KAMA KUNA MWANAMKE UNAEMPENDA NA UNASHINDWA KUMWAMBIA UKWELI. BASI INAKUHUSU



👇👇
Kuna kundi kubwa la wanaume wanaoshindwa kueleza hisia zao kwa wale wanaovutiwa nao na kutamani pengine kuwa nao maishan
Hii inawaumiza vijana wengi na hata wazee, Suala la kumweleza mwanamke hisia zake hadi akamuelewe inachukua mda mkubwa sana hadi wengine wanawatuma marafik ambao wengi huwageuka
Hatua hii husababisha baadhi kujiona wenye mkosi wa kupendwa na warembo jambo ambalo siyo la kwel
Sifa ya kwanza ili uweze kuzungumza na mwanamke akusikilize ni lazima ujiamin kuwa wewe ni mwanaum mwenye vigenzo vya kuitwa mwanaum unayeweza kusimama mbele ya watu naukasema mimi ndiye mmiliki wa mwanamk huyu
Pili wanawak wanapenda kuwa katika ushindan hasa pale anapokuwa na mwanaume mwenye kujiamin basi anatembea akijiamin na kuona hajakosea kuchagua
KAMA WEWE NI MUHANGA WA TATIZO HILI FANYA YAFUATAYO
Tumia sauti ya utulivu yenye hisia ndani yake mnapoongea utazidi kumvuta karibu yako. Usipende kuzungumza kwa sauti ya juu au kupayuka au kupiga simu ukiwa kwenye kelele,
Mtakapokutana au Akipokea tu simu yako, mjulie hali yake kisha msifie kidogo kuhusu saut yake na namna anavyozungumza
Tumia maneno machache lakin yatakayomfanya asichoke kukusikiliza
Yafanye maneno yako yawe ya kuvutia kwa kutumia maneno matamu yatakayomfurahisha na kumfanya aache kila anachokifanya na kukusikiliza
Badili mazungumzo,muulize kama anajua kwamba yeye ni mzur sana na hujawah kukutana na mtu anayevutia kama yeye.
Kama wewe ni mwanaume na unayezungumza naye ni mwanamke, utakuwa katika nafasi nzuri ya kumpata kwa sababu wanawake wengi wanapenda sana kusifiwa
Akiwa amekolea na sifa unazomwagia, mweleze kwamba unavutiwa naye na unatamani kuwa na mpenzi kama yeye.
Mueleze kuwa atakapo kubali kuwa na wewe, utamtunza na kumlea kama malkia, mweleze malengo yako ya baadaye katika uhusiano wenu endapo atakukubalia
Usimpe nafas ya kukwambia kama amekubali au amekataa bal hitimisha mazungumzo yenu kwa kumtakia siku njema au kazi njema.Bila shaka utamuacha akiwa na shauku kubwa ya kuendelea kusikiliza mistari yako
Endelea kuwasiliana naye kwa mambo ya kawaida huku ukimpima kama yale uliyomwambia anayachukuliaje
Kama naye amekupenda, utaanza kuona mabadiliko kuanzia meseji na namna anavyopokea simu yako na uchangafu anaokunyesha.
Hivyo basi omba kukutana naye sehemu tulivu kama ufukweni au popote ambapo mtakuwa wawili na hapo utakuwa na nafasi nzuri ya kueleza kwa kina juu ya hisia zako natumai atakuelewa.
MWISHO
▷ #sanchiworld - Instagram hashtag Photos & Videos • Pikdo


from UTAMU ZAIDI https://ift.tt/31Jo1CB
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI