Posts

Showing posts from September, 2020

Yanga Mwendo Mdundo Yampiga Mtu 2 Bola....Tonombe Mukoko Aibuka Shujaa

Image
 KIKOSI cha Yanga leo Septemba 30 kimeibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya timu ya KMKM kwenye mchezo wa kirafiki uliochezwa Uwanja wa Azam Complex. Mabao ya Yanga yalifungwa na Tonombe Mukoko dakika 10 kwa kona ya Carols Carinhos kiungo ambaye amepewa jukumu la kupiga mipira iliyokufa ndani ya Yanga. Dakika 20 mbele Mukoko tena alipachika bao la pili na la mwisho wa timu yake baada ya mabeki wa KMKM ya Zanzibar kujichanganya katika harakati za kuokoa hatari. Kipindi cha pili mambo yalikuwa magumu kwa KMKM kuweza kuweka mzani sawa huku Yanga nao pia wakikwama kuongeza bao la pili.  Mchezo wa leo ulikuwa ni wa kirafiki ambapo lengo kubwa ni kukiweka kikosi sawa cha Yanga fiti kwa kuwa hakikuwa na mazoezi ya muda mrefu kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21 kutokana na janga la Virusi vya Corona kutibua ratiba nyingi duniani.  Akizungumza na Saleh Jembe, Kocha Msaidizi wa Yanga, Juma Mwambusi amesema kuwa malengo makubwa ni kukiandaa kikosi kwa ajili ya mechi zao zinazof

Mashabiki wa muziki Kenya wapagawa na Kutajwa kwa Khaligraph Jone kwenye orodha ya Tuzo za BET kama Rapper bora 2020

Image
Ni ndoto ya kila mmoja kuona chochote anachokifanya haswa kwenye sanaa iwe ya uigizaji, uimbaji ama riadha anapata nafasi ya kutambulika na ulimwengu, haswa hata kufikia hatua ya kutajwa kwenye tuzo za ulimwengu kama zile za BET. Na ndoto hii imekua kwenye kichwa cha rappa wa nchini Kenya Khalighraph Jones, ambae ameonekana kutolegeza kamba kwenye juhudi zake za kuubembeleza ulimwengu kumukubali kuwa anauwezo zaidi katika uandishi na kufoka mashairi adimu kwa lugha fasaha haswa kimombo japo Kiswahili pia yumo. Rapper huyu ambae ameshawi fanya kazi na kundi la ROSTAM linalo jumlisha Roma na Stamina hapa Tanzania, ameshawahi kutajwa na kushinda kama rappa bora barani Africa kwenye tuzo za Soundcity zenye makao makuu yake jijini Lagos Nigeria mwaka wa 2018. Tokea wakati huo, Khaghraph Jones amezidi kutuoa vibao motomoto na pia amekua mwepesi katika kukubali kushirikishwa kwenye kazi za mastaa wenzake haswa wa Africa Mashariki. Akiongea na Bongo5 kupitia muandishi wetu w

Ili Kuendelea Kuongoza Ligi Azam Yaziundia Tume Simba, Yanga SC

Image
AZAM FC imeziundia mikakati mizito timu za Simba na Yanga ili kuweza kuendelea kushikilia usukani wa ligi kwa kuhakikisha inafanikiwa kuibuka na pointi tatu katika kila mechi. Azam FC inaongoza msimamo wa ligi baada ya kucheza mechi nne, huku ikishinda michezo yote na kukusanya pointi 12, ambapo Simba inayoifuata ikiwa na pointi 10 na Yanga ina pointi 10 pia zikiwa zimetofautiana katika idadi ya mabao ya kufunga na kufungwa. Akizungumza na Championi Jumatano, Ofisa Habari wa Azam FC, Thabit Zacharia ‘Zaka Zakazi’ amesema kuwa, Azam imejipanga kuhakikisha inafanikiwa kushinda michezo yao yote ili kuendelea kubaki “Azam msimu huu tumejipanga kuhakikisha tunachukua kombe, tumeshajua mapungufu ambayo yalikuwa yakijitokeza katika baadhi ya mechi zetu hasa zile za mikoani ambapo wachezaji wamekuwa wakifanya mazoezi katika viwanja viwili tofauti cha nyasi bandia na cha vumbi. “Tumejipanga kuhakikisha tunafanikiwa kuibuka na pointi tatu muhimu katika kila mechi tutakayocheza naikitokea

Kisanga Cha T-Bway na Mke Wake Nana 'Toka Ako na Ujauzito Walisema Kakimbia"

Image
  Add caption "Sidhani kama nikawa nipo na mtoto halafu mama yake asiwepo au mpaka tupige picha ndiyo mjue kwamba tupo pamoja, kwenye mitandao kuna mambo mengi kuanzia alivyokuwa mjamzito walisema kakimbia mara kajificha hayo mambo yapo ila tupo pamoja yule ni baby mama wangu" amesema T Bway 360. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3jgFd8F via IFTTT

Mwinyi Zahera "Simba Ina Kikosi Bora Msimu Huu"

Image
   KOCHA wa zamani wa Yanga ambaye kwa sasa ni Mkurugenzi wa Ufundi wa Gwambina, Mkongomani Mwinyi Zahera, amefunguka kuwa Simba wana kikosi imara kwa msimu huu wa 2020/21.   Zahera aliwahi kuwa kocha wa Yanga kwa kipindi cha msimu mmoja na nusu, aliyasema hayo baada ya kushuhudia kikosi chake kikipoteza baada ya kucheza na Simba kwenye mechi ya Ligi Kuu Bara.  Mchezo huo ulichezwa Uwanja wa Mkapa, Septemba 26 ulikuwa ni wa mzunguko wa nne. Mabao ya Simba yalifungwa na Meddie Kagere, Pascal Wawa na Chris Mugalu.Zahera amesema Simba ina kikosi cha wachezaji wengi ambao wana vipaji vikubwa jambo ambalo linaweza kumuweka kwenye hatari mpinzani yeyote wanayekutana naye. “Ni jambo lisilopingika kuwa Simba msimu huu imejipanga kufanya mambo makubwa kutokana na ubora wa kikosi chao ulivyo. “Kabla ya mchezo dhidi yao tulikaa na wachezaji wetu na kuwaambia kuwa tunakwenda kucheza dhidi ya timu bora zaidi ya zile tulizocheza nazo hapo awali hasa kwa kulinganisha uwezo wa mchezaji mm

Gereza Ambalo Wafungwa Hawapewi Chakula, Wanaruhisiwa Kutoka Kujitafutia

Image
  Ni gereza la Sanganer, lililopo katika Mji wa Jaipur nchini India, wafungwa hupewa mahali pa kulala lakini hawapewi chakula na fedha hivyo ni lazima watoke asubuhi kwenda kufanya kazi na kurudi jioni ili wapate kipato kwa ajili ya mahitaji ya kila siku. Baadhi ya kazi wanazopata wafungwa hao ni kama vile vibarua, kazi za viwandani, udereva na hata ualimu wa yoga, gereza hili halina maeneo ya kuwazuia kutoka nje, halina walinzi katika lango lake kuu na wafungwa huruhusiwa kwenda Mjini na kutafuta kazi. Ili kufungwa katika Gereza la Sanganer ni lazima uwe umehudumia theluthi mbili za kifungo chako katika Gereza la Kawaida. Gereza hilo limekuwa wazi tangu 1950 na ni nyumbani kwa wafungwa 450, pia ni miongoni mwa magereza 30 yenye utaratibu huu katika Jimbo la Rajasthan. Smita Chakraburtty mwanamke anayeoongoza kampeni za kuyafanya magereza yaonekane kuwa mahali pa kawaida, amewasilisha ombi katika Mahakama ya Juu ya India ili kufungua Taasisi zaidi kama hizo. from UDAKU SP

Wanaume Kwa Hili Mnatutesa Mnatuvurugia Wengi

Image
Jamani wanaume wa kizazi hiki cha nyoka sjui mpoje, mkianza mahusiano na mtu mkapeana namba utasikia "bby una watsup" Imo n.k ili uanze kudai picha za uchi na kufanya video calls.Kiukweli wadada wengi tumestukia hilo, na tunapinga vikali no video calls, no sex pictures at all. Kama hutaki sauti pita hivii!Kingine msitupangie matumizi ya simu zetu, hujainunua wewe sa kiherehere cha nini, kila saa umenuna"bby simu ipo busy kila saa" haikuhusu!Nunua yako nipe kisha nipangie wakuchati nao. Picha za uchi BIG NO, USINITUMIE WALA SIKU TUMII. TUKIPANGA MIADI YA KUKUTANA NITAANDAA SEHEMU MIMI NA SIO WEWE, POTELEA MBALI KULIKO UKAFUNGE MI KAMERA ILI UNIREKODI. KINYWAJI NI JUICE TU, POMBE SITAKII By Princess21 from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/30yAwjG via IFTTT

UMEWAHI Kujiuliza Nini Lengo La Mfuko Mdogo Mbele Ya Suruali Yako Ya Jeans?

Image
Je unaujua mfuko mdogo katika suruali yako ya Jeans? Ndiyo, ule ambao umeshonwa juu kidogo ya mfuko mkubwa wa kulia. Umewahi hata mara moja kusimama na kujitafakari kwa nini huo mfuko mdogo mbele ya suruali yako ya jeans upo hapo ulipo na nini hasa lengo la mfuko huo zaidi ya pengine kudumbukiza sarafu au jojo ambayo unataka kuja kuitafuna baadae au kuwaza kama ni fasheni tu katika nguo? Kama hujawahi kujiuliza hilo swali na bado hujui chanzo na lengo la mfuko huo mdogo mbele ya suruali yako ya Jeans usijali kwani  tovuti hii itakueleza chanzo na lengo la mfuko huo. Mfuko huu ulikuwa unatekeleza jukumu muhimu sana miaka ya nyuma na ndio sababu kubwa iliyopelekea watengenezaji wa suruali za Jeans kuweka mfuko huo juu kidogo ya mfuko wa mbele wa suruali. “Ni mfuko maalum wa kuhifadhi saa. Ndiyo, inasemekana miaka ya nyuma ya 1,800, watu wengi walikuwa wanapenda kuvaa saa zao katika cheni na kuzifungia katika viuno vyao. Ili kuweza kuweka salama saa zao zisivunjike na kuharibika,

Ukweli Unaouma..Kuhonga Sio Ticket ya Kupendwa, Wanaume Acheni Kujipa Moyo

Image
Jamani tuongee ukweli,kuhonga hakuongezi kupendwa palipo penzi la dhati.Penzi la muda mfupi au la siku moja kuhonga kutaweza kukusaidia lakini kwa mwanamke au mwanaume anayekupenda haihitaji kuhonga. hii sio kwa awanaume tu hata wanawake wanaohonga. Kwa uzoefu wangu huu penzi la kweli halipatikani kwa kuhonga bali kuridhiana na kupendana. Utakuta Mwanaume anajisifia yule demu kaoza kwangu achomoi kitu, kumbe ana actiwa kupendwa sababu anahonga sana, bila hivyo asinge ona hata kufuli kuacha tu kuivua ha ha ha Usijidanganye wala kujipotezea muda na pesa zako kuhonga kutafuta penzi la dhati utajuta bure, utaishia kuchunwa zikiisha tu unaachwa anatafutwa mwingine Karibuni wadau kuongezea elimu au kuniweka sawa from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2F0MrP7 via IFTTT

Huwezi Amini...Maziwa Matatu Yaliojificha Yagunduliwa Katika Sayari ya Mars

Image
Maziwa matatu ya chini ya ardhi yamegunduliwa karibu na eneo la kusini mwa sayari ya Mars. Wanasayansi pia wamethibitisha uwepo wa ziwa la nne - ambalo ishara za uwepo wake uligunduliwa 2018. Maji ni muhimu kwa baiolojia, hivyobasi ugunduzi huo utakuwa muhimu kwa watafiti wanaotafuta uhai nje ya dunia. Lakini maziwa hayo pia yamedaiwa kuwa na chumvi nyingi sana hali inayofanya kiumbe chochote kutoweza kuishi ndani yake. Hali nyembemba ya hewa katika sayari ya Mars ina maana kwamba uwepo wa maji katika sakafu ya sayari huo upo chini . lakini maji yanaweza kuwepo chini ya ardhi yake. Ugunduzi huo wa hivi karibuni ulifanyika kwa kutumia data kutoka kwa kifaa cha rada katika kituo cha angani cha bara Ulaya Esa ambacho kimekuwa kikizunguka katika sayari hiyo nyekundu tangu 2003. Mwaka 2018, watafiti walitumia data kutoka rada ya Mars ili kuripoti ishara za ziwa lenye ukubwa wa kilomita 20 ndani ya ardhi ya Mars . Hatahivyo ugunduzi huo unatokana na tafiti

Tembo 30 wa Zimbabwe 'Waliuawa na Bakteria

Image
Maafisa wa wanyamapori nchini Zimbabwe wanashuku ugonjwa wa bakteria unaofahamika kama haemorrhagic septicaemia ndio chanzo cha vifo vya zaidi ya tembo 30 mwisho wa mwezi Agosti. Sampuli zimetumwa ili kufanyiwa uchunguzi zaidi. Tembo hao walipatikana wakiwa wamelala kifudifudi, hali ambayo wataalamu wanaashiria walikufa ghafla. Wasimamizi wa mbuga za wanyama hawaamini waliuawa na wawindaji haramu, kwa sababu hawakutolewa pembe zao. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3jiJZmd via IFTTT

WCB ndio imeshikilia Bongo Fleva kwa sasa, very creative label

Image
  WCB (Wasafi Classic Baby) nadhani nikisema hivyo kila mtu anaelewa. WCB nadhani kwa sasa ndio label iliyoshikilia industry ya Bongo Fleva hawa watu wako very Creative na Wanafikra yakinifu. Tena isitoshe tu kusema ni label namba moja Tanzania bali hata Afrika inajizolea umaarufu kwa sasa. Label Ina combination ya wasanii wenye majina makubwa Kama vile; Diamond Platnumz (The C.E.O) Rayvanny Mbosso Zuchu Lava Lava Zipo fununu pia zinasema Hanstone aliyeshirikishwa na Maua Sama kwenye ngoma ya Iokote naye yuko WCB anasubiri utambulisho tu. Label hii Ina wasanii wachapakazi haswa ikiongozwa na Diamond Platnumz. Wamejizolea mashabiki wengi sana East Afrika na Afrika kwa ujumla kiasi kwamba kila msanii anayepita hapati wakati mgumu sana kuizoea na kuendana na Game. Mashabiki wa WCB wako very supportive sana na wana mapenzi ya kweli na label yao. Ukiacha hivyo wasanii wao wana majina makubwa tayari hivyo hawatumii nguvu kubwa kupromote mziki wao. Ukizungumzia trends na

Nilijua Tu Hii ya Marioo ni Kiki "Atumia Issue ya Diamond na Mimi Mars Kupata Mserereko"

Image
  Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi. Shida niliyoiona wabongo wanapenda umbeya wabongo ukiwawekea picha tu tafsiri watatoa wao ndio maana wasanii wanaotumia Sana huu dhaifu ili mambo yao yaende. Hata hili suala la Marioo kuhusishwa kwamba amewahi kutoka na Mimi Mars sizani Ni kweli wao wenyewe wamedhibitisha kuwa hawana mahusiano na Wala hawajawahi kuwa na uhusiano.Namnukuu Mimi ,ars "watu wananihusisha na Marioo hii Ni kwasababu hawamjui mchumba wangu Ni Nani me Nina mtu wangu kabisa huyo Marioo sio boyfriend wangu zaidi ya kufanya nae kazi na kazi itatoka soon ndio maana ndio picha nimeonekana nipo nae studio na si kwingine" baada ya kauli hiyo tukaona kweli Kuna ngoma ikatoka Mimi Mars ft Marioo & young lunya Na alivyoulizwa Marioo kuhusu kuhusishwa kihusiano na Mimi Mars akasema " Mimi Mars Ni sister

Abby Chams "Nampenda Diamond Platnumz..Nilifurahi Beyonce Alivyonipost Kwenye Insta Yake"

Image
Abby Chams "Nampenda Diamond Platnumz..Nilifurahi Beyonce Alivyonipost Kwenye Insta Yake" from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/33ftuSv via IFTTT

Hivi Ndivyo Ulivyokuwa Mdahalo wa Kwanza Kuelekea Uchaguzi Marekani...Myukano Mkali Hasa

Image
  Ilitabiriwa kuwa lengo la Donald Trump wakati wa mjadala huu lilikuwa kumkera Joe Biden - na ndani ya dakika chache kuanza kwake, ikawa wazi alipanga kufanya hivyo kwa kumkatiza mara kwa mara makamu wa rais wa zamani. Hiyo imefanywa kwa msururu wa kurushiana maneno , ambayo ni pamoja na Trump kuhoji ujasusi wa Biden na Biden akimwita Trump kichekesho, akimnyamazisha, kwa hasira, "Je! Utanyamaza, jamani?" Mara kwa mara, Trump akimrushia vijembe Biden, akiacha mwana Democrat huyo akicheka na kutikisa kichwa. Mwendesha mdahalo Chris Wallace alitangaza kwamba virusi vya corona ilikuwa mada inayofuata na kwamba wagombea wote watakuwa na dakika mbili na nusu bila kukatizwa kujibu, Biden alidakia "Kila la heri kwa hilo'' Uh, ndio. Kusimamia hili inaweza kuwa kazi mbaya zaidi Marekani hivi sasa. Akizungumzia virusi vya corona, hii kila wakati ilikuwa ngumu ngumu kwa rais - na ilikuja mapema katika mdahalo .. Alilazimika kutetea jibu ambalo limesababisha vifo v

Balaa la Jambazi Dan Cooper Aliyeteka NDEGE na Kupotea Kusikojulikana - The Story Book

Image
Balaa la Jambazi D.Cooper Aliyeteka NDEGE na Kupotea Kusikojulikana, Miaka Arobaini Mpaka sasa toka Dan Cooper Ateke Ngege na Kuchukua Maburungutu ya Pesa na Kuruka kwenye Ndege kwa kutumia Parachuti.... Fatilia Story Nzima Hapa: from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2OZMyfk via IFTTT

Jamshid bin Abdullah Al Said: Fahamu aliko Sultani wa mwisho wa Zanzibar

Image
Baada ya kuishi mafichoni hususan nchini Uingereza Jamshid bin Abdullah Al Said, aliyekuwa sultani wa Zanzibar , akiwa ndio Sultan wa mwisho wa mssultani waliotawala miaka 91 kisiwani humo kutoka kwa familia ya al Busaid , alihamia katika ufalme wa Oman. Mtu huyu ambaye aliitawala Zanzibar hadi alipoondolewa katika mapinduzi ya mwezi Januari 1964 aliwasili mjini Muscat hivi karibuni. Gazeti la The Guardian linasema kwamba serikali ya Oman ilikataa maombi kadhaa yaliotolewa na Sultan huyo ili kumruhusu kuishi katika ufalme huo. Lakini ndugu yake mmoja mjini Muscat aliambia gazeti la The National mjini Abu Dhabi kwamba ombi lake la kutaka kuishi Oman limekubalika kutokana na umri wake. Amekua akitaka kuishi siku zake za mwisho katika taifa hilo la mababau zake ''na sasa anafurahia kuweza kufanya hivyo'', aliongezea. Afisa mmoja wa serikali alikataa kutoa tamko lake kulingana na gazeti la The Guardian. Uhuru na mapinduzi Jamshid bin Abdullah alizaliwa tarehe 16 Sep

Majaliwa: Mchangueni Dkt. Magufuli, Anatoka Chama Kinachojali Wananchi

Image
   MJUMBE wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi CCM Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Kyerwa wamchague Dkt. John Pombe Magufuli kwa sababu anatoka katika chama ambacho kina mikakati inayotokana na mawazo ya wananchi. "Dkt. Magufuli anatoka kwenye Chama ambacho kina utaratibu katika kuendesha nchi, chama ambacho kinaratibu kero za wananchi, ambacho kinasikiliza wananchi mpaka ngazi ya chini," amesema. Ametoa wito huo leo (Jumanne, Septemba 29, 2020) wakati akizungumza na wakazi wa kata ya Nkwenda, akiwa njiani kuelekea Isingiro wilayani Kyerwa, mkoani Kagera. "Tumemjaribu na amefanya mambo makubwa katika wizara alizoziongoza na ndiyo maana namleta kwenu Dkt. Magufuli na kumuombea miaka mingine mitano ili alete maendeleo zaidi." Mheshimiwa Majaliwa ambaye yuko mkoani Kagera kumuombea kura mgombea Urais kwa tiketi ya CCM, Dkt. Magufuli alitumia fursa hiyo kumnadi mgombea ubunge wa jimbo la Kyerwa, Bw. Innocent Bilakwate, mgombea

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano September 30

Image
  Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Jumatano September 30 from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/33cSPfO via IFTTT

Binti Aliyekatwa Miguu kwa Wakati Mmoja Asimama Tena, Apata Miguu Mingine

Image
Jackline Shirima ni msichana aliyeugua ugonjwa wa Gancrine nakupeleka kukatwa miguu yote miwili kwa wakati mmoja lakini miezi sita iliyopita aliomba msaada kupitia Ayo tv ili aweze kusaidiawa kupatiwa miguu ya bandia Good news ni kwamba binti huyo amefanikiwa kupata miguu hiyo ambayo imegharimu zaidi ya shilingi million nane ambazo zimechangwa na watu mbalimbali “Namshukru Mungu nimepata hii miguu ilikuwa siwezi kutembea nikitaka kutoka nje ilikuwa lazima nibebwe,natamani sasa hivi nifanye biashara wakala wa  mitandao ya simu kwa kuwa nitakuwa nakaa nakufanya kazi za mikono maana siwezi kutembea umbali mrefu”-Jack from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3kTWjcU via IFTTT

Mrembo Wema Sepetu Akasirishwa Na Utani Wa Idrissultan Kuhusu Wanawake Warefu Na Wembamba Kuvaa Mawigi

Image
Mrembo Wema sepetu Akasirishwa Na Utani Wa Idrissultan Kuhusu Wanawake Warefu Na Wembamba Kuvaa Mawigi Wema Akijibu Post Ya Idris Sultan from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3l06ywo via IFTTT

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa yawaita viongozi wakuu vyama vyote

Image
Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imewaita viongozi wa kitaifa wa vyama vya siasa ili wazungumzie utekelezaji wa sheria zinazosimamiwa na ofisi hiyo. Taarifa ya ofisi hyo kwa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa vyenye usajili wa kudumu, imeeleza kuwa kikao hicho cha viongozi wakuu wa vyama na Msajili wa Vyama vya Siasa kitafanyika Oktoba 2, mwaka huu jijini DSM. Kwa mujibu wa taarifa hiyo ya Naibu Msajili wa Vyama Vya Siasa, Sisty Nyahoza kikao hicho kitaanza saa 2 asubuhi na kwamba kitaanza mapema kwa kuwa Ijumaa ni siku ya ibada. “Washiriki watakuwa ni Mwenyekiti wa Taifa na Katibu Mkuu, mnaombwa kuhudhuria bila kukosa” ilieleza taarifa hiyo iliyotolewa kwa niaba ya Msajili wa Vyama Vya Siasa. Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa ilikiandikia barua Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusu kitendo cha kumnadi huko Zanzibar Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha ACT-Wazalendo, Maalim Seif wa ACT-Wazalendo, kwani jambo hilo ni

Lamine Moro aongeza mkataba Yanga SC

Image
Klabu ya Yanga SC kupitia kwa Mkurugenzi wa Uwekezaji wa GSM Eng Hersi Said ambaye amekuwa akihusika kufanya usajili wa wachezaji wa Yanga SC, amethibitisha kuwa beki wao wa kimataifa ya Ghana Lamine Moro ameongeza mkataba Yanga SC hadi 2023. GSM ni sehemu ya wadhamini wa Yanga SC upande wa uuzaji na usambazaji wa jezi (kit Supplier) na wamekuwa wakiisaidia klabu hiyo kufanya usajili wa wachezaji na kulipa mishahara. from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2GiJhqG via IFTTT

Mfanyakazi Tanesco Adaiwa Kumkata Kiganja Mkewe

Image
MFANYAKAZI wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) jijini Dar es Salaam, Ombeni Alfayo anadaiwa kumkata mkewe, Veronica Kidemi (30), kiganja cha mkono wa kulia kwa madai ya wivu wa mapenzi. Veronica ni Mwalimu wa Shule ya Sekondari Kiranyi na mkazi wa Kijiji cha Siwandet. Kwa sasaVeronica amelazwa Hospitali ya Selian wilayani Arumeru mkoani hapa na anadai amepigwa na mumewe kutokana na wivu wa mapenzi. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Salum Hamduni alithibitisha kutokea kwa tukio hilo saa 11:45 jioni juzi Siwandeti Kata ya Kimyaki Tarafa ya Enabosihu wilayani Arumeru.   Kamanda Hamduni alisema Veronica alijeruhiwa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali mikono yake miwili na mumewe, Alfayo ambaye ni mfanyakazi wa Tanesco, na kusababisha kiganja cha mkono wa kulia kutengana na sehemu nyingine ya mkono. Alisema uchunguzi unaendelea ili kubaini chanzo cha tukio hilo, ingawa taarifa za awali zinadai ni wivu wa mapenzi. Alisema mtuhumiwa alitoroka baada ya kufanya tukio

Mfalme al-Sabah wa Kuwait afariki akiwa na miaka 91

Image
Kifo chake kinaacha pengo kwa umoja wa nchi za kiarabu ya Ghuba ya Uajemi inayoshirikiana na chi za Magharibi, kuwa bila ya mmoja wa viongozi wake wazee wenye uzoefu wakati washirika wa kikanda pamoja na Qatar, Saudi Arabia na Misri wamegawanyika na uhasama ambao mfalme Sabah alijaribu kuupatanisha from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/348PTjz via IFTTT

Marekani Yampa Shavu Mondi

Image
HUJATAJWAhata na mkuu wa mkoa, msanii unavimba kichwa! Sikia hii: “Serikali ya Marekani yampa shavu msanii Diamond au muite Nasibu Abdul a.k.a Mondi. Kapu la stori za sanaa mwishoni mwa wiki iliyopita, lilijaa ishu kubwa ambayo Risasi liliinyaka kwamba, baada ya Diamond kufanya kolabo ya heshima na msanii wa Marekani, Alicia Augello Cook ‘Alicia Keys’, ubalozi wa nchi hiyo Bongo, umetoa shavu kwa Mondi kwa kuandika katika ukurasa wake wa Twitter: “Great to see American artist @aliciakeyscollaborate w/Tanzanian artist @DiamondPlatnumz.”   Ambapo kwa Kiswahili ubalozi huo uliandika: “Inafurahisha kuona msanii @aliciakeys akimshirikisha msanii wa Kitanzania, @diamondplatnumz.” Jicho la mwandishi limebaini kuwa ‘Twiti’ hiyo ya ubalozi wa Marekani nchini, unaoongozwa na balozi Donald Wright, ni ya kipekee kwa Mondi na kwamba inawasha taa ya kijani kwa msanii huyo kutamba kimataifa. CHANZO CHA PONGEZI NI HIKI Chanzo cha pongezi za Marekani kwa Mondi, ni baada ya msa

Lukamba Auchambua Ugomvi wa Wake Zake

Image
BAADA ya kuwepo kwa tetesi nyingi mtandaoni kuwa wake wa mpigapicha wa msanii mkubwa Bongo Nasibu Abdul ‘Diamond’, Ashraf Ibrahim ‘Lukamba’, Shuu Mimi na Ceccy hawapiki chungu kimoja, hatimaye mpigapicha huyo ameibuka na kuweka kila kitu sawa.   RISASI lilimtafuta mpigapicha huyo na kupiga naye stori nyingi kuhusu maisha yake, ambapo kwa kumuangalia kiumbo anaonekana mdogo, lakini ndiyo tayari anamiliki wake wawili, karibu umsikie: Risasi: Lukamba tuambie, maisha ya ndoa unayaonaje? Lukamba: Yako poa, namshukuru Mungu siku zinaenda. Risasi: Hivi ni kweli kwamba umeshaachana na mke mkubwa (Shuu) kwa sababu ya mke mdogo (Ceccy)?   Lukamba: Hapana, mimi na mke mkubwa hatujaachana bado tupo pamoja na tunaishi vizuri tu na hata leo asubuhi nimetoka kwake.   Risasi: Siku chache zilizopita uliposti picha ya mke mdogo kwenye akaunti yako na kuweka makopakopa mengi, jambo lililoibua minong’ono mingi miongoni mwa watu, hadi mke mkubwa akafikia hatua ya kusema wewe

Mke wa King Kiki awaonya wanaojidai wasemaji wa familia

Image
COSTANSIA Kalanda ambaye ni mke wa msanii muziki wa dansi nchini Tanzania, King Kiki, amefunguka kuhusu kuumwa kwa mumewe huyo huku akiwaonya wanaochukuwa jukumu la kuzungumzia afya ya mumewe. King Kiki ni mmiliki wa bendi ya La Capital, inayotesa na mtindo wake wa Kitambaa Cheupe. Habari za kuumwa kwa King Kiki zilizagaa wiki iliyopita  zikimuonyesha akiwa katika picha na familia yake kitandani  wakimpa msaada wa kukaa.   Taarifa hizo zilisema “Anaumwa yuko kitandani mwanamuziki nguli  anahitaji msaada wa hali na mali. Alikuwa anaumwa mgongo na baadae kupooza alilazwa Muhimbili gharama zikawa kubwa sasa uanugulia nyumbani kwake,”. Akizungumzia jambo hilo, mke wa msanii huyo Costansia, amesema taarifa za kuwa mume wake anaumwa ni za kweli japokuwa amekanusha kuwa familia haijashindwa kumuhudumia kimatibabu. “Ni kweli King Kiki anaumwa, lakini taarifa kuwa ametoka hospitali kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu hazina ukweli wowote kwani familia tupo tunamuhudumia,”ame

Jaqueline Mengi Kuwaongoza Mamiss Tanzania Kusherehekea Urembo

Image
Mamiss hao kutoka kushoto, Genevieve Mpangala, Hapiness Magese, Jaquiline Mengi, Nancy Sumari na Queen Elizabeth Makune. Miss Tanzania mwaka 2000 Jaqueline Mengi kwa kushirikiana na mamiss wenzake waliwahi kushika taji hilo wameanzisha mpango wa kuwahamasisha wasichana na wanawake kuchangisha fedha za kusaidia afya na elimu. Akizungumza na wanahabari jijini Dar leo Jaqueline amesema mpango unaoitwa Beauty Legacy 2020 utazinduliwa Novemba 14 mwaka huu kwenye Hoteli ya Hyatt Regency (Kilimanjaro Hotel) Jijini Dar es Salaam. Hivyo ameyataka makampuni, watu binafsi na wengineo kujitokeza kufadhili shughuli hiyo ambayo itakwenda kuwasaidia watoto waliozaliwa kabla ya umri (njiti), kutoa miguu bandia kwa watu wanaishi na ulemavu, kufanya ukarabati wa wodi za wazazi na miradi mingine kama hiyo na kusaidia sekta ya elimu. Katika mkutano huo na wanahabari baadhi ya warembo waliohudhuria mkutano huo ni pamoja na Miss Tanzania 2018, Queen Elizabeth Makune, Miss Tanzania 2010 G

Mondi, Harmo Waiteka Nigeria!

Image
BURUDANI ya muziki ni sehemu inayofuatiliwa na wengi duniani kwa sababu ni kitu ambacho kinaleta furaha kwa watu hata kwenye matatizo. Lakini kwenye burudani hii, kumekuwa na chachu ya wanamuziki ambao wanajua kuitendea haki kwa kutoa ngoma kali ambazo zinakonga mioyo ya wapenda burudani. Barani Afrika, kumekuwa na wimbi la wanamuziki wengi ambao wanafanya poa na kutikisa kila kona, ambapo panahitajika burudani hiyo ikiwemo nchi ya Nigeria ambayo ina wanamuziki wengi wakali.   Wanamuziki wengi, wao wamekuwa wakifuatiliwa kila pembe ya Dunia, lakini pia Nigeria imekuwa ikifuatilia muziki wa Bongo na kufanya kazi na baadhi ya wanamuziki. Katika uwanda wa Bongo Fleva, ukitajiwa orodha ya wanamuziki wanaofanya poa, huwezi kuacha kusikia majina ya mabosi wa lebo kubwa hapa Bongo, nazungumzia Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ au ‘Mondi’ na Rajab Abdul ‘Harmonize’ au ‘Harmo’ au ‘Konde Boy’. Mondi ambaye ni bosi wa Wasafi Classic Baby (WCB), amekuwa ni mwanamuziki ambaye