VYAKULA VINAVYOHUSISHWA NA TENDO LA NDOA

.kuna vyakula tunafahamu  vinahusishwa sana na tendo la ndoa na wengi wao tunavijua,,yaweza kuwa ni kweli au yawezakuwa unakosea katika matumizi,,utakuta mwanaume kaambiwa karanga zinahusiana na tendo la ndoa,,, basi ndio akitaka kufanya mapenzi ndio atakula mikaranga hiyo kama ugomvi.....sasa wakishakuwa kitandani badala ya kufanya shughuli ya tendo la ndoa ..ye anaachia mishuzi hapo mbwa mbwa mbwa chumba kizima kina kuwa kama choo sasašŸ¤£ ...ukiuliza karanga.........kaka angu kunajinsi ya kutumia hivyo vyakula nakama vile karanga, tangawizi,matikiti na mbegu zake,mbegu za maboga,nk.........nasio unafakamia tu utie aibu kitandani huko...........SASA BASI JIFUNZE KWANGU JINSI YA KUTUMIA VYAKULA HIVYO..MM MWALIMU WAKO šŸ„¦

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI