ZIFAHAMU SEHEMU ZA KUMPAGAWISHA MWANAUME KITANDANI

Tokeo la picha la mahaba

Tokeo la picha la mahaba
Baada ya siku ya jana kutuma sehemu ambazo unaweza msisimua mwanamke katika mapenzi wadau wengi waliomba nitume na sehemu za kumpagawisha mwanaume.

kwa hakika wanaume nao huwa na maeneo ya kuwasisimua na kuwapandisha kasi zaidi huku akipata raha ya ajabu.... leo nitayataja maeneo ambayo mwanaume akiguswa kimahaba huwa yanamsisimua sana na kumfanya ahisi kuchanganyikiwa kimahaba

1. MASIKIO
hii ni seheme ambayo hubeba hisia nyingi sana
za mwanadamu;
hapa mwanamke unatakiwa ufanye kama kukunong'oneza kimahaba kisha utumie ulimi wako kukugusa masikio ndani,nje na kwa nyuma pia hii inaweza kumfanya mwanaume awe na msisimko mkubwa.

2. SHINGONI
Sehemu hii ina hisia sana kwa kila kiumbe
kwa sababu mishipa mingi ya fahamu hukutania hapo
mguso wako wa pole pole kwa kutumia ulimi wako na pumzi ya kimahaba vinaweza mfanya mwanaume achanganyikiwe zaidi juu yako
na kumfanya asahau mengine maana msisimko utampanda kwa haraka zaidi KAZI KWAKO kujua jinsi ya kumwekea na yeye "love bite" pia mwanamke unatakiwa uwe fundi wa kutumia ulimi wako na lips hapo kwenye shingo ya mwanaume

3. NGOZI
Namaanisha kushikana/kupapasana kabla ya kufanya lolote ni jambo zuri sana kwani utaufanya miili yenu isisimke kwa pamoja na kumfanya mwanaume mzunguko wake wa damu kuongezeka na kuwa wenye kasi hii itamsaidia uume kuwa wenye nguvu na kusimama kwa muda(kumuongezea pumzi ya kutomwaga haraka na hata akimwaga iimpe nguvu ya uume kutokulala baada ya kumwaga) na pia itampandisha hisia zake sana TUMIA HATA ZAIDI YA DAKIKA ISHIRINI KUSHIKANA/KUPAPAANA NA MWENZI WAKO KABLA YA TENDO

4. BUSU LA DENDA
hii sio kitu cha kushangaza jinsi gani denda(deep kiss) linavyo sisimua na kuamsha hisia na kuongea hashki ya kufanya tendo la ndoa ila mwanamke inatakiwa ujue jinsi ya kumpagawisha mwanaume na Denda kwa kumyonya na kubite lips zake kimahaba tafadhali pia kwa kucheza na na ulimi wake kimahaba na sio kubadilishana mimate tuu mpe raha kuwa fundi kwenye denda asikumbuke kutoka nje kila mara akuwaze wewe tuu.

5. SEHEMU ZA JUU ZA UUME
hii ndio sehemu yenye kumchanganya zaidi mwanaume kimahaba na ndiko sehemu hisia zake za kimahaba zimekaa . hapa mwanamke haitaji ujuzi mwingi bali ni kujua ni wakati gani ni mguse eneo hilo na nimguse vipi

mfano; mme simama kwenye ukuta utamgusa kwa kumpapasa juu ya alichokivaa kwa kupandisha mkono na kuushusha huku ukimguga uume wake fanya hivyo mara 8 mpaka 10 kabla ya kuingiza mkono ndani na kuitoa nje ili kuishika vizuri kimahaba na labda kuanza kuinyonya kiufundi na kimahaba zaidi

vivyo hivyo hata mkiwa kitandani usikurupuke kumshika uume wake unatakiwa umlegeze na umchanganye kimahaba kwanza
na kwa kufanya ivyo itakusaidia kutunza uhusiano wako na mwenzi wako

6. G SPORT
G Sport ni mstari wa kiufundi sana katika mapenzi ni sehemu ambazo mwanaume yeyote ukizikamata lazima atulie na asisimke kwa hali ya juu. mstari huu si kwa mwanaume tu bali hata wanawake pia husisimka,
Leo naomba niwaambie huu mstari unatokea wapi. ukigusa mgongoni ukakutana na pingiri za mgongo ukizifuata hizi mpaka chini ukashuka nazo mpaka mbele katika uume utaona katika kende za wanaume kuna mstari. Ule sasa ndo unaitwa G sport , Mwanamke ukichukua kidole chako na kupapasa papasa huo mstari kwa kupanda na kushuka hapo unaweza kukamata hisia za Mwanaume na akashindwa kufanya lolote.

hizo ndizo sehemu ambazo mwanaume ukimkamata anaweza asifanye mchepuko tena.

Ila usimbanie sana mwenza wako ujuzi wako na pia usipende kufanyia mapenzi gizani jiamini we ni mkali kwa mwenza wako na maumbile yako aliyo kuumbia Mungu
jitoe kwa mwenza wako



Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome

 

  🔞Wakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI




from Utundu kitandani https://ift.tt/2V8jdkD
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI