Posts

Showing posts from July, 2019

STAILI MPYA ZA KUTEKENYA KIN*MBE CHA MWANAMKE

Image
G-Spot ni kidude laini kama sponge chenye umbile la haragwe ambacho kipo ndani ya Uke,kwenye upande wa juu inch 2 mpaka 3 kutoka nje kuelekea ndani. Wakati mwanamke anapozidi kupata hamu ya kupata raha na utamu,kuna   tissue ambayo ipo karibu na imezunguka urethra,inakuwa engorged with blood,na kusababisha Skenes glands zitengeneze Prostatic Fluid na kufanya hicho kiharagwe kidinde/kisimame na process yake haina tofauti na process ya kusimama kwa mashine ya mwanaume,lazima uelewe kuwa kama hujazipandisha hamu zake vya kutosha,basi itakuwa kazi sana kukipata kidude hiki. JINSI YA KUFANYA. * Hakikisha umeshamfanyia maandalizi zaidi ya dakika 10,inatakiwa awe tayari Uke wake upo wet kabla hujaanza kusisimua G-spot yake,kuna njia mbili za kusisimua G-SPOT 1:KWA KUTUMIA KIDOLE/VIDOLE. * Hakikisha kucha zako fupi na mikono yako misafi. *Hakikisha Uk*e wake umeloa vya kutosha. *Akiwa amelala kitandani,Ingiza kidole kimoja ( kama uk*e wake uko tight ) au zaidi ya kimoj...

MBINU ZA KUMFURAHISHA MPENZI WAKO MUWAPO FARAGHA

Image
Hakuna mahali ambapo unaweza kufundishwa namna ya kumfurahi­sha mumeo au mkeo, angalau ki­dogo wazee wetu enzi zao walikuwa wanapelekwa jandoni na unyagoni, siku hizi unakuja kujifunzia ndani ya ndoa, yaani kama ni mechi ya mpira wa miguu basi unajifunzia kutuliza mpira na kupiga danadana uwanja­ni wakati wa mechi ambayo ni lazima ushinde. Mapenzi ni sanaa, lazi­ma ukubali kujifunza na kuyatafuta maarifa ma­hali popote yalipo ili uwe bora, huyo uliyenaye unaweza kuwa unafanya kila kitu kwa ajili yake, unajitahidi kumuonye­sha upendo wa hali ya juu lakini kama hujui nini cha ku­fanya muwapo faragha ili afu­rahi, ni sawa na kazi bure. Ni kwa msingi huo ndiyo maana nikaamua tujadiliane mada hii kama inavyojieleza hapo juu. MAANDALIZI YA KIHISIA Jambo la kwanza ambalo una­takiwa kulifahamu, ni kwamba ili mume au mke afurahie tendo muwapo faragha, lazima awe ametulia kihisia. Haiwezekani mmetoka kukwazana kuhusu jambo fulani, hamjapata suluhu na kila mmoja ana hasira halafu ndiyo mnain...

JINSI YA KUKARABATI PENZI LILILOCHAKAA

Image
Inawezekana hili lisiwe geni, lakini si vibaya kukumbushana.Fanya yafuatayo kurudisha upendo uliopotea kwa mkeo: 1.Jaribu kuwahi kurudi nyumbani kama ulikuwa una kawaida ya kuchelewa 2.Jitahidi kuja na zawadi mara kwa mara unapotoka kwenye mihangaiko yako hata kama zawadi hiyo si ya gharama 3.Mbusu mkeo kila unapotaka kutoka au unaporudi nyumbani 4.Jifunze kusema ASANTE kwa kila anachokufanyia hata kama ni wajibu wake kufanya hivyo. 5.Jifunze kuijuwa hobby ya mkeo, tenga muda japo wa saa moja kwa wiki kushiriki na mkeo katika hobby yake hata kama wewe si hobby yako 6.Jifunze kumpa credit(kumsifia) kwa kile afanyacho mf. Sifia chakula alichopika, namna livyotandika kitanda, malezi yake kwa watoto,mavazi n.k 7.Kaa pamoja na familia yako angalau mara 1kwa wiki na mfanye kitu kwa pamoja as a family mf.Fanyeni general cleaness kwa pamoja as a family and take part in it fully. Hii itampendeza sana mkeo na kuona namna unavyojali familia 8.Toka pamoja na familia yako hata mara moja kw...

MWANAUME KULALA USINGIZI BAADA YA TENDO....WANASAYANSI WAGUNDUA SIO HIARI YAO

Image
Jambo hili huwaacha wanawake wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali chungu mzima kama kuna mahali wamekosea au hawajawavutia wapenzi wao, pale wenzi wao wanapogeukia upande wa pili na kushikwa na usingizi punde tu baada ya kumaliza tendo la kujamiiana. Lakini utafiti uliofanywa hivi na wanasayansi unawapa wanaume ahuweni katika kuepuka lawama hizo, kwamba, kumbe siyo hiyari yao, bali ni maumbile. Wanasayansi hao wamebaini kwamba, kwa sababu za kimaumbile ubongo wa wanaume unawalazimisha kulala muda mfupi baada ya kushiriki tendo la kujamiiana. Katika utafiti wao wanasayansi hao walibaini kwamba, kwa jinsi ubongo wa mwanaume ulivyotengenezwa, pale wanapomaliza tendo la kujamiiana na kufika kileleni kuna eneo linalozimika na kuwafanya kupata usingizi. Wakati hilo likitokea kwa wanawake hali ni tofauti, kwani wao hubaki wakikodolea macho dari wakiwa wamechanganyikiwa na kujiuliza maswali lukuki, wakijihisi kutowaridhisha wapenzi wao. Utafiti huo ulifanyika kwa kuhusisha kipim...

KAMA ULIKUWA UNAJIULIZA WANAWAKE WA MJINI WANAISHIJE BILA KAZI HUKU WANA MAISHA MAZURI SOMA HII

Image
Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala hahangaiki sana…Anaingia kwenye PHONEBOOK yake anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba hayawezi kumuangusha…AnaCOMPOSE Meseji Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni Meseji yake peke yake. “Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa hizi usiku.Love you xoxoxo” Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu “Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu Kistuli” “Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka...

NIKIWA NA MSICHANA NAMKINAI,HIVI NI PEPO AU TAMAA TU?

Image
Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa. Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua. Wakati mwingine nikishawakinai nafuta nambazao utakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa…. Wenye uzoefu nishaurini sipendi ila najikuta tuu….

KWANINI MWANAUME UKILALA NA MWANAMKE USIPOMPA HELA ANAKUDHARAU SANA?

Image
Utamaduni wa wenzetu walioendelea huwa mtu akitoka out na mpenziwe mwanamke ndiye anaclear bill lakini kwa nchi zetu za kibongo ukimtoa mwanamke out atafanya kukukomoa aagize vitu vya gharama balaa isitoshe zaidi watoto wa chuo hakawii kubeba marafiki zake wa kutosha. Sasa ukija swala la kudo iwe mchana au usiku mkimaliza anasikilizia unamtoa na sh. ngp usipomtoa ela anakudharau sana na huwa wananungunika sana. Hivi wadau ukitoka kudo lazima umtoe mwanamke hela wakati starehe mmesikia wote na zaidi wao ndiyo wanasikia raha zaidi? Hapo umemtoa out mmekula, kunywa, hela ya lodge n.k, gharama ushatumia kama laki na nusu bado tena umtoe hela?

USHAURI WA BURE KWENU WANAWAKE MABUBU NA MAGOGO KINAKO KITANDANI

Image
Raha ya mapenzi ni kuridhishana na kufikishana kunako kilele cha utamu.Hakuna faida ya kua na mpenzi ambae kunako 6*6 hakuna lolote analo lijua zaidi ya kuchoshana tu na kupakana jasho.Ili uweze kumlizisha mwenza wako sio lazima mfanye mapenzi kwa mda mrefu au sio lazima mpaka mwanaume amiliki dushe la inchi 7.Mwanaume wa ukweli ni yule ambae anaweza kucheza na maeneo muhimu ya utamu ya mwanamke. Na mwanamke wa ukweli ni yule ambae anaweza kutoa ushirikiano wa kutosha kwa mwanaume wake wakati wa tendo la kugegedana.Hata kama mwanaume una kibamia chako cha inchi3 haijalishi.Ndani ya nusu saa tu unaweza kumlizisha mpenzi wako kama unayajua vizuri maeneo muhimu ya utamu wa mwanamke na jinsi ya kuyapata na kuyakuna vizuri. Kwa bahati nzuri wanawake wana maeneo matano(5) muhimu ambayo uwawezesha kusikia utamu wakati wa kugegedanaSehemu muhimu ni; (1)mwanzo wa papuchi(mdomoni) (2)kuta za papuchi (3)kisimile(clito,ris)* (4)Kipele G(G Spot) (5)AFE (mwisho kabisa mwa kina cha papuchi) ...

DONDOO 10 ZA KUMDATISHA MPENZI WAKO

Image
UZUNGUMZAJI WAKOUnavyozungumza na mpenzi wako ni tofauti kabisa na unavyozungumza na watu wengine. Ni hatari sana kutumia lugha ya ukali ama isiyo ya kiungwana kwa mpenzi wako. Unatakiwa kufahamu kwamba, mpenzi wako ni mtu muhimu sana katika maisha yako hivyo unatakiwa kuwa makini pindi unapozungumza naye. Kuonesha kwamba wapo wasiojua mapenzi ni nini, unamkuta mtu anamwita mpenzi wake majina kama vile mshamba, demu, shembe na mengine mengine kama hayo. Mpenzi wako kweli umuite demu? Na wale wengine kule mtaani utawaita nani? Huo si ustaarabu na kamwe mapenzi yenu hayawezi kushamiri kwa mtindo huo. Kuna wengine matusi hayawaishi midomoni mwao. Kwa kufanya hivyo jua tu kwamba unamboa laazizi wako. Aidha mapozi katika uzungumzaji wako ni miongoni mwa vitu vinavyoweza kumdatisha mpenzi wako. Ukiwa na mpenzi wako usiongee kama chiriku au kama unagombana na mtu. Ongea kwa mapozi na hilo litamfanya akutofautishe wewe na watu wengine. Kuna ambao wanapozungumza na wapenzi wao hawapitish...

UMUHIMU WA KUFIKA KILELE WAKATI WA KUMEGA TUNDA

Image
Wataalamu wengi wa mapenzi wanakubaliana kwamba wachumba wanapotumia mbinu tofauti za kuburudishana kitandani, wanaridhishana na wanawake wanafikia kilele cha tendo la ndoa. KUNA kitu kimoja tu ambacho Susan* anatamani maishani mwake. Sio pesa, sio gari wala si vipondozi, bali ni kupata burudani tosha la mapenzi. Anasema maishani mwake, hajawahi kufikia kilele cha tendo ndoa hata mara moja. “Sijawahi kufikia kilele cha tendo la ndoa. Kwangu shughuli ni shughuli tu. Ninavumilia tu kwa sababu nampenda mpenzi wangu kwa dhati,” asema Bi Susan na kuongeza kuwa wakati mwingine anachukia tendo hili ili asiache kwenye njia panda. Ili kuhakikisha kwamba kamwe havujiki moyo wakati wa shughuli, wataalamu wanasema Susan anaweza kutumia mbinu za kisasa za kufanya mapenzi. Wanasema imegunduliwa kwamba kwa kubadilisha staili za kula uroda wachumba wanaweza kuridhishana kikamilifu na kufikia kilele cha shughuli hii muhimu. “Kwa kutumia staili tofauti za kulishana uroda wachumba huridhishana ki...

JINSI YA KUMFANYA MWANAMKE AFURAHI NA AKUPENDE KWA KUMFANYIA MAMBO ANAYOYATAKA

Image
Kuna mambo ya msingi ambayo mwanamke anahitaji kutoka kwa mwanamme ili kufurahi na kutulia katika mahusiano japokuwa sio rahisi kukwambia mojakwa moja. Mambo hayo ni kama ifuatavyo; Kupewa nafasi na kipaumbele. Wanawake wanapenda kuwa namba moja au kupendwa kuliko yeyote. Kumpenda mwanamke haikuishii kwenye kumpata na kumliki, kisha kujisahau kwa kisingizio kuwa umemuoa au umemvisha pete ya uchumba, ni zaidi ya hapo. Wanawake wanapenda watangulizwe katika mapenzi na kusiwepo na mwingine wa kuchukua nafasi yao katika mazungumzo na mapenzi kwa ujumla na katika maisha yao. Kuheshimiwa Wanawake wanapenda kueshimiwa kwa maneno na matendo. Wanawake hawapendi kuitwa majina mabaya kwa mfano mjinga, Malaya au kulinganishwa na wanawake wenzao wabaya. Wanawake hawapendi kukosewa heshima hasa mbele za watu, hata kama ni kwa mambo madogo madogo. Kuridhishwa Kwenye tendo la ndoa Mwanamke anapenda aridhishwe Kwenye tendo la ndoa. Hata kama utakuwa na kiwango kikubwa cha mapenzi juu ya...

FAIDA ZA KUWA KWENYE UHUSIANO NA WASICHANA WENYE TABIA ZA KIUME(TOMBOY)

Image
Tomboy ni nani? Tomboy ni mwanamke anaependa sana mambo ya kiume, wengine wanawaita majike dume, kitu kimoja ambacho wanaume wengi hawajui sio kila mwanamke anaependa kujitupia pamba za kiume au anapenda kufanya mambo Fulani ya kiume ni msagaji. Wapo   ambao wameamua kufanya hiyo staili yao ya maisha, wapo ambao wanajiona wabaya na wanadhani hawawezi kupendwa na mwanaume yoyote, wapo ambao waliumizwa kwenye mapenzi na wanajaribu kujiweka kiume ili wasipate tena wapenzi. Hawa mnaowaita madume jike pia ni wanawake na wanahisia kama wanawake wengine, wanapenda kama wanawake wengine ila kwa sababu wanajiweka kama wanaume inakuwa vigumu kumtamkia mwanamme kama wanampenda na kutokujiamini, wengine wanajiona sio wanawake kamili. Na nina amini wanaume wanamchango mkubwa kuwabadilisha wanawake wa aina hii kuwa kama wanawake wengine bila kutumia nguvu. Kuna faida kadhaa kutoka na mwanamke wa aina hii. Sio Mwanamke wa kioo kila mara; Wanawake wa aina hii hawapendi kujiremba sana, kw...

MASWALI 20 YA KUMUULIZA MWANAMKE KATIKA DETI

Image
Ushawahi kutoka deti na mwanamke halafu ukafikia mahali katika chat yenu unaishiwa na maneno ya kuongea? Ama umeagana na mwanamke mtoke deti siku ya pili halafu umekuwa ukikesha siku nzima ukiwaza ni maneno ama ni usemi gani utakaoongea siku ya pili wakati ambapo mtakutana? Well, usiogope. Hapa umefika kwa zahanati ambayo itakutibu matatizo yako. Hapa tumekuandalia maswali 40 ambayo utayatumia kumuuliza mwanamke na kuyafanya maongezi yenu yavutie na kumfanya mwanamke apendezeke na wewe hadi mwisho. Well. Kabla ya kuorodhesha maswali haya kuna mambo ambayo unapaswa kufahamu: Anza kwa kumsifia ama kumpendezea kwa mambo anayofanya mfano unaweza kumsifia vile alivyovalia, kazi yake, umbo lake nk. Wakati utakapokuwa unamuuliza mwanamke haya maswali, hakikisha ya kuwa unatoa nafasi ya angalau sekunde 30 kabla ya kumuuliza swali la pili, yaani usimmiminie maswali yote wakati mmoja. Hakikisha kuwa haulazimishi maswali yako, mwanamke akikataa kujibu swali lako jipe shughli kiasi ...

ZINGATIA HAYA UWAPO NA MPENZI WAKO CHUMBANI

Image
1. WEKEZA MAWAZO YAKO KWA MPENZI WAKO – Pindi uwapo chumbani na mpenzi wako jaribu kuwekeza mawazo yako kwa mpenzi wako ulie nae kwa muda ule, epuka kufikiria mambo ya nje yaliyotendeka usiyape nafasi mawazo yako kufikiria vitu vingine. Unapokuwa chumbani na mpenzi wako jitahidi kuacha mawazo tofauti yasiyohusiana na tukio mnalotaka kulitenda wewe na mpenzi wako hata kama siku hiyo kuna mtu alikuudhi na unahasira au pengine kunajambo lolote limekutokea kwa siku hiyo basi jaribu kuvisahau na mawazo yako yawe katika mazingira mliyopo wewe na mpenzi wako. Kwani mapenzi ni hisia sasa endapo kama utakuwa upo ndani na mpenzi wako halafu ukaanza kuwa unafikiria- vitu vingine itapelekea kushindwa kulifurahia penzi vizuri kwani mawazo yako yatakuwa hayako pale. Hivyo nivizuri kuwa makini na kuziwekeza fikra zako zote katika sehemu husika uliyopo. 2. EPUKA KUPIGA STORY ZISIZO HUSIANA NA MAPENZI – Mpenzi msomaji fahamu kuwa pindi unapokuwa chumbani na mpenzi wako hupaswi kuanzisha mada ziliz...

HATA KAMA UNA KIBAMIA UNAWEZA KUMRIDHISHA MPENZI WAKO ZINGATIA TU HAYA

Image
Cjui Nani alisema uume mkubwa ndio unaridhisha mwnamke?Unaeza kua na kubwa n Usimridhishe vilevile kikubwa n kujua how to use it…so cha kufnya zingatia haya hapa chini<br>Ni wengi tunajidanganya kuwa ukubwa wa uume ndio kumlizisha mwanamke! Kama ingekuwa kweli haya matatizo yange kwisha maana kila mtu angetafuta njia za kuukuza uume wake! ,hicho unachodhani ni kibamia unaweza kumfanya mwanamke ataje jina lake la utoto Kumfurahisha mwnamke inategemea mambo mengi kama vile unafanya na nani, maumbile yake yakoje (unene, distance from hicho kibamia mpaka kwenye hilo sufuria ambapo kibamia kinatakiwa kipikwe ) style gani zinatumika pamoja na experience ya wahusika ( kama mwnamke ni changu anaweza asijue kama kibamia kiko jikoni ) mwnamme unatakiwa ujue the outer 3 inches za vagina ndo&nbsp;sensitive So mwnamme akiwa na kibamia cha inch 4 onward unaweza mfurahisha.pia kikubwa n kujua namna ya kucheza na…na utundu kustimulate clitoris ndo mpango mzima na ndo maana wanaojua knyony...

SEHEMU KUU MBILI ZA KUMSISIMUA MWANAUME MKIWA FARAGHA

Image
Zifuatazo ni sehemu kuu mbili (2) zenye msisimko katika mwili wa mwanaume: 1. SEHEMU YA KWANZA:  Kwenye KIFUA  Kifua ni moja ya sehemu alieumbiwa kila mwanadamu jinsia zote na sehemu hii ya kifua inamfumo wa kuamsha hisia katika mapenzi kwa sehemu tofauti kwa wanawake huleta msisimko katika maziwa na kwa upande wa mwanaume ni eneo zima pindi eneo hili likitumiwa ipasavyo kikubwa uwapo ndani na mpenzi wako jitahidi kutumia viganja, vidole na ulimi wako kuvichezesha taratibu kwenye kifua cha mpenzi wako ili kuamsha hisia. 2. SEHEMU YA PILI:  Kwenye UU*ME:  Uu*me wa mwanaume ni sehemu moja wapo inayoleta msisimko wa raha katika mapenzi pindi unapotaka kumuandaa mpenzi wako kwa ajili ya tendo husika, sehemu hii inaweza kutumiwa vizuri na wakina dada kwa wapenzi wao kwa mtindo wa kunyonya uu*me au kwa kuu papasa papasa taratibu fahamu sehemu kubwa ya kushughulika nayo katika kuuchezea uume wa mwenza wako kama unaunyonya basi tembeza ulimi wako taratibu katika kichwa ...

HII NDIYO THAMANI YA MWANAMKE

Image
Mwanamke ni kama Jua unaweza usione umuhimu wake, yaani kila siku unaenda mjini jua lipo tu, unaliangalia lakini huangalii umuhimu wake kwako. Wakati mwingine likiwa kali unaanza kulalamika kuwa linachoma na lina kera. Lakini ukitafakari kidogo tu utajua kuwa bila jua maisha yasingekuwepo. Chakula tunachokula ni kwasababu ya Jua, mvua ikinyesha sana mafuriko yakitokea tunatamani jua, kwenye baridi tunatamani pia jua, Hatuliwazii kwasababu lipo tu na linatimiza majukumu yake kimya kimya bila kelele. Hiyo ni sawa na mwanamke, ukishaoa kuna mambo ambayo mwanamke huyafanya na baada ya muda unaanza kuyaona ya kawaida kawaida, chakula kinakuwa mezani kila siku hujui kinapikwaje na vyombo vinaoshwaje, anabeba mimba na watoto wanazaliwa hujui maumivu aliyoyapata lakini unatabasmu na kucheka ukijisifia watoto wangu na hata mkigombana unasema niachie wanangu wewe nenda tu tafikili unajua maumivu aloyapata kipindi anawaleta duniani ao watoto. Watoto wanaumwa mpaka wanapona hujui hata w...

FAHAMU MAMBO MUHIMU YA KUJADILIANA KABLA YA KUOANA

Image
Wapo baadhi ya vijana, huingia kwenye uhusiano kichwa kichwa. Akishaona amempenda mvulana au msichana fulani, huishia hapo tu. Anawaza kuhusu ndoa. Siyo sahihi rafiki zangu. Lazima kuchunguza kwanza na kujadiliana kwa kina kuhusiana na mwelekeo wa maisha yenu yajayo na baadaye ndoa. Vijana wengi wamekuwa wakiwasiliana nami wakiuliza sana kuhusu uhalali wa kuoana katika imani za dini tofauti. Ni jambo lenye changamoto kubwa sana na limesababisha migogoro mara nyingi kwenye uhusiano wa vijana wengi. Kutokana na uzito wake nimeona ni vyema nikaandika hapa mada hii, lakini yenye mwendelezo zaidi kuhusu pia suala la kabila na mila za makabila mbalimbali ili kukupa mwanga wa mwenzi unayetarajia kuingia naye kwenye ndoa. Kimsingi hayo ni kati ya mambo ya msingi zaidi kujadiliana na mwenzi wako mtarajiwa kabla ya kufikiria kuhusu ndoa. VIPI KUHUSU DINI? Inasemwa sana kuwa, mapenzi hayachagui dini, kabila, rangi wala kitu kingine chochote cha kufananisha. Inaweza kuwa sawa, lakini kwa waka...

UKIWA NA SIFA HIZI KILA MWANAUME ATATAMANI KUKUOA

Image
KUOLEWA  ni heshima kwa mwanamke. Heshima hiyo inaenda mbali zaidi hadi kuwagusa wazazi wa binti ambaye ataolewa. Wazazi wanatembea kifua mbele pindi binti yao anapoolewa, tena wanafurahia zaidi binti huyo anapoolewa akiwa angali bado hajazaa. Wanamshukuru Mungu kwa binti yao kujitunza. Wanamshukuru binti kwa kuwapa heshima katika familia yao na ndiyo maana siku ya sherehe ya kuagwa (send off) wazazi wanafurahi sana kuagana na binti yao kwa heshima. Hali hiyo huwa inaleta shauku kubwa kwa warembo wengi kutamani kuingia kwenye ndoa. Wengi wanaguswa na rekodi za wanawake wenzao ambao wamejitunza na hatimaye kuwaletea heshima wazazi wao. Kinyume chake, wengi wamejikuta wakijilaumu kwa kushindwa kuleta heshima katika familia zao. Binti umri unaenda, anatamani kuingia kwenye ndoa lakini hapati wa kumuoa. Au mwingine inatokea, anatamani kuolewa lakini anaishia kupigwa mimba na kuachwa. Badala ya kuleta heshima, analeta aibu katika familia yake kutokana na mila na desturi zetu kumta...

MAMBO YA KUFANYA IKITOKEA MPENZI WAKO KACHEPUKA

Image
M PENZI  msomaji wangu, katika maisha ya kimapenzi hakuna kitu kinachouma kama kusalitiwa, tena kusalitiwa kunakouma zaidi ni pale unapobaini mpenzi wako kampa penzi mtu unayemjua halafu ukijilinganisha wewe na huyo aliyepewa unashindwa kuelewa kilichomshawishi mpenzi wako. Lakini licha ya kwamba usaliti si kitu kizuri, watu wamekuwa wakisalitiana, tena sana tu. Inafika wakati unashindwa kuamini kama yupo mtu ambaye hajawahi kumsaliti mpenzi wake. Niseme tu kwamba wapo wachache waliotulia ila asilimia kubwa ya walio kwenye uhusiano ni wasaliti hata tafiti zimedhibitisha hilo. Kama hali yenyewe iko hivyo, cha kujiuliza ni kwamba unapobaini mpenzi wako amechepuka na kakusaliti ni kipi unachotakiwa kufanya? Je, ni kuamua kunywa sumu kama ambavyo wamekuwa wakifanya wengine? Sidhani kama huo ni uamuzi sahihi. Mtaalam wa masuala ya mapenzi James Johnson kutoka Marekani amependekeza mambo 10 unayoweza kufanya baada ya kubaini kuwa mpenzi wako amekusaliti. Kubaliana na kilichotokea ...

UTAJUAJE KAMA UPO MAPENZI HATARISHI?SOMA HAPA

Image
MATUKIO ya wanandoa kuwaua wenzi wao au kuwafanyia ukatili wa kutisha, yanazidi kuongezeka. Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na matukio mengi ya mume kumuua mke, mke kumuua mume au kusababishiana vilema vya kudumu Lakini si kwa waliopo kwenye ndoa pekee, hata wale waliopo kwenye uhusiano wa kawaida wa kimapenzi au wachumba nao wapo kwenye mkumbo huu wa kufanyiana ukatili wa kutisha. Kiasili mapenzi yanapaswa kuwa na amani, huwezi kufurahia mapenzi kama una hofu juu ya mwenzi wako, kila siku mnatukanana, mnapigana au hata kutishiana maisha. Kwa bahati mbaya, watu wengi wapo kwenye aina hii ya mapenzi, mapenzi hatarishi au kwa Kiingereza Violent Love na hawajui nini cha kufanya, huku wengine wakichukulia kuwa ni kitu cha kawaida. Kutofautiana katika mapenzi ni jambo la kawaida, lakini kwa nini mfikie hatua ya kutishiana maisha, kupigana, kutukanana au hata kuuana? Wengi wanaopoteza maisha yao au kupata vilema, ni kwa sababu walishindwa kuchukua hatua mapema, waliliona tatizo l...