Posts

Yanga; 'Thank You' Konkoni, Welcome 'Goal Machine'

Image
  Mabosi wa Yanga wanakutana kufikiria watapitaje kwenye mechi sita za hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Lakini mastaa wawili wenye heshima Jangwani wamesema kwa vile Hafiz Konkoni aliyesajiliwa kama mbadala wa Fiston Mayele ameshindwa kupiga kazi, angefyekwa mapema kwenye dirisha dogo ili aletwe mshambuliaji wa maana. Kama hujui kwenye mabao 15 ambao Yanga ni mawili pekee yaliyofungwa na washambuliaji halisi ambao ni Kennedy Musonda na Hafiz Konkoni. Mabao mengine 11 yamefungwa na viungo, Maxi Nzengeli, Pacome Zouzoua, Sterphanie Aziz KI  kila mmoja  matatu, Mudathir Yahaya akifunga mawili huku mabeki Dickson Job na Yao Kouassi kila mmoja akifunga bao moja. Takwimu hizo zikawaibua kiungo mshambuliaji wa zamani, Sekilojo Chambua aliyeliliambia Mwanaspoti katika dirisha dogo la usajili linalokuja lazima mabosi wao warudi sokoni kusaka mshambuliaji. Chambua alisema licha ya uongozi wa klabu yao kumsajili Konkoni bado ameshindwa kukidhi kiwango ambach...

ONGEZA UUME, HAMU YA TENDO NA NGUVU ZA KIUME.

Image
Upungufu wa nguvu za kiume, kukosa hamu ya tendo au maumbile madogo husababisha mwanaume kushindwa kujiamini katika tendo.          DALILI NI KAMA:-  1.kukosa hamu ya tendo 2.Kuwahi kufika kileleni 3.Kushindwa kurudia tendo 4.Dhakari kusinyaa katika ya tendo 5.Kuchoka sana baada ya raundi moja 6.Dhakari kusimama kwa ulegevu          TIBA SAHIHI:- 1.GING SENG PILLS @240,000/= >Hivi ni vidonge maalum kwa ajili ya kuongeza hamu na nguvu za kiume hata kwa wenye kisukari 2.MAX MAN GEL @240,000/= >Hii uongeza dhakari kwa inch 5-7 3.VIGRX OIL @220,000/= >Huongeza dhakari kwa inchi 6-7 4.MAX MAN, VIMAX @270,000/= >Huongeza dhakari, nguvu na kuimalisha misuli kwa walioathiliwa na kujichua  5.HANDSOME UP @270,000/= >Mashine hii uongeza dhakari kwa size unayotaka pamoja na kuimalisha misuli 6.VIGA SPRAY @180,000/= >Huchelesha kufika kileleni na kuongeza parfomance Fuatilia huduma na vipi...

Matokeo Tanzania Vs Sudan Leo Jumapili October 15, 2023

Image
Matokeo Taifa Stars vs Sudan Leo 15 October 2023, Sudan National Football Team vs Tanzania National Football Team Live, Results for Sudan vs Tanzania today, Matokeo ya Tanzania dhidi ya Sudan, Taifa Stars Starting Lineup against Sudan Clash Updates. In today’s friendly game, the Tanzanian team will take on the Sudanese team in Saudi Arabia. This change of location is a response to the ongoing unrest in Sudan, and to ensure the safety and development of the game. The Tanzanian national team expects this match as an opportunity to evaluate their preparation and performance. The team has taken all necessary precautions to ensure a safe and successful game. They understand the importance of getting a positive result, especially considering the tough competition that awaits them in the upcoming AFCON (Africa Cup of Nations). Matokeo Taifa Stars vs Sudan Leo 15 October 2023 | 19:00 | Sudan 0:0 Tanzania ALSO READ: CRDB Bank Plc Vacancies, October 2023 DCB Commercial Bank Vacancy, Oc...

Muuguzi Mwizi Nguo za Wagonjwa aifikia siku ya 40

Image
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi, linamshikilia mtuhumiwa Expeling Amara Projestus (18), Mmakonde wa Amani kwa kosa la wizi wa kutumia nguo za Wauguzi na kujifanya Muuguzi katika Hospitali ya rufaa Mnazi Mmoja Zanzibar. Kwa mujibu wa taarifa ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibi Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Thadei Mchomvu amesema mtuhumiwa huyo alibainika na baadhi ya Wauguzi ambao waligundua kuwa hana sifa na kujihusisha na vitendo vya wizi wa nguo za Wagonjwa Hospitalini hapo. Aidha, amesema kupitia operesheni mbalimbali tarehe 30/8/2023 katika eneo la Forodhani Zanzibar lilifanikiwa kumkamata mtuhumiwa Khelef Khamis Abeid (18), mshirazi wa Bububu Kijichi akiwa na Bastola aina ya Bareta yenye namba 69085 ikiwa na risasi nne ndani ya kisanduku cha kutunzia risasi. Amesema, baada ya kupekuliwa nyumbani kwake mtuhumiwa huyo alikutwa na risasi moja akiwa ameificha ndani ya nyumba hiyo na kwamba Upelelezi unaendelea na utakapokamilika atafikishwa mahakama...

Uongozi wa Simba Wampa Neno Hili Rais Samia Baada ya Marekebisho Makubwa ya Uwanja wa Mkapa

Image
  Uongozi wa Klabu ya Simba SC, umeipongeza serikali chini ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, kwa kufanya marekebisho ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa wakati kuweza kuutumia katika ufunguzi wa michuano ya African Football League dhidi ya AI Ahly. Februari 22 mwaka huu Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF), ilishauri uwanja huo kufungwa na kutotumika kwa muda ili kupisha ukarabati. Simba SC itakuwa wenyeji wa Al Ahly ya Misri katika mchezo huo wa ufunguzi utakaochezwa Oktoba 20, mwaka huu katika uwanja huo. Akizungumza Dar es Salaam wakati wa uzinduzi wa jezi maalum zitakazotumika katika michuano hiyo, Mwenyeketi wa Bodi ya Wakurugenzi wa Simba SC, Salim Abdalah ‘Try Again’ amesema anaipongeza serikali kwa kuhakikisha ůwanja unakarabatiwa kwa wakati na utaanza kutumika katika ufunguzi wa michuano hiyo Amesema kwa upendo ulioonyeshwa na serikali, Simba watahakikisha wanapambana kufanya vizuri katika mchezo huo. “Nitakuwa mchoyo wa fadhila kama tusipoipongeza serikali chini ya R...

Rais Samia Awa MKALI Kisa Utendaji Mbovu Wizara ya Mambo ya Nje "Nitaifumua"

Image
  Rais Samia Awa MKALI Kisa Utendaji Mbovu Wizara ya Mambo ya Nje "Nitaifumua" Rais Samia Suluhu Hassan ameweka wazi kuwa ataifumua na kuisuka upya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, ili kuirudishia hadhi baada ya kuwa na utendaji usioridhisha kwa muda mrefu. Hatua hiyo imekuja kutokana na wizara hiyo kupoteza ushawishi kwenye medani za kidemokrasia, huku mashirika ya kimataifa yakilalamika kutoridhishwa na utendaji wa wizara hiyo nyeti. Rais Samia amesema hayo jana, wakati akipokea ripoti ya kamati ya kutathmini ufanisi na utendaji wa wizara hiyo, kazi iliyofanyika kwa miezi sita chini ya uenyekiti wa Balozi Hassan Simba Yahaya. Amesema muundo wa wizara hiyo unaenda kuangaliwa upya, ikiwemo namna ya kuwapata watumishi wenye sifa stahiki, kwa kuwa wengi waliopo hawana uwezo. Amesema kwa muda mrefu wizara imekuwa ikitawaliwa na urasimu katika kuajiri, hali iliyosababisha watu wasio na sifa kuajiriwa kwa maelekezo ya vigogo ndani ya wizara. ...

Robertinho Aanza Kuweweseka Kuhusu Al Ahly "Ninaiheshimu Al Ahly, tutapambana"

Image
  Robertinho Aanza Kuweweseka Kuhusu Al Ahly "Ninaiheshimu Al Ahly, tutapambana" Kocha Mkuu wa Simba SC Roberto Oliveira Gonçalves do Carmo ‘Robertinho’ amesema anaiheshimu Al Ahly ya Misri, hivyo hana budi kujipanga kupambana nayo katika mchezo wa Mkondo wa Kwanza wa Robo Fainali wa African Football League. Simba SC itaikaribisha Al Ahly Ijumaa (Oktoba 20) Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kwa mchezo huo, kabla ya miamba hiyo kurudiana katika mchezo wa Mkondo wa Pili utakaopigwa mjini Cairo Oktoba 24. Robertinho ambaye tayari ameshaanza Programu za kujiandaa na mchezo huo, amesema Al Ahly ina wachezaji wengi wenye uzoefu mkubwa katika michuano ya Kimataifa ndani ya nje ya Bara la Afrika, hivyo ana kazi kubwa ya kufanya kukabiliana nayo. Kocha huyo kutoka nchini Brazil amesema kutokana na ugumu na umuhimu wa mchezo huo, amejizatiti kwa kuhakikisha wachezaji wake wanakuwa tayari kimwili na kiakili kupambana na miamba hiyo ya Misri, ambayo inashikilia taji l...