitia ukurasa wake wa Instagram ametoa pongezi kwa uongozi wa Yanga na kwa mtengenezaji wa 'jezi' hizo Sheria Ngowi kwa kutumia umaridadi mkubwa katika kuzitengeneza. kwa upande wako umekubali uzi upi katika 'jezi' hizo ? from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/liG2VxD via IFTTT

Niliweza Kushika Ujauzito Baada ya Kuangaika sana

Image
Katika maisha yangu niliangaika kwa miaka mingi kutafuta ujauzito, nilienda kila Hospitali, nilitumia kila aina ya dawa hasa za mitishamba lakini sikufanikiwa kupata mimba.  Jina langu ni Anna, niliolewa miaka saba iliyopita, mwanzo tulikuwa tunapendana sana na mume wangu kiasi kwamba hata majirani naweza kusema walivutiwa na ndoa yetu.  Hata hivyo, miaka miwili ndani ya ndoa mambo yalianza kubadilika hasa upande wa mume wangu kutokana na mimi kutobeba ujauzito kwa muda wote huo. Aliweza kunitamkia wazi wazi kuwa anataka mtoto na endapo nisipoweza kufanya hivyo basi wakati wowote tutaachana, nilikuwa mtu mwenye kulia tu kila wakati na kuuliza kosa langu ni lipi kwani kila mtu ana wakati wake wa kufanikiwa kimaisha.  Kilichokuja kuniumiza zaidi ni maneno ya mawifi zangu pamoja na mama mkwe wangu ambao walikuwa anadai kuwa mimi natumia tu fedha za ndugu yao bila mafanikio yoyote yale.  Nilikuja kuondokana na taabu yote hiyo baada ya siku moja kutembelea tovuti ya African Doctors