JE UNAWAHI KUPIGA BAO ,FANYA YAFUATAYO

G

Kilio chetu wengi wanaume wa zama hizi tunawahi kufika kileleni na huku tukiwa tumeathiriwa na stori ngingi za vijiweni kuhusu suala hili.

Kwanza tuambizane ukweli kwamba mwanaume kwa mshindo wa kwanza lazima awahi kileleni kwa sababu hisia ziko karibu na ujazo wa shahawer katika uzazi wake upo karibu sana.

Kwa hivyo kwa mshindo wa kwanza usije kuona una tatizo eti kwa sababu unakojoa mapema.....huna tatizo.

Ukitaka kujijua una tatizo basi angalia kuanzia round ya pili huwa unaenda mda mfupi au mrefu? Kama muda mfupi basi hapo hesabu una tatizo eidha la kimwili au kiakili(saikolojia)
Sasa ikiwa umeshapata tatizo hili basi nakuomba fuata hizi hatua chache ambazo zinaweza kukusaidia kuepukana na gharama za kuongeza ukubwa wa tatizo.

1.epuka kuwaza na kuona kama hilo ni tatizo kuuuubwaaaaaa saaana mpaka inafikia hatua hata mkeo una mficha yani hutaki ajue kama unatatizo huku mwenyewe ukijitahidi kutafuta dawa kimya kimya mawazo yako siku moja akuone umepiga show ya nguvu alafu aseme mwenyewe "kumbe hakuwa na tatizo mume wangu"

Hapo unajimaliza mkuu na haitokuja tokea.wengi kama sio wote waliofanikiwa kuishinda hili tatizo basi wamekaa na wenza wao wakajadili na wakaona ni suala la kawaida sana wanalizungumza mpaka inafikia hatua mume ukiwa na mkeo una kuwa uko free huna hofu unajua hata kama ikitokea nimemwaga mapema basi wife anajua na kama muelewa atakupa moyo tu.

Lakoni mwanaume unawaza utasolve vipi tatizo,huku unawaza kwamba anakuona huna nguvu za kiume,huku unawaza"sijui na leo haitotokeaaa" hapo lazima bawo lije mapema sana na utaendelea kuumia.

Kaa na mpenzi wako umueleze huku ukiwa free kabisa,mapenzi bwana kama unaenda pale hauko free una mawazo mkuu utaangukia pua tu.
Na katika matatizo ambayo watu huyashinda na kuyatatua vizuri ni yale ambayo wako tayari kukaa na watu wao wa karibu na kuyajadili.jata hili pia ukae na mwenzio mulizungumze na sio kutafuta dawa kimya kimya.utaumia mzee.

Katika matatizo ambayo watu huwatesa na kuwaumiza ni yale ambayo wanakaa nayo moyoni hawataki kushare na wengine.hii mbaya sana.

2.acha kula vyakula vya kuongeza libido kwa kujua utatibu tatizo.
Vyakula kama tende,karanga mbichi,mchuzi wa pweza,mohogo,nazi,makongoro haya sikukatazi kula.ila usije ukaona unatibu tatizo mkuu.hapo unabomoa kwa sababu...
Vyakula hivyo vinaongeza sana mshawasha na mbegu za kiume hivyo inakufanya hisia zizidi kuwa karibu zaidi na mwishowe kama ulikuwa unaenda dk 1 basi utaenda sec 30.

3. Usikubali kuuziwa dawa ya kuongeza mbegu ya kiume.hakuna dawa hiyo ambayo eti kuongezeka kwa mbegu za kiume ndo kunafanya mtu achelewe kufika.

Kuongeza mbegu za kiume kunasaidia mtu kuwa na hamu zaidi.hivyo kama ulikuwa na shahawer kilo 1 alafu ukawa kila robo unaitoa kwa muda wa dakika moja basi ukiongeza zikawa shahawer kilo 2 basi kila robo utaitoa kwa muda wa sekunde 45 lakini utakuwa unapata hamu mapema ya kurudia kwa sababu uji upo,ila bado unaenda mwendo ule ule tu mkuu.

4.usijibane wakati wa kutoa shahawer kuwa free mkuu hasira za nini mkuu.
Kujibana wakati wa kutoa shahawer kunaweza kukufanya ukawa na tatizo zaidi kwani ni sawa na kujibana usitoe mkono au kinyesi wakati kimeshagonga chuppih.jiachie kuwa huru kabisa.

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI