ULITAKA NINI WAKATI UNAANZISHA UHUSIANO NA MWENZAKO?
[WAKUBWA TU 18+] PAKUA APP MPYA YA UTAMU KITANDANI KUJIONA MAMBO MBALIMBALI YA CHUMBANII NA MBINU BORA ZA KUBORSHA PENZI LAKO Mpenzi wangu msomaji Ni kwa vipi uingie katika mahusiano na binadamu mwenzako halafu utumaini kila siku akufurahishe? Hiyo inawezekana vipi? Wewe unaweza kumfanya mtu kila siku akawa na furaha isitokee hata siku moja ukamkwaza? Ni kweli hatutakiwi kuingia katika mahusiano tukiwa na tunajua fulani ni lazima atakuumiza. Haipaswi kuwa hivyo. Lakini jiulize ni vipi unaweza kuishi na binadamu asikukwaze siku hata moja? Haya sasa chukulia kuwa umeingia katika mahusiano na mtu ukiwa na tumaini la kuwa katika furaha ya kila siku, halafu siku ikatokea kakukwaza itakuaje? Si mwanzo wa kuona kuwa umeingia katika himaya ya mtu asiye wa ndoto yako? Si mwanzo wa kuanza kuangalia njia ya kutaka kujitoa hapo? Tafakari. Siku zote ndiyo maana huwa nasisitiza watu waingie katika mahusiano kwa kigezo cha kupendana kwanza. Mengine ndiyo yafuate. Ukiwa katika mahus...