Stori Fupi ya Mchezaji Christian Ronaldo "Nilimwambia Baba Yangu Nataka Kuwa Kama Michael Jackson"



Anasimulia Kwamba ALIPOKUWA mdogo mwenye Umri wa Miaka 7 alikuwa anaongea na Baba Yake mzazi na kumwambia Baba nataka siku Moja nije kuwa na nyumba kubwa ya thamani kama Mtaalamu Michael Jackson.Baba akamwangalia Mwanaye na akamwambia kwamba Mwanangu ndoto Ni ndoto tu hilo swali haliwezekani Mwanangu maana ndoto Ni ndoto tu Mambo makubwa ni ya Watu wenye pesa tu Mwanangu.


Lakini CR7 anasimulia ya kwamba leo hii Nina miliki majumba na Nina maisha mazuri lakini Cha kushangaza Ni kwamba Baba yangu hayupo tenaa alikwishaaga Duniaa. Cr7 anatamani baba yakee angekuwepo Ili aone mafanikio yakee hii leo lakini baba yakee hayupo na wala hajashuhudia mafanikio hayo.


Never give up🤞



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3n3rR0A
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI