Diamond awataja Tanasha, Hamisa jukwaani, arusha dongo hili (+Video)

 


Akiwa jukwaani Diamond Platnumz aliamua kutumia wimbo wa Singeli aliokuwa akiimba na Dulla Makabilla kufikisha ujumbe kwa hadhira kwa kusema kuwa Eti wanasema yeye amerudiana na Tanasha lakini pia hawajaishia hapo wakasema tena yeye ( Diamond Platnumz) hajafanana na mtoto wa Hamisa Mobetto ( Mtoto wake) Dyllan

VIDEO:




from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3t90xm2
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI