Posts

Showing posts from September, 2023

Yanga Yatinga Hatua ya Makundi CAF Baada ya Kuitandika Al Merreik Nje Ndani

Image
KLABU ya Yanga SC imefanikiwa kutinga hatua ya makundi michuano ya Klabu Bingwa Afrika baada ya kuichapa Al Merreik ya Sudan bao 1-0 mchezo ambao umepigwa kwenye dimba la Chamazi. Kwa mara ya mwisho Yanga SC kufuzu hatua ya makundfi ilikuwa mwaka 1998 takribani miaka 25. Akichukua nafasi ya Kennedy Musonda,Mshambuliaji Clement Mzize aliwanyanyua wananchi waliofurika uwanja wa Chamazi akifunga bao dakika ya 66 kwa kichwa akimalizia krosi ya Joyce Lomalisa. Yanga SC wametinga hatua ya makundi kwa jumla ya mabao 3-0 baada ya mchezo wa kwanza uliopigwa nchini Rwanda,Yanga walishinda mabao 2-0. Sasa rasmi Yanga SC inaungana Pyramids FC,Al Ahly zote za Misri,Jwaneng Galaxy ya Botswana,TP Mazembe ya DR Congo,Ptro Atletico ya Angola,Mamelodi Sundowns ya Afrika Kusini,Medeama SC ya Ghana. Michuano hiyo itaendelea kesho katika uwanja wa Azam Complex Chamazi wekundu wa Msimbazi Simba SC watawakaribisha Power Dynamos kutoka Zambia huku Simba wakihitaji ushindo wowote au sare yoyote w

Sababu Kuu Zinazosababisha Upungufu wa Nguvu za Kiume na Maumbile ya Kiume Kuwa Madogo

Image
Hizi ni sababu kuu zinazosababisha upungufu wa nguvu za kiume na uume kuwa mdogo mdogo:-👇👇 "KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, TEZI DUME, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K." *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika keleleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:-👇👇 1.GOLD MACA/GING SENG PILLS @250,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham ya tendo na nguvu za kiume hata kwa walioathiriwa na kujichua au kisukari >BIG XXL GEL @250,000/= >Huongeza uume kwa inch 6.5 hadi 8 ndani ya wiki mbili tu 3.MALE EXTRA/WENICK CAPSULES @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothirika kwa KISUKARI na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli ya uume 5.VIGA SPRAY @200,000/= >Hu

Pyramids ya Mayele yatinga Makundi Ligi ya Mabingwa

Image
Mostafa Fathi amefunga magoli manne na kuisaidia Pyramids kutinga hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa jumla wa magoli 6-1 dhidi ya miamba ya Rwanda, ARP FC. Mchezo wa mkondo wa kwanza ulimalizika kwa sare ya 0-0 kabla ya Pyramids kugeuka mbogo kwenye mchezo wa marudiano. Mshambuliaji wa zamani wa Yanga SC Fiston Mayele alianzia benchi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fAqL0eF via IFTTT

Wanne Wafariki, Sita Wajeruhiwa Ajali ya Gari Handeni

Image
 Wanne Wafariki, Sita Wajeruhiwa Ajali ya Gari Handeni Handeni. Watu wanne wamefariki dunia na wengine sita kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya BM Coach kugongana na Toyota Noah katika eneo la Manga Wilaya ya Handeni, Mkoa wa Tanga. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi amethibitisha kutokea kwa tukio hilo jioni ya leo Ijumaa, Septemba 29, 2023 na kusema ilihusisha Noah na basi la Kampuni ya BM Coach ambalo lilikuwa likitokea Barabara ya Segera. "… Kweli imetokea ajali watu wanne wamefariki dunia na wengine sita wamejeruhiwa katika eneo la Manga wilayani Handeni," amesema Kamanda Mchunguzi. Mganga Mfawidhi Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya Handeni, Abdulmajid Makoye amekiri kupokea miili ya marehemu hao pamoja na majeruhi wengine sita ambao kutokana na majeruhi yao walisafirishwa. Amewataja majeruhi wa ajali hiyo kuwa ni Amina Zuberi (50) mkazi wa Lushoto, Badru Hinda (4) na Nicolaus Mahimu (32) wa Dar es Salam, Joseph Joachim (39), Mariam Hamis

Hili Balaa la Mchezaji Aziz K Msimu Huu Balaa Tunalo Aisee..

Image
  Kiungo mshambuliaji wa Klabu ya Yanga, Aziz Stephanie Ki amesema kuwa kikosi cha timu hiyo msimu huu ni bora zaidi kuliko msimu uliopita kwani wameanza vizuri kwenye mechi zao na kila mmoja ana uwezo wa kufunga badala ya kumtegemea mchezaji mmoja. Aziz Ki amesema hayo kuelekea mchezo wao wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Al-Merrikh ya Sudan itakayopigwa kesho Septemba 30, 2023 katika dimba la Azam Complex, Chamazi. Katika mechi tatu za Ligi, Yanga imeshinda mechi zote ikiwa imefunga mabao 11 bila kuruhusu bao hata moja wakati kwenye Ligi ya mabingwa, katika mechi tatu wamefunga mabao 9, na kuruhusu bao 1 pekee. “Siwezi kuwaahidi lolote mashabiki kwa sababu hujui lolote kuhusu kesho, lakini jambo la muhimu ni kujituma kwa sababu timu ilinisajili kwa kuwa inataka kuingia hatua ya makundi. Msimu uliopita haikuwezekana lakini tunamshukuru Mungu. “Huu msimu timu yetu iko imara zaidi ya msimu uliopita kwa ninavyoiona mimi. Kila mchezaji anacheza vizuri kwa hiyo tunaamini timu it

IKULU: Taarifa Kwa Vyombo vya Habari

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan ameteua na kuridhia uteuzi wa viongozi kama ifuatavyo: Amemteua Bw. Joel Laurent kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (Tanzania Fertilizer Regulatory Authority – TFRA). Kabla ya uteuzi Bw. Laurent alikuwa Mhadhiri, Shule ya Sheria kwa Vitendo (Law School of Tanzania). Ameridhia uteuzi wa Bw. Patrick Magologozi Mongella kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Nafaka na Mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Board – CPB). Bw. Mongella ni Mkurugenzi wa Miradi, Benki ya Maendeleo TIB. Ameridhia uteuzi wa Bi. Mwanahiba Mohamed Mzee kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pembejeo za Kilimo (Agricultural Inputs Trust Fund – AGITF). Bi. Mwanahiba aliwahi kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Ecobank Tanzania. Ameridhia uteuzi wa Bi. Irene Madeje Mlola kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Nafaka na mazao Mchanganyiko (Cereals and Other Produce Regulatory Authority – COPRA). Bi Mlola aliwahi kuwa Mkurug

Mashabiki Power Dynamos Watua Dar Kwa Kishindo Kuhakikisha SIMBA Anashikwa Mkia

Image
Mashabiki wa Klabu Bingwa nchini Zambia Power Dynamos wapo safarini kuelekea jijini Dar es salaam kwa ajili ya kuishangilia timu yao, itakayokabiliwa na mchezo wa Mkondo wa pili wa kuwania kufuzu Hatua ya Makundi Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, dhidi ya Simba SC. Miamba hiyo itakutana Jumapili (Oktoba Mosi) katika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi jijini Dar es salaam, huku ikikumbuka matokeo ya sare ya 2-2 yaliyopatikana kwenye mchezo wa Mkondo wa Kwanza uliopigwa Uwanja wa Levy Mwanawasa mjini Ndola, Zambia Jumamosi (Septemba 16). Klabu ya Power Dynamos imethibitisha kusafiri kwa Mashabiki hao kupitia kurasa zake za Mitandao ya Kijamii, kwa kuweka picha inayowaonesha wakiwa safarini kwa njia ya barabara. Hatua hiyo ni kama majibu kwa Mashabiki wa Simba SC ambao walisafiri kuelekea Ndola, Zambia kwa lengo la kuishangilia timu yao ikicheza ugenini na kuambulia matokeo ya sare ya 2-2. Wakati Mashabiki wakiendelea na safari, Kikosi cha Power Dynamos kinatarajiwa kuwasili jijini Dar

Timu ya Messi Inter Miami wapokea kichapo Fainali ya US Open Cup 2023

Image
  Klabu ya Inter Miami leo alfajiri imekubali kichapo cha 2-1 magoli dhidi ya Houston Dynamo FC kwenye mchezo wa Fainali ya US Open Cup 2023 uliopigwa katika dinmba la DR PNK huko nchini Marekani. Inter Miami imepokea kipigo hicho huku ikiendelea kumkosa nahodha wake majeruhi Lionel Messi ambaye alishuhudia Houston Dynamo ikitwaa taji la US Open 2023 akiwa jukwaani. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iLonU1c via IFTTT

Rais Yanga Agoma Kuvaa Bukta "Aziz KI Day"

Image
  Rais wa Young Africans Sports Club, Hersi Said amesema atakwenda na funguo katika mechi ya timu yake dhidi ya El Merrikh ya Sudan Jumamosi. Hersi amesema atafanya hivyo ili kuungana na mashabiki na Wanachama wa timu hiyo kwa ajili ya siku ya Aziz KI Day “Pale jukwaani tunapokaa viongozi kuna taratibu zake za mavazi, ni ngumu kuvaa bukta, sijui nisemaje, lakini niwahakikishie nitakuwa na funguo yangu mkononi” alisema Hersi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/cRdS2KW via IFTTT

Baba Levo: BASATA kuweni macho na Nay qa Mitego Anataka toa Wimbo Mpya

Image
  Mwanamziki maarufu kutoka nchini Tanzania BABA LEVO,ameonekana kuwa na wasiwasi na nyimbo mbili alizotangaza msanii mwenzake NAY WA MITEGO kuziachia,huku Nay akiwataka mashabiki wachague gani ianze kuna ya michano na ya kujirusha. Wasiwasi wa Baba Levo unatokana na kile kwamba Nay amekuwa msanii wa kufungiwa nyimbo sana na Baraza la sanaa nchini humo BASATA kila mara anapotoa nyimbo,Levo ameiomba BASATA kua macho. "Nina ngoma mbili hapa zipo tayari Kuna club banger na la michano,tuanze ipi hapa semeni wanangu' huku Baba Levo akijibu...`BASATA njooni chap anatoa huku...," amesema BABA LEVO from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CYOrPyw via IFTTT

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 29, 2023

Image
                                Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 29, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/HF8DIJf via IFTTT

Vijue vyanzo, Dalili na Tiba Sahihi ya Upungufu wa Nguvu za Kiume, Pia Ongeza Maumbile

Image
Yafuatayo ni baadhi ya mambo yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo:-👇👇 "KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, TEZI DUME, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K."     *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika keleleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu     *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:-👇👇 1.GOLD MACA/GING SENG PILLS @250,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham ya tendo na nguvu za kiume hata kwa walioathiriwa na kujichua au kisukari >BIG XXL GEL @250,000/= >Huongeza uume kwa inch 6.5 hadi 8 ndani ya wiki mbili tu 3.MALE EXTRA/WENICK CAPSULES @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothirika kwa KISUKARI na kujichua  4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli ya uume 5.VIGA SPRAY @200,000/=

Mbwana Samatta Gari Limewaka, Aanza Kutupia Timu yake Mpya

Image
Nahodha wa Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Mbwana Samatta @samagoal77 leo amefunga goli lake la kwanza katika mechi za mashindano toka ajiunge na PAOK ya Ugiriki baada ya kuichezea kwa dakika 435. Samatta amefunga goli hilo dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Volos huo ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu ya Ugiriki. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/1H9kPOi via IFTTT

Viingilio Simba vs Power Dynamos Ligi ya Mabingwa

Image
Klabu ya Simba leo imetangaza viingilio vya mchezo wa mkondo wa pili kuwania tiketi ya kutnga hatua ya makundi michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika mchezo dhidi ya Power Dynamos utakaopigwa uwanja wa Azam Complex, Jumapili Oktoba 1 2023 Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari mapema leo, Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema maandalizi ya mchezo huo yanaendelea vizuri ambapo ni wachezaji watatu tu ambao watakosekana kutokana na changamoto za majeruhi "Mchezo dhidi ya Power Dynamos utachezwa siku ya Jumapili Oktoba mosi saa 10:00 jioni kwenye Uwanja wa Azam Complex. Tumeamua kucheza saa 10 sababu michezo mingi hapa karibuni tumecheza muda huo hivyo hatukutaka kubadili muda lakini pia Jumatatu itakuwa siku ya kazi hivyo tunataka watu wawahi kurudi nyumbani" "Kikosi leo kimefanya mazoezi kwenye Uwanja wa Azam Complex pale Chamazi kwa ajili ya kuzoea uwanja. Tangu tumeanza msimu huu hatujawahi kutumia ule uwanja. Wapo wachezaji wetu w

Rais Samia Apongeza Tanzania Kuandaa AFCON 2027

Image
Rais Samia Apongeza Tanzania Kuandaa AFCON 2027 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefurahishwa na kitendo cha Tanzania kuwa sehemu ya waandaaji wa Mashindano ya AFCON 2027 ikiwa pamoja na Mataifa ya Kenya na Uganda. Shirikisho la Soka Afrika CAF limetoa uenyeji wa nchi hizo za East Afrika kuandaa michuano hiyo mikubwa. Rais Samia aliandika “ Tunamshukuru Mwenyezi Mungu tumefanikiwa kuwa wenyeji wa michuano mikubwa ya soka Afrika (AFCON2027), tukishirikiana na Kenya na Uganda. Nawapongeza nyote mlioshiriki kuhakikisha nchi yetu inapata fursa hii adhimu. "Nawaagiza Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo kuhakikisha tunafanya maandalizi mazuri, ikiwemo kukamilika kwa wakati na kwa ubora wa hali ya juu, viwanja viwili vipya vya kisasa vya michezo Arusha na Dodoma," aliandika Rais Samia. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fYlKvOu via IFTTT

TANZIA: Mtoto wa Mandela afariki dunia…

Image
Mjukuu wa shujaa wa mapambano dhidi ya ubaguzi wa rangi nchini Afrika Kusini Nelson Mandela, Zoleka Mandela, amefariki dunia baada ya kuuguwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake imethibitisha. Anafahamika kwa kuelezea mapambano yake ya muda mrefu dhidi ya ugonjwa huo wa saratani. Alilazwa hospitalini Jumatatu kama sehemu ya matibabu yake na amefariki akiwa amezungukwa na marafiki na familia, kwa mujibu wa Zwelabo Mandela. Alikuwa mtoto wa binti mdogo wa Mandela, Zindzi Mandela, na mume wake wa kwanza, Zwelibanzi Hlongwane. Familia hiyo ilisema uchunguzi wa hivi majuzi kuhusu saratani, ulionyesha ilivyokuwa imeathiri nyonga, ini, mapafu, ubongo na uti wa mgongo. “Tunaomboleza kumpoteza mjukuu mpendwa wa Mama Winnie na Madiba,” Wakfu wa Nelson Mandela uliandika kwenye mitandao ya kijamii. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/M59FrHq via IFTTT

Diamond afunguka Wasanii wakike kukosa Wasafi, ‘Ukileta pozi nakukata, inaniharibia Career’

Image
Msanii na mkurugenzi mtendaji wa Wasafi Diamond Platnumz amejibu swali ambalo limekuwa likiulizwa kwa muda mrefu kuhusu kutokuwepo kwa wasanii wa kike katika lebo na tamasha linaloendelea la Wasafi. Diamond alikuwa akifanya mkutano na vyombo vya habari kupromoti chapa ya Pepsi ambayo imekuwa mstari wa mbele kufadhili tamasha hilo ambalo limekuwa likifanyika katika mikoa mbalimbali tangu mwezi jana. Aliulizwa mbona katika tamasha hilo kumekuwa na wasanii mbalimbali tena wengi wakiwa ni wa kiume huku kwa upande wa wasanii wa kike, bendera yao imekuwa ikipeperushwa na Zuchu pekee hali ya kuwa Bongo kuna makumi ya wasanii wa kike wanaofanya vizuri na pia walio na fanbase tiifu kwao. Diamond alijibu kwa njia ya kuashiria kwamba huenda walijaribu kuwafikia wasanii wa kike lakini juhudi zao zilibuma kwa kuvimbiwa na wasanii hao. “Lakini unajua wakati mwingine wasanii wanaweza kuwa wako na ratiba zao kwa hiyo inakuwa vigumu kuwapata kwa wakati tunaowahitaji. Lakini tulijitahidi kuwa

Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo September 27, 2023

Image
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam September 27, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.                           from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GAoH9X6 via IFTTT

TAARIFA: Wachezaji wa Simba watakao ukosa mchezo wa Power Dynamos ligi ya Mabingwa

Image
TAARIFA: Wachezaji wa Simba watakao ukosa mchezo wa Power Dynamos ligi ya Mabingwa Meneja wa Habari na Mawasiliano klabu ya Simba Ahmed Ally amesema wachezaji watatu wataukosa mchezo wa mkondo wa pili kuwania kufuzu hatua ya makundi ligi ya mabingwa dhidi ya Power Dynamo Mchezo huo utapigwa Jumapili, Oktoba 1 katika uwanja wa Azam Complex, Chamazi Ahmed amesema beki Hennock Inonga bado anaendelea kuuguza jeraha alilopata katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji Ahmed pia amewataja mlinda lango Aishi Manula ambaye bado anaendelea kuimarika wakati Aubin Kramo hayuko tayari kutumika kwenye mechi ya ushindani kwani kuwa bado hajapona sawasawa majerah "Baada ya mapumziko ya mwishoni mwa wiki timu ilirejea mazoezini jana kujiandaa na mchezo dhidi ya Power Dynamos" "Mpaka sasa ni wachezaji watatu (Inonga, Kramo, Manula) ambao tuna uhakika wataukosa mchezo lakini wachezaji wengine wote wanaendelea na maandalizi" "Tunatarajia kucheza mechi moja ya kira

Kocha Al Merrikh Aanza Kuogopa, Adai Yanga Inaogopeka Afrika Nzima

Image
 Kocha Al Merrikh  Kocha Al Merrikh Aanza Kuogopa, Adai Yanga Inaogopeka Afrika Nzima Kocha huyo anayokumbukumbu ya kupokea kichapo cha mabao 2-0 wakiwa nyumbani katika mchezo wa kwanza wa kuwania kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Al Merrikh wanatarajiwa kurudiana na Yanga katika mchezo wa mzunguko wa pili wakiwa ugenini katika Uwanja wa Azam Comlex mchezo huo unatarajiwa kufanyika Septemba 30. Akizungumza kuelekea katika mchezo wa marudiano dhidi ya Yanga kocha huyo alisema kuwa: “Ukisema kuwa tunahofia kukutana na Yanga hapana, hilo halina ukweli kwa kuwa tayari tulishacheza nao na tulipoteza mchezo wa kwanza, ukweli ni huu kuwa Yanga kwa sasa ni tishio Afrika kulingana na walivyo. “Ni timu ambayo inacheza vyema na inapata matokeo hivyo ni lazima tuwaheshimu kulingana na ubora wao huo, tunakwenda kurudiana na timu ambayo ni ngumu lakini wakiwa na faida kubwa ya wao kucheza kwao. “Ambacho kipo kwa upande wetu ni kuendelea kujipanga kwa ajili

Mchezo wa Bahati Nasibu Umenitajirisha Maradufu

Image
Mchezo wa Bahati Nasibu Umenitajirisha Maradufu Frank ndilo jina langu mtoto wa kwanza kwenye familia yetu ya waliosoma, mimi tu ndiye niliyekataa shule mapema wenzangu wote ni wasomi tena waliofanikiwa na wenye kazi nzuri maishani mwao.Kazi yangu kubwa ni kuuza makava ya simu mtaji wenyewe nilipewa na wadogo zangu angalau na mimi nijitafute kidogokidogo huko, mchana nilifanya kazi hiyo lakini kila jioni nilitembelea kwenye mabanda ya casino hususani meridian bet kutafuta bahati yangu huko. Nimejifunza kucheza mchezo huu wa bahati nasibu kuanzia nikiwa mwenye umri wa miaka kumi na nane mara tu baada ya kuacha shule.Nimecheza mara nyingi sana na kila nilipokuwa ninajaribu niliishia kuambulia pesa za nauli tu na vichenji vidovidogo.Kabla ya msaada nilioupata kutoka kwa daktari bingwa BAKONGWA hapo nyuma sikuwahi kupata pesa ya maana ya kufanyia lolote katika shughuli zangu za kubet –ninakumbuka pesa kubwa ambayo niliwahi kushinda ilikuwa ni laki nne na nusu tu pesa ambayo haifi

TARURA waonywa uchimbaji mashimo barabarani

Image
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Mohamed Mchengerwa amewataka watendaji wa Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini – TARURA, kuacha utaratibu wa kuchimba barabara na kuziacha na mashimo kwa muda mrefu bila kuyafukia. Aidha, pia ameonya kuwa atawaondoa katika nafasi zao watendaji wa TARURA pamoja na Mameneja wa TARURA wa Mikoa na Wilaya pale ambapo mashimo hayo yataachwa wazi hadi wiki mbili bila kuyafukia kwa utaratibu unaofaa. Hata hivyo, Waziri Mchengerwa amesema yapo mashimo yamechimbwa na kuachwa wazi kwa mwezi mzima, hali inayosababisha adha kwa watumiaji wa barabara na wakati mwingine kusababisha ajali. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/OJN6y0v via IFTTT

Simba Kuwafungia Busta Wazambia, Mbrazili Asuka Mtego Mzito

Image
 KOCHA Mkuu wa Simba Mbrazili, Roberto Oliviera ‘Robertinho’ amesema wameutumia mchezo wao wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Coastal Union uliopigwa Alhamisi iliyopita kama sehemu ya kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia. Robertinho ameweka wazi kuwa katika mchezo uliopita dhidi ya Coastal Union aliwatumia wachezaji wenye uzoefu, ili kuzidi kutengeneza maelewano baina yao kuelekea mechi dhidi ya Power Dynamos itakayopigwa Jumapili. Simba Jumapili watashuka uwanjani na Dynamos katika mchezo wa marudiano wa Ligi ya Mabingwa Afrika kusaka tiketi ya hatua ya makundi ya mashindano hayo, ikumbukwe mchezo wa kwanza ambao Simba walicheza ugenini nchini Zambia, Simba walipata matokeo ya sare mabao 2-2. Akizungumza na Championi Jumatatu, Robertinho alisema: “Tumeutumia mchezo dhidi ya Coastal Union kujiandaa na mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos. Tulijua Coastal watatupa mechi ngumu ambayo itazidi kutuimari

Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo

Image
Nafasi za Ajira Zilizotangazwa Leo  Website namba  moja kwa kutangaza ajira mbali mbali hapa Tanzania ya  AJIRA YAKO Inakuletea Nafasi mbali mbali zilizotangazwa leo na Makampuni Tofauti tofauti ya Binafsi pamoja na Ajira za Serikali BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI HIZO  AJIRA YAKO: Website Provides an Open and Easy Access to Job Applications, Great Resources for Career Advancement and Job Placement. Tembelea Kila siku kwani Kwa siku tunaweza Nafasi Mpya za kazi zaidi ya 30  kutoka Makampuni tofauti , njia za kuapply ajira hizi ni tofauti , kuna makampuni wanataka utume email na viambatanishi kama CV, vyeti na Barua ya Maombi, Makampuni mengine yanataka ujiandikishe kaka Mfumo wao (Portal) Kisha ndio ufanye maombi  BONYEZA HAPA KUSOMA NAFASI HIZO  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/HECjZLx via IFTTT

Erik ten Hag Kocha wa Man United Alikosea Sana Kumuondoa Christian Ronald Kikosini

Image
Kiungo wa zamani wa klabu za Juventus na Barcelona, Arturo Vidal, amemkosoa kocha wa Manchester United, Erik ten Hag kwa kumuondosha Cristiano Ronaldo, ndani ya klabu hiyo. Kwenye mahojiano yaliyofanyika kwenye mtandao wa Twich, Vidal alionesha kutoelewa uamuzi wa Kocha Erik Ten Hag, kumuondosa Ronaldo, licha ya mshindi huyo wa Ballon d’Or mara tano kuonesha kiwango bora. Kwenye mahojiano hayo, Vidal alisema kuwa. "Yule kocha aliingia United vibaya. Hivi unaanzaje kumpunguza Cristiano Ronaldo? Ndivyo walivyo hawa jamaa. Ronaldo alikuwa mfungaji wake bora, na akamtoa kikosini. Hawa watu wenye vipara wanashida sana". from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/BaGlT2h via IFTTT

Hakuna Mtu Yanga Mwenye Pressure Kubwa Kama Gamondi Kisa Kocha Nabi

Image
Hakuna Mtu Yanga Mwenye Pressure Kubwa Kama Gamondi Kisa Kocha Nabi Inawezekana mashabiki wa Yanga wanafurahi lakini hakuna mtu mwenye presh kubwa kama Gamondi kwa sababu mtangulizi wake [Nabi] kafanya vitu vikubwa ambavyo Gamondi anapambana kuvifikia. Nabi ameondoka akiwa amechukua Ngao ya Jamii, Ligi Kuu ya NBC na Azam Sports Federation Cup, yote hayo amechukua mara mbili mfululizo huku akiwa ameifikisha Yanga kwenye Fainali ya Kombe la Shirikisho la CAF. Nabi aliiongoza Yanga kucheza mechi zaidi ya 40 bila kupoteza, kwa hiyo inawezekana vitu ambavyo amevifanya Nabi vikawa vinampa presha kubwa Gamondi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/KuMsQqX via IFTTT