Tayari nimeshachukua fomu, nitaomba uzinduzi wa kampeni tuufanye Dodoma- JPM
Tayari nimechukua fomu, Kitabu cha mwaka huu cha Ilani ya CCM ni kikubwa kuliko cha mwaka 2015 kwasababu kina mambo mengi siwezi kuyasema yote tutayasema wakati wa kampeni, na nitaomba uzinduzi wa kampeni tuufanye Dodoma kwasababu ndio Makao Makuu ya Nchi”-JPM
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/33uCBiE
via IFTTT
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/33uCBiE
via IFTTT

Comments
Post a Comment