Shabiki huyo wa klabu ya Simba anayeitwa Moud afunguka "Mashabiki Wenzangu wa Simba Em Semeni wenyewe, Ni Raha ya kiasi gani Mimi ntakayoipata Moud Wenu Siku nikipata kazi hata yakubeba mabegi ya wachezaji tu pale Simba ,,,,Em Semeni wenyewe "wachezaji wenye hadhi wanaotambulika Hadi Kwenye Tuzo za CAF Kuna ubaya Mimi nikiwa nawabebea mizigo Yao ? Bila ya Shaka Hakuna ubaya Kuna kila sababu ya Raha pale msimbazi, Imagine ndio nakubaliwa lile ombi langu Halafu ndio unabeba Mkoba Wa Pape Sakho Ndani Yake kukiwa Na Kiatu Cha dhahabu ' Raha iliyoje,,, Hivi mshaelewa kwanini nawaombaga kazi Simba kila siku na huu mwaka wa 5? π€ͺ, Nadhani majibu juzi mliyapata hakuna mtu asiyependa kufanya kazi sehemu ambayo Kuna mafanikio makubwa, Hakuna mtu asiyependa kufanya kazi sehemu ambayo ataandika japo historia yakupiga tu picha na kiatu Kama Cha Sakho π€ͺ Okay, Nafikiri majibu mmeyapata juzi,,,, Sasa Vuta picha ndio nimepata kazi Simba halafu Madame Wema Sepetu ndio kaniku...