Diamond Platnumz Afuta Picha ya Mtoto wa Producer P Funk Majani Baada ya Kuipost Kwenye Instagram na Kusababisha Sintofahamu
Diamond Platnumz Afuta Picha ya Mtoto wa Producer P Funk Majani Baada ya Jana Kuipost Kwenye Instagram na Kusababisha Sintofahamu kwa kubwa kwa Mashabiki zake wakijiuliza kwanini amempost Je ni Kiki au ndio mchumba wake Mpya anayetaka kumuoa
Wewe unadhani kitu gani kimesababisha kufutwa kwa picha ya Mrembo PATRICIA kwenye ukurasa wa Insta wa @diamondplatnumz
from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/348CfhG
via IFTTT
Comments
Post a Comment