Nilijua Tu Hii ya Marioo ni Kiki "Atumia Issue ya Diamond na Mimi Mars Kupata Mserereko"

 


Hiv karibuni Marioo ameuzishwa na kutaka kujinyonga kisa mapenzi. Na hii Ni baada ya kupost kitanzi bila caption na watu kutafsiri anajinyonga kumbe ametoa wimbo unahusiana na kicho kitanzi.


Shida niliyoiona wabongo wanapenda umbeya wabongo ukiwawekea picha tu tafsiri watatoa wao ndio maana wasanii wanaotumia Sana huu dhaifu ili mambo yao yaende.


Hata hili suala la Marioo kuhusishwa kwamba amewahi kutoka na Mimi Mars sizani Ni kweli wao wenyewe wamedhibitisha kuwa hawana mahusiano na Wala hawajawahi kuwa na uhusiano.Namnukuu Mimi ,ars "watu wananihusisha na Marioo hii Ni kwasababu hawamjui mchumba wangu Ni Nani me Nina mtu wangu kabisa huyo Marioo sio boyfriend wangu zaidi ya kufanya nae kazi na kazi itatoka soon ndio maana ndio picha nimeonekana nipo nae studio na si kwingine" baada ya kauli hiyo tukaona kweli Kuna ngoma ikatoka Mimi Mars ft Marioo & young lunya


Na alivyoulizwa Marioo kuhusu kuhusishwa kihusiano na Mimi Mars akasema " Mimi Mars Ni sister wangu nipo nae karibu kwa sababu tuna kazi tunaifanya na soon itatoka na Hakuna kingine Cha ziada"


Me Kuna wakati unaweza kusema wasanii wanapenda Kiki kumbe mashabiki ndio wanapenda kiki na umbeya zaidi hata kuliko hao wasanii wao wenyewe washakiri Hakuna mahusiano wewe Ni Nani useme Wana uhusiano.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2SclWcY
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI