Ujumbe wa Rapa Roma Mkatoliki kwenda kwa Wasanii wa Kuimba Tanzania






Ujumbe wa Rapa Roma Mkatoliki kwenda kwa Wasanii wa Kuimba Tanzania;

"Wasanii wa Kuimba wengi inabidi wabadilishe Style yao ya Uingiaji Jukwaani!! Wengi wanaingia kwa Kukimbia 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃🏃 wakifika pale mbele wanaanza kurukaruka kwa Ku- Hype! Sio kitu kibaya 🙌🙌🙌🙌 ila isiwe sasa kila msanii. Wamuachie mmoja tu aliyeianzisha, Wasiigane igane!


Ingieni hata mnatembea tu mdogo mdogo kama hautaki Vile, mbona fresh tu!! Ukiwa mnyama na una mawe yako matatu tu ya mauaji Aaaaaah.... Fans Wataamka Tu Watake Wasitake 🔧" ameandika @roma_zimbabwe kwenye Twitter.


Upi mtazamo wako kuhusu hili, tuachie comment yako.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/2Vj3GzW
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI