Tutatengeneza nguo za pamba tuzivae halafu mitumba tuwapelekee wao- JPM
“Wakati natoka kuchukua fomu leo na Mama Samia, nikaangalia Majengo yalivyokaa, Dodoma ilivyopendeza nikasema kiukweli tumefanya kazi nzuri, tutaendelea kufanya kazi, ikiwezekana tuwe na viwanda ambavyo tutatengeneza nguo za pamba tuzivae halafu mitumba tuwapelekee wao” -JPM
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2PvDgIg
via IFTTT
from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/2PvDgIg
via IFTTT

Comments
Post a Comment