KAMA ULIKUWA UNAJIULIZA WANAWAKE WA MJINI WANAISHIJE BILA KAZI HUKU WANA MAISHA MAZURI SOMA HII

Msichana akitaka PERUVIAN HAIR mpya wala
hahangaiki sana…Anaingia kwenye PHONEBOOK yake
anachagua Madanga yake 20 anayoyaamini kwamba
hayawezi kumuangusha…AnaCOMPOSE Meseji
Tamuuu ambayo kila danga likipokea linahisi hiyo ni
Meseji yake peke yake. “Babe Mambo,Nimekumiss leo hadi nimekuota yaani
nimeamka So Wet I really miss my Pompolimpo,pole
na kazi mme wangu I wish I was there nikumassage
na Ulimi hadi usinzie..Leo Niko zangu tu home sijatoka
nlikuwa naangalia Muvi mara LUKU imekata hapa na
sina hata Salio.Una Sh 30,000 unitumie ninunue Luku babe wangu?Please maana kutoka mpaka ATM saa
hizi usiku.Love you xoxoxo”
Akimaliza Anatengeneza BROADCAST LIST
anawaweka yale Madanga humo halafu anatafuta
Option inaitwa SEND TO MANY,anafowadi lile meseji
TWAAAAP!!Anauchuna kama dakika 5 hivi,meseji za Muamala zinaanza kutiririka kutoka Ukonga mpaka
Tegeta,Sinza mpaka Makongo Juu
“Imethibitishwa umepokea 30,000 kutoka kwa Rajabu
Kistuli”
“Imethibitishwa umepokea 32,000 kutoka kwa Justine
Kipipa” Nusu saa tu kashakusanya LAKI 6 kesho yake
anaamka anaenda dukani kwa @heavenhairtz @
heavenhairtz
anaagiza Peruvian yake ya Inchi 6 jioni unamkuta
NEWS CAFE anawaka huku anakunywa Milkshake ya
Vanilla. We unabaki kujiuliza Demu wa 1st year ana iPhone 6s
kaipata wapi na Bodi ya Mikopo haijaingiza
BOOM,wenzio wana MABOOM BINAFSI wanaCLICK tu
hela kibwena.
Demu akiamua Kupauka ni Maamuzi binafsi tu,Wana
Mbinu hawa Viumbe Balaa,kufa njaa labda awe Mgoloko wa Tandahimba amekuja juzijuzi na Fuso la Mafenesi ila watoto wa mjini hawaishiwi!

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI