NGUVU YA MWANAMKE KWENYE MAPENZI




Tukumbuke kwamba kinyume cha beba ni shusha, na kinyume cha kusanya ni tapanya, basi ukishindwa kumuhendo mwanamke vizuri kwa upendo na uaminifu mkubwa basi wewe mwenye utakuwa umejitengenezea jehanamu. 

A – Pale mwanaume anapompa mwanamke mbegu, mwanamke humpa mwanaume mtoto. 
B – Pale mwanaume anapompa mwanake nyumba, mwanamke uifanya nyumbani. 
C – Ukimpa mwanamke bidhaa za shambani yeye anakutengenezea chakula
D – Ukimpa maneno machache yeye anakutengenezea sentensi nzima
E – Ukiamua kumchanganya akili yake kidogo tu yeye anaweza kukuvurugia maisha yako yote, ila ukimpa furaha kidogo yeye atayafanya maisha yako yawe paradiso.
Kwahiyo tusilaumiane



Wakubwa tuu🔞 Bofya Hapa kupakua App ya Utundu kitandani na upate mautundu na maufundi yoote
       Usisahau kushare post hii.đź‘Ť Share facebook, twitter, Google+ n.k bila kusahau WhatsApp! Share kote wenzio nao wasome


  đź”žWakubwa tu: video kali zote na original app download chini
TAHADHARI WAKUBWA PEKEE NDIO WANARUHUSIWA KUBONYEZA HII LINK WATOTO KAA PEMBENI

Comments

Popular posts from this blog

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story