ZIFAHAMU SEHEMU ZA KUMPAGAWISHA MWANAUME KITANDANI
Tokeo la picha la mahaba Baada ya siku ya jana kutuma sehemu ambazo unaweza msisimua mwanamke katika mapenzi wadau wengi waliomba nitume na sehemu za kumpagawisha mwanaume. kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi huku akipata raha ya ajabu.... leo nitayataja maeneo ambayo mwanaume akiguswa kimahaba huwa yanamsisimua sana na kumfanya ahisi kuchanganyikiwa kimahaba 1. MASIKIO hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana za mwanadamu; hapa mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya mwanaume awe na msisimko mkubwa. 2. SHINGONI Sehemu hii ina hisia sana kwa kila kiumbe kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya mwanaume achanganyikiwe zaidi juu yako na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi KAZI KWAKO kujua jinsi y...