Msami "Nilikuwa kwenye mahusiano na Kajala ila hatukufikia kuchorana tatoo"


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Msami amefunka baadhi ya musiano yake ambayo aliwahi kuwa mojawapo yakiwa ni Kajala na Irene Uwoya.


Msami ameeleza kuwa aliwahi kuwa kwenye mahusiano na Kajala ingawa hakutegemea lakini hawakufikia hatua ya kuanza kuchorana tatoo.


Msami ameongeza kuwa mmoja ya mtu aliyewahi kuwa naye kwenye mahusiano na litaka kumchora tatoo ingawa hakujua kama alichorwa hiyo au hakumchora ni Irene Uwoya.


” Wanaocheka umri au kipato kwenye mahusiano hao hawajui maana ya mahusiano, mimi nawapongeza sana Harmonize an Kajala nawaombea wafikie malengo yao pia mimi ni shabiki yao nayapenda mahusiano yao nataka kuona wakifika mbali zaidi.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3bDN4e5
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO

Nikiwa na Msichana Namkinai, Hivi Nina Pepo au ni Tamaa tu?