Mume Hanifikishi Kisawasawa, Akimaliza Yeye Mimi Nabaki Bado na Hamu.. Shuhudia Hapa
Mimi ni msichana wa miaka 27 nimeolewa miaka minne iliyopita na nina watoto wawili wote wa kike. Mwanzoni mwa mahusiano yetu na mume wangu (wakati tukiwa wachumba) na hata kama mwaka mmoja na nusu hivi kwenye ndoa yetu, baba watoto alikuwa ananiweza kweli….yaani nikikutana nae…aaah, allahmdullillah, nilikuwa naiona anga kwa uhalisia kabisa….na akiwa amechoka sana, basi hata mbili nitapata na kweli nilikuwa najisikia nime…..! Na kwa wiki nilikuwa napata kama siku nne hivi, yale mapigo ya sawa sawa. Sasa kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi…da, baba watoto kwa kweli ana underperform kabisa….wakati mwingine inapita wiki nzima, sionji na mm mwanamke huwa nahitaji…nikimwambia anasema nimechoka sana kazini. Kwa heshima niliyo nayo kwa mume wangu, huwa namwambia sawa, lakini moyoni huwa nabaki na maswali mengi kuliko majibu. Huwa nahisi moja kati ya mambno haya: 1) Huenda mume wangu ameanza mambo ya nyumba ndogo, so akitoka kazini huenda anamalizia huko huko then akirudi nyumbani anakuw...