Mpenzi Halindwi na Alarm wala Hawekewi Tracker, Analindwa na Mahaba na Care Unazompa


Mpenzi halindwi na Alarm wala hawekewi Tracker,analindwa na Mahaba na Care unazompa.

Ukimpa Mahaba Niue Nife Nayo basi atakuwa wako daima dumu,atajilinda mwenyewe na hataenda nje maana hakuna kipya kule ambacho kwako hapati,

Ukimpa Mahaba ya Kibaba cha Mafuta shallow,basi atatafuta mtu wa kujazilizia kwenye gepu!

Usipoteze muda kukaba nyendo za mpenzi wako kama beki wa Yanga, Invest kumridhisha Mpenzi wako kwenye kila idara ya Penzi lenu ili Mahaba yenu yabaki salama lasivyo jiandae kuwa mlinzi wa KK Security Night Shift bila gwanda!


from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3heh00Z
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI