Kwa hili naamini maneno matamu, wakati ule unapokuwa unajaribu kupata msichana umtakae maishani mwako ili uuteke moyo wake awe wako, unahitaji kujifunza jinsi ya kutumia maneno matamu . Lakini ukumbuke si kila neno linaweza kuugusa moyo wa mwanamke. Lakini maneno matamu hufanya vitu vya kushangaza sana , humtoa nyoka pangoni. Wakati wanaume wengine wanalalamika ni jinsi gani ilivyo vigumu kuuteka moyo wa msichana, jibu ni rahisi sana , ni kwa sababu hawatumii maneno sahihi. Watu wengi pia wanakosa maneno, wengine hata hawajui wapi pakuanzia na wataanzaje, ngoja tuanze na haya maneno yafuatayo, maneno matamu ya kumwambia msichana. 1.Macho yako ni mazuri sana, yananivuta, nashindwa la kufanya, lakini yananifanya nipotelee kwako. 2.Unanifanya niwe mwanaume bora, kwa hio naweza kustahili kwenye penzi letu. 3.Unaonekana mzuri kama malaika, nahisi nikikushika nitakuchafua. 4.Napatwa na woga ndani ya tumbo langu , natetemeka unapoweka mikono yako juu ya uso wangu. 5.Umefanya ndoto zan...
Comments
Post a Comment