Rais Magufuli ampa siku 7 Simbachawene

 


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Magufuli, amempa siku saba Waziri wa Mambo ya Ndani George Simbachawene, ahakikishe wastaafu wote wa jeshi la polisi wanaodai mafao yao 


Rais Dkt. Magufuli ametoa maagizo hayo Februari 26, 2021, wakati akizungumza na Askari Polisi mara baada ya kuzindua Chuo cha Maafisa wa Polisi Kurasini Dar es Salaam, ambapo awali IGP Sirro alimuomba Rais Magufuli awasaidie wastaafu ambao hawajalipwa mafao yao waweze kulipwa kwa wakati.


"Waziri Simbachawene nakuagiza nenda kashughulikie malipo ya wastaafu na ikiwezekana ndani ya wiki moja wawe wamelipwa, tuliwatumia vizuri wakati hawajastaafu ni lazima wafaidike na kustaafu kwao hakuna kinachoshindikana pesa ipo," amesema Rais Dkt. Magufuli.



from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3qYj1nT
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI