Tunda “Najichukia Kwasababu Nimemuumiza Whozu Naomba Anisamehe Turudiane”




Ameandika Tunda Kupitia Ukurasa Wake wa Instagram:


‘Najichukia kwasababu nimemuumiza mwanaume muaminifu na mwenye kunijali haijawahi tokea. Kama unaweza tafadhali nisamehe, nakuhitaji kwenye maisha yangu. Nilikua na tabia za kitoto kwako, naona aibu kwaajili ya tabia zangu, tafadhali nisamehe. Upendo wako ni hamasa tosha, usinikatili nia yangu ya kuwa na wewe. Nakupenda sana, nisamehe **Whozu ‘, ameandika Tunda kupitia ukurasa wake wa Insta






Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI