MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MWANAUME



MWANAMKE JUA MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MUMEO 
 KITANDA
Mwanamke jitahidi kitanda chako kiwe vizuri NA cha kuvutui kipambe vizuri,kwa mashuka mazuri yenye nakshi,na shuka inyooke vizuri,sio kitanda kinakuwa kama  vile stoo ya nguo chafu.
 MANUKATO
Katika chumba chako jitahidi sana,kiwe kinanuka kila Mara mumeo anapo rudi akiingiq chumbani akutane na harufu nzuri,   .sio chumba chanuka jasho.
 USAFI
Hili ni jambo LA muhimu sana maana  utakuta chumbani kuna vyupi vya wiki nzima, hazijafuliwa mataulo chini,masidiria,mumeo akikuta chumba kiko hivo ujue kuna shangingi atamchukua.
 Usafi wa mwili
PIa Usafi wa mwili mwanaume anavutiwa na utakavokuwa umejipamba na atavutiwa kimapenzi na wewe.
 Mapokezi mazuri
Wanaume wanapendana sana kupokelewa vizuri,kwa mahaba tele mapokezi utakayo mpa mtu jitahidi yawe ya mahaba,legeza macho, mwili,yaani ili mradi tu umchanganye mwanaume Siyo umeshupaa kma mwanajeshi kwenye paredi.
 CHAKULA
Jitahidi mwanamke kujua kupika sio tu kupika michakula kama ya jela michukuchuku mibaya,mamchuzi chururu kama watoto wanapika matipwi.
 MITEGO
Hii ni njia ambay MAMBO YANAYO HAMASISHA MAHABA KWA MWANAUME o  watakiwa uwe mjanja ukimuona mumeo kakaa sebleni basi vaa hata shumizi jipitishe huku ukijitingisha Mara kwa Mara,ujue lazima atakutizama tu tena kwa mwendo nzuri wa maringo.
 MAPENZI
Mapenzi si lazima kitandani tu popote  ni muhimu maana wengine mpaka  mume amwambie cheza basi,kiuno kimekaza ukilala chamende  ndo basi   hata huyo mende anatikisa miguu loooh.
 UKARIMU NA  KUJIPENDEKEZA
Hata kama kwenu ulizoea kuwa na domo kama bakuli la togwa jitahidi kuchunga mdomo ukiona huwezi mumeo ngoja aondoke ufunge mlango ubwatuke peke yako kaa chizi,akirudi funga upuuzi wako zungumza maneno mazuri mnyenyekee.
 MAKELELE
WANAUME wengi   huwa hawapendi makelele wanapenda wakirudi nyumbani kuwe kumetulia isiwe kma  choo cha umma,WANAUME wanapenda ukimya mahala panapokuwa kimya huzidisha mapenzi.
 ZAWADI
Jitahidi kumnunulia vizawadi  pindi unapokwenda sokoni au dukani   mwanaume hujisikia faraja pale ukimpatia zawadi.
 MAVAZI
Pendelea kumchagulia mavazi TIZAMA rangi ya mwili wake kisha mchagulie nguo inayoendana na rangi yake ya mwili  siyo mume mweusi waende kumvisha  nguo nyekundu  kma anaenda kupunga madogoli  mamaa.
MTUNZE MUMEO MAMA USIPOMTUNZA WAPO WATAKAO KUTUNZIA




from Utundu kitandani http://bit.ly/2XnpUQY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI