MAHUSIANO MAPYA NI SULUHISHO LA MAUMIVU YA MAPENZI




Habari yako msomaji wangu,,,, natumaini upo salama,,,,maumivu ya mapenzi ni jambo ambalo linatutesa wengi,,,,watu wengi wameumizwa katika mahusiano waliyokuwa nayo,,,na wengine wamefikia hatua ya kujiua kwa kuona hilo ndo suluhisho pekee kwa yanayo mkuta,,,,,lakini wengine huchukua maamuzi ya kuanzisha mahusiano mapya huku akiwa na imani kuwa huko atapata faraja ya maumivu yake,,,,UNAWEZA UKAWA SAHIHI AU USIWE SAHIHI ITATEGEMEA NA MTU UTAKAYE ANZA NAE JAMBO HILI,,,,,,swali la msingi la kujiuliza ni ,,,umejua tatizo ni nini lililokufanya uumie kwenye mahusiano yaliyopita?ni nani unaenda kuanza nae mahusiano mapya?upo tayari kukabiliana na changamoto utakazokutana nazo katika mahusiano hayo?,,,ukipata majibu ya maswal haya hapo utafanya maamuzi ya kuingia kwenye mahusiano mapya au laah,,,,KUMBUKA KILA MWANADAMU ANA MAPUNGUFU YAKE HUWEZI MKUTA MTU KILA KITU KIPO SAWA.



from Utundu kitandani http://bit.ly/2V2KIQq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI