Kim amrejesha Yondani taifa stars

 


Kocha wa timu ya taifa ya Tanznaia Taifa Stars Kim Poulsen amemrejesha kikosini mlizi kisiki na mkongwe Kelvin Yondani kwenye kikosi cha wachezaji 42 alichokiita leo, kitakachoingia kambini kujiandaa kwa michezo miwili ya kirafiki dhidi ya Kenya na ya kufuzu AFCON.



Taifa stars itacheza pia michezo miwili ya kufuzu AFCON mwishoni mwa mwezi Machi ikiwa ni michezo ya kundi J, ambapo kikosi Tanzania kitakuwa na mchezo dhidi ya Equatorial Guinea  Machi 22, 2021. mchezo huuutachezwa ugenini na Machi 30 itacheza dhidi ya Libya mchezo utakao chezwa Dar es salaam.


Kwenye kundi hilo taifa Stars ipo nafasi ya 3 ikiwa na alama 4, wakati Tunisia ndio vinara wa kundi hilo na wameshafuzu wakiwa na alama 10 na nafasi ya pili wapo Equatorial Guinea wenye alama 4 na Libya ndio wanaburuza mkia wakiwa na 3.


Kikosi kamili kilichoitwa na kocha Kim Poulsen





from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3kpl3uA
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI