JITAMBUE WEWE NI WA AINA GANI NA UNAHITAJI MTU WA NAMNA GANI




Habari yako msomaji wangu,,,,Najua utasema Mungu ndo anajua,,,,lakini ndo isiwe sababu ya wewe kushindwa kujitambua,,,katika maisha huhitaji kujirahisisha,,,,maana wewe hufanani na mwengine,,,,,na njia yako haifanani na ya mwengine,,,,,hivyo kujijua wewe ni wa namna gani kutakufanya ulinde heshima yako,,,maana si kila mtu anayekuja KWAKO ni wa KWAKO,,,au unayemwona ni wako,,,kuna wakati unakaribisha mahusiano na watu ambao kwa kutokujua wanakuwa ukuta wa ndoto zako,,,kuna wakati KWA kutojitambua sisi,,tunapowapokea wanakuja kutimiza malengo yao,,,na kuacha alama mbaya katika maisha yako,,hivyo jua si kila anayependeza ni wako,,,na si kila mwenye pesa ni wako,,pia si kila mrembo ni wako,,maana kama utatambua hilo utalinda na kutunza utu na thamani yako,,na kufanya YALIYO mema kwa Mungu.



from Utundu kitandani http://bit.ly/2PM7pmh
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI