NIMEKUTA BIKINI YA MKE WANGU CHUMBANI KWA MDOGOWANGU IDDI
Jamani Leo ni Siku ya saba tangia nikute chupi ya mke wangu chumbani kwa mdogo wangu wa kiume. Nimekaa nalo moyoni naona niwashikirikishe wenzangu nione mnishauri nini.
Ni hivi, ninaishi na mke wangu mwaka wa nne sasa, tuna mtoto mmoja, nina mdogo wangu anaishi hapa tangia January niliponunua bajaj ili awe anaendesha ili kusaidia wazazi wetu nyumbani kijijini.
Sasa Jumapili iliyopita wife aliwahi sana asubuhi kwenda kanisani pamoja na mtoto, mimi nilibaki nimejilaza mpaka kama SAA moja na nusu hivi, nilivyokumbuka kuwa nilikuwa na ahadi fulani, katika kufanya maandalizi sikiweza kuiona pass, so nikaenda straight chumbani kwa dogo katika kuitafuta ndo nilipokutana na chupi ya mke wangu ambayo mimi mwenyewe nilimununulia so imechoka choka kiasi chake.
Nilishikwa na butwaa kwani namwamini sana wife, dogo mwenyewe heshima kwa sana, ilichukua simu na kupiga picha kadha na kuzificha kwenye private vault, ile chupi nikaiacha palepale.
Wife hajasema chochote mpaka sasa, nawaza namna ya kuanza kumuulizia japo ameshahisi kuwa siko normal, coz nikimuona usoni nakuta hasira imepanda sana.
Kwa kifupi naogopa ukweli kuwa mke wangu amenisaliti kwa mdogo wangu, mpaka sasa simuoni kama mke wangu tena, namuona kama bundi kajificha chumbani kwangu.
Naomba mnishauri kwani mimi kwa haraka haraka naona nimwite kaka yake aje amchukue kabla sijamfanya kitu mbaya, tatizo hasira zangu hupanda pole pole sana, kuzishusha ni kazi sana
Wakubwa tuu🔞 Bofya Hapa kupakua App ya Utundu kitandani na upate mautundu na maufundi yoote
Usisahau kushare post hii.👍 Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome
ona jinsi ya kusugua G spot
bonyeza hapa
BONYEZA HAPA HAPA
from Utundu kitandani http://bit.ly/2ZcGeFg
via IFTTT

Comments
Post a Comment