Waziri Junior achaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai

MSHAMBULIAJI wa Mbao FC ya Mwanza, Waziri Junior amechaguliwa kuwa Mchezaji Bora wa mwezi Julai wa Ligi Kuu ya Vodacom (VPL), msimu wa 2019/20, Waziri amewashinda Peter Mapunda wa Mbeya City na Obrey Chirwa wa Azam FC alioingia nao fainali. 

from MUUNGWANA BLOG https://ift.tt/3a2islq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO

Maneno Matamu ya kumwambia mwanamke