Posts

Aliwahi Kunifumania, Nami Nimemfumania Leo..Vipi Wadau Nimpige Chini?

Image
Nikiwa niko kwenye Karantini la Maskani, ghafla jamaa yangu anakuja mbio mbio. " Brother wanawake ni mbwa kabisa, nimetoka kumfumania shemeji yako na Bwn.Lambalamba Kachupi saiv! Japo sijakuta wamelala, lkn walikuwa wanapeana chakula cha ndege (sijui ndo lile busu la kifaransa) pale kwa Shemeji yako". Akaendelea "Imeniuma Sana kaka. Mi nampiga chini, Siataki ushauri, nakushirikisha tu maamzi yangu". Akaondoka. IKO HIVI. Huyu rafiki yangu, ni ukweli wa kweli kwamba hajatulia kabisa, kuna wakati kama binadamu huwa namhurumia huyu shemeji yangu, kwa maana alisha mfumania mara kibao sema anasamehe. Ikumbukwe kuwa ni wachumba ambao wamesha tambulishana kwa wazazi na marafiki. Jamaa hajawahi kuwa na wasiwasi na mchumba wake, anampenda Sana mengine ni tamaa tu za ujana. Leo ni mara ya kwanza anamfuma na kutoa maamzi ya kuachana. Binafsi namuona huyu dada Kama mtu mmoja muelewa na muungwana Sana. Sihitaji rafiki yangu aachane nae. Nahitaji kuona wakioana. Shemeji ...

Tanasha Dona "Nilipoanza Mapenzi na MONDI Nilisahau Kila kitu Mpaka Mzunguko wangu wa Hedhi"

Image
Bado tuko kwenye vichwa vya habari vya mzazi mwenza na Diamond Platnumz aitwae Tanasha ambae kupitia jarida True Love amezungumza mengi kuhusu yeye na Diamond - "Nilikuwa makini kutoingia kwenye mahusiano na Diamond, kwasababu nilitaka kumjua vizuri, lakini haikuwa hivyo," alisema Tanasha. Katika mahojiano hayo, Tanasha hakusita kusema kuwa hakupanga kuwa na mtoto kwasababu hakuwa tayari kuitwa mama. Nilishangaa kuambiwa nina mimba, ilitokea kwa sababu sikuwa nikifuatilia mzunguko wangu wa hedhi," alisema. Tanasha alifunguka mengi huku akifichua kwamba kuna kipindi alitaka kutoa mimba hiyo lakini hakuona sababu ya kutekeleza zoezi hilo. Nini maoni yako. .

Umewahi Kutahadharishwa na Mkeo au Mumeo Kuhusu Kuwa Makini na Ndugu yake na Bado Haikusaidia?

Image
Siku kadhaa zilizopita nilikuwa mahali na rafiki yangu mmoja aitwaye Alan (sio jina lake halisi)tunabadilishana mawazo ya hapa na pale. Katika maongezi yetu alianza kunielezea wasiwasi wake juu ya mke wake kutoka na shemeji yake, yaani Kaka yake Alan wa damu toka nitoke. Alan alinielezea namna ambavyo amekuwa akimuonya mkewe juu ya kuwa makini na Kaka yake yule maana anamjua alivyo kipanga, jambo ambalo anasema Mkewe alionekana kumuelewa na kuahidi ya kwamba atakuwa makini lisitokee hilo analohofia Mumewe. Sasa jambo linalomtia mashaka Bw Alan ni kila anapofika nyumbani na kupiga stori na Mkewe jina la Kaka yake linatajwa mara kwa mara na Mkewe tofauti kabisa na siku za nyuma. Mke amekuwa akimuonyesha baadhi ya vitu kwenye simu yake na akimuuliza ameyajuaje basi ataambiwa shem ndio kamuelekeza. Pia Bw Alan amegundua kwamba sio mara zote Kaka yake huyo anapofika hapo nyumbani mkewe atatoa taarifa, na sababu ni kwamba hata pale Kaka yake anaposema atapitia nyumbani kwa Alan, Mke ...

Mpenzi au Mke Hapigwi "Mimi Nitampiga Magumi ila Kwa Kuzingatia Utaratibu Ufuatao

Image
Kumekuwa na mijadala kuhusu kama mwanaume anaruhusiwa kumpiga mpenzi ama mke wake. Baadhi wakisema mwanamke hapaswi kupigwa na wengine wakisema ni sahihi kupigwa. Mimi binafsi nasema kuwa ninaweza kumpiga mke/mpenzi wangu kama itafikia hatua nitaona hakua sulihisho zaidi ya kipigo. Lakini hadi kufika huko ni lazima nipitie katika hatua hizi. KUSUBIRI AJIREKEBISHE MWENYEWE. Hii ni hatua ya kwanza kabisa. Inafahamika wazi kuwa unapokuwa na mahusiao na mtu basi unaamini mtu huyo ni mtu mzima mwenye akili timamu lakini pia sisi binadamu si wakamilifu hivyo tunaweza kukosea wakati wowote. Hivyo ikitokea mpenzi/mke wangu akakosea jambo Fulani kwa mara ya kwanza sitasema chochote ila nitatengeneza tu mazingira yatayofanya afahamu kuwa nimejua kuwa katenda kosa au jambo ambalo halijanifurahisha. Yeye ni binadamu huenda alipitiwa hivyo nitampa nafasi ya yeye mwenyewe kujirekebisha bila mimi kusema chochote. Kama anajitambua na pia anayapa thamani mahusiao yetu atajirekebisha na kujita...

Hivi we Mwanaume Mkeo ‘Akiliwa’ nje Kinachokuumiza ni Nini Hasa? Mbona Nyie Mnawala Wake wa Wenzenu?

Image
Hii dunia haiko fair..! Kuna wanaoamini mke wa mtu sumu, hapo hapo kuna imani kuwa wake za watu ni ‘rahisi’ kuwapata, hawana longolongo. Na hizo kauli zote ni za wanaume, lakini inapotokea ukahisi au ukajua mkeo analiwa ni lazima roho ikuume. Mkeo ameliwa kwa ridhaa yake, huenda nawe umewahi kula mke wa mwenzio, kinachokutoa roho ni kipi.? Je ni kudharaulika, kwamba kanionaje, au niaje.? Hebu tujadili bila hasira, lazima kila mtu anarespondi kwa namna yake. Kwa wale ambao yashawakuta watupe uzoefu, na wale ambao bado [japo hatuombei] ikitokea watafanyaje.?

Mwanamke Ukiona Mwanaume Uliyonae Yuko Hivi Usikubali Kumpoteza

Image
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli. 2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu. 3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume! 4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu! 5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana. 6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, ...

Mapenzi Sio Vita, Kwanini Tukomoane Kwenye 6X6?

Image
Pamoja na uwepo wa manjonjo mengi katika ulimwengu wa mapenzi, kizazi hiki kisichotabirika kimeanza kugeuza tendo kuwa kama uwanja wa vita badala ya starehe inayoweza kumhamisha mtu kifikra mpaka katika ulimwengu wa kusadikika. Vijana wengi wamekua busy kutafuta dawa za kuwafanya wawe na nguvu kupitiliza kanakwamba wanaenda vitani. Wengine wanatamba kwamba akikukamata ni mpaka kivimbe ndo akuachie. Kwani lengo ni kuumizana? Mchezo ule hauhitaji hasira ila upole, utaratibu maalum na hisia kali zitakazo kuhamisha katika ulimwengu uliopo. Inashangaza kuona mtu ana-pump kama anazibua chemba iloziba mwaka mzima na kumsababishia kero na maumivu makali mwenza wake. Ukifanikiwa kukaa jirani na eneo ambalo zoezi hilo huendelea unaweza kusikia kelele nyingi utadhani mtu anapigwa mangumi ila ukiuliza utaambiwa ni wapenzi wanagegedana. Hebu tujaribu kufanya romantic love na sio vita na utaona matokeo yake, upendo utazidi kuliko awali. Jungu kuu halikosi ukoko.