Diamond amchezesha mama yake singeli jukwaani, amuita na Uncle Shante (+Video)

 


Ikiwa ni mwishoni mwa Show walipanda jukwaani familia ya Diamond Platnumz ikiongozwa na mama yake mzazi Mama Dangote, Mzee Shante pamoja na dada yake Esma.


Wakiwa Jukwaani Diamond alimchezesha mama yake Singeli akiwemo Mzee Shante na Esma kupitia wimbo wa Dulla Makabilla. Video nzima ipo kwenye akaunti yetu ya YouTube ya ya Bongofive.


VIDEO:



 



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3cE1fCb
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI