muongozo

MUONGOZO WETU Bongo special tv

Bongo special tv ni chombo cha habari kinachozingatia weledi na maadili yanayoongoza tasnia ya habari. Tumejikita katika kuripoti matukio ya burudani yanayowahusu watu mashuhuri katika muziki, filamu, michezo nk, mitindo ya maisha na masuala ya kijamii. Tunazingatia misingi ya uhariri katika habari kwa kufuata yafuatayo:

1. Kuripoti habari za ukweli
2. Kusaidia kurekebisha taarifa zilizopotoshwa ili kuwapa ukweli wafuatiliaji  wetu
3. Kufuata misingi ya habari kwa kuripoti habari zenye uwiano na kutoa fursa sawa kwa pande zote
4. Kujiepusha na udini, ukabila au mambo yoyote yanayoweza kusababisha uchochezi

Muongozo kwa wafuatiliaji (subscribers) wetu

1. Kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake
2. Ina uhuru wa kufuta maoni yasiyo na maadili au yenye matusi makali
3. Ina uhuru wa kupitia maoni kabla hayajaonekana na watu wote
4. Ina uhuru wa kumzuia mfuatiliaji aliyekiuka masharti asiweze kuona habari zetu au kuweza kuweka maoni

KARIBUNI SANA

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO

Maneno Matamu ya kumwambia mwanamke