JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO
Mara nyingi wengi wa wadada na wakaka wameshindwa kujua au kusoma ishara za pale wanapovutiwa au wanapokuwa wamevutiwa na mtu ambaye kwa Mara ya kwanza wanaweza kujuana na kuwa wapenzi au marafiki. Hebu fikiria imetokea Mara ngapi kwa baadhi ya wadada au wakaka wakakutana siku ya kwanza na kisha wakaunda mapenzi na wengine hufikia kufanya mapenzi kabisa katika siku ya kwanza tu wanapokutana. Unadhani ni uchawi?! Unadhani ni maajabu?! Usiwaze sana,, Ni jambo la kawaida sana hasa ukijua baadhi ya ishara na kujua kusoma lugha ya matendo ambayo kwa mdada au mkaka mliyeonana nae kwa Mara ya kwanza atakayokuonesha na kisha ukaweza kuongea nae kwa Mara ya kwanza pasipo kutumia maneno. Lugha ya macho au lugha ya matendo ina nafasi kubwa sana katika mahusiano pengine kuliko maneno ya kawaida. Leo katika post hii nitapenda kuzungumzia suala moja tu la Lugha ya macho na jinsi inavyoweza kumshawishi mwenzio hadi mkaanza kujenga urafiki. Lugha ya macho ina nafasi kubwa sa...
Comments
Post a Comment