Posts

Showing posts from March, 2021

Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA

Image
  Shamimu Mwasha na mumewe Abdul Nsembo wahukumiwa kifungo cha maisha JELA VIDEO: VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dlVl7j via IFTTT

AMBER LULU: Nimelala nikaota naolewa na DIAMOND na ndoa inafanyika kwenye uwanja wa TAIFA

Image
  AMBER LULU: Nimelala nikaota naolewa na DIAMOND na ndoa inafanyika kwenye uwanja wa TAIFA VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3fw8jSL via IFTTT

Gomes Avuruga Dili la Manula Al Merrikh

Image
  KOCHA Mkuu wa Simba, Mfaransa Didier Gomes ameibuka na kutamka kuwa kamwe hatakubali kumuachia kipa wake namba moja Aishi Manula aondoke katika kikosi chake kutokana na ubora wake alionao.   Kauli hiyo aliitoa mara baada ya kumalizika kwa mazoezi ya timu hiyo yaliyofanyika juzi saa kumi jioni kwenye Uwanja wa Simba Mo Arena, Bunju nje kidogo ya Dar es Salaam katika kujiandaa na mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita.   Hiyo ni baada ya kupata taarifa za kipa huyo kuwaniwa na Al Merrikh ya nchini Sudan ambayo nayo inashiriki Ligi ya Mabingwa Afrika, msimu huu.Akizungumza na Championi Jumatano, Gomes alisema kuwa amezisikia taarifa za kipa wake kuhitajika na Merrikh ambazo kwake hazimtishi akiamini Manula hatakwenda huko na badala yake ataendelea kubakia kukipiga Simba. Gomes alisema kuwa ni ngumu kwake kumuachia Manula kwa hivi sasa kutokana na uimara, kiwango bora alichonacho hivyo atahakikisha anapambana kuishawishi Bodi ya Wakurugenzi

Mbwa wa Biden amng’ata mtumishi mwingine Ikulu

Image
  Mbwa wa Rais wa Marekani aitwaye Meja amemng’ata mtumishi mwingine wa Ikulu, siku chache tu baada ya kurudi kutoka mafunzoni Delaware ili asirudie kitendo kama hicho alichokifanya mapema mwezi huu.   Msemaji wa Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden, amesema kwamba kwa tahadhari kubwa mhusika wa tukio hilo la kung’atwa na mbwa alipatiwa huduma na madaktari na kisha akarudia kazi. Mbwa Meja ni moja wa mbwa mdogo kati ya mbwa wawili wa rais Biden aina ya German Shepherds na ni mbwa wa kwanza wa Ikulu ya Marekani aliyepatikana kutokana na kuokolewa mitaani. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3fwflGR via IFTTT

Mbaroni kwa penzi la Mwanafunzi wa shule ya msingi

Image
Na Maridhia Ngemela  Mwanza JESHI la Polisi mkoani Mwanza   linawashikiria watu 24 kwa tuhuma za makosa mbalimbali ikiwamo mauwaji , kuvunja ofisi za shule za msingi na kuiba  vitabu pamoja na kujihusisha na mapenzi na wanafunzi. Hayo yamesemwa na Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani hapa Jumanne  Muliro  wakati akizungumza na Waandishi wa Habari alisema   mtuhumiwa  Japherth  Musiba amehukumiwa miaka 30 kwa  kosa la kujihusisha na mapenzi na wanafunzi  na kuwapatia mimba ambazo zinasababisha kuvunja ndoto zao. Amesema kufanya mapenzi na mwanafunzi ni kosa kisheria kwani kubaka ,kulawiti ni vitendo ambavyo havikubariki katika jamii. Kamanda ameongeza kuwa, Kosa la pili ni wizi wa vitabu uliofanyika katika  ofisi za shule tatu za msingi Wilayani Kwimba  ziligundulika  kuvunjwa na kuiba vitabu 529 vya mitaala mipya vya masomo mbalimbali. Alisema  Jeshi hilo linawashikiria walimu wa  shule tatu za Msingi ikiwamo  Igoma, Manguluma na  Bujingwa kwa kosa la kula njama

Rais afanya mabadiliko madogo baraza la mawaziri

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuapisha Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango na kisha kufanya mabadiliko madogo katika baraza la mawaziri. Mabadiliko hayo ametangaza mara baada ya uapisho wa Makamu wa Rais na kusema kuwa amefanya uteuzi wa wabunge watatu ambao ni aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Dkt. Bashiru Ally, Balozi Liberata Mulamula pamoja na Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk. Rais amemteua Mhe. Ummy Mwalimu kuwa Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI, Mhe. Mohammed Mchengelwa Waziri wa Ofisi ya Utumishi na Utawala Bora, aliyekuwa Waziri wa TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo kuwa Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, Mhe. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha na Mipango, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje, Palamagamba Kabudi kuwa Waziri wa Katiba na Sheria. Pia Mhe. Samia Suluhu Hassan amemteua Balozi Hussein Katanga ambaye ni Balozi wa Tanzania nchini Japan kuwa Katibu Mkuu Kiongozi akichukua nafasi ya Balozi Bashi

Poshy: Uzazi Umeniongezea Mvuto

Image
MREMBO ambaye umbo lake lilimfanya kumpa jina kubwa hapa mjini, Jacqueline Obadia ‘Poshy’ amesema kuwa tangu amejifungua mtoto wake, amezidi kuwa mrembo tofauti na hata alipokuwa hajajifungua. Akizumgumza, Poshy alisema kuwa watu wengi wanadhani kuwa unapopata mtoto mwili unaharibika lakini ukweli ni kwamba ukizaa na ukajikubali mwili unakuwa mzuri na unaongezeka mvuto. “Toka nimejifungua kwa kweli naona kabisa mvuto umeongezeka sana maana wengine walikuwa wanasema kuwa ukijifungua utaharibika lakini ukweli ni kwamba tangu nijifungue nimezidi kuwa bomba sana na ninavutia tofauti hata na mwanzo,” alisema Poshy. Stori na Imelda Mtema | GPL from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3ub1zgW via IFTTT

Hawa ndio wabunge watatu wapya, Bashiru Ally ateuliwa na Rais

Image
  Rais Samia Suluhu Hassan leo amefanya mabadili ya baraza la mawaziri ambapo amemteua aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Mipango na Fedha akichukua nafasi ya Dr.Philip Mpango ambaye ameapishwa leo kuwa Makamu wa Rais. Aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Bashiru Ally Kakurwa ameteuliwa na Rais Samia Suluhu Hassan kuwa Mbunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dnXWNT via IFTTT

Breaking News: Mwigulu Nchemba Ateuliwa Waziri wa Fedha

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia suluhu Hasan Amemteua Mwigulu Nchemba kuwa Waziri wa Fedha na Mipango. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/39rJLGn via IFTTT

Adakwa akisafirisha Kobe 400 kwenye mabegi Simiyu

Image
Jeshi la polisi mkoani  Simiyu linamshikilia mtu mmoja (jina linahifadhiwa) miaka 35 Mkurya mkazi wa Wilaya ya Bunda mkoani Mara kwa kosa la kukutwa akisafirisha Kobe 438 kwenye mabegi bila ya vibali. Akiongea na Waandishi wa Habari leo Machi 31, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Simiyu, Richard Abwao, amesema kuwa mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 21, 2020 saa 2:00 usiku. Kamanda Abwao amesema jeshi hilo lilipata taarifa kutoka kwa raia wema, ambapo mtuhumiwa alikamatwa akiwa anasubilia usafiri katika kata ya Dutwa Halmashauri ya Wilaya ya Bariadi mkoani humo. Ameeleza kuwa baada mtuhumiwa kukamatwa, alikutwa akiwa na mabegi matatu yote yakiwa yamebeba wanyama hao, ambao alieleza thamani yao ni sh. Milioni 71,161,866. “Mpaka sasa tunamshikilia mtuhumiwa kwa ajili ya mahojiano zaidi, tunataka kujua aliwatoa wapi na alikuwa anawapeleka wapi, tunataka kujua na mtandao mzima maana tunajua hayuko peke yake,” amesema Abwao. Aidha Kamanda Abwao amesema kuwa jeshi hilo limeka

Watano Wahukumiwa Kunyongwa Njombe

Image
WASHTAKIWA watano waliokuwa wakikabiliwa na kesi ya mauaji namba 84 ya mwaka 2014 ya Alice Mtokoma (56), mkazi wa kijiji cha Usalule kilichopo mkoani Njombe wamehukumiwa adhabu ya kunyongwa hadi kufa.   Wakisomewa shtaka hilo leo Machi 31, 2021 na mawakili wa serikali Andrew Mandwa na Matiko Nyangelo katika kikao cha mahakama kuu kilichofanyika mkoani Njombe mbele ya Jaji Firmin Matogolo, walisema watuhumiwa hao Mei 13,  2012 walimuua  kwa kumpiga Alice Mtokoma kwa kitu chenye ncha kali, kosa ambalo ni kinyume na kifungu cha sheria na 196 na 197, kanuni ya adhabu, sura ya 16, marejeo ya 2019.   Wakili Nyangelo alieleza kuwa siku ya tukio hilo, watuhumiwa walimfuata nyumbani kwake marehemu na kumueleza kuna sehemu wanatakiwa kwenda naye ndipo walipotekeleza mauaji hayo.   Hukumu hiyo ya kunyongwa hadi kufa kwa washtakiwa hao ilitolewa na Jaji Matogolo katika kikao cha Mahakama Kuu kilichofanyika mkoani Njombe.   Alisema washtakiwa waliohukumiwa adhabu hiyo ya kunyon

Shamimu Mwasha na Mumewe Wahukumiwa Kifungo Cha Maisha Jela..Kisa Madawa ya Kulevya

Image
MAHAKAMA Kuu kitengo cha Uhujumu Uchumi na Makosa ya Rushwa, maarufu kama Mahakama ya Mafisadi, imemuhukumu blogger Shamimu Mwasha (41), na mume wake Abdul Nsembo, maarufu kama Abdulkandida (45) kutumikia kifungo cha maisha gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kukutwa na dawa za kulevya aina ya Heroine. Hukumu hiyo imetolewa leo Machi 31, 2021 na Jaji Elieza Luvanda baada yaa kuridhika na ushahidi uliotolewa mahakamani hapo na mashahidi sita wa upande wa mashtaka. Shamimu anayemiliki Blog ya 8020 na mumewe Nsembo, walikuwa wanakabiliwa na mashtaka mawili ya kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroini gramu 232.70, kosa wanalodaiwa kulitenda Mei mosi 2019 huko Mbezi Beach jijini Dar es. Salaam. Shamim Mwasha wakiwa na Mumewe, walipofikishwa mahakamani kwa mara ya kwanza. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2PEiSbn via IFTTT

Mfahamu Muuaji wa Wauaji Aliyeua Wauaji zaidi ya 70 Nchini Brazili

Image
Imekua ikiaminika kwamba chaguo (Choices) tunayochagua ndio yanatueleza tulivyo. Kuna msemo kwenye Biolojia unasema " Every major decision made human brain undergo a physical change over time" Lakini vipi kuhusu maamuzi ya mtu kuchagua maisha ya kua muuaji? Watu waliochagua kuishi kama wauaji wapo na huyu ni muuaji wa kutoka Brazili ambaye amekua akifanya uuaji kwa muda mrefu sasa. Pedro Redrigues Filho ni mmoja kati ya wauaji bora wa muda mrefu lakini yeye uuwaji wake ulikua tofauti na Wauwaji wengine (Killers). Yeye alikua anaua wauaji na wahalifu tu. Anaelezewa kama mmoja wa wagonjwa wa akili (Psychopath) na mchambuzi aliyekua anashughulikia kesi yake. Amezaliwa katiko mji wa Minas Geraismwaka 1954. Filho alikua na maisha yaliyogubikwa na mateso pamoja na vifo. Filho maisha yake ya unyanywasaji yalianza toka akiwa tumboni kwa mama yake ambapo baba yake alikua akimtesa sana mama yake japokuwa alikua na ujauzito, mateso yalipelekea Filho akapata Damage kwenye fuvu la ki

Sumu ya NGE ni Sumu Ghali zaidi Duniani..Soma Hapa Ujue ni Kwanini Mtu Wangu

Image
Inadaiwa kuwa sumu ya nge ndio sumu ya gharama zaidi Duniani ikiuzwa kwa Dola za Kimarekani milioni 39 kwa galoni moja, sawa na Shilingi za Kitanzania bilioni 90. Galoni moja ni takriban lita 4.5 Sumu ya nge inaweza kumsababishia maumivu makubwa mwanadamu ikiwa ataumwa na mdudu huyu, lakini wanasayansi wamegundua na wanaendelea kutafiti, sumu hii inasadikiwa kutibu saratani ya matiti na magonjwa mengi sugu SHINDA ZAWADI YA SIMU KWA KUDOWNLOAD APPP YA UDAKU SPECIAL  HAPA Sumu ya nge ina Chlorotoxins ambayo hutumika kutibu saratani, Kaliotoxins hutumika kutibu matatizo ya mgongo. Kaliotoxin imeshajaribiwa kwa panya mwenye matatizo ya mgongo na ikafanikiwa Bei imekuwa hiyo kwa kuwa kuna ugumu katika upatikanaji wa sumu hiyo, kutokana na wadudu hao kuzalisha sumu kidogo sana wanapokamuliwa, nge mmoja hutoa Mililita 2 akikamuliwa mara moja from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3iE9Hks via IFTTT

Hakuna Ajuaye Kesho...Soma Hivi Visa Vilivyowapata Hawa Ujifunze Adabu

Image
*NANI AJUAYE KESHO?* Mwaka 2005 Diamond alisafiri kwenda Tanga kuomba kuperform kwenye show ya Q-Chilla. Mabaunsa wakamtimua. Alipojaribu kuwaelewesha wakambeba juu juu na kumchania Tshirt na kumtupa nje. Bahati nzuri Q-Chilla alijulishwa kuhusu purukushani hizo, na alipoenda akasema aruhusiwe kuingia na apewe nafasi ya kuperform. Leo wale mabaunsa pengine wanatamani kuwa mabaunsa wa Diamond lakini haiwezekani. Joseph Kabila aliwahi kuelezea kuwa kipindi anaishi Tanzania aliwahi kushushwa kwenye basi porini huko mkoani Iringa kwa sababu hakuwa na nauli ya kutosha. Alijaribu kumuomba konda amshushe angalau mahali penye mji lakini hakumuelewa. Akamtelekeza porini. Akatembea kwa mguu hadi Nyololo ndipo akapata msaada. Leo yule konda pengine anatamani kupata nafasi walau ya kumuomba msamaha Kabila lakini haiwezekani. Hakujua kama aliyemshusha porini angekuja kuwa Rais wa nchi. Mwanzoni mwa miaka ya 1980's Meneja wa hoteli moja ya kitalii huko Hangzhou, alimnyima kazi Jack Ma. Ba

KAMA Hujui..Hii Ndiyo Hatari ya Kiafya Inayopatikana Kutokana na Sumu Iliyomo Katika Betri za Simu..!!

Image
Pamoja na kwamba simu zimeleta maendeleo makubwa katika teknolojia ya Mawasiliano duniani lakini betri zinazotumika katika simu hizi hasa katika simu aina ya smartphone zimeonekana kuwa na sumu kali inayoweza kudhuru afya ya binadamu.  Katika tafiti mpya zilizofanyika hivi karibuni imegundulika kuwa zaidi ya gesi 100 zinazoweza kusababisha kifo hutolewa na betri zinazopatikana miongoni mwa mabilioni ya vifaa vinavyotumiwa na raia wengi duniani zikiwemo simu aina ya smartphone na vipatakilishi. Utafiti huo ulibaini kuwa betri za lithium zinazotumika sana katika simu aina ya smartphone hutoa aina 100 za gesi zenye sumu kali ikiwemo gesi ya kaboni monoksaidi, ambayo inaweza kusababisha kujikuna katika ngozi, macho na pua pamoja na kuathiri mazingira. Watafiti kutoka Taasisi ya Ulinzi ya NBC nchini Marekani pamoja na Chuo Kikuu cha Tsinghua nchini China wamesema kuwa watu wengi huenda hawajui hatari ya betri kupata moto, kuharibika ama kutumia chaji isiofaa katika vifaa hivyo, jari

Pastor Mashuhuri Afumaniwa na Mke wa Mwenyewe

Image
  Kizaa zaa kilizuka katika jumba moja kuu la kujivinjari baada ya umati wa watu kufurika katika  eneo hilo kutaka kujiona maajabu ya firauni ambapo kasisi mmoja alikuwa amefumaniwa akiwa  amekwama katika uke wa mwanamke jijini Nairobi.  Iliwalazimu polisi kufika eneo hilo kuutawanya umati uliokuwa umefurika furifuri kutaka  kumuadhibu kasisi huyo, wengi tuliozungumza nao walisema kuwa, kasisi huyo alikuwa na tabia  hizo potovu za “kuwala kondoo wake” ambao sio bibi zake bali bibi za wanaume wengine tofauti, wanawake hao walilalama kuwa wengi wao walilazimishwa kuingia katika uhusiono na  kasisi huyo kwa kuwa yeyote angedinda kufanya hivyo angefurushwa kanisani humo, ila pia  wengine wa wanawake pia walifanya hivyo kutaka kupewa vyeo kanisani humo.  Mwanaume mwenye mke huyo alisema kuwa hakuamini aliyoyaona na atawahi isahau maishani  mwake, kwani mwanamke aliyekuwa anampenda na kumdhamini kwa dhati alifanya jambo  asilotaraji angelifanya hata kidogo, wote wawili walikuwa wamekaa k

Huu ndio MJENGO anaoishi ZUCHU, sio mchezo, aweka vdeo hii kuuonesha kwa mara ya kwanza

Image
  Huu ndio MJENGO anaoishi ZUCHU, sio mchezo, aweka vdeo hii kuuonesha kwa mara ya kwanza VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dpmiHh via IFTTT

Muimbaji wa nyimbo za Injili RINGTONE toka Kenya awa mbogo baada ya tuhuma za ubakaji

Image
  Muimbaji wa nyimbo za Injili RINGTONE toka Kenya awa mbogo baada ya tuhuma za ubakaji VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3cCjnf1 via IFTTT

Paula aonesha ‘love’ kwa baba yake, P-Funk kwenye siku yake ya kuzaliwa

Image
Paula aonesha ‘love’ kwa baba yake, P-Funk kwenye siku yake ya kuzaliwa VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3sDmzMV via IFTTT

Corona, kikwazo kwa Chelsea ligi ya mabingwa ulaya

Image
  Michezo miliwi ya ligi ya mabingwa barani ulaya hatua ya robo fainali kati ya FC Porto ya Ureno na Chelsea ya England itachezwa nchini Hispania katika Dimba la Ramon Sanchez-Pizjuan ambao ni uwanja wa klabu ya Sevilla , shirikisho la soka barani ulaya UEFA limethibitisha.   Timu zote mbili zitapoteza faida ya kucheza uwanja wa nyumbani, hii ni kutokana na kanunu za kujikinga na Covid-19 zilizowekwa na nchi zote mbili, ambapo wageni wote wanaoingia England kutoka Ureno ni lazima wakae karantini kwa siku 10, wakati huohuo Ureno nao hawapokei wageni kutoka England, hivyo isingekuwa rahisi kwa timu hizi kucheza michezo hii katika mataifa yao. Taarifa iliyotolewa na UEFA imesema Tunapenda kuthibitisha mchezo wa hatua ya robo fainali wa ligi ya mabaingwa wa mkondo wa kwanza na wa pili unaohusisha timu za FC Porto na Chelsea , michezo yote miwili itachezwa nchini Hispania katika dimba la Ramon Sanchez-Pizjuan ambapo mchezo wa mkondo wa kwanza utachezwa April 7 na wapili utachezwa Apr

Ni lini Ntibazonkiza atarejea Yanga?

Image
  Wachezaji wa klabu ya Yanga, Saido Ntibazonkiza, Tomombe Mukoko na Haruna Niyonzima wanatarajiwa kujiunga na kambi ya klabu hiyo iliyoko Avic Town Kigamboni siku ya Alhamis mara baada ya kumaliza majukumu na timu zao za Taifa.   Akizungumza na East Africa Radio, Mkuu wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga, Hassan Bumbuli amesema baadhi ya wachezaji hao wa kigeni wanamalizia mechi za mataifa yao ambayo yanawania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika leo na kwa mujibu wa tiketi zao wataungana na wenzao siku mbili zijazo. ''Wachezaji waliokuwa katika kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania''Taifa Stars'' walishawasili tangu siku ya Jumatatu, wakati Saido Ntibazonkiza(Burundi), Tomombe Mukoko(Dr Congo) na Haruna Niyonzima (Rwanda) wataanza kuwasili siku ya Alhamis. Yote kwa yote timu yetu inaendela vyema na mazoezi chini ya kocha Juma Mwambusi, tupo kileleni  lakini pia bado tunaendelea na mchakato wa kumpata kocha mpya pindi ambapo tutakamilisha tutawata

Fahamu jinsi mtoto wa kiume na wakiume anavyopatikana

Image
Katika urutubishaji yai la mwanamke linabeba chromosome X yani XX. Na mbegu ya mwanaume inabeba chromosome XY. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na Y kutoka kwa mwanaume mtoto wa kiume hupatikana. Chromosome X kutoka kwa mwanamke ikikutana na X kutoka kwa mwanaume mtoto wa kike hupatikana  Fahamu sifa za chromosomes X na Y za mwanaume.  Ili uweze kufanikiwa kuchagua mtoto wa kiume au wa kike lazima ujue sifa za chromosomes hizi zinazoamua jinsia ya mtoto.  Sifa za chromosomes Y  • Zina spidi  kubwa sana kwahiyo kama yai lipo tayari zenyewe  zitawahi kwenda kurutubisha • Zina maisha mafupi sana kulinganisha na X Sifa za chromosomes X  • Zina spidi ndogo sana  • Zina maisha marefu kulinganisha na Y  Baada ya kujua sifa za chromosome ambazo ndo zinatusaidia kuamua jinsia twende moja kwa moja kwenye jinsi ya kupata mtoto wa jinsia unayotaka  Mambo ya kuzingatia katika suala la kuamua jinsia ya mtoto amtakaye:  • Lazima mwanamke ajue mzunguko wake (menstrua

Polisi Mbeya yamshikilia raia kwa China kwa kuchapa viboko Watanzania

Image
Jeshi la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia raia wa China Xiao Yong (33) kwa tuhuma za kuwashambulia  kwa kuwacharaza viboko  madereva wawili kwa madai ya kutumia fedha walizopatiwa kupeleka wilayani Kyela kwenye mashine za mchezo wa kubahatisha. Kamanda wa Polisi mkoani Mbeya Urlich Matei leo Jumanne Machi 30, amewataja  walioshambuliwa kwa viboko na kusababishiwa maumivu makali kuwa ni   Ramadhani Ulodi(27) na Omary Miraji 25) Amesema awali jeshi lilipata taarifa kutoka katika mitandao ya kijamii zikionyesha raia wa Tanzania wakichalazwa viboko na ndipo walipanza kufuatilia na kubaini lilitokea katika Mtaa wa Meta, Kata ya  Mabatini Jijini hapa. "Tulianza ufuatiliaji na kubaini Watanzania hao ambao ni waajiriwa wa Kampuni ya Bonanza,"amesema. Matei amesema polisi hawajafurahishwa na kitendo hicho na kuonya raia wa kigeni kuachana na tabia ya kujichukulia sheria mikononi kwa kuwapiga  waajiriwa wao badala yake wawafikishe katika vyombo vya dola. Amesema

Makamu Wa Rais Mteule Azungumza Na Watumishi Wa Wizara Ya Fedha Na Mipango

Image
Na Josephine Majura na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma. Makamu wa Rais Mteule, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, amekutana na Watumishi wa Wizara ya Fedha na Mipango na kuwasisitiza kuendelea kufanya kazi kwa bidii kutokana na umuhimu wa Wizara hiyo katika maendeleo ya nchi. Mheshimiwa Philip Isdor Mpango, ambaye kabla ya uteuzi huo alikuwa Waziri wa Fedha na Mipango, alitoa rai hiyo jijini Dodoma alipokutana na watumishi wa Wizara hiyo katika ofisi zilizopo Treasury Square, akitokea bungeni baada ya kuteuliwa na Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Bunge kuthibitisha uteuzi wake kwa kura za kishindo. Dkt. Mpango amewataka watumishi wa wizara hiyo kuendelea kufanya kazi kwa weledi kwa kuwa wizara hiyo ni moyo wa Serikali na kwamba wasipofanya kazi vizuri na kwa uaminifu hakuna miradi ya maendeleo itakayotekelezwa, mishahara haitapatikana wala mikopo itakayokopwa hivyo kukwamisha maendeleo ya wananchi. Alisema hana shaka na uwezo wa viongozi na

Kila nikikumbuka Sauti ya Dkt. Magufuli natoka machozi- Wastara

Image
Msanii wa Bongo Muvi Tanzania Wastara Leo afunguka namna alivyopokea kifo cha Hayati JPM akiwa Nyumbani kwake  "Nakumbuka Mwaka 2018 Hayati JPM alinipigia simu nikiwa Nyumbani kwangu nikiwa sijiwezi Ni Mtu wa kulala Muda Wote nikiwa naugulia Mguu wangu". Dkt.Magufuli Alinipa Moyo nizidi kumuomba mungu Ili anifanyie Wepesi nipone Haraka. "Kila nikikumbuka Sauti ya Dkt. MAGUFULI natoka machozi maana Alikuwa anazungumza na mimi kama Baba yangu Mzazi". "Ninachoniuma Zaidi Baadhi ya WASANII Wananichukia Nahisi ni kwa vile Viongozi wa Nchi yetu Wananisaidia kila ninapopata Matatizo" from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3rJrJpL via IFTTT

Beyonce Avamiwa na Majambazi, Waondoka na Mzigo wa Mabilioni

Image
Beyonce ni muhanga wa tukio la uvamizi, avamiwa na kuibiwa vitu vyenye thamani ya ($1 million) takribani TSh. Bilioni 2. Kwa mujibu wa taarifa toka mtandao wa TMZ, wezi hao walifanikiwa kuvamia eneo/nyumba ambayo Beyoce huwa anahifadhia mali zake ikiwemo vito vya thamani mjini Los Angeles. Imeelezwa, wezi hao walifika na kuiba zaidi ya mara mbili kwenye maghala hayo mwezi huu. Awamu ya kwanza, waliondoka na vitu kama pochi na magauni ya thamani. Awamu ya pili walirejea na kuiba pochi, midoli ya watoto na picha. Eneo hilo limekodishwa na kampuni ya Beyonce iitwayo Parkwood Entertainment na hutumika kuhifadhia vifaa vya production na vitu vingine binafsi vya Beyonce. Polisi wanaendelea na uchunguzi na hadi sasa hakuna aliyekamatwa. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3w676aB via IFTTT

Thierry Henry Ajiondoa Katika Mitandao ya Jamii Kisa Ubaguzi wa Rangi

Image
Mshambuliaji wa zamani wa Arsenal na timu ya Taifa ya Ufaransa, Thierry Henry (43) amejiondoa kwenye mitandao yote ya kijamii kutokana na ongezeko la visa vya ubaguzi wa rangi katika majukwaa hayo. Henry ambaye alikuwa na wafuasi milioni 2.3 kwenye mtandao wa Twitter amesema visa vya ubaguzi wa rangi mitandaoni vimefikia kiwango cha kutisha kiasi cha kutopuuzwa tena. Kwa mujibu wa Henry, hatarejea tena kwenye mitandao ya kijamii mpaka Kampuni zinazomiliki majukwaa hayo zitakapoanza kukabiliana na suala la ubaguzi wa rangi kwa kiasi sawa na jinsi wanavyopigana na tatizo la kukiukwaji wa haki miliki. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/39sURLl via IFTTT

Kama nilimkwaza mtu mnisamehe, Mimi ni binadamu- Dkt. Philip Mpango

Image
"Mimi ni binadamu pamoja na kwamba mmesema maneno mazuri juu yangu mengine hamkusema nataka nitumie nafasi hii pale ambapo nilimkwaza mtu yoyote, mhe. Mbunge yeyote humu ndani au nje katika nafasi yangu ya Waziri wa Fedha na Mipango naomba mnisamehe" Makamu wa Rais wa Tanzania Mteule, Dkt. Philip Mpango from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3u5MA7Z via IFTTT

Gwajima: Rais ni konki fire Mama Samia yupo juu yupo Mawinguni

Image
“Tumezoea kuwanukuu Wanafalsafa mbalimbali Duniani, lakini leo nataka nimnukuu Mtanzania mmoja anayeitwa Pierre Liquid niseme Mama Samia ni Konki Fire na Mama Samia yupo juu yupo Mawinguni, na ndio maana amefanikiwa kumteua Mpango kuwa Makamu wa Rais”-Mbunge wa Kawe, Askofu Gwajima from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3flrUVA via IFTTT

Breaking News: Bunge Lamthibitisha Mpango Kuwa Makamu wa Rais

Image
ALIYEKUWA Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango amethibitishwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuwa Makamu wa Rais Mteule, kwa kupata kura zote 363 za ndiyo (sawa na asilimia 100) ya kura zote zilizopigwea na wabunge leo Machi 30, 2021, Bungeni jijini Dodoma. Akitangaza matyokeo ya kura hizo, Spika wa Bunge, Job Ndugai amesema tarehe ya kiapo cha uaminifu cha Makamu wa Rais kitafanyika mbele ya Jaji Mkuu, tarehe ambayo itapangwa baadaye. Aidha, Ndugai amesema kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mpango sasa ubunge wake umekoma leo baada ya kupitishwa hivyo jimbo lake la Buhingwe, mkoani Dodoma alilokuwa akiliongoza liko wazi na uchaguzi utafanyika kulijaza. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3czxZfp via IFTTT

Ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota- Mpango

Image
"Napenda kumshukuru sana Mh. Rais mama yetu Samia Suluhu Hassan, Rais wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu kwa kupendekeza jina langu na kuridhiwa na Chama chetu cha CCM ili liletwe hapa ili kuthibitishwa na bunge. Ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota."- Makamu wa Rais wa Tanzania Mteule, Dkt. Philip Mpango from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/39q5LSj via IFTTT

"Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais' Waziri Lukuvi

Image
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema hadi wanaenda Bungeni asubuhi ya leo, Dkt Mpango alikuwa hafahamu kama atapendekezwa kuwa Makamu wa Rais. Lukuvi anasema Dkt Mpango alikuwa anaongea mambo mengine kabisa, kuonesha yeye na wabunge wengine walikuwa hawafahamu. Lukuvi amewasisitiza Wabunge kupitisha jina la Dkt Mpango kwa anakidhi sana vigezo vyote kwa ajili ya nafasi hiyo. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3sErLAc via IFTTT

Kauli ya Dkt. Mpango Baada ya Kupendekezwa Kuwa Makamu wa Rais

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amempendekeza Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania leo Machi 30, 2021.     Baada ya jina lake kupendekezwa kuwa Makamu wa rais,Dkt Philip Mpango ametoa hotuba ya nguvu iliyoibua hisia za Wabunge. Huku akisema “Kazi zote Njema ni Kazi za MUNGU.”     “Namshukuru sana Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulipendekeza jina langu kuwa Makamu wa Rais, ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota, nimepigwa na butwaa.     “Napenda kumshukuru Mungu kwa namna ya pekee kwa kutupatia uhai na kutuwezesha kukutana hapa kuendelea na shughuli za kikatiba, na kipekee nimshukuru Mama Samia kwa kupendekeza jina langu na kuridhiwa na Chama chetu CCM.     “Ni heshima kubwa sana, sikuwahi kuota, nimepigwa na butwaa. Mimi ninaamini kuwa kazi zote njema ni kazi za Mungu, na kwa hiyo kazi njema tunawajibika kuzifanya kwa akili zetu zote na nguvu zetu zote

Klabu ya Manchester City Yathibitisha Mchezaji Sergio Aguero Kuondoka Katika Klabu Hiyo

Image
  Klabu ya Manchester City imetangaza kuwa mshambuliaji wao Sergio Aguero ataondoka klabuni hapo mkataba wake utakapomalizika majira ya kiangazi mwaka huu. Mshambualiaji huyo raia wa Argentina alijiunga na Man City mwaka 2011 na kuiwezesha kushinda ubingwa wa Premiere League kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 44. Katika kipindi chote Aguero amefunga mabao 257 kwenye michezo 384 akiwa na Man City. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3czA0YV via IFTTT

Tatizo la Kuishiwa Nguvu za Kiume na Maumbile Kusinjaa Limekuwa Tatizo Kwa Wanaume Wengi ...Soma Hapa

Image
Tatizo la kupungukiwa nguvu za kiume limekuwa janga la kitaifa na kimataifa sio wazee au vijana na wengi wao wamekuwa wakitumia madawa yasio na ubora na kushindwa kulitatua tatizo na kupelekea ndoa nyingi kuzidi kuwa na migogoro au mahusiano kuvunjika DALILI ZA MWANAUME ZA KUPUNGUKIWA NGUVU ZA KIUME NA UUME KUWA MDOGO NI HIZI HAPA 1 uume kusimama ukiwa legelege 2 uume kusinyaa na kuwa Kama wa mtoto 3 kufika kileleni haraka wakati wa tendo 4 kushindwa kurudia tendo  round inayofuata au kuchelewa kurudia tendo 5 mda mwingine uume kusinyaa ndani ya uke wakati wa tendo 6 kutoa manii nyepesi zisizo na nguvu hata utokaji wake sio wa kuruka 7 uume kuingia ndani nk tatizo ili uchangiwa na NGIRI, KUPIGA PUNYETO, KISUKARI,PRESHA, UNENE KUPITA KIASI, VIDONDA VYA TUMBO, KUKOSA CHOO, TUMBO USONGO WA MAWAZO KUUNGURUMA %kwa tiba sahihi ya tatizo rako wasiliana na Dr Sita pia ipo dawa ya kisukari ambayo ulifanya kongosho liwe katika Ali utoaji Ute mchungu haijalishi unatumia vidonge au

“Hatuoni tabu kuomba radhi kama tulitofautiana huko nyuma…..” – Kheri James Mwenyekiti UVCCM

Image
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana CCM Taifa (UVCCM) Kheri James amesema UVCCM haioni tabu kuomba radhi kwa yeyote iwapo kuna mambo waliyafanya huko nyuma ambayo yalichochea chuki na uhasama na kuteteresha umoja na mshikamano wa Watanzania. “Yawezekana katika siasa zetu na hekaheka zetu tuliweza kutofautiana kimitazamo, yapo mambo ambayo huko nyuma yalipelekea umoja wetu ukaterereka, UVCCM hatuoni aibu kusema tunaomba radhi kwa hayo kama tuliyatenda na tupo tayari kurekebisha ili kutengeneza jukwaa safi kwa Rais wetu kuanza upya akiwa na Watu walioshikamana na kuwa wamoja ili Nchi yetu iweze kwenda mbele” “Sisi kama Vijana wa Mapinduzi kote Nchini tunao wajibu wa kushirikiana na Vijana wenzetu kuilinda dhamira hii ya Rais wetu ya kuwaleta Watanzania pamoja, kujenga mshikamano wao, kuzika tofauti zetu, ya kufungua kurasa mpya utakaotoa dira ya usawa, haki na maendeleo ya ukweli kwa Watanzania wote” “Sisi Umoja wa Vijana CCM kamwe hatutokuwa kikwazo cha dhamira hiyo, kama kuna jambo huk

LIVE: Kura Zinapigwa Bungeni Kupitisha Jina Lililopendekezwa la Makamu wa Rais

Image
  LIVE: Kura Zinapigwa Bungeni Kupitisha Jina Lililopendekezwa la Makamu wa Rais VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3szTW3v via IFTTT

HAKUAMINI: Alichokifanya Dkt Phillip Mpango baada ya Rais Samia kumpendekeza kuwa Makamu wa Rais

Image
HAKUAMINI: Alichokifanya Dkt Phillip Mpango baada ya Rais Samia kumpendekeza kuwa Makamu wa Rais VIDEO: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3w8efXQ via IFTTT

Mwambusi Aunda Vikosi Vitatu Yanga

Image
UNAAMBIWA kocha wa muda wa Yanga, Juma Mwambusi, amedhamiria kufanya kweli kwenye michezo iliyosalia baada ya kukigawa kikosi hicho kwenye makundi matatu ili kutengeneza silaha ya kupata mabao.   Mwambusi amekuwa akiigawa Yanga makundi matatu kwenye mazoezi ya timu hiyo, ambapo kuna kundi kazi yake kukaba, kundi lingine kutengeneza nafasi za mabao na kupiga krosi huku kundi lingine likiwa na kazi ya kufunga tu. Beki wa kati wa timu hiyo, Dickson Job, aliliambia Championi Jumatatu kuwa, Mwambusi amekuwa akitengeneza uwiano wa timu kwa kufanya mazoezi ya mbinu ya kukaba na kufunga, zoezi ambalo limekuwa likifanyiwa kazi vizuri na wachezaji. “Kimsingi kambi yetu inakwenda vizuri sana, kwa sababu kocha amekuwa akisisitiza timu kwenye kukaba, kutengeneza nafasi za mabao na kufunga kila wakati nafasi inapopatikana jambo ambalo tumekuwa tukilifanyia kazi mara kwa mara na kutoa matokeo chanya,” alisema Job.   Yanga wanafanya mazoezi kwenye uwanja uliopo Avic Town Kigamboni

WHO: Huenda COVID ilitoka kwa wanyama kwenda kwa binadamu

Image
Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara.      Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara.  Utafiti huo hata hivyo umetoa mwangaza kidogo wa jinsi gani mlipuko huo ulianza na unaacha maswali mengi bila ya majibu, lakini ripoti hiyo imetoa maelezo ya kina kwanini watafiti wamefikia hitimisho hilo. Timu ya watafiti imependekeza utafiti zaidi katika kila eneo kasoro katika nadharia ya kwamba virusi hivyo vilianzia maabara, dhana ambayo iliwahi kuelezwa na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuwa miongoni mwa sababu za mlipuko wa virusi vya corona. Pia inasema kwamba dhana ya virusi hivyo kusam

Daily News yawasimamisha kazi watendaji wake kufuatia tangazo lililozua taharuki

Image
Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) imewasimamisha kazi Anitha K. Shayo ambaye ni Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Matangazo na Rajab Juma Mohammed ambaye ni Msimamizi wa Dawati la Huduma kwa Wateja Wawili hao wamesimamishwa kazi ili kupisha Uchunguzi wa tuhuma za kushindwa kuzuia makosa kwenye tangazo la Pongezi ambazo pia zilionesha kuwa ni salaam za rambirambi kwa kifo cha Rais Samia Suluhu walilotoa katika Gazeti la Daily News la Machi 29, 2021 Kipande cha sehemu ya tangazo hilo kilichosambaa mtandaoni kiliandikwa ‘Congratulation, The board of Director, Management and Staff of STAMICO join fellow Tanzanians in mourning the death of H.E President Samia Suluhu Hassan for being sworn in as the 6th president of United Republic of Tanzania’ Katika hatua nyingine, TSN wamesitisha huduma za mwakilishi wa kujitegemea wa matangazo, Lameck Samson from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3dfbawE via IFTTT

Tanzia: Nabii Bushiri Ailaumu Serikali Kifo cha Mwanaye

Image
MHUBIRI maarufu wa Afrika wa Kanisa la Enlightened Christian Gathering (ECG) la kutoka Malawi, Shepherd Bushiri, ametangaza kifo cha binti yake Israella mwenye umri wa miaka nane.     Bushiri, ambaye kanisa lake linafuatwa na mamilioni kote Barani Afrika, hajataja sababu ya kifo cha binti yake lakini alisema kwamba madaktari wamemwambia maisha yake yangeokolewa ikiwa mamlaka ya Malawi haingemzuia kuondoka nchini humo kutafuta matibabu nchini Kenya. Mnamo Februari, mamlaka ya Malawi ilizuia ndege ya kibinafsi iliyokuwa imebeba watoto wa Bushiri Raphaela na Israela, binamu yake Esther na mama mkwe Magdalena Zgambo kuondoka kwenda Kenya katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kamuzu huko Lilongwe.Bushiri alisema wanafamilia hao wake walikuwa wakisafiri kwenda Kenya kutafuta msaada wa matibabu kwa Israella.   Serikali ya Malawi ilibadilisha uamuzi wake ndani ya siku chache baada ya timu ya mawakili ya Bushiri kwenda kortini, lakini Failia ya Bushiri iliamua kusitisha safar

Breaking: Mkurugenzi TPA Akamtwa na TAKUKURU

Image
TAKUKURU inamshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA), Mhandisi Deusdedit Kakoko aliyesimamishwa kazi na Rais Samia Suluhu Hassan kwa tuhuma za ubadhirifu wa TZS bilioni 3.6. Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha.     “Kumshikilia mtu ni suala la kawaida kama kuna tatizo limetokea na kama mlivyomsikia Mhe. Rais amemsimamisha kazi kwa sababu ya matatizo na sisi ni kweli tunamshikilia ili tuweze kufanya uchunguzi vizuri,” amesema Mbungo.     Taarifa zinaeleza mmemshikilia akiwa anatoroka ni kweli? “Hapana sisi hatuna huo ukweli wa kutoroka lakini tumemshikilia kwa sababu ambazo isingekuwa vyema mimi niziongee hapa sasa hivi, lakini ni utaratibu tu wa uchunguzi.” amesema Mbungo. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/31wJfCY via IFTTT

WHO, China zatoa ripoti kuhusu chanzo cha Corona

Image
Ripoti ya pamoja ya shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. China | WHO Experten in Wuhan Ripoti ya pamoja ya utafiti wa shirika la afya duniani WHO na China kuhusu chanzo cha mlipuko wa COVID-19, inaonyesha kwamba maambukizi ya virusi vya corona kutoka kwa popo kwenda kwa binadamu huenda yalipita kwa mnyama mwingine na sio kutoka maabara. Utafiti huo hata hivyo umetoa mwangaza kidogo wa jinsi gani mlipuko huo ulianza na unaacha maswali mengi bila ya majibu, lakini ripoti hiyo imetoa maelezo ya kina kwanini watafiti wamefikia hitimisho hilo. Timu ya watafiti imependekeza utafiti zaidi katika kila eneo kasoro katika nadharia ya kwamba virusi hivyo vilianzia maabara, dhana ambayo iliwahi kuelezwa na rais wa zamani wa Marekani Donald Trump kuwa miongoni mwa sababu za mlipuko wa virusi vya corona. Pia inasema kwamba dh

Faida za kutumia mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako

Image
Biashara nyingi hutumia njia na mbinu mbalimbali kujitangaza ili kuongeza ufahamu wa biashara zao kwa wateja, kuongeza na kupanua solo la bidhaa zao lakini kubwa zaidi kukuza mapato ya biashara husika. Na moja ya njia hizo ni matumizi ya mitandao ya kijamii kwa ajili ya kuitangaza biashara yako.  Asilimia 90 ya wataalamu wa masoko wanakiri kuwa mitandao ya kijamii ina nguvu sana katika kutangaza biashara na imekuwa ikionesha matokeo chanya katika biashara zao. Baadhi ya mitandao ya kijamii inayotumika sana katika matangazo ya biashara ni kama Facebook, Instagram, Twitter, Blogs, youtube, linkedin, n.k  Mitandao ya kijamii sasa imekuwa nguzo muhimu sana kama moja ya mikakati inayotumika ya kutangaza biashara na biashara zisizotumia  mitandao ya kijamii inakosa fursa muhimu na makini sana katika kupanua masoko ya biashara zao.  Faida za kutumia  mitandao ya kijamii kutangaza biashara yako;  Inachangia kufahamika zaidi kwa biashara yako.  Mitandao ya kijamii ni moja ya njia