Hizi Hapa Sababu kwa nini Wanawake Wengi Huamua Kufanya Kazi ya Ukahaba

 


Tumewaona wengi mitaani wakifanya kazi ambayo wananchi wengi hawaipendi na hata kuwakosoa kila mara.

Makahaba wengi hupitia mengi huku wakitafuta riziki yao ya kila siku bali wengi hawajawahi jiuliza kwanini haswa wanawake hao wameamua kufanya mambo hayo.

Si kila mwanamke anapenda kuuza mwili wake kwa ajili ya pesa lakini wengi hawana kazi au mahali pa kupata riziki ndiposa wanajiunga  na kazi hiyo.


Hizi hapa baadhi ya sababu kwanini wanawake wengi ujiunga na kazi ya ukahaba.


1.Utambuzi wao ni taofauti 


Kuna wale wanona kazi hiyo ina leta pesa badala ya kutambua changamoto za kazi hiyo na mwishowe majuto yake.


2.Tamaa


Kuna wanawake ambao wanapenda pesa sana huku wasitosheke na pesa ambazo wanapata za kila mwezi, wanaona hamna haja ya kukaa nyumbani wanajiunga na kazi ya ukahaba na kuanza kupata pesa.


3.Hamu ya kuridhika 


Wanawake wengi hujipata kuwa hawawezi kutosheka na mwanamume mmoja wanaamua kutumia mwili wao vibaya na kufanya ngono na wanaume wengi ili apate kuridhika.


4.Kuishi maisha ambayo hayawawezi


Kama Mungu ameamua kukubariki na shilingi elfu kumi basi tosheka na hayo kwa maana ana sababu yake, lakini kuna wale hawatosheki na pesa hizo na kuanza kuishi maisha ya juu kuliko mapato yao.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Kknm4j
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI