Posts

Showing posts from July, 2022

Clouds Media Watangaza Kurudi Kwa Tamasha la FIESTA Mwaka Huu

Image
  Clouds Media Group imetangaza ujio wa FIESTA 2022 usiku huu kwenye shamrashamra za mwaka mpya wa burudani unaoanza August 1 ambapo FIESTA ya mwaka huu kauli mbiu ni ‘weka maneno’ Mwenyekiti wa Kamati ya FIESTA Sebastian Maganga @sebamaganga ambaye pia ni Mkuu wa Maudhui Clouds Media Group amesema kwa wiki mbili kutoka sasa WanaCloudsnia popote Tanzania watakuwa na nafasi ya kujipakulia minyama yote kwa kuchagua wanaitakaje FIESTA ya mwaka huu. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/8cumkdn via IFTTT

Vijue Vyanzo, Dalili na Tiba ya Upungufu wa Nguvu za Kiume na Kuongeza Uume

Image
Baadhi ya mambo yanayosababisha UPUNGUFU wa nguvu za kiume pamoja na maumbile madogo ya uume ni kama KISUKARI, KUJICHUA, NGIRI, KUTAZAMA VIDEO ZA NGONO, UNENE ULIOPITILIZA, ULAJI MBOVU N.K. *DALILI NI KAMA:- 1.Kukosa ham ya tendo 2.Kuwahi kufika kelele ni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Uume kusinyaa katikati ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Uume kusimama kwa ulegevu *TIBA ZILIZOTHIBITISWA:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza ham na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.XXL GEL @240,000/= >Huongeza uume kwa 6-7 inch ndani ya wiki mbili 3.BIG PENIS, MAX MAN au GOOD MAN @270,000/= (Vidonge) >Huongeza uume, nguvu za kiume na kuimarisha misuli hata kwa waliothiriwa na kujichua 4.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii huongeza uume kwa saizi unayotaka pamoja na kuimarisha misuli 5.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelewesha kufika kileleni na kuongeza parfomance. 6.SHARK POWER @220,000/= >Huongeza uu
Image
Imeboreshwa Dakika 50 zilizopita Katika visiwa vya Norway katika Bahari ya Arctic kuna mji mdogo wenye wakazi 45 wakati wa majira ya baridi kali na hadi wakazi 150 kwenye kilele cha majira ya joto. Ni makazi ya kudumu ya kaskazini zaidi duniani, yaliyo karibu maili 765 (1,231km) kutoka Ncha ya Kaskazini. Ny-Ålesund, ni mahali pazuri sana. Labda pia ni moja ya sehemu nzuri zaidi kwenye sayari ya kuvuta pumzi iliyo mbali na vyanzo vikuu vya uchafuzi wa mazingira katika mazingira ambayo hayajaguswa ya Arctic, hewa hapa ni safi zaidi dunaini. Wakazi wa mji huo kwa kiasi kikubwa ni wanasayansi ambao huja kwa sababu hii. Mnamo 1989, kituo cha utafiti kilijengwa kwenye ubavu wa Zeppelinfjellet kwa mwinuko wa 472m (1,548ft) kusaidia watafiti kufuatilia uchafuzi wa anga. Hivi majuzi Kituo cha Uchunguzi cha Zeppelin, kama kituo cha utafiti kinavyoitwa, kimekuwa sehemu muhimu ya kupima viwango vya gesi chafuzi ambavyo vinasababisha mabadiliko ya hali ya hewa. Lakini pia kuna ishara kwa

Aunt: Kusah na Ruby Mbona Freshi Tu, Wala Sihitaji Kiki

Image
AUNT Ezekiel; ni mwanamama nembo ya Bongo Movies na mjasiriamali ambaye anasema kuwa, anawashangaa watu wanaojiuliza kwa nini alimchagua msanii wa kike wa Bongo Fleva, Ruby kwamba ndiye anafaa kufanya kolabo na Kusah ambaye ni baba mtoto wake na amezaa nao wote wawili. Aunt Ezekiel ameolewa na Kusah Akizungumza na Gazeti la IJUMAA, Aunt anasema kuwa, kusema Kusah aimbe na Ruby alimaanisha kabisa kwa sababu Ruby ni msanii anayeimba vizuri na ana sauti nzuri, anajua wazi kama ni wimbo, basi utakuwa ni mzuri mno. Ruby amezaa mtoto mmoja na Kusah “Nilijibu komenti kwa Baba Nono (Kusah) nikimaanisha kabisa siyo kwamba nilikuwa natania au natafuta kiki, hapana na ukweli ndiyo huo kwamba Ruby ni msanii mzuri sana,” anasema Aunt ambaye amezaa mtoto mmoja na Kusah na Rubby amezaa mtoto mmoja na Kusah pia.   Cc; @sifaelpaul from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/jRdLcyE via IFTTT

Mchezaji Sopu Ang'ara, Stars Mwendo Mdundo CHAN

Image
TIMU ya Taifa Stars imeendeleza ubabe mbele ya Somalia baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mchezo wa pili wa marudiano uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa. Mchezo huo ni wa kufunzu fainali za Mataifa Afrika kwa wachezaji wa ndani (CHAN) yatakayofanyika mwakani nchini Algeria. Stars ilikuwa ya kwanza kupata bao kupitia kwa mshambuliaji, Abdul Suleiman 'Sopu' dakika ya 34 baada ya kupiga shuti kali lililomshinda kipa wa Somalia Abdirahman Mohamud. Kipindi cha pili Somalia ilishambulia lango la Stars na dakika ya 48 ilisawazisha bao hilo kupitia kwa Farhan Mohamed. Stars chini ya kocha mkuu, Kim Poulsen alifanya mabadiliko kwa kumtoa George Mpole, Kibu Denis na Salum Abubakar huku nafasi zao zikichukuliwa na Anwar Jabir, Farid Mussa na Mudathir Yahya. Mabadiliko hayo yalileta tija kwa Stars ambayo iliandika bao la pili kupitia kwa Dickson Job dakika ya 64 baada ya Sopu kufanyiwa madhambi kwenye eneo la hatari. Kwa matokeo haya yanaifanya Stars kuibuka na ushin

Roma Mkatoliki "Msimsimange Mwanangu Mandonga BADO Nina Imani na Yeye"

Image
Kufuatia Pambano la Bondia Karim Mandonga usiku wa kuamkia leo, kupigwa kwa TKO Round ya 4 dhidi ya mpinzani wake Bondia Shaban Kaoneka, rappa Roma ambaye ni shabiki wa Mandonga ameeleza haya machache kuhusiana na Mandonga kupoteza pambano lake. Roma ameeleza Mandonga asisimangwe, bado ana Imani nae, akitolea mfano wa pambano la Bondia mkongwe Mike Tyson na Buster Douglas, katika pambano la mwaka 1990. "Tarehe 11, February Mwaka 1990, #BusterDouglas Alimpiga K.O #Tyson Na Mike Akashindwa Kuendelea Na Pambano!! Swala La Kupigwa Kwenye Mchezo Wa #Vitasa Ni La Kawaida Sana. So Msimsimange Mwanetu #Ndonga “BADO NINA IMANI NA YEYE” - Ameeleza Roma kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. Fahamu, hili ni pambano la pili mfululizo kwa Bondia Karim Mandonga kupoteza kwa TKO. Je wewe bado una Imani na #Mandonga 🤔 from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bVrSqAK via IFTTT

Bondia Mtanzania, Seleman Kidunda Aiheshimisha Tanzania, Ampiga Mkongo Katompa

Image
Bondia Mtanzania, Seleman Kidunda ndiye mshindi katika pambano la Raundi kumi 10 lililopigwa usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Maji Maji Songea, dhidi ya Mkongo Tshimanga Eric Katompa na kutawazwa kuwa Bingwa mpya wa mkanda wa WBF Intercontinental. Seleman kidunda na Eric Katompa walikuwa wakigombea ubingwa wa WBF Intercontinental SuperMiddle Weight. Fahanu, pambano hilo lilikuwa ni la marudiano baada ya pambano la awali kuamuriwa kwa sare baada ya kushindwa kutokana na kupata jeraha juu ya jicho katika raundi ya tatu. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/mMwVZDR via IFTTT

Babu Sefu ni Mkombozi wa Kitiba za Asili Wengi Wamefanikiwa..Wasiliana nae Mweleze Tatizo Lako

Image
   BABU SEFU Ni mkombozi wa kitiba wengi wamefanikiwa  Mnakalibishwa wote wenye matatizo mbali mbali ya kidunia USIKATE TAMAA WAHI SASA Je? (1)umeachwa au kutelekezwa na mme/mke au mchumba mludishe sasa ndani ya masaa 4 tu ataludi na kuomba msamah (2)Mvuto wa mapenzi na biashara (3)Unateseka mardhi sugu? (4)Unafeli katika masomo yako (5)Kuludishwa kazini Migogoro kazini na kupata kazi (6)Kushinda kesi (7)Dawa za Nguvu za kiume Kurefusha na kunenepesha uume kwa saiz uitakayo  (8)Dawa za Kuongeza hipsi na makalio Miguu pamoja kuondoa Mabaka Chunusi na Michilizi (9)Zindiko la mwili Nyumba na mashamba KWA HAYO NA MENGINE MENGI USISITE Kumuona 💥  BABU SEFU 💥💥  Piga simu 0769111403 POPOTE ULIPO HUDUMA ITAKUFIKIA from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DJgztsa via IFTTT

AIBU: Bondia Mandoga Mtu Kazi Apingwa Tena KTO Afunguka "Hii ni Kama Ajali"

Image
Bondia mwenye tambo na maneno mengi kutoka Mkoani Morogoro, Karim Mandonga kwa mara nyingine amechezea kichapo katika pambano la "Usiku wa Kisasi" dhidi ya Shabani Kaoneka pambano lililopigwa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Majimaji Songea. Pambano hilo la Mandonga ambalo lilikuwa pambano la utangulizi lilijipatia umaarufu mkubwa na kusubiriwa kwa hamu na wapenzi wafuatiliaji, limewastaajabisha watu wengi kutokana na matokeo yake kwani Mandonga alipigwa kwa TKO katika raundi ya nne dhidi ya Shabani Kaoneka. Akizungumza baada ya Pambano mandonga alisema; "Hii ni kama ajali kazini, mtu anayependa kazi na asiyependa ajali inamkuta, lakini simuhofii Shaban Kaoneka, naweza sema pia ni mipango ya Mungu amepanga nipoteze na mimi sina uwezo wa kumbishia Mungu."- Mandonga aliiambia Azam TV. Itakumbukwa, Mandonga amejipatia umaarufu mkubwa nchini licha ya kupoteza mapambano yake mawili mfululizo yaliyopita kutokana na kujiamini pamoja na tambo zake anazozionesha kabla y

Utu Uzima Dawa..Will Smith Amuomba Radhi Tena CHRIS Rock Baada ya Tukio la Kumchapa Kibao

Image
Will Smith amuomba radhi tena Chris Rock baada ya tukio la kumchapa kibao kwenye usiku wa Tuzo za Oscars mwaka huu. Mwigizaji huyo pia ametumia muda wake kumuomba radhi Mama mzazi wa Mchekeshaji Chris Rock kwa namna alivyojisikia baada ya tukio lile. Tazama VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/z7B206H via IFTTT

Kibwana Shomari wa Yanga Atetemeka Baada ya Kuona Uwezo Mkubwa wa Lomalisa...Atangaza Kumwendea Uluguru

Image
  Beki wa Yanga, Kibwana Shomari ni kama ametangaza vita baada ya kusema hana wasiwasi na ujio wa beki Joyce Lomalisa kwenye kikosi hicho. Kibwana mwenye uwezo wa kucheza beki wa kulia na kushoto, msimu uliopita alicheza zaidi kushoto na kuwaweka benchi Yassin Mustapha na David Bryson ambao baadaye walikuwa wanasumbuliwa na majeraha. Ujio wa Lomalisa unatishia uwezekanao wa Kibwana kupata namba lakini ametamka kwamba kila mmoja atumie vizuri nafasi anayopewa. “Ni kitu kizuri kuja kwake kwenye timu, mimi nikipata nafasi nitaonyesha nilichonacho ili kuisaidia timu kufanya vizuri,” alisema Kibwana na kuongeza; “Kweli wameimarisha eneo hilo na lengo ni timu kupata mafanikio na hilo sio suala geni kwenye mpira kwani mtu kutoka sehemu moja kwenda nyingine ni kawaida.” Kuhusu kucheza nafasi mbili tofauti alisema; “Kama mchezaji unatakiwa unapopewa nafasi tofauti na uliyozoea basi unatakiwa kumsikiliza kocha nini anakuambia na ufuate maelekezo, naamini nilifuata maelekezo ndio maan

BARNABA ammwagia sifa DIAMOND baada ya kurekodi COLLABO yao, amuita daraja la kuiteka dunia kimuziki

Image
BARNABA ammwagia sifa DIAMOND baada ya kurekodi COLLABO yao, amuita daraja la kuiteka dunia kimuziki VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/GFTMkqE via IFTTT

Miili ya Watoto wawili Wanafunzi wa Familia moja Mtwara Wazikwa

Image
Miili ya Watoto wawili wa Familia moja waliofariki kwenye ajali ya basi la Shule ya msingi ya King David iliyoua watu 13 wakiwamo wanafunzi 11, imezikwa Mvumi Dodoma. Watoto hao Johari (7) na Emmanuel (5) wa familia moja ya Simon Joel na Mama Stella Yohana ambao mmoja alikuwa darasa la kwanza na mwingine darasa la awali wamezikwa baada ya ibada iliyofanyika katika kanisa la Anglikana lililopo Kijiji cha Ilolo. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/nZ5zp7B via IFTTT

Je? Umeachwa na mke, Mume, Mchumba na Bado Unampenda ? Kuna Mtu Unamtaka Unashindwa Kumwambia? Mcheki Bibi Mariam

Image
  BIBI MARIAM.Anawashukuru wale wanao piga simu za shukrani na kutoa shuuda jinsi Tiba zake zinavyo saidia watu  Je? Umeachwa na mke/ mume/mchumba na bado unampenda ? Kuna mtu unamtaka unashindwa kumwambia?   BIBI. Mariam humvuta mume, mke ,mchumba na mtu yoyote unaye muhitaji katika mahusiano na kumfanya atimize unachokiitaji kutoka kwakwe na kumfunga asiwe na mtu mwingine zaidi yako hata kama yupo mbali ndani ya masaa .(2) tu na kukutafufuta yeye mwenyewe  ,unamatatizo ya kushika mimba ? Na ukishishika zinaharibika?dawa zipo . PIA.TUNAYO DAWA YA ASILI YA NGUVU ZA KIUME YENYE KUTIBU MATATIZO MATATU KWA WAKATI MMOJA (1)nguvu za kiume ,(2) kurefusha na kunenepesha uume saizi uyipendayo ,nchi (1-7) (3)kuchelewa kufika  kilelen,Yajue .matatizo yanayosababisha upungufu wa nguvu za kiume .(1)ngiri ya kupanda na kushuka (2)korodani moja kuvimba (3)tumbo kuunguruma,kujaa yes.(4)kisuk ari (5)presha(6)kiuno kuuma (7)kutopata choo tunatibu kisukari Suki (14)vidonda vya tumbo siku(30) mmigu

Sallam Sk Atoa MPYA..."Nyimbo Mbaya za Diamond Platnumz Ndio Zinazo Mpa Show Nje ya Nchi"

Image
Sallam Sk amedai anashangaa sana kuona watu wanabeza nyimbo za Diamond anazo toa hivi sasa kuwa ni mbaya, na wanamtaka yule Diamond wa kamwambie kitu ambacho hakiwezi kutokea tena. Sallam amedai hizo nyimbo mbaya anazoimba Diamond, ndizo zinazo mpa show za nje, ndizo zinafanya wao wale, kwahiyo nyimbo mbaya zitaendelea kutoka tu. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SKYqwzp via IFTTT

Super Mihayo Mpya Ni dawa bora ya kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume

Image
SUPER MIHAYO MPYA. WHATSAP NO +255 746 758 853 Ni dawa bora ya kutibu na kumaliza matatizo yote ya nguvu za kiume na sababu zake zote kama vile, - kuwahi kufika kileleni dakika moja ushakojoa - maumbile kusinyaa na kulegea wakati wa tendo - kukosa hamu ya tendo la ndoa - kushindwa kurudia tendo la ndoa - uume kusimama kwa kulegea - uume kulegea katikati ya tendo - kuathirika kwa kujichua kwa muda mrefu - kuishiwa nguvu kutokana na punyeto. Epuka aibu hii leo kwa kutumia SUPER MIHAYO. kiboko ya matatizo haya. _______________________________ Pia kuna SUPER MIHAYO. Kiboko ya uume mdogo inaboresha maumbile ya uume kwa kurefusha na kunenepesha kwa saizi uipendayo haijalishi umri hata kwa walioathirika na upigaji punyeto. _______________________________ Kwanza fahamu sababu zinazopelekea kuwa na upungufu wa nguvu za kiume na uume mdogo. _______________________________ (1) kujichua (punyeto) kwa muda mrefu maana hupelekea misuli ya uume kulegea. (2) ngiri (3) kuugua chango

Mkufunzi wa Sensa Akutwa Amefariki Dunia Nyumba ya Kulala Wageni

Image
Thursday July 28 2022 MKUFUZI PIC Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao Tabora. Bahati Msengi ambaye ni mkufunzi wa sensa amekutwa amefariki dunia katika nyumba ya kulala wageni, Kata ya Kanyenye mkoani Tabora. Mkufunzi huyo ambaye pia alikuwa afisa elimu kata ya Milambo, wilayani Kaliua mkoani humo, alihudhuria mafunzo ya siku 21 yaliyomalizika juzi Jumanne na kufungwa na mkuu wa mkoa wa Tabora, Dk Batilda Burian, katika Chuo Cha Ualimu Tabora. Msengi alikutwa amefariki jana Jumatano Julai 27, 2022 saa nane mchana katika nyumba ya kulala wageni ya Wema. Kamanda wa Polisi mkoa wa Tabora, Richard Abwao amesema tukio hilo ni kifo cha kawaida kama vifo vingine vinavyotokea hospitalini. Naye Jirani wa nyumba hiyo ya wageni, zaidi Ahmed amesema mkufunzi huyo hakuwa ametoka ndani tangu alipoingia kulala juzi na ndipo walipofika baadhi ya jamaa na ndugu walioangalia kupitia dirishani na kumuona amelala kifudifudi. Amesema walimuita kwa muda mrefu bila mafanikio na

Makongoro Nyerere "Nimenusurika Asante sana Rais Samia"

Image
Mkuu wa Mkoa wa Manyara Makongoro Nyerere amemshukuru Rais Samia kwa kumuacha aendelee kuhudumu katika mkoa huo. Makongoro ameyasema hayo leo hii wakati wa zaiara ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa akikagua ujenzi wa miundombinu ya Shule ya Sekondari Matui Wilayani Kiteto. “Rais (Samia Suluhu Hassan) amefanya mabadiliko ya Wakuu wa Mikoa kwa nia njema, lakini mimi ndugu yenu nimenusurika, kama ningeondolewa ningesikitika maana ndio kwanza nimeanza kuwazoea” from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/kcgCX0z via IFTTT

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka Amehamishiwa Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe

Image
Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe akichukua nafasi ya Waziri Kindamba ambaye amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Songwe. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/NYzTAbO via IFTTT

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima Amehamishiwa Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza

Image
Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Adam Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza akichukua nafasi ya Mhandisi Robert Gabriel….  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/zGkQBNp via IFTTT

Uteuzi Mpya wa Rais, Amos Makalla Anaendelea Kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam

Image
Rais Samia amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mikoa Wapya 9 na kuwahamisha vituo vya kazi Wakuu wa Mikoa 7 na wengine 10 kubakia kwenye nafasi zao ambapo Amos Makalla ameendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam. John Mongella ameendelea kuwa RC Arusha, Charles Makongoro Nyerere ameendelea kuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Juma Homera ameendelea kuwa RC Mbey  from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/UdDsALP via IFTTT

BREAKING: Rais Ateua Wakuu wa Mikoa Wapya Wengine Wabadilishwa Vituo

Image
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi wa wakuu wa mikoa wapya 9 leo 28, Julai 2022. Katika uteuzi huo waliobakia kwenye vituo vyao ni 10 na waliohamishwa ni 7. Miongoni mwa Waliobadilishwa Mikoa ni Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Antony Mtaka na badala yake ni Rosemary Senyamule. Miongoni mwa walioondolewa katika nafasi hiyo ni aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Marco Gaguti, aliyrkuwa Mkuu wa mkoa wa Singida Bilnith Mahenge, aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Mara Ally Hapi. Uapisho utafanyika Agosti mosi Ikulu Chamwino Jijini Dodoma. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/InROLuC via IFTTT

Kutana na Miujiza ya Mtaalam Bahati Kutoka Morogoro, Mtaalam wa Tiba Asilia na Maombezi ya Dua

Image
  KUTANA NA MIUJIZA YA MTAALAM BAHATI KUTOKA MOROGORO MTAALAM WA TIBA ASILI TANZANIA NA DUNIANI KOTE (Rudisha mahusiano yako ndani ya masaa 72 tu) ASANTE KWA KUENDELEA KUMPIGIA SIMU MTAALAM BAHATI KWA WALE WENYE MATATIZO NA WALE WANAOTOA SHUKRANI: MTAALAM BAHATI ni mtaalamu wa tiba mbalimbali za asili, 🔥anatumia kitabu cha quran dawa za asili dawa za kiarabu, na majini, 🔥Anakuvutia mpenzi alie kuacha au alie mbali, anazo dawa za mapenzi, 🔥nguvu za kiume, chango kwa kina mama, ngiri maji na n.k, 🔥anakuvutia mali zilizo potea au kudhulumiwa, pia anatoa pete za bahati, zilizoambatanishwa na jini mali, Wenye matatizo ya uzazi, jini mahaba, mapepo ya kichawi, vifungo vya kimaisha, ndoto mbaya za usiku, uelewa mdogo wa ufahamu shuleni kwa watoto wote 🔥pia anauwezo mkubwa wa kumaliza kazi zilizoachwa na wataalamu wengine ndani ya masaa 48 tu, Pia anatibu kwa njia ya simu popote ulipo. WASILIANA NAE KWA SIMU NO: +255 719 626 586 WhatsApp no: +255 719 626 586 USH

Taarifa Kuhusu Bernad Morrison Kutokuwa Kambini Maandalizi ya Timu ya Yanga

Image
Mkurugenzi wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Klabu Ya Yanga, Hassan Bumbuli amethibitisha kuwa asilimia tisini ya Wachezaji wa Klabu hiyo wapo kambini na wameanza mazoezi ya kujiandaa ya msimu ujao isipokuwa kwa Mchezaji Bernard Morrison anayetaraji kuwasili nchini Jumatano hii. Yanga tayari wameanza mazoezi ya kujiweka fiti kujiandaa na msimu mpya wa ligi sambamba na mashindano ya kimataifa wakiiwakilisha nchi Klabu bingwa. Ofisa Habari wa klabu hiyo, Hassan Bumbuli amesema  wachezaji wote wamewasili kambini isipokuwa Bangala na Morrison ambao hadi alhamisi watakuwa wameungana na wenzao kwenye mazoezi. "Mastaa hao taarifa za kuchelewa kwao zinafahamika lakini wote watawasili kesho na alhamisi wataanza mazoezi pamoja na wenzao ili kujiweka witi kuelekea msimu mpya," alisema na kuongeza; "Ni wachezaji watano ambao walichelewa kujiunga na kambi ambao ni Khalid Aucho ambaye jana kaanza mazoezi, Fiston Mayele na Shaban Djuma ambao wataanza mazoezi leo baada ya

Uzee wa Odinga ni ukomavu wa Huduma, Martha Karua Amtetea

Image
  Mgombea mwenza wa muungano wa Azimio la Umoja One Kenya, Martha Karua ametetea umri mkubwa wa Raila Odinga akiutaja kuwa ishara ya ukomavu na uwezo wa kuwahudumia Wakenya. Akizungumza siku ya Jumatatu, Julai 25, katika mkutano wa kisiasa kaunti ya Kajiado, Karua amewataka wakaazi kupuuza propaganda inayoenezwa na wapinzani kuwa Raila ni mzee kiasi kwamba hatoshi kuwa rais wa tano wa Kenya. Badala yake, aliwahimiza wakazi hao kuangazia rekodi ya Raila katika kutetea Wakenya akiwa katika serikali na upinzani na kumzawadia kwa kumpigia kura. “Mkiambiwa Raila ni mzee, ndio ni mzee. Amekomaa na kujipanga vizuri kisiasa. Unafika wakati ambapo nchi inahitaji mtu mkomavu, anayewaza inavyostahili na asiye na hasira,” Karua alisema. Karua aliangazia rekodi ya utendakazi ya Hayati Rais Mstaafu Mwai Kibaki akisema kuwa japokuwa alikuwa na umri mkubwa, alifanya mageuzi makubwa nchini na kuboresha pakubwa uchumi wa taifa. Karua alisema kuwa kujitolea kwa Raila kuwahudumia Wakenya kume

Kimenuka..Serikali yataifisha Dawa za Binadamu Aina 34

Image
  Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetaifisha aina 34 za dawa za binadamu zilizokamatwa zikiuzwa kiholela mitaani kwenye maduka ya dawa za binadamu zaidi ya mia mbili yasiyo na usajili kwa mikoa mitatu kanda ya ziwa magharibi kunusuru afya za watu. Meneja TMDA Kanda ya Ziwa Magharibi Dkt. Edgar Mahundi, amesema wanaendelea na oparesheni hiyo duka kwa duka na dawa zilizotaifishwa zitagaiwa kwa wananchi bure. “Zimekutwa katika haya maeneo kwanza baadhi ya maeneo hajasajiliwa kuuza aina hii ya dawa, lakini pia hizi dawa ni dawa moto wale wauzaji waliokutwa kule walikuwa hawana sifa ya kuziuza hizi dawa,” amesema Dkt Mahundi. Naye, Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt. Japhet Simeo amesema uuzwaji holela wa dawa za binadamu mitaani husababisha athari kubwa za kiafya kwa mtumiaji. “Kuna dawa zingine zinapotumika zinaweza kuleta madahara kama ni mjamzito kiumbe kilichopo tumboni kinweza pata madhara, ndio maana tunasema lazima mtua aende akapate ushauri wa kitaalamu ili aweze kut

Maagizo ya Nape Taasisi za Serikali Kushikamana

Image
  Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye ameagiza, taasisi za serikali kushikamana, ili kwenda pamoja kuhakikisha sekta ya habari inakua kiuchumi. Waziri Nape ametoa rai hiyo wakati akizungumza kwa njia ya mtandao katika kikao kazi cha wakuu wa taasisi na watendaji wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari. Ameagiza wakuu wa taasisi wasikubali kumuona mtu akishuka, badala yake wawe na upendo na washikane mkono kwa ajili ya kutatua changamoto zilizopo na kuzitatua. Waziri Nape amesema ikiwa taasisi za serikali zitashikamana, zitaweza kukua zaidi, ikiwemo kuwezesha Wizara ya Habari kujulikana kwa kazi zinazofanywa, badala ya kusubiri mojawapo kuanguka. Aidha amewataka wakuu wa taasisi, kubuni mbinu mpya za utatuzi wa changamoto za watumishi ikiwemo kuinua uchumi wa nchi kupitia sekta za habari. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/L5EmkpN via IFTTT

Jonas Mkude Kuweka Rekodi Mpya Simba SC

Image
KIUNGO mkabaji wa Simba, Jonas Mkude amesema anafurahi kuendelea kuweka rekodi ya kuwa mchezaji anayeshiriki matamasha mengi ya Simba Day ndani ya timu hiyo. Mkude amefunguka hayo kuelekea siku ya Simba Day inayotarajiwa kufanyika Agosti 8 mwaka huu, Uwanja wa Benjamin Mkapa Dar es salaam. Kupitia mtandao wa kijamii Instagram ameandika kuwa ‘Agosti 8 tunaadhimisha Simba Day ya 14 kwangu mimi binafsi ni ya 12,” “Ni heshima kwangu kuwa sehemu ya tamasha hilo kubwa la soka kwa miaka yote hiyo, tukutane kwa Mkapa kuadhimisha siku yetu wanasimba,” ameandika Mkude. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/m4fS0D1 via IFTTT

Mama Asimulia Kauli ya Mwisho ya Watoto Wake Wawili Waliofariki Ajalini Mtwara

Image
Mtwara. “Bye dady, bye mamy.” Hayo ndio maneno ya mwisho waliyoyatoa watoto wawili wa familia moja waliofariki dunia katika ajali ya basi iliyoua watu 11 wakiwamo wanafunzi tisa, wakiwaaga wazazi wao kabla ya kuondoka nyumbani kwenda shuleni. Akisimulia kwa uchungu, Stella Yohanna ambaye ni mama wa watoto hao wawili amesema kuwa hiyo ndio ilikuwa tabia yao na asubuhi baada ya kuwaanda walikwenda kumuaga baba yao kabla ya mama huyo kuwapeleka kwenye gari la Shule ya Msingi ya King David. Stella ambaye ni mkazi wa Mtwara mjini amepoteza watoto wake wawili katika ajali hiyo ambayo imetokea asubuhi leo Jumanne Julai 26, 2022 eneo la Mjimwema, Kata ya Mikindani, Mtwara Mjini wakati watoto wakipelekwa shuleni. Waombolezaji wakiwa nyumbani kwa Stella Yohana eneo la Peninsula Mtwara Mjini ambaye amepoteza watoto wake wote wawili Johari (7) na Emmanuel (5) katika ajali ya gari la Shule ya Msingi Msingi ya King David. Picha na Florence Sanawa Akishindwa kujizuia dhidi ya maumivu aliy

HARUFU ya Asili ya Mwanamke ni Very Romantic Kuliko ya Kujipulizia Pafyumu..!!!!

Image
Kwa kweli wanawake hii kitu ngoja niwaambie ,,,,zile harufu zenu ambazo huwa mnatoa kabla hamjajipulizia pafyumu huwa zinaleta hamasa kubwa sana ya mapenzi kuliko hayo mapafyumu ya gharama mnayojipulizia Kwa kifupi nikikaa na demu ambaye hajajipulizia pafyumu kile kiharufu chake kinachotoka huwa kinanivutia sana yani kuliko nikikaa na demu anayenukia pafyumu. Hii siri nimewamegea usiipuuze izingatie sana. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3XmduVH via IFTTT

Unamjua Vizuri Idd Amin wa Uganda? Soma Mambo Haya 10 Ubaki Mdomo Wazi..!!!

Image
1.Aliwahi kuwa bingwa wa ndondi wa uzito wa juu nchini Uganda mwaka 1960-1961 2.alijichagua kuwa Raisi wa Uganda kwa mapinduzi ya kijeshi, na waganda wengi walimchukulia kuwa ni shujaa kwa kumuondoa raisi walieona “anasuasua” Milton Obote mwaka 1971. 3.Aliua watu zaidi ya laki tatu (300,000) kwa kipindi cha miaka 8 aliyokuwepo madarakani kabla ya Kung’olewa na Majeshi ya kitanzania mwaka 1979 baada ya kutaka kuteka sehemu ya Tanzania. 4.Aliwatimua raia wote wenye asili ya Kihindi nchini kwake na kutaifisha mali zao zote. 5.alijipa vyeo kibao na kujiita Field Marshall Al Hadj Doctor Idi Amin Dada! 6.Inasemekana alimtumia malkia wa uingereza Elizibeth II barua za kimapenzi akimuomba amuoe ili aweze kujiita mfalme kwani alikuwa ameshajipa vyeo vyote kasoro “King” Yaani mfalme. 7.Ana watoto zaidi ya 40 huku akiwa ameoa wake 6. Mmoja wa wake zake alikutwa ameuawa kinyama baada ya kupata ujauzito na mtu mwingine. 8.Vyombo kadhaa vya Habari vimekuwa vikimuhusisha na ulaji wa

Tumia Dawa Bora za Vidonge vya Mitishamba..Je Unasumbuliwa na Nguvu za Kiume au Maumbile Madogo, Kisukari na Mengineyo

Image
TUMIA DAWA BORA ZA VIDONGE VYA MITISHAMBA ?JE UNASUMBULIWA NA NGUVU ZA KIUME,AU UUME KUWA MDOGO , KISUKARI,NA MENGINEYO _________________________ Baada ya maombi mengi ya wateja wangu ya kuitaja kuboresha Dawa ili kurahisisha utumiaji sasa DR DITTU kapokea maombi yenu sasa Dawa zetu zipo kwenye mfumo wa vidonge na unga pia _________________________ 👉🏻je unasumbuliwa na tatizo la nguvu za kiume yani kushindwa kuludia tendo,kuwah kukojoa kabla mwenzi wako hajakojoa _________________________ 👉🏻 Je unasumbuli na tatizo la uume kuwa mdogo au mwembamba mpaka tatizo ili linakutia aibu au kudharauliwa ongeza saiz upendayo sasa inch 5,6,7na 8 _________________________ 👉🏻 Je unasumbuli na tezi Dume, vidonda vya Tumbo,ngiri,kukosa Choo, _________________________ 👉🏻 Je unasumbuli na ugonjwa wa kisukari,presha, magonjwa ya moyo, miguu kufa Gazi uzazi na na mengineyo _________________________ 🌳Tumia mafuta asili na vidonge vyake kuongeaza saizi ya uume 🌴ongeza nguvu za kiu

Linah Sanga Afunguka Mapenzi na Mume wa Nandy Bilnass "Hatuna Uadui"

Image
  Kumekuwa na maneno mengi na watu wakijiuliza Linah alipata wapi ujasiri wa kuhudhuria harusi ya Billnas na Nandy wakati amewahi kuwa kwenye mahusiano na Nenga, haikuishia hapo, bado watu wanashangaa kuona Linah bado yupo karibu na familia hiyo kiasi kwamba hadi kwenye Nandy Festival alikuwepo, huku wengi wakihofia kuwa upashaji kipolo hauhitaji moto mwingi, na yeye ni binadamu ambaye ustahimilivu wa kuendelea kuwasiliana na Ex wako bila madhara inahitaji imani sana.😀 Hasa kupitia Amplifaya ya Clouds Fm, Linah amesikika akisema uEX sio uadui, kuachana na mtu si lazima mugombane au ndio uwe mwisho ya kuongea, kuna maisha mengine lazima yaendelee. Linah pia amedai maneno haya yamekuwa yakiendelea mitandaoni hayaleti picha nzuri kwake hata kwa wananfoa na yanakuzwa sana, kuna muda ataongea hili kwa undani zaidi. from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/mtFZpEf via IFTTT

BOT Yachunguza Sintofahamu Sarafu ya Sh500 Mitaani

Image
Dar es Salaam. Kuna sintofahamu imeibuka kuhusu sarafu ya Sh500 baada ya kuonekana baadhi zenye alama tofauti kwenye mzunguko. Taarifa zilizolifikia Mwananchi zimeeleza kuwa sarafu hizo zenye baadhi ya alama tofauti zipo kwenye mzunguko na zinatumika kufanya manunuzi mbalimbali hususan jijini Dar es Salaam. Katika uchunguzi wake Mwananchi limeshuhudia baadhi ya sarafu hizo katika mazingira tofauti. Benki Kuu ya Tanzania (BoT) ilipoulizwa na Mwananchi imesema inaendelea na uchunguzi wa suala hilo. Kwa mujibu wa Sheria ya BOT ya mwaka 2006, mamlaka pekee ya kutengeneza, kutoa fedha, kubuni na kuagiza (noti na sarafu) kwa uhalali wa malipo na kukidhi mahitaji. Julai 11, mwaka huu maofisa wa BoT waliokuwa kwenye maonyesho ya 46 ya Biashara ya Kimataifa Jijini Dar es Salaam walipoulizwa na kuonyeshwa moja ya sarafu hizo, walimtaka mwandishi wa gazeti awasiliane na wizara kuhusu suala hilo. Hata hivyo, alipoulizwa Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Emmanuel Tutuba alisha

30 Wafariki Ajali Basi la Morden Coast Baada ya Kutumbukia Mtoni

Image
  Polisi nchini Kenya,Jana Julai 25, 2022 imesema idadi ya waliofariki katika ajali ya basi la Morden Coast iliyotokea katika daraja moja katikati mwa nchi hiyo imeongezeka hadi kufikia watu 30. Ajali hiyo ilitokana na Basi la abiria lililokuwa limebeba idadi ya watu isiyojulikana jana jioni ya Jumapili Juni 24, 2022 kuanguka kwenye daraja na kutumbukia mtoni kando kando ya barabara kuu ya kutoka Meru kuelekea mji mkuu, Nairobi. Ajali ya Basi la Morden Coast iliyotokea nchini Kenya na kuuwa watu 30, basi hilo lilitumbukia mtoni mita 40 chini kutoka juu ya Daraja. WHO yataka juhudi kupunguza vifo majini Afisa Mkuu wa Polisi jijini Nairobi, Rono Bunei amesema, “Basi hilo lazima lilipata hitilafu ya breki, kwa sababu lilikuwa katika mwendo wa kasi wakati ajali hiyo ilipotokea na kusababisha watu wengi kupoteza maisha.” Bunei, ambaye alikuwa akiongea na vyombo vya Habari, kupitia taarifa yake amesema, idadi ya waliofariki iliongezeka kutoka watu 24 waliotangazwa usiku na kufiki

Watu wa karibu walivyomfilisi R Kelly kutoka kuwa TRILIONEA hadi kumiliki milioni 699 tu!

Image
  Watu wa karibu walivyomfilisi R Kelly kutoka kuwa TRILIONEA hadi kumiliki milioni 699 tu! VIDEO: from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fLM7BpK via IFTTT

Simu ya Abiria Yalipuka Kama Bomu na Kusababisha Ajali ya Bajaji

Image
Watu wanne wamenusurika kifo mara baada ya bajaji namba MC 567 CJK aina ya TVS iliyokuwa ikitoka maeneo ya stendi kuu ya mji wa Njombe kuelekea katikati ya mji kupinduka kutokana na mlipuko mkubwa wa simu ya abiria uliosababisha moto. RPC wa Njombe Hamis Issah amesema bajaji hiyo imepinduka kutokana na dereva kugeuka nyuma kutokana na taharuki ya kulipuka kwa simu ndogo mali ya Siston Antony katika Barabara kuu ya Njombe-Songea majira ya saa tano asubuhi. “Moto umelipuka mkubwa na dereva wa bajaji akageuka kuangalia abiria wake na kushindwa kuiongoza akaiachia bajaji wakapinduka, baada ya ajali hiyo Polisi imeingilia kati kutokana na Mmiliki wa bajaji kutaka kulipwa na abiria ambaye ni Mmiliki wa simu iliyosababisha mlipuko na kupelekea kupinduka kwa bajaji na kuharibika” Aidha Kamanda Issa ametoa wito kwa Wamiliki wa vyombo vya moto kuwa na bima za vyombo vyao ili kuepusha usumbufu kama huo huku pia akitoa rai kwa Wamiliki wa simu kuwa makini na matumizi ya simu zao na kusema

Babu Sefu ni Mkombozi wa Kitiba za Asili Wengi Wamefanikiwa..Wasiliana nae Mweleze Tatizo Lako

Image
BABU SEFU Ni mkombozi wa kitiba wengi wamefanikiwa  Mnakalibishwa wote wenye matatizo mbali mbali ya kidunia USIKATE TAMAA WAHI SASA Je? (1)umeachwa au kutelekezwa na mme/mke au mchumba mludishe sasa ndani ya masaa 4 tu ataludi na kuomba msamah (2)Mvuto wa mapenzi na biashara (3)Unateseka mardhi sugu? (4)Unafeli katika masomo yako (5)Kuludishwa kazini Migogoro kazini na kupata kazi (6)Kushinda kesi (7)Dawa za Nguvu za kiume Kurefusha na kunenepesha uume kwa saiz uitakayo  (8)Dawa za Kuongeza hipsi na makalio Miguu pamoja kuondoa Mabaka Chunusi na Michilizi (9)Zindiko la mwili Nyumba na mashamba KWA HAYO NA MENGINE MENGI USISITE Kumuona 💥  BABU SEFU 💥💥  Piga simu 0769111403 POPOTE ULIPO HUDUMA ITAKUFIKIA from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bus1UFa via IFTTT

Serikali kukutana na Tucta kutoa ufafanuzi nyongeza ya mishahara

Image
Dodoma. Serikali ya Tanzania Jumatatu Julai 26, 2022 itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara Julai mwaka huu. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumapili, Julai 24, 2022 na Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa katika ukarasa wake wa mtandao wa Twitter. “Ndugu wafanyakazi, Jummane tarehe 26 Julai 2022 Serikali itakutana na viongozi wa Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (Tucta) ili kuwasikiliza na kutoa ufafanuzi kuhusu nyongeza ya mishahara katika mishahara ya Julai 2022,”amesema. Mei 14, 2022, Rais Samia Suluhu Hassan aliridhia mapendekezo ya kuongeza mishahara ikiwemo kima cha chini kwa watumishi wa umma kwa asilimia 23.3 ambayo yangeaza katika mshahara wa mwezi Julai. Katika taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Ikulu, Zuhura Yunus ilisema mapendekezo hayo ni mwendelezo wa kikao cha Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alichokifanya mkoani Dodoma na kupokea taarifa kutoka kw

Balozi Sirro amshukuru Rais Samia, amzungumzia IGP Wambura

Image
  Butiama. Balozi wa Tanzania nchini Zimbabwe, Simon Sirro amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kumteua katika wadhifa huo na kuahidi kwenda kutimiza majukumu yake kwa ufanisi. Aidha, Balozi Sirro amewaomba Watanzania kumuombea Mkuu mpya wa Jeshi la Polisi (IGP), Camilius Wambura pamoja na timu yake ili waweze kutimiza majukumu yao vema kwa manufaa ya nchi. Sirro ameyasema hayo leo Jumapili  Julai 24, 2022 kwenye misa ya shukrani aliyoifanya kijijini kwao katika Kanisa Katoliki Muriaza, Jimbo la Musoma Mkoa wa Mara. Amefanya misa hiyo ikiwa ni siku takribani tano zimepita tangu Rais Samia kufanya mabadiliko ndani ya Jeshi la Polisi, Julai 19  2022 na kumbadilishia majukumu. Katika mabadiliko hayo, Rais Samia alimteua Camilius Wambura aliyekuwa Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI) kuwa IGP kuchukua nafasi ya Sirro ambaye aliteuliwa kuwa Balozi wa Tanzania nchini Zimbambwe. IGP Wambura na Balozi Sirro kwa pamoja waliapishwa Julai 20, 2022 Ikulu ya Chamwino j

Mgonjwa aidai TMJ, Hindu Mandal fidia ya shilingi milioni 500

Image
  Dar es Salaam. Mfanyakazi wa Wizara ya Kilimo, Frorence Samwel anadai fidia ya Sh500 milioni Hospitali za TMJ na Hindu Mandal za jijini Dar es Salaam na daktari Moirice Mavura kwa kile anachodai kuwa ni uzembe katika kumtibu. Pia amedai alipwe Sh53 milioni kwa ajili ya gharama mbalimbali, ikiwemo ya matibabu na usafiri. Frorence amefungua kesi hiyo dhidi ya Dk Mavura pamoja na hospitali hizo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, akidai kuwa hospitali hizo zilifanya uzembe alipokwenda kupata huduma ya matibabu. Akitoa ushahidi wake katika kesi hiyo inayosikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi, Ramadhan Rugemalira huku akiongozwa na wakili wake Norbert Mlwale alidai kuwa Juni 27, 2018 alienda katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH) na alifanyiwa uchunguzi wa koo ndipo alielezwa amuone Dk Moirice Mavura. Alidai baada ya kumuona Dk Mavura alimwelekeza kuwa aende katika hospitali ya Hindu Mandal kwa kuwa ina vifaa vya kisasa kwa ajili ya upasuaji na anafanya kazi katika hos