UVUMILIVU NI MUHIMU SANA KATIKA MAHUSIANO




















Habari yako msomaji wangu,,,naomba nikukumbushe kuwa katika safari ya mahusiano,,utakutana na wengi,,utawatamani wengi ila tambua katika hao wote ni mmoja tu ndo anatakiwa,,kama umempata jifunze kumtengeneza awe sawa na hitaji lako,,,katika mahusiano kama mnasikilizana na kuelewana ni rahisi sana kufika mbali,,,hivyo katika kipindi cha kujuana jitahidi kuwa na uvumilivu maana hakuna mabadiliko ya siku moja hasa ndani ya mtu,,unahitaji kimchukulia,,kumvumilia,,kumwombea na kumshauri,,wakati mwingine utakutana na changamoto please simama imara jua hilo ni daraja lako lakupita,,tianeni moyo siku zote,,mtegemeeni Mungu,,tafuteni amani,,epukeni kuhukumiana bali jifunzeni kusameheana,,hakika mtaona mkono wa Mungu na mtafurahiana.





from Utundu kitandani https://ift.tt/2KMex24
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI