Posts

Showing posts from June, 2021

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo July 1

Image
  Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo July 1 from Udaku Special https://ift.tt/3h4qlf3 via IFTTT

Hii Hapa VIDEO Inayooshe Kweli WEMA Sepetu Alikatwa Utumbo Mdogo, Kampuni ya Kenya Yaweka Uwazi Wote Hadharani

Image
Muigizaji wa filamu za Bongo nchini Tanzania Wema Sepetu amejipata pabaya baada ya kifichuliwa kwa kitendo chake cha kukiuka mkataba. Mwanadada huyo maarufu nchini Tanzania aliingia kwenye mkataba na kampuni moja ya madaktari nchini Kenya kwa jina “Viva Serenity”. Chini ya mkataba huo, kampuni hiyo ingegharamikia upasuaji wa kumsaidia kupunguza uzani wa mwili naye aifanyie matangazo ya kibiashara kama balozi wake. VIDEO: from Udaku Special https://ift.tt/3h6lcmC via IFTTT

Busta Rhymes ameshare Video akiwa Diamond "Wewe ni Michael Jackson wa Afrika"

Image
Rapa Legendary tokea nchini Marekani Busta Rhymes ameshare Video akiwa na Simba Diamond Platnumz wakiwa Studio na Kumwagia Sifa kibao ikiwemo kumuita 'Michael Jackson of Africa ' / Yaani Michael Jackson wa Afrika . Katika Video hiyo ambayo wanaonekana kama wanasuka Mdundo wa Pamoja, wameonekana Mastaa wengine akiwemo Thereal swizzz , @hitmaka na @otgenasis . Diamond amedai kuwa Atakua nchini Marekani kwa Muda ili kuandaa Album yake, ambayo Producer wake Mkuu anatokea nchini humo (Hakutaja Jina Lake ) . Huu ni Muendelezo wa Harakati za Diamond Platnumz kuhakikisha anauvusha Muziki wa Afrika Mashariki Duniani  from Udaku Special https://ift.tt/3joSdw6 via IFTTT

Lipumba agusia Katiba Mpya, mikutano ya hadhara siku 100 za Rais Samia

Image
  Dar es Salaam. Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemzungumzia siku 100 za utawala wa Rais Samia Suluhu Hassan akisema kuna baadhi ya maeneo ikiwemo ushirikiano wa kimataifa na haki  za binadamu amefanya vizuri. Amesema maeneo mengine ni sekta za biashara ambapo amekutana na wadau wa sekta  hiyo na kujadili masuala mbalimbali, kukiri Tanzania kuna ugonjwa  wa corona pamoja na  hatua alizozichukua na kuwachukulia hatua watendaji mbalimbali serikalini. Amesema jambo ambalo hajaridhika nalo ni kauli ya kiongozi mkuu huyo wa nchi kutolitilia mkazo suala la Katiba Mpya na mikutano ya hadhara akisema demokrasia inakwenda sambamba na ujenzi wa uchumi. Profesa Lipumba ambaye ni mtaalamu wa uchumi, ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 wakati akizungumza na wanahabari kuhusu siku 100 za Rais Samia pamoja na mipango mikakati ya baadaye ya chama hicho. "Amekuwa tofauti na mtangulizi wake na kuna mabadiliko ameyafanya ndani siku 100 ikiwemo kumuondoa aliyekuwa mkuu wa wi

Serikali yaliomba Bunge kufumua sheria 13

Image
  Dodoma. Serikali imewasilisha bungeni muswada wa mapendekezo ya marekebisho ya sheria 13 ili kuendana na mazingira ya utedaji kazi. Miongoni mwa sheria hizo ni sheria ya Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta, Sheria ya Stahili na Mafao ya Kustaafu ya Majaji, idara ya Bohari ya Dawa, Sheria ya Madini,Sheria ya Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Sheria ya Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya. uratibu wa ajira za wageni, Sheria ya mafao ya kustaafu ya viongozi wa kisiasa, Sheria ya uwazi na uwajibikaji katika rasilimali za madini, mafuta na gesi asilia, Sheria ya shirika la Posta Tanzania, Sheria za huduma za mawasiliano kwa wote, Sheria ya elimu na mafunzo ya ufundi stadi na sheria ya fidia kwa wafanyakazi. Mwanasheria Mkuu wa Serikali Profesa Adelardus Kilangi amewasilisha mapendekezo ya marekebisho ya sheria hizo akisema yanalenga kuondoa mapungufu ambao umejitokeza katika sheria hizo wakati wa utekelezaji wa baadhi ya masharti katika sheria hizo. Profesa Kilangi amesema hatua h

Lyamuremye Jean Claude ahukumiwa miaka 25 jela kwa mauaji ya kimbari Rwanda

Image
Mahakama mjini Nyanza kusini mwa Rwanda imetoa hukumu ya kifungo cha miaka 25 jela dhidi ya Bwana Jean Claude Iyamuremye maarufu Nzinga’ baada ya kumpata na hatia ya mauaji ya kimbari. Jaji wa mahakama hiyo alisema Lyamuremye alishiriki katika mashambulio yaliyofanywa na makundi ya wanamgambo Interahamwe katika maeneo mbali mbali mjini Kigali ambako maelfu ya watutsi waliuawa. Lyamuremye mwenye umri wa miaka 46 alisema hangeliweza kushiriki mauaji dhidi ya watutsi ,kabila la mama yake. Katika kesi ya leo ya kutoa hukumu,mahakama imesema ushahidi ulionesha wazi kuwa wakati wa mauaji ya kimbari alikuwa akitembea na silaha mbali mbali pamoja na wanamgambo Interahamwe kwa lengo la kuwinda na kuwaua watutsi. Jaji wa mahakama ya mjini Nyanza amesema kwamba Iyamuremye alistahili hukumu ya kifungo cha maisha kama ilivyokuwa imependekezwa na mwendesha mashtaka lakini kwamba hukumu hiyo ilipunguzwa hadi kifungo cha miaka 25 jela kutokana na kwamba makosa aliyofanya akiwa na umri wa mi

Wema Sepetu Adaiwa Kenya Kisa Dawa za Kupunguza Unene

Image
Muigizaji wa filamu za Bongo nchini Tanzania Wema Sepetu amejipata pabaya baada ya kifichuliwa kwa kitendo chake cha kukiuka mkataba. Mwanadada huyo maarufu nchini Tanzania aliingia kwenye mkataba na kampuni moja ya madaktari nchini Kenya kwa jina “Viva Serenity”. Chini ya mkataba huo, kampuni hiyo ingegharamikia upasuaji wa kumsaidia kupunguza uzani wa mwili naye aifanyie matangazo ya kibiashara kama balozi wake. Kampuni ilitimiza jukumu lake maanake ghafla Wema alionekana kapungua kimwili lakini hakusema ukweli kuhusu namna aliyotumia kuafikia mwili wake mdogo. Badala ya kutangaza Viva Serenity na upasuaji wao, Wema alianza kutangaza vidonge vya kumeza akisema ndivyo vilimsaidia kupungua na akawa anaviuza. Sasa kampuni hiyo ya madaktari ya Kenya inataka muigizaji huyo ambaye aliwahi kuwa mpenzi wa Diamond Platnumz arejeshe pesa ambazo zilitumika kwake au aitangaze walivyokubaliana. Kwa sasa kampuni hiyo imejiundia video kutokana na safari ya Wema Sepetu ya kupunguza u

Nilipata Watoto Wapacha Baada ya Kukaa Miaka 15 Kwenye Ndoa Bila Kushika Ujauzitool

Image
Watoto hua chanzo cha upendo katika familia yeyote kila mara. Mara nyingi wanandoa ambao hawana watoto hudharauliwa na watu wengi licha ya kuwa kwenye ndoa. Hali hii hushusha hadhi ya wanandoa kwani watoto ni Baraka ambayo huifanya hata ndoa mingi kuwa hata imara zaidi kwa wakati wowte. Niliolewa nikiwa na umri wa miaka ishirini na moja na tuliishi kwa upendo na mume wangu alikuwa mkakamavu ajabu katika hali yoyote ili kutimiza mahitaji ya ndoa yetu. Tulisaidiana katika kila jambo kama mume na mke kwani ndoa ama kwa hakika ilikuwa baina ya watu wawili. Jambo lililonikosesha usingizi ni kwamba sikuwa na uwezo wa kupata mtoto kwani vipimo tulivyopata hospitalini vilionyesha kwamba mimi ndiye nilikuwa tasa na kwamba mume wangu alikuwa dhabiti. Ama kwa hakika swala hili la kutokua na mtoto nilinipa msongo wa mawazo hata wakati mwingine nilijidharau pakubwa Wakwe wangu walinidharau na hata walimwambia mume wangu hadharani kwamba angefaa kutafuta mke mwingine ambaye angemzalia w

RUWASA yaombwa Kuondoa Tenki Kwenye Mkondo wa njia ya Mizimu

Image
Na Timothy Itembe Mara. RUWASA wanaombwa kuondoa Tenki la maji kwenye mkondo wa njia ya (SABURE)ambaye ni mkuu wa koo ya Wanchari. Mwenyekti wa Jumuiya ya watumia Maji Korotambe kata ya Mwema wilayani Tarime,Alphons Nyaiho alisema kuwa Ruwasa walijenga Tenki la maji kwenye mkondo wa njia ya Sabure ambaye ni mkuu (MZIMU)wa koo ya Wanchari kabIla la Wakurya bila kuwashirikisha wazee wa milahali ambayo imechangia mradi huo kutotoa maji. Nyaiho aliongeza kusema kuwa kufuatia hali hiyo mradi wa Korotambe umekumbwa na changamoto kubwa ya kukoswa maji licha ya kuwa mradi umekamilika na wananchi hawafaidi matunda ya mradi huo kwa mda wa zaidi ya mwaka."Mimi niseme kuwa wananchi wa Korotambe wanataabika kwa kutofaidi mradi wao wa maji ambao ulianza mwaka 2012 na kukamilika 2020 kutokana na Ruwasa kujenga Tenki la maji kwenye mkondo wa njia ya Sabure ambaye ni mkuu wa koo ya Wanchari bila kuwashirikisha wazee wa mila hali ambayo imechangia mradi kutokuwa namaji licha ya kuwa umekam

Yanga: Ubingwa ni Wetu

Image
OFISA Habari wa Yanga, Hassani Bumbuli, amefunguka kuwa, anaona matumani ya kuchukua ubingwa yapo karibu kwa upande wao kutokana na kikosi chao kuzidi kuimarika kila siku.   Yanga ipo katika nafasi ya pili katika msimamo wa Ligi Kuu Bara, huku ikiwa na pointi 67 ikiongozwa na kinara wa Simba wenye pointi 73.   Akizungumza na Spoti Xtra, Bumbuli alisema kuwa kila kitu kipo katika utaratibu wake katika suala la maandalizi, kwa hiyo wamejipanga kuchukua ubingwa wa FA.   “Maandalizi yanaendelea vizuri kama kawaida, niseme tu kwamba tumejipanga kuchukua ubingwa katika pande zote.“   Kikosi chetu kinazidi kuimarika kila siku na sitaki kuongea sana, lakini mtajionea wenyewe kinachoenda kutokea, lazima tuchukue ubingwa,” alisema Bumbuli.Julai 25, mwaka huu, Yanga na Simba zinatarajiwa kupambana katika mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho la Azam maarufu FA. from Udaku Special https://ift.tt/3jsnZIw via IFTTT

Je Wasanii Kuonesha Hela zao ni Ushamba?

Image
Sio mara moja @diamondplatnumz akipost picha au video akitoa hela tu utasikia jamaa mshamba sana, jamaa anapenda sana kujionyesha na Comment nyingi zinasema mshamba. Nikaona kidogo niwaletee baadhi ya watu maarufu Dunia, Wasanii maarufu na matajiri Afrika wakionyesha hela. Hapo yupo Davido, Wzikid, Mayweather pamoja na Soulja Boy wakiwa wameshikilia maburungutu ya pesa ila wao wala hawasemwi washamba. Jamani eeeh kumbukeni hawa Celebrities ndio maisha yao.  Kama msanii wako hajapost basi ni yeye na hulka yake ila ni swala la kawaida kwa wasanii kufanya hivo na sio kwamba ni ushamba ndio umaarufu wenyewe. Punguzeni kulalamika jamani nyie mnajenga nyumba na munapost Facebook, mkinunue baiskeli au kula kuku munapost ila akipost Escalade Tatizo akipost HELA tatizo nyie mnataka apost nini jamani?? Akigawa misaada bado utasikia mkono wa pili usijue. By Mdau from Udaku Special https://ift.tt/3x7N93f via IFTTT

Wazazi Wengi Huwakataza Watoto Wao Wasioe Wanyakyusa, Wachaga na Wahaya...Nini Sababu?

Image
Habari wadau.... Topic hapo juu inajieleza huwa najiuliza hili swali bila majibu..coz wazazi wengi huishia kusema tuu nimesema usioe mnyakyusa,mhaya au mchaga..bila kutoa ufafanuzi..kwanini..hebu tujadiliane..kama unafahamu chochote kuhusu makatazo Haya Funguka Hapa Tafadhali. . By kibona DOWNLOAD APP YA  UDAKU SPECIAL   HA PA  KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE from Udaku Special https://ift.tt/37o2Nxq via IFTTT

Tunda Ajifungua Mtoto wa Kike

Image
MUUZA nyago aliyejizolea umaarufu kutokana na vituko vyake katika mitandao ya kijamii, Tunda Sebastian amejifungua mtoto wa kike salama katika hospitali moja jijini Dar.   Tunda ambaye ni mpenzi wa msanii wa Bongo Fleva, Whozu kupitia insta story ya akaunti yake ya Instagram ametupia picha mbalimbali akiwa hospitalini na mama yake mzazi huku picha nyingine zikiambatana na pongeza kutoka kwa wadau mbalimbali kwa kujifungua Akizungumza na RISASI, mdau mkubwa wa sanaa aliyeomba hifadhi ya jina lake, alimuonya Tunda kupunguza starehe ili sasa amhudumie mtoto. “Nimpongeze maana sasa nay eye amekuwa mama. Mama ni ulezi hivyo yale mambo ya ujana sasa apunguze. Apunguze starehe, apunguze mitoko ili aweze kumlea vizuri mwanaye,” alisema mdau huyo.Kwenye mitandao ya kijamii hususan Instagram, Tunda alipongezwa na mastaa mbalimbali pamoja wadau wengine. from Udaku Special https://ift.tt/3jxClaz via IFTTT

Ukifanya Haya Mambo Mapenzi Yatanoga Kwa Asilimia 90

Image
Wanaume wengi hupuuzia hili, huona kama ni jambo lisilo na maana sana kwao na wenzi wao. Hali ni tofauti sana kwa wanawake ambao hupenda kuwasifia wanaume zao. Nitakupa mifano miwili ya namna wanandoa wa jinsia mbili tofauti wanavyotambulishana kwa jamaa zao. Kwa mafano manakutanata kwenye majumuiko ya harusi na sherehe kama hizo. Mme 1 akamtambulisha mkewe kwa jamaa zake, huyu ni mama Rick mke wangu. Mme wa 2 akamtambulisha mkewe, huyu ni my lovery sweetheart wife, nampenda sana kuliko wanawake wote duniani. Kama upo kwenye huu utambulisho umeona tofauti gani? hao wanawake wa pande mbili watajisikiaje? Nahisi umejifunza kitu hapo MALENGO SHIRIKISHI Wanaume wengi wana ulemavu mmoja; hawapendi kuwashirikisha wanawake katika mambo yao. Wanapenda kufanya mambo yao kwa siri na wakati mwingine ikilazimika kumwambia mkewe basi kwa mshtukizo baada ya kukamilisha jambo husika. Siku hizi dunia imebadilika, kuna mambo mengi. Kuna suala la hasara katika biashara, utapeli, kifo cha gafla, ajal

Kwanini Baadhi ya Kina Dada Hupenda Wanaume Wahuni na Makatili (Bad Boys) na Kudharau Wapole?

Image
Utakuta kila mara anapigwa anatukanwa na kugundua ana Wasichana wengine lakini yumo tu kazi ni kulalamika kwa mashoga zake, huko watamshauri aachane na huyo jamaa katili na muhuni lakini utakuta anawadharau anaenda tena. Naamini hili halipo kwa Wakurya tu ni wanawake in general hawapendi watu soft. Kweli hawa viumbe ni wa ajabu sana wakati mwingine si mke wa mtu ni mpenzi tu chuoni ama uraiani hata kwenye mashule wanapigwa tu na kuendelea kuwa na Body Boys   DOWNLOAD APP YA  UDAKU SPECIAL   HA PA  KUPATA HIZI HABARI KWENYE SIMU YAKO HATA BILA BUNDLE Wakati mwingine ni kama wanachokoza ili wapigwe maana wakionywa jambo flani wanarudia kisha wanapigwa halafu wanaunda jopo la kuomba msamaha. Je ni Tatizo la Kisaikologia ama ndo Nyota za Punda? from Udaku Special https://ift.tt/3knHhwb via IFTTT

Basi lagonga nyumba Mwanza

Image
Basi kampuni ya Ulamaa T 330 DGB ililokuwa likisafiri kwenda Arusha kutokea Mwanza limepata ajali alfajiri ya leo kwa kuacha njia na kugonga nyumba eneo la Mkolani darajani Mwanza. Imeelezwa kwamba ndani ya nyumba hiyo kulikuwa na Watu 6 ambapo hakuna taarifa za kifo bali Majeruhi tu ambao wamepelekwa Hospitali ya Butimba. Chanzo cha ajali kinaelezwa kuwa ni baada ya Dereva wa Basi kulikwepa gari dogo kulikosababisha gari kuacha njia baada ya kushindwa kulimudu, taarifa zaidi kukujia from Udaku Special https://ift.tt/3AdyyFu via IFTTT

Zaidi ya watu 100 wapoteza maisha kutokana na joto kali Canada

Image
Watu kadhaa wamefariki nchini Canada kutokana na joto lisilo la kawaida kupiga ambalo limevunja rekodi ya kiwango cha joto. Polisi wa British Columbia wamepokea taarifa za vifo vipatavyo 70 tangu Jumatatu, vifo vingi vikijumuisha wazee. Wanasema kiwango hicho cha joto kupiga katika eneo hilo kilisababisha vifo hivyo. Jumanne, kiwango cha joto nchini Canada kiliongezeka zaidi ikawa siku ya tatu mfululizo -ilikuwa nyuzi joto 49.5 huko Lytton, British Columbia. Kabla ya wiki hii , kiwango cha joto cha Canada hakikuwahi kuvuka nyuzi joto 45. "Waangalie majirani zako, familia yako pamoja na wazee unaowajua ," Polisi wa Canada Mike Kalanj, ambaye yuko Vancouver wilaya ya Burnaby, alisema Jumanne. "Hali ya hewa inaweza kuwa hatari kwa jamii ya watu ambao hawajiwezi hasa wazee na wale wenye matatizo ya kiafya," aliongeza. Ni muhimu tukawajulia hali kila mara." Kwa mujibu wa polisi , joto hilo linaaminika kuwa limesababisha vifo vya watu 69 katika mji

Fiston "Nipo Fiti Kuwamaliza Simba"

Image
MSHAMBULIAJI wa Yanga, Fiston Abdoul Razack, amesema kuwa amejianda vema kuelekea mchezo wao dhidi ya Simba na yupo fiti kuwamaliza. Kauli ya Fiston inakuja kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara ambao utazikutanisha timu hizo Jumamosi hii kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar. Watano hao wa jadi, katika mchezo wa mzunguko wa kwanza uliochezwa Novemba 7, 2020, walitoka sare ya bao 1-1. Akizungumza na Spoti Xtra, Fiston amesema kuwa; “Upande wangu nipo salama, sina shida yoyote, nazidi kumuomba Mungu niwe salama siku hiyo ya mechi ili kuisaidia timu yangu. “Nina imani timu yangu itaweza kushinda mchezo huo maana tumejianda vizuri na tunajiamini.“Najua ni mchezo wangu wa kwanza wa dabi hapa Tanzania, ila sina presha na mchezo huo maana nimecheza mechi nyingi sana kubwa na nikafanikiwa kuisaidia timu yangu, ingawa nafahu mechi itakuwa ngumu.” from Udaku Special https://ift.tt/3hjCewG via IFTTT

Mange Kimambi Amshukia Wema Sepetu "Wakenya walivyo watakufikisha mahakamani hao"

Image
Reposted from @mangekimambi_ Wanaosema ulikuwa unapendeza na unene ni washamba tu. You look amazing right now. Stay like this. Anyways, ushauri wangu, do the right thing. Do the fair thing. Fanya haki. Kumbuka hizi ni biashara za watu. Ulichowafanyia sio haki. Nakwambia sababu na mimi dadako ulishawahi kunifanyia. Niliboeka kinoma ila sababu ya udada nikajikaza, sikusema kitu. Kipindi kile natuma vitu from US. Nilikutumia kinky curly Weave unitangazie. Ukasuka na ukaposti picha ila ukajikausha no mention nothing na kwenye comments uliulizwa umenunua wapi. Niliumia. Na hapo nilitumia only about $200 ila niliumia hadi maini sasa naelewa hawa waliotumia mamilioni wanajisikiaje. I’m sure hukujua hata kama nilikumaindi kindaki ndaki ndo umejua leo. Na waKenya walivyo watakufikisha mahakamani hao. Na utauziwa hata gari au chochote ili mradi uwalipe. Wakenya ni balaa lingine, wako makini kwenyw biashara na ndo maana walikurekodi kila kituuuuuu wakati mna sign mikataba. Sasa nachokus

Penzi Kikohozi alijifichi nakupenda Lulu bora niwe mtumwa kwako- Lavalava

Image
Penzi halfichiki kama chafya unaweza kusema hivyo hii imetokea kwa msanii Lavalava na Lulu Diva baada ya leo Lavalava kuamua kuanika ukweli wa penzi lao kwa kusema kuwa anampenda sana na amekubali kuwa mtumwa kwake. Mara nyingi penzi la wasanii hawa limekuwa ni la siri sana hata pale vinapovuja video au picha wakiwa kwenye mapenzi mazito huwa wakihojiwa wanakataa lakini Kupitia kwenye ukurasa wake wa instaramu Lavalava ameandika hivi; Dah Usiku Wajana Ndosijalala Kabisa Lulu Kiukweli Achatu Ifike Mahali Mtu Aweke Wazi Penzi Kikohozi Alijifichi Nakupenda Lulu Bora Niwe Mtumwa Kwako Hakuna Jinsi inaenda Wiki Sasa Hatuelewani Naumia Binadamu Tumeumbiwa Kukosea Hakuna mkamilifu Samahani Sana Narudia Tena Samahani nisamehe Mwenzako Plz 💔 from Udaku Special https://ift.tt/3dvsfTX via IFTTT

Fahamu kirusi kipya cha Corona ‘Delta’ kinachozungumziwa zaidi

Image
Kirusi cha Delta kwa sasa ndicho kinachozungumziwa zaidi ulimwenguni, na wataalamu wengi wana wasiwasi juu ya kushika kasi kwa wimbi la tatu la maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya corona Covid 19. Delta variant brings new pandemic threat to Germany | Germany| News and  in-depth reporting from Berlin and beyond | DW | 17.06.2021 Kirusi cha Delta kiligunduliwa mwishoni mwa mwaka jana kilisababisha mlipuko mkubwa wa corona mwanzoni mwa mwaka huu nchini India. Sasa nchi hiyo imebaini kirusi kipya ambacho kinatokana na Delta ambacho kimepewa jina la Delta Plus. Kirusi hicho kipya “kimeitia nchi hiyo wasiwasi,” ingawa kulingana na wataalamu inawezekana kuwa bado ni mapema mno kuanza kuwa na uwoga. Mabadiliko ya kirusi hicho ambacho kilikuwa “kinachofuatiliwa” na kuwa “kinachotia wasiwasi” kutokana na ushahidi kwamba kinafikia moja ya vigezo kadhaa: kinaweza kusambaa kwa haraka, kinasababisha hali ya mgonjwa kuwa mbaya zaidi, kupunguza ufanisi wa dawa na chanjo na kadhalika. Wiz

Amteka Mpenzi Wake Akitaka Arudishiwe Hela Alizo Mhonga, Amuua

Image
Jeshi la Polisi Mkoani Geita linamshikilia mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 30 kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake aitwaye Esta John (28) mkazi wa Ibamba Wilaya Bukombe Mkoani humo ambaye kabla ya kifo chake alitekwa nyara na mpenzi wake. Katika taarifa ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita Henry Mwaibambe aliyoitoa kwa waandishi wa habari inasema kwamba mwanamke huyo aliondoka nyumbani kwake juni 13 mwaka huu akiwa na mtu aliyesemekana ni mpenzi wake. Baada ya kutoweka kwa muda mwanaume huyo ambaye jeshi la polisi halijamtaja kwa majina yake, alianza kuwapigia simu wazazi wa mwanamke akihitaji kulipwa pesa alizokuwa akimuhudumia kwa ahadi ya kumuoa na kwamba mtuhumiwa alibaini kuwa sio mwaminifu . Kamanda Mwaibambe amesema baada ya taarifa kufika katika vyombo vya usalama upelelezi ulianza mara moja na kufankiwa kumkamata mtuhumiwa huyo akiwa na mali za marehemu ambaye alimteka nyara. “Katika mahojiano alikiri kumteka nyara mwanamke huyo akishinikiza kulipwa gharama

Mama aishi kwenye masikitiko ya kunyimwa penzi kwa miaka 23 na mumewe

Image
Ndoa ya pili ya Penina Kyalo ilikuwa kwenye mume wa ndoto zake Mambo yaligeuka baada yake kujifungua mwanao wa kwanza Ni miaka 23 tangu alipolishwa mahaba na mumewe ambaye baadaye alimruhusu kuchovya asali nje Baada ya kusambaratika kwa ndoa yake ya kwanza, Penina Mueni Kyalo alikutana na mume wa pili ambaye kulinga naye alikuwa jamaa wa ndoto zake. Mume Wangu Hajaniguza kwa Miaka 23, Alinipa Ruhusa ya Kurina Asali Nje Licha ya kukosa penzi kwa miaka 23, Penina Kyalo anajivunia kuheshimu mwili wake.  Alikuwa mwanajeshi, hakuwa akinywa pombe, alikuwa mcha Mungu na alimpa penzi la dhati kama alivyotaka. Haikuchukua muda mrefu kabla ya wawili hao kuanza kuishi pamoja na mnamo 1993 alipata ujauzito wa kifungua mimba wao. "Alikuwa mtu mzuri sana. Baada yangu kushika ujauzito, alikuwa akinisaidia kufua. Alikuwa na mtu mwenye roho safi sana," alimwambia Lynn Ngugi.   Hata hivyo siku zake za raha hazikudumu kwa muda mrefu kwani kutokana na ujauzito alianza kuch

Waziri Jafo atoa angalizo kumbi za starehe nchini

Image
SERIKALI imewataka wamiliki wa nyumba za ibada na kumbi za starehe wahakikishe sauti zitokanazo na shughuli zao hazizidi viwango vinavyokubalika kwa mujibu wa sheria huku ikiwaomba viongozi wa dini kupitia kamati za amani  kujadili namna bora ya kudhibiti kelele na mitetemo katika nyumba za ibada kwa lengo la kulinda afya za waumini wao. Imesema itaanza kuchukua hatua kali za kisheria ikiwemo kifungo cha miezi sita gerezani kwa wamiliki wa makazi, viwanda na kumbi za starehe ambao maeneo yao yamekithiri kwa kelele na mitetemo. Akizungumza kwa niaba ya Serikali  leo June 29,2021,wakati akitoa taarifa kuhusu mkakati wa serikali katika kudhibiti kelele na mitetemo inayoathiri mazingira kwa jamii. Waziri wa Nchi,Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira,Seleman Jafo amesema kiwango cha sauti katika maeneo ya makazi   ni usiku  35 na mchana 50. Mkutano huo pia ulihudhuriwa na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto,Dk.Doroth Gwajima,Naibu Waziri wa Mambo ya N

Mmiliki wa Gari Lililosababisha Vifo Moro Ajisalimisha Polisi

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,  Fotunatus Muslimu amesema mmiliki wa gari lililosababisha vifo vya watu tisa eneo la Nanenane  manispaa ya Morogoro amejisalimisha polisi.   Kamanda Muslimu ameyasema hayo leo katika mkutano wake na waandishi wa habari kwenye Kituo Kikuu cha Mabasi Msamvu, ilipofanyika operesheni maalumu ya ukaguzi wa  mabasi ya abiria ambapo amesema katika  operesheni hiyo iliyofanyika usiku, wamekamata magari 36 ambayo hayakuwa na vibali vya kusafiri. from Udaku Special https://ift.tt/3y3usxv via IFTTT

Breaking News: Patrick Mfugale Afariki Dunia

Image
Taarifa zilizotufikia hivi punde, Mtendaji Mkuu wa Tanroads, Injinia Patrick Mfugale, amefariki dunia, habari zaidi zitakujia, endelea kufutilia Global Digital. from Udaku Special https://ift.tt/3jpYHe7 via IFTTT

Wallace Karia Apitishwa na Kuwa Mgombea Pekee wa Urais TFF

Image
Kamati ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) leo Juni 29, 2029 imempitisha Wallace Karia kuwa mgombea pekee wa nafasi ya Rais wa shirikisho hilo, baada ya kukidhi vigezo vyote. Wallace Karia ambae ndio Rais wa sasa wa TFF jina lake pekee ndio lililopitishwa na kamati ya uchaguzi, baada ya wagombea wengine wa nafasi hiyo ya Urais Hawa Mniga pamoja na Evance Mgeusa kukosa vigezo vinavyokidhi kwa wao kuendelea na hatua inayofata kwenye uchaguzi. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Uchaguzi ya TFF Benjamini Kalume amesema kwa sasa kitakachofanyika ni Wallace Karia akiwa kama mgombea pekee ni kwenda kuthibitishwa na Mkutano mkuu na si kumpigia Kura. Mkutano Mkuu wa TFF utafanyika Agosti 7, 2021 Mkoani Tanga ambapo moja ya Ajenda ya mkutano huo ni Uchaguzi wa kuchagua viongozi wa shirikisho hilo ikiwemo nafasi ya Urais na nafasi sita (6) za wajumbe wa kamati ya Utendaji.   from Udaku Special https://ift.tt/3jlUaJH via IFTTT

Mmiliki wa gari ajali ya Morogoro ajisalimisha polisi

Image
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,  Fortunatus Muslimu amesema mmiliki wa gari lililosababisha vifo vya watu tisa  iliyotokea eneo la Oil com, Nanenane  Manispaa ya Morogoro amejisalimisha polisi. Taarifa hiyo imetolewa  leo Jumanne, Juni 29, 2021 katika mkutano wake na waandishi wa habari kwenye  kituo kikuu cha Mabasi Msamvu  wakati wa Operesheni maalumu ya ukaguzi wa  Mabasi ya abiria. Kamanda Muslimu amesema katika  operesheni hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo,wamekamata magari 36 ambayo hayakuwa na vibali vya kusafiri. Aidha,amebainisha kuwa magari mengi yamekuwa yakiwekwa mashada ya maua na picha zinazoonyesha  kuwa ni za marehemu huku wahusika wakieleza kuwa wanasafirisha msiba wakati wanajua kuwa si kweli from Udaku Special https://ift.tt/2Ucl8sN via IFTTT

Jacob Zuma. Ahukumiwa Miaka 15 Jela

Image
Mahakama nchini Afrika Kusini imemhukumu kifungo cha miezi 15 aliyekuwa rais wa taifa hilo, Jacob Zuma. Hii ni baada ya Korti ya Katiba kumpata na hatia ya kukaidi agizo la kufika mahakamani baada yakukosa kufika kwenye kikao cha uchunguzi wa kesi ya ufisadi wakati alipokuwa rais. Mahakama ilikuwa na jukumu la kuamua kama Bw.Zuma anapaswa kuadhibiwa kwa kukataa wito wa mahakama na amri ya mahakama ya kumtaka afike mahakamani kutoa ushahidi kuhusu shutuma za rushwa wakati wa utawala wake. Mwenyekiti wa kamati maalum ya uchunguzi wa mahakama ,Raymond Zondo ambayo imekuwa ikichunguza madai hayo aliiomba mahakama itamke kuwa rais huyo wa zamani alidharau mahakama na imhukumu kifungo cha miaka miwili. Tangu alipojiuzulu mnamo mwaka 2018,  Zuma amekuwa akifika mahakamani akikabiliwa na shutuma za ufisadi ambazo amekuwa akizikanusha. from Udaku Special https://ift.tt/3dpwLDw via IFTTT

Jamaa Yake Amemwekea Tego, Msichana Yupo Tayari Tuwe Wapenzi ila Anaogopa Tutanasiana au Ntapata Tatizo

Image
Nimempata dada mmoja mitaa fulani, ni mzuri sana na she is sexy. Kiukweli tumependana nami nilivyomuona tu siku ya kwanza pale ofisini nilimpenda nikaomba tuwe na ukaribu. Tukaanza ukaribu basi juzi juzi hapa nikamwambia mi natamani mambo flani. Yule dada alinikubalia lakini akasema shida kubwa ni kuwa jamaa yake mshirikina alimwekea dawa hivyo tukikutana naweza pata matatizo, anasema watu wa Morogoro/waruguru ndo zao hizo. Sasa hajui atafanyaje maana anasema aliwahi achana na jamaa akawa na mtu mwingine yule jamaa aliyetembea naye alipata matatizo makubwa sana hadi ikabidi yule dada arudi akamwambie Mluguru amwachie jamaa awe salama. Toka kipindi hicho dada amekuwa hana amani anashindwa sasa afanyeje. Aliniambia maneno haya kwa uchungu sana nami nikimwona kiukweli anataka sana nimkandamize yaani hata tukiongea hivi namwona tu jinsi macho yanavyochoka nami mzuka unapanda natamani nimnaniii hivyo hivyo lakini ananikataza anasema coz she loves me hapendi nipate shida. Sasa hapa wada

Okoa Ndoa, Ongeza Maumbile, Nguvu za Ulijari na Hamu ya Tendo

Image
Baada ya kuchambua mambo yanayosababisha upungungufu wa nguvu, kukosa ham ya tendo na maumbile madogo ya uume, leo tutachambua baadhi ya dalili na tiba. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @220,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.BIG PENIS, VIMAX, GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. Tiba hizi zote zimefanyiwa majaribio na zimethibitishwa. Matokeo ni uhakika na

Mange ni Noma..Amkalisha Kiti Moto Mama Dangote Kuhusu Tabia za Diamond Platnumz "Ninyi Mnaomzunguka Mwambieni Abadilike"

Image
  Kaandika Mange Kimambi: Sijawahi kucomment humu ila leo imebidi. Mama umezaa the best artist in East and Central Africa. Anaekataa hilo ni taahira. Ila mama inabidi nyinyi mnaomzunguka mumsaidie abadilike na nyinyi pia mbadilike. Haiwezekani achukiwe kiasi hiki, kuna tatizo kwenye upande wenu. Mungu kamsaidia kafanikiwa sasa kwanini mtumie baraka hizo kurusha watu roho na kumjengea kijana chuki kila kona? Mama naomba upite blog zote za wanaigeria ni wamemposti mtu wao kwa nidhamu. Hakuna majigambo. Hakuna chawa wa Burna Boy anaetukana watu. Burna Boy mwenyewe hata kuposti hajaposti mpaka sasa na nnaamini hata akiposti ataandika mistari mitatu ya hekima basi. Ila angeshinda mwanao mngeringa, mmengesenya watu, mngejishaua mpaka watu wakasirike. Mimi nilikuwa nataka ashinde ila pia nilishajifunga kibwebwe nikisubiri vichambo. Kwanini iwe hivyo? Tafadhali badilieni. Mwanao ndo tegemeo letu kwa sasa hivi la kuwashinda wanaigeria kwa hiyo acheni kumjengea chuki na watu ambae wangekuwa f